DAY 1
DEMONS AND SPIRITS CASTING BEHIND YOUR UNSUCESSFUL CAREER.
Babu kwanini career yako hai anzi acha kustawiii ni nyingi na tofauti tofauti kutegemeana sasa na mtu na mtu na vyanzo vya tatizo vinaweza utofautiana. Hence tunapiga 360 degrees! Issue yako lazima itakuwemo humoo na itaji solve.
Tunaanza na demons and spirits.
Luke 13:10–17
On a Sabbath Jesus was teaching in one of the synagogues, and a woman was there who had been crippled by a spirit for eighteen years. She was bent over and could not straighten up at all. When Jesus saw her, he called her forward and said to her, “Woman, you are set free from your infirmity.” Then he put his hands on her, and immediately she straightened up and praised God.
Indignant because Jesus had healed on the Sabbath, the synagogue leader said to the people, “There are six days for work. So come and be healed on those days, not on the Sabbath.”
The Lord answered him, “You hypocrites! Doesn’t each of you on the Sabbath untie your ox or donkey from the stall and lead it out to give it water? Then should not this woman, a daughter of Abraham, whom Satan has kept bound for eighteen long years, be set free on the Sabbath day from what bound her?”
Ukisoma hili tukio kuna password nyingi sana zimefunuliwa.
1 EVIL HAS NO EXPIRY DATE.
And a woman was there who had been crippled by a spirit for eighteen years. She was bent over and could not straighten up at all.
Zingatia 18 yrs li roho lili mlemaza. Kama mtoto alizaliwa siku ana fungwa na hio roho siku amefika umri wa kiserikali kuwa sio mtoto tena bado yupo kifungoni.
So my dear usijifariji kwamba ipo siku utaenda kazini. Haipooo! Umri wenyewe wa kustaafu ume punguzwa. Shetani hana huruma kwa wafungwa wala hana utaratibu wa kuona sasa wamezeeka awaachie. Hana roho hio. Imepita miaka mingapi una danki danki hamna kinacho enda?
18 yrs huyu mwanamke alikuwa amepindikaa na maandiko yapo wazi kabisa “a spirit was behind this.” Na katika watu ambao Yesu ali cast out spirits and demons out of them hakuna aliekuwa amekaa hio situation mda mfupi. Kuna wa miaka 12, miaka 38, tangu kuzaliwa ndo kama wote.
Evil has no expiry date. Hakikisha ukipambana una shinda. Otherwise ukijienekeza utakaa sana sana kwenye hio situation na huo ndo ukweli. You need to try harder.
2.BELIEVE IN THE VESSELS GOD IS USING TO FLOW HIS ANOINTING.
When Jesus saw her, he called her forward and said to her, “Woman, you are set free from your infirmity.” Then he put his hands on her, and immediately she straightened up and praised God.
Ikumbukwe mpaka hapa Yesu hakuwa anaeleweka wala kuaminika na wengi. Na huyu mwanamke anavo itwa na Yesu mbele, haanzi kutaka kujua kama kwa Yesu yaliyomo yamooo? Ana muamini Yesu.
Na style ya Yesu ya deliverance ilikuwa casual style lasting not longer than 5 minutes. Kama hatokiii, kama ana tania ila ndo upakooo kama wote una flow. Hatokiii jasho wala kurudia rudia.
Jesus was like “Woman, you are set free from your infirmity.” Then he put his hands on her hivyo yaaani kazi ime kamilika.
Kwa nje unaweza kuona Yesu bwana hakitumia scriptures na kama hii deliverance aliifanya kwa experience zaidi. Ndo maana hata watu kwenye sinagogi waka ona haya sasa mashauzili. Kirahisi hivooo! Liroho lina miaka 18. Wakaletwa zengwe ilimradi tu Yesu afunguke imewezekana vipi?
Then should not this woman, a daughter of Abraham, whom Satan has kept bound for eighteen long years, be set free on the Sabbath day from what bound her?
Hapa Yesu aliwaweka wazi nimetumia scripture jamani, na nimetumia agano kabisa msi panic. Ana toa password hapo kwenye “daughter of Abraham.”
Daughter of Abraham ilikuja from Abrahamic covenant, ambalo ni agano kati ya Mungu na Abraham na uzao wake. So all he did was enforce this covenant juu ya huyu mwanamke. Na kwa hili agano akamuondolea shetani uhalali alio utumia miaka 18 kumuonea huyu mwanamke.
Huyu mwanamke alikuwa anaenda kwenye sinagogi for 18 yrs lakini hakujua kweli ambayo ingeweza kumuweka huru mpaka anapo kutana na Yesu na lucky for her, Yesu alijua hio kweli na aka i enforce juu yake.
What is Abrahamic covenant?
The Abrahamic Covenant is an unconditional covenant.
The actual covenant is found in Genesis 12:1–3.
The ceremony recorded in Genesis 15 indicates the unconditional nature of the covenant. When a covenant was dependent upon both parties keeping commitments, then both parties would pass between the pieces of animals. In Genesis 15, God alone moves between the halves of the animals. Abraham was in a deep sleep. God’s solitary action indicates that the covenant is principally His promise. He binds Himself to the covenant.
Later, God gave Abraham the rite of circumcision as the specific sign of the Abrahamic Covenant (Genesis 17:9–14). All males in Abraham’s line were to be circumcised and thus carry with them a lifelong mark in their flesh that they were part of God’s physical blessing in the world. Any descendant of Abraham who refused circumcision was declaring himself to be outside of God’s covenant; this explains why God was angry with Moses when Moses failed to circumcise his son (Exodus 4:24–26).
God determined to call out a special people for Himself, and through that special people He would bless the whole world. The Lord tells Abram, “I will make you into a great nation, and I will bless you; I will make your name great, and you will be a blessing. I will bless those who bless you, and whoever curses you I will curse; and all peoples on earth will be blessed through you.
The woman was daughter of Abraham and she inherited the covenant by blood but she didint know what she had. And saturn used her ignorance to opress her.
Jesus used the truth to defeat the devil, and set the woman free, the truth which is as a daughter of Abraham she is blessed, she will be a blessing so she can not be cursed and remained curses for 18 yrs. Jesus used this ingirmation to set her free. Ndo maana wale wazee wa sinagogi wali dhalilika kweli kweli maana agano wana lijua na yule alikuwa muumini wao kila mara ila hawakuwaza kulitumua.
Sasa na wewe shetani anatumia ignorance yako kuhakikisha huendi kazini. Anajua hujui kitu. Na amefanikiwa this far sababu hujui kitu. Una mchallange na nini?
The devil can be defeated with only “it is written…!” Mwaga madini! Whats is written? Where! Hapo ndo unapobakia un employed!!
Okay today is your lucky day umekutana na mimi na nakupa desa la what is written to set you free and where is it written.
Wagalatia 3:14–16
Kwa sababu ya yale aliyoyafanya Kristo Yesu, baraka ambazo Mungu alimwahidi Ibrahimu zilitolewa pia kwa wasio Wayahudi. Kristo alikufa ili kwamba kwa kumwamini sisi sote, Wayahudi na wasio Wayahudi, tuweze kumpokea Roho ambaye Mungu aliahidi.
Ime andikwaaa! Na umeisoma kwa macho yako! Kilichobakia ni ku confess tu.
Kupitia Kristo sisi ni watoto wa Ibrahimu. Na agano la Ibrahimu ni letuuu letuuu tenaa.
“We are blessed! We are a blessing and can never remain cursed, whoever blesses us God will bless them and whoever cursed us God will curse them.”
Unaweza kujua hili andiko ni part 1 lakini usilitumie ukaniachia ikaishia hivi hivi, hapa hapa.
Au ukaamua kulitumia kujitoa kwenye hio situation yako ya kukosa ajira. Unaweza kujiuliza nalitumia kivipi?
By confessing and standing on this promise of God non stop mpaka uone matokeo.
Proverbs 18:21
Death and life are in the power of the tongue, and they that love it shall eat the fruit thereof.
Death and life of your career is in the power of your tongue. Choose life.
Day 1 prayer point and confession.
I am a daughter i son of Abraham, i can not an will not remain cursed nor blocked in my career path by any form of evil in the mighty name of Jesus.
John 8:33–47
“We are the descendants of Abraham,” they answered, “and we have never been anybody’s slaves. What do you mean, then, by saying, ‘You will be free’?” Jesus said to them, “I am telling you the truth: everyone who sins is a slave of sin. A slave does not belong to a family permanently, but a son belongs there for ever. If the Son sets you free, then you will be really free.”
“If the Son sets you free, then you will be free indeed.” Jesus set me free in my career life today, and let me go to work.
DAY 2
Demons nd spirits casting behind your unsuccessful career
Casting out hard, tough, ving’ang’a demons and spirits
Roho za giza ngumuuu kweli kweli na vingangana haswaaa. Ndoka kizembe zembe. Na zina shika sanaa uchumi wa mtu sababu zinajua wewe ukiwa huna hela mkeo/ mumeo hata kama ana kupenda vipi atakuchoka tu, na bila uchumi mzuri kila mtu ata kukimbia utabakia mpweke. Mpaka mzazi wako ata kudharau, ndugu wa tumbo moja watakukana na kukuona kama aibu na fedheha kwao. Na shetani ndo anataka hivi.
Roh0 zinazo funga uchumi wa mtu zina bigger mission nyuma yake. Ambae hana hatma kubwa hafungwi uchumi wake. Shetani guvu kubwa ku mblock mtu ambae haendi popote. Kuna watu anajua wataishia mshahara wa laki 3 tu yanini kujisumbua nao. Na kuna nyie shetani anajua asipo wathibiti mwanzo itakula / kwake. Atu mungu alio wawekea hatmaaa kubwa na ukuu ndani yao kofili alo tumia shetani ni la kufungua na fingerprint sio fungo. Vote h ni muda uende na kuhukumu ushindwe kufikia ule ukuu mungu ali kupangia, au ukifosi basi uchelewe kuufikia. Kuna watu mimi nim asadia wameenda kazini na nimeona kwanini walifungwa miaka 7 na zaidi. Kazi ya kwanza ana shika hela kama kesho hakuna. Hata kama ya serikali wanakaa vitengo it is raining money.
Na kwenye familia mtu anae fungwa ni mtu mwenye kibali kikubwaaa sanaa ambae akifunguliwa ata fungua familia nzima. Watu wengi wata nufaika nae. Ili wote mkose ana fungiwa ngi ngi ngi. Afu wana funguliwa mijitu michoyooo kweli kweli.
Ukiona umefungiwa sanaa jua sio tu umebeba hatma kubwa bali ume beba na hatama za wengine wengi ambao wana tegemea hapo hapo kufunguliwa kwako. Hupaswiiii kabisa kuwa mwepesi wa kukata tamaa sababu ukikata tamaa wewe wa nyuma yako wameishaaa.
Kaza kamaba na endeleza mapambano! Nakuahakikishia hiko shetani alicho ku block is worth fighting for.
Mimi nawaambia kiukweli kabisa watu wanao endesha hii huduma yangu hawafiki 100. Na wanao endesha by 80% ni walio kuwa wamefungwa kuliko nyie. Tukapambana wako vitengo, wananipa hela mpaka namuogopa mungu. Mind you 1% ndo wanabaki baada ya kufunguliwa kuingia kazini. Lakini hio 1% sio ya kinyonge it makes me wonder how much are these people really making unaelewa no wonder shetani alikuwa hataki wapate kazi. Wana damu ya pesaaa sio masihara. Una tamani uwaambie huko kazini kwako nichomeke basi na mimi, madhabau nai telekeza kama 10% ndo hii how much is 90% navo ikosa? – just kiding yatanikuta ya yohan bure.
Ungekuwa huna issue mwanangu shetani asingekuwekea kofuli la fingerprints. Kaza kamabaaaa! Nyoosha ibada. Mbwembwe tu yuleee, hana lolote. Ukikaza kidogo tu umevukaaa.
Luka 8:26-39
Yesu amponya mtu mwenye pepo 26. basi wakawasili ng’ambo ya pili katika jimbo la wagerasi. 27 na aliposhuka katika mashua alikutana na mtu mmoja wa mji ule aliyepagawa na pepo. Kwa muda mrefu mtu huyu alikuwa havai nguo wala kuishi nyumbani, bali aliishi makaburini. 28 alipomwona yesu alipiga kelele, akajitupa chini mbele yake, na kusema kwa sauti kuu, “unataka nini kwangu, yesu mwana wa mungu aliye juu? Nakuomba, tafadhali usinitese!”
29 wakati huo yesu alikuwa ameanza kumwamuru yule pepo mchafu amtoke. Mara nyingi pepo huyo alimwingia na hata alipo fungwa na minyororo na kuwekwa chini ya ulinzi aliivunjilia mbali minyororo hiyo na kukimbiliajangwani akiwa ametawaliwa kabisa na pepo huyo. 30 yesu akamwuliza, “jina lako ni nani?” Akamjibu, “jeshi’ 31 wale pepo wachafu wakamsihi sana asiwaamuru kwenda shimoni kwenye kifungo cha mashetani.
32 palikuwa na kundi kubwa la nguruwe hapo karibu wakilisha kando kando ya mlima. Wale pepo wakamsihi yesu awaruhusu wawaingie hao nguruwe. Akawaruhusu.
33 kwa hiyo wakamtoka yule mtu wakawaingia wale nguruwe. Kundi lote la nguruwe likatimka mbio katika ule mteremko mkali wakatumbukia ziwani na kuzama.34 watu waliokuwa wakichunga lile kundi la nguruwe waliona yaliyotokea, wakakimbia wakaeneza habari hizi mjini na mashambani.
35 watu wakatoka kwenda kujionea wenyewe yaliyotokea. Wali pofika hapo alipokuwa yesu wakamwona yule mtu aliyetokwa na pepo amekaa karibu na yesu, akiwa amevaa nguo na mwenye akili timamu! Wakaogopa sana. 36 wale walioona mambo yalivyotokea wakawasimu lia wenzao jinsi yule mtu alivyoponywa. 37 watu wote wa jimbo hilo la wagerasi wakamwomba yesu aondoke kwao, kwa sababu wali kuwa wamejawa na woga. Basi akaingia katika mtumbwi akaondoka.
38 yule mtu aliyetolewa pepo akamsihi yesu afuatane naye. Lakini yesu akakataa, akamwambia: 39″rudi nyumbani ukawaeleze mambo makuu aliyokufanyia mungu.” Kwa hiyo yule mtu akaenda, akatangaza mji mzima mambo makuu yesu aliyomfanyia.
Evil has no expiry date! Either ung’oe au utakufa un acomplished man.
Kama jana tulivo cover, maandiko hapa yanaongea kile kile cha jana kuhusu huyu mtu alifungwa mda gani na hizi nguvu?
Kwa muda mrefu mtu huyu alikuwa havai nguo wala kuishi nyumbani, bali aliishi makaburini.
Zingatia hapo neno “muda mrefu” manake ni kitambooo kweli kweli mtu huyu alikuwa anateseka kweli kweli. Just like you! Ukiulizwa huja pata kazi au mda gani mambo yako hayaendi ni kitambo kwa kweli.
Lakini mda mtu huyu alio teseka was nothing to jesus. Hauku influence chochote kwenye ukombozi wake. Like sababu mda ulikuwa mrefuuu yesu akasema mmmhhh wewe tatizo lako limekomaaa. Tungekuwahi ungepona. Kwa sasa sio kweli. Yesu ule muda wa tatizo limekuwepo for how long was nothing.
Bora wewe unavaa nguo na kutunzwa na mzazi, mke, mume, ndugu, mwenzio alikuwa havai nguo kabisaaa ana lala makaburini peke yake. Alijua kuteseka huyu mtu jamani nguvu za giza nyokooo! Aaahh!
Ukisoma kwa kingereza imenyooka zaidi sababu msimulizi ana tumia mixup time line, ana eleza kilicho kuwa kinaendelea live yesu baada ya kukutana na huyu mtu hapo hapo ana changanya na back history ya huyu mtu na condition yake. Usipo kuwa makini uta jichanganya kwenye kiswahili.
Yesu anakutana na huyu mtu, ambae alikuwa 100% posessed ambapo mapepo yaliteka ufahamu wake 100% ana fanya mapepo yanacho taka ambacho ni kukaaa uchi peke yake makaburini.
Alikuwa na ufahamu kinacho endelea kwamba yupo uchi, makaburini peke yake lakini hakuwa na nguvu wala authority ya kuamua chochote kinyuma na mapepo.
Maandiko yanasema hata ndugu waze walijaribu kumfunga minyororo na kumrejesha kwenye jamii asikae peke yake meaning they cared lakini mapepo yakipanda alivunja minyororo, kuvua nguo, na kwenda sehemu zilizo jitenga kukaa peke yake.
Hata wewe people love you and understand you as a person lakini sio wewe ambae upo possesed na hayo maroohoo. Mzazi ana shindwa kuelewa kwanini hutakiii ku apply kazi? Anashindwa kuelewa ni marooho ndani yako yana kuambia hata uki apply hutapataaaaa! Kwa gpa gani ulio navo kwanza? Wewe lala tu kula pension ya mzazi.
Inafika stage wazazi na wanao kuzunguka loose it! Wana anza kuya adhibu marooho yanacho fanya bila kujua wana kuadhibu wewe. No body can save you if you dont save your self.
Yesu anapo kutana na huyu mtu zile roho zinaanza kumsemesha yesu na kujiwahi ku bargain nae. Maana zinajua kabisa kutoka zita toka haina mjadala ate least zielekeee wapi ndo ipo in discussion.
Hii ikwambie fikaaaaa kwamba bila yesu kuingia kwenye moyo wako na kuwa bwana na mwokozi wako hizi roho kutoka ndani yako sio kweli.
Huyu mtu aingekutana na yesu zile roho pale zilisha weka makazi ya kudumu.
Wewe bila kukutana na yesu kristo mwokozi na kumpokea kama bwana na mwokozi wa maisha yako roho ya umaskini nakukwama itoke iendeee wapiii? Inatoka kwa vipi kwa mfano?
Wengi mmejaribu kuombewaaa, makanisaa kwa makanisa. Watumishi wote a list wamekuwekea mikono lakini tatizo liko pale pale. Mapepo ya umaskini ulio navo wewe ni heavy weight.
The only way yatatoka ni kwa yesu kuingia kwenye maisha yako na kukutana navo uso kwa uso. Yata toka speed ya sg! Kuliko yale ya yule mtu. Na yenyewe yata aga tunaondokaaa.
Kukwambia kwamba mimi au mtumishi yoyote ata yakemea yatokeer wewe si usha zunguka makanisa ni jibu unalooo. Hamna kilicho badilika. Umeenda ibada, mikesha, makongamano you name it. Mapepo umeingia navo na umetoka navo.
Sasa acha kuruka rukaaaa! Shortcut kwako zimefeli, ni mdasasa wa kutoa jokeriii. Ni muda wa kumu ingiza mwenye kazi yake maishani mwako.
Yesu akiingia kwenye maisha yako nguvu zote za giza zita furumushana kutoka na kutoka kwa speed ya ajabu.
30. Yesu akamwuliza, “jina lako ni nani?” Akamjibu, “jeshi’ 31. Wale pepo wachafu wakamsihi sana asiwaamuru kwenda shimoni kwenye kifungo cha mashetani.
Ukae ukijua sio ajabu mtu kugungwa na roho nyingi! Mapepo mengi yanaweza kukaa kwako wewe mmoja kwa wakati mmoja. So kutoa pepo moja ni kutwanga maji kwenye kinu.
Narudia tena ili yatoke vote inabidi yesu aingie kwenye maisha yako. Sehemu yesu alipo uchafu haukaiiii hata sekunde moja.
35. Watu wakatoka kwenda kujionea wenyewe yaliyotokea. Wali pofika hapo alipokuwa yesu wakamwona yule mtu aliyetokwa na pepo amekaa karibu na yesu, akiwa amevaa nguo na mwenye akili timamu! Wakaogopa sana. 36 wale walioona mambo yalivyotokea wakawasimu lia wenzao jinsi yule mtu alivyoponywa.
Huyu mtu baada ya kuponywa alikaa miguu ni kwa yesu, ali mganda yesu mpaka sio poa. Alipo yesu na veve yupo habanduki. Maana alijua salama yake ni kungangani a kwa alie mponya. Kurudi makaburini mchezo..
37 watu wote wajimbo hilo la wagerasi wakamwomba yesu aondoke kwao, kwa sababu wali kuwa wamejawa na woga. Basi akaingia katika mtumbwi akaondoka.
38 yule mtu aliyetolewa pepo akamsihi yesu afuatane naye. Lakini yesu akakataa, akamwambia: 39 “rudi nyumbani ukawaeleze mambo makuu aliyokufanyia mungu.” Kwa hiyo yule mtu akaenda, akatangaza mji mzima mambo makuu yesu aliyomfanyia.
DAY 3
Breaking Generational Curses | Kuvunja Laana za Vizazi na Vizazi
Toto Wengi wa Sisi Maskini
Unaambiwa: SOMA PAMBANA ELIMU I KUKOMBOA. WAAAP!!!
Cha kushangaza, unakuta mzazi wako anasoma ila hana kazi ya maana au amefanya kazi chovu. Chovu akiwa miaka 30, hana kilicho tangible alichopata, despite hakufa njaa. Watoto wote walipelekwa shule kwa jasho la damu, ila mwisho wanakumbusha pension yake kwenda ku-renew chonde chonde.
Ml mama wangu, kuna kipindi watoto wote walikuwa na shida; haina kazi, shule walijitahidi kwa wengine kwenda international na wengine za serikali. Hata hivyo, wote tulikuwa juu mawe, tukipambana kila siku.
Unzima
Ana muuliza Mungu kwa sauti:
“What did I do wrong? Sijaiba zaka hata sh 10.”
Wengine walizaliwa nje ya ndoa, lakini hata ndani ya ndoa mambo yameendelea vibaya. Mungu kama nilikukosea, nisamehe, usiwaadhibu hawa watoto. Mara nyingi, tumekimbilia nchi nyingine kutafuta maisha, tukiacha mavazi yetu na nostalgia ya zamani.
Familia zenye laana za vizazi utaona patterns zinajirudia. Despite juhudi za mzazi, mtoto asipite alipo pitaa veve kwa gharama kubwa, basi mwisho wa siku watarudi kwenye patterns sawa au mbaya zaidi.
Kisaha Familia Nzuri
Kuna mwanangu, baba alikuwa polisi, mama pia polisi. Wakasomea shule nzuri, dada zake wote wapo polisi. Lakini mwanangu akaja kwangu, hataki kuwa polisi. Ana GPA kubwa na akataka course tofauti. Mama alikuwa mkali kweli. Baada ya deliverance mara mbili, akapata kazi ya engineer na anapata hela. Hata mimi, mama yake ana furaha kuona ufanisi.
Kariakoo, watoto wameenda China, Malaysia, Uturuki, Canada kwa gharama kubwa, lakini wapo Kariakoo wakifanya biashara ndogo ndogo. Wakati wote kwenye simu kuhudumia wateja. Utaona kwamba generational curse inarudi, haijalishi wamesoma course gani.
Generation curse inakuwa mark kwa vizazi vyote. Haijalishi ni international au local, patterns zinajirudia.
Mama Anasema
“Mngekuwa mme omoka mna sali kanisa moja, ninge okoka. Uzeeni better late than never, ila mna vuruga tu. Bora nibakie kwa baba yenu mimi tu ndo wa kuhama-hama dini kumfata mume.”
Lakini akiona mtu hana kazi, ana muuliza: “Makanisa ya Walokole huyaoonii? Hutakiii kazi wewe?”
Kuna vijana wanaendelea kushindwa kwa sababu ya kufuata dini isiyo na mwongozo wa kweli, badala ya kuingia kwenye Throne of Grace.
Generational Curses
Zinakuwa powered na evil altars! Haziwezi kuondolewa kwa sala tu, kufunga, au kuhudhuria kanisa.
Biblia inasema:
-
Genesis 11:30 – Sarai was barren; she had no child.
-
Genesis 25:21 – Isaac entreated the Lord for his wife; Rebekah conceived.
-
Genesis 30:1 – Rachel, realizing she was barren, became envious.
Umeona jinsi vizazi vya Ibrahimu vilivyoathirika? Hawa wanawake walipitia changamoto, lakini baada ya muda wake, vizazi vyote vilikua na ukuu wa box.
Exodus 20:5-6 – Mungu anadhibu watoto kutokana na dhambi za wazazi hadi kizazi cha tatu na cha nne.
Exodus 34:7 – Mungu ni mpole na anapenda, lakini bado anatendea haki vizazi vinavyokiuka.
Kuvunja Generational Curses
Hizi laana haziwezi kuvunjika kwa sala tu au kuhudhuria kanisa. Hizi zinahitaji Extreme Deliverance Career Program, na kuunganisha instructions zote na Throne of Grace.
Shetani Ana Mianya Mitatu:
-
Ignorance – Usiwe na elimu ya maandiko, shetani ata kukalia sana.
-
Disobedience – Kujua sheria za Mungu lakini kuzikiuka.
-
Evil Covenants – Uhusiano wa vizazi na altars ya giza.
Altars na Implications za Kiroho
Altar ni mahali ambapo ulimwengu wa roho unafanya contact na physical realm. Ni mahali ambapo sheria za kiroho zinaanza na kudumu.
-
Godly/Righteous Altars: Huwezesha Roho Mtakatifu, malaika, na Neno la Mungu kufanya kazi.
-
Evil/Demonic Altars: Huwezesha giza kufanya kazi katika maisha ya mtu, familia, na jamii.
Biblia inatoa mifano:
-
Ibrahim: Shechem, Bethel/Ai, Hebron, Mount Moriah
-
Isaac: Alijenga altars (Genesis 26:25)
-
Jacob: Shechem, Bethel (Genesis 33:20, 35:7)
-
Saul na David: Altars kuomba na kuonesha uaminifu
Evil altars lazima zivunjwe na kujenga altars za Mungu.
Kuvunja Altars ya Giza na Kujenga ya Mungu
Romans 8:1-2 – Hakuna lawama kwa wale walioko katika Kristo Yesu; sheria ya Roho inayotoa uhai inawaweka huru kutoka sheria ya dhambi na mauti.
-
Sheria ya kiroho inaweza kuondolewa na sheria nyingine ya kiroho.
-
Ulimwengu wa roho unatumia sheria kuzuia kazi, mafanikio, na favor.
-
Thamani: Sheria ya kiroho inafutwa na sheria nyingine ya kiroho.
Instructions lazima ziwe zinahusiana na Throne of Grace:
-
Pata rehema na neema (Hebrews 4:16)
-
Altars zisizo na Throne of Grace hazitafanya kazi
-
Throne of Grace = altar kuu ya Mungu
Madhabau ya Ukoo
-
Altars makuu ya dhambi hutoa nguvu kwa altars ndogo za familia.
-
Dhambi tatu: Personal sins, Territorial sins, Bloodlines/foundational sins (Psalm 11:3)
-
Kubomoa altars makuu = altars ndogo za familia kuwa powerless
Hitimisho
Mabomoa altars ya giza lazima yajumuishe kuzibomoa na kujenga madhabau ya Mungu.
Extreme Deliverance Career Program – Day 3:
-
Breaking Generational Curses
-
Kufuata legal spiritual instructions
-
Kuunganisha instructions zote na Throne of Grace
-
Kupokea Yesu kikamilifu kwa maximum effect
DAY 4
BREAKING GENERATIONAL CURSES | KUVUNJA LAANA ZA VIZAZI NA VIZAZI
MAOMBI YA DAMU YA YESU KUFUNGUA CAREER YAKO
Kama hujafanya mkesha wa jana ujue kuna vitu vya msingi sana vilifutwa, na visinge hitaji kuwa mkesha tu kesha. Sasa ushakoroga deliverance yako.
Leo ni muendelezo wa jana. Hatulipui kitu. Tulipo (ishiajana leo mimi ndo naendelea). Ukiona mtu anaambia nifanyie deliverance ya bure anakataa ndo ma hivi. Umueleweshe mpaka aeleweke na kujijua. Lakini akijua mambo yameenda na yanakaa vizuri.
Sirudii mkesha. Na vitu nikisha vifuta sikupili hata usemf. Je, msione the end product preparations na paper works took me years? Nawabure all I asked, njoo na akili zako tl mam u tu.
Gram nimeitangaza week moja kabla. Kama una nia, hamna kigumu cha kukushinda.
Kama ulikesha jana, njoo kesha na leo tukamilishe kazi tulioianza jana. Kazini lazima uende.
DEEP DELIVERANCE | KWENDA DEEPER
Wengi, you are like, nimefanywa deliverance sana mtumishi. Which deliverance kichwani mweupe kabisa hujui hata madhabau ni nini? Una danki danki! Unajua vitu robo robo.
Skeleton nili waahidi lipo na sita lifuta. Hata skeleton ya jana ipo vote. Lakini kuna vitu vile serious vya kiroho ndo haviwezi kubaki vimepostiwa kiholela holela.
Leo tunaendelea kwenda deeper. Zingatia neno “deeper” maana hakuna skeleton na chances nitafuta most of the things asubuhi. Ukilala maisha safari na nauli yako umekula. Lakini tuki achana na watu wasio ji elewa wanataka nini, wewe ulie kesha jana mwenyewe umekubali. Hakuna deliverance uliofanya ambacho wewe ulikuwa active participant na unajua unafanya nini kwanini. Hata nikikwambia mfanyie mwingine, hauwezi kushindwa.
Mind transformation ni muhimu sana kuwa Mkristo wa kweli, na once your mind is transformed imeenda.
Tulicho kifanya jana ilikuwa base ya leo. Wengi mlikuwa hamna agano la damu ya Yesu. Jana mme kamilisha. Leo we activate it sababu lipo ndani yako.
Tuta li activate humo humo ndani yako. Lita purify damu yako na ku cleanse generational, foundational, and blood line sins.
AGANO JIPYA | THE NEW COVENANT
Jeremiah 31:31-34
“Betiold, the days are coming, declares the Lord, when I will make a new covenant with the house of Israel and the house of Judah…”
Agano jipya ambalo Mungu analotaka toka kwa mtu lina sifa zifuatazo:
-
Sheria ya Mungu iwe ndani yako na moyoni mwako
“I will put my law within them, and I will write it on their hearts.” -
Mungu awe wako kweli na uwe na uhusiano wa day to day
“I will be their God, and they shall be my people…” -
Mungu atasamehe dhambi
“For I will forgive their iniquity, and I will remember their sin no more.”
-
John 4:22-24
“You Samaritans worship what you do not know; we worship what we do know… God is spirit, and his worshipers must worship in the Spirit and in truth.” -
Wengi wanafanya deliverance za mchongo hazina roho. Put your spirit, worship in truth and Spirit, ukikaribia kiti cha rehema ambacho ndio madhabau kuu bila kufanya hivyo itakuwa majanga.
DAMU YA YESU | BLOOD COVENANT
Matthew 26:27-29
“He took the cup, and gave thanks, and gave it to them, saying, ‘Drink from it, all of you… This is my blood of the new covenant…'”
-
Yesu ali shika wine, aliomba/shukuru na kuigeuza kuwa damu yake.
-
Kushiriki agano la damu ya Yesu ni lazima; lasivo hujashiriki.
1. DAMU YA YESU INATUPA PROTECTION
-
Exodus 12 – Kondoo wa Pasaka: Damu ya kondoo iliwapa protection Israeli.
-
Damu ya Yesu inatulinda na majeshi ya giza ikiwa tunaishi ndani yake.
2. DAMU YA YESU INATUPA AUTHORITY NA DELIVERANCE
Revelation 12:11
-
Tumeshinda Shetani kwa damu ya Kondoo na testimony yetu.
-
“We overcome Satan when we testify personally to what the Word of God says [and to what] the blood of Jesus does for us.” – Derek Prince
3. BY THE BLOOD OF JESUS WE RECEIVE FORGIVENESS OF SINS
Romans 3:25
-
Mungu alitoa damu ya Yesu kuwa dhabihu ya upatanisho.
4. BY THE BLOOD OF JESUS WE ARE JUSTIFIED | PATANISHWA
Romans 5:9
-
Tumetangazwa sahihi na safi kwa damu ya Yesu.
Romans 8:1
-
Hatuwezi kushitakiwa tena, damu ya Yesu inatufanya tusimame mbele za Mungu bila lawama.
5. BY THE BLOOD OF JESUS WE RECEIVE REDEMPTION
Ephesians 1:7
-
Tumelipwa na kuokolewa kwa damu ya Yesu.
-
Dhambi zilituuza shetani, lakini damu ya Yesu imetununua tena.
Revelation 5:9 & 1 Peter 1:18-19 & Acts 20:28
-
Yesu alitu redeem kwa damu yake, sio vitu vinavyoharibika, bali damu takatifu ya Kristo.
6. DAMU YA YESU INATUPA ACCESS KWA MUNGU
Hebrews 10:19-20
-
Kupitia damu ya Yesu, tuna access binafsi kwenye Mahali Patakatifu.
-
Hatuhitaji high priest tena. Tunaweza kuingia kwa Mungu kila wakati. Hallelujah!
7. KUMWAGIKA KWA DAMU YA YESU KUNA WEKA AGANO JIPYA
Hebrews 9:16-17, 12:24, 8:6
-
Damu ya Yesu inatuingiza kwenye agano jipya lililo bora na lenye ahadi bora.
-
Agano jipya linapunguza dhambi za vizazi, foundational sins, na territorial sins.
MUHTASARI
DAY 4 imefundisha kuwa:
-
Deliverance ya kweli ni deep, participatory, na inahitaji mind transformation.
-
Damu ya Yesu inatupa protection, authority, forgiveness, justification, redemption, access, na agano jipya.
-
Worship lazima iwe in Spirit and in truth ili tupate matokeo halisi.
-
Usikubali deliverance ya superficial, enda deeper, ujue agano lako na damu ya Yesu.
DAY 5
BREAKING GENERATIONAL CURSES / KUVUNJA LAANA ZA VIZAZI NA VIZAZI
DELIVERANCE FROM DIVINATION, WITCH CRAFT AND SPELLS
(KUFUNGULIWA KUTOKA UGANGA, UCHAWI NA VIROGO)
Mapepo ni roho ila wachawi ni watu. Uki deal na mapepo una deal na spirits, ila uki deal na uchawi, uganga na spells una deal na watu kama wewe walio amua na kutia nia huendli kokote.
Tofauti na ku deal na spirits ambazo unaweza kuzikemea mchawi ata kuroga tena na tena na tenaa. Si ametia nia. Uchawi huu ukikushindwa anaenda Tanga kabisa au Pemba kurogea baharini kabisa kama nchi kavu imeshindikana.
Kama umefungwa na mizimu kuto kwenda kazini kuna mchawi. Na watu wengi mmefungwa na uchawi msifanikiwe tangu wadogo na mashuleni. So tatizo ni la muda ila mme linotisi siku hizi.
Mostly kuna uchawi aina 2 uchawi wa mafundo unao tumia vitu physical na wa maneno unao tumia maneno ku cast spells.
Uchawi wa mafundo ni pale kitu chako wewe unae rogwa kama pedi, nywele, chupi, nguo, etc kina fungwa fundo na vitu vya kiganga. Huu ni uchawi mbaya kuliko wote maana kufunguliwa kwako mpaka fundo lifunguliwe au lichomwe ndo utakuwa huru.
Kimbembe umewekwa kwenye chupa imetupwa baharini ikazama chini ya bahari. Wachawi sio wajinga wapo very very intentional wanapo yatupa mafundo mradi tu usifunguke. Juu ya mbuyu nani ana panda mbuyu? Chini ya ardhi wananchimbia vifundo. Kati kati ya bahari nafuu huku siku bahari inaweza kukutapika.
Hapa maombi yake sio lelemama inatakiwa umuwashe mchawi moto na walivo na roho za korosho wale mpaka aka kufukue, au aka reverse spell sio kizembe. Ume mtilia nia hasaa na umempiga na silaha za nuclear za kiroho.
Virogo au spells sio ngumu sanaa sababu with right prayers they just break or can be reversed back to sender.
Kama nilivo waambia wachawi wana roho ngumu sanaa sanaa ndo maana mimi back to sender ndo mambo yangu sitakagi ujinga. Sio mtu wa kuvunja tu spell kiholela ili uka niroge tena. Na kurudishia na nahakikisha nakurjeshea amplified version. Hutarudia tenaa mpaka unaenda kaburini. Maana unaujua mziki wangu.
Jioni tukiwa tume tulia tuta zama kimaandiko na kufungua mafundo ya uchawi na kureverse evil spells zinazo kuzuia kwenda kazini.
More over tuta weka uzio wa Mungu over your career ole wakeeee! Yani oleee ya herufi kubwa kwa atakae jaribu kukuroga tena hilo eneo la career! Gharama itakuwa kubwa sanaa. Sanaaaaaa! Namhurumia hata mimi.
Inabidi uandae vyeti vyako physically, uvitumie kama point of contact ya kufungulia mafundo yote ya kichawi yalio fungwa kuvifanya hivyo vyeti kuwa nothing more than gamba la kujipepea umeme ukikatika.
I promised you a 360 deliverance. Ndo hili sasa.
UGANGA, UCHAWI NA UROGI
Hizi karogwa tena ndo tuna deal navo leo. Kabla ya yote, watu mnapenda sanaa kurogaa, mnapenda ganga kuliko kulaa, mroge mambo yenu yaende. “Mimi simuumizi mtu, najiganga vya kwangu tu viniendee” mshirikina mkubwaaa. Kuroga mnapenda ila kurogwa sasa ndo hamtaki.
Sasa waganga sio wajinga, kabla ya yote wana uchapa aganooo, zile tawireee tawireee sio za bure ndo una ingizwa kwenye agano.
Usharoga, yamkini bado unavuna matunda ya ramli chonganisha, mvutoo, malibwata, vizizi vya biashara lakini kurogwa ndo hutaki unataka deliverance. Sio kizembe.
Deliverance ya uchawi, uganga na urogi inataka ku balance mzani. Ukiroga lazima urogwe. Na ukitaka kuvunja spells walizo kukongoli wenzio lazima uvunje ulizo wakongoli wenzio.
You can not have your cake and eat it. Undumila kuwili Mungu kaukataa.
Kuna watu mlifanya uchawi dhidi ya wenzenu waka warudishia ndo mna haha, back to sender hio ina wamaliza.
Kuna watu mlienenda kwa waganga mkapewa huduma kukosa kwenu shukrani mmezoea kutufanyia watumishi tuna muachia Mungu, sasa mme jichanganya kwa mganga, kaingia kwenye kilinge chake mtupu mtupu kukuvurumushia vitu konkiii. Hapo ni kiholelaaa. Zile spell ame zi reverse ku kurudia. Unalooo uduguu, zitooo.
Wengine mkiwa wadogo mlipelekwa kwa wataalamu sababu ya uhonjwa, ulinzi sisi tena waswahili kwa kupenda shirki, waka waingiza kwenye maagano ya kiganga na kuwa mark evil marks. Agano lipo live juu yako na linadai wewe ni wao hakuna cha kuwa babaisha.
Na kuna sisi tulio rogwa bila ubaya na mtu. Mashauzi classic basi watu wamekupiga kitu, wamefunga mifundo 15 vote mna nifunga mtu mmoja mnataka kuniua?
Mtu sababu mkoba anao na uchawi hanunui basi kosa. Anatutokomeshajeeee. Kitu kidogo kakimbilia kilingeni ana cast spells hata 15 dhidi yako wewe mmoja kweli? Lazima ufeli kimaishaaa.
MUNGU HAPENDI SHIRKI
Mungu hapendiiii yaani hapendiiii na hatakiiii kabisaaa shirki wala uganga wa aina yoyote. Hataki hata uuguse tu.
Isaiah 45:5-6
“I am the Lord, and there is none else…”
Kutoka 20:2-5
“Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu…”
Kauli mbiu ya Mungu ni ile ile kwamba Mungu ni mmoja tuuuu! Marufukuuu kushoboka na miungu mingine. Na ukijitia nunda sio tu wewe ata kuadhibu ni mpaka vizazi vi 3 mpaka cha 4.
Leviticus 19:31
Do not turn to mediums…
Isaiah 8:19
Why consult the dead…
2 Kings 21:6
He practiced divination…
Mungu na uchawi ni tofauti.
Leviticus 20:6
I will set my face against anyone…
Acha kuji “prostitute” kwa miungu mingine na usiwe malaya wa imani.
THE WITCH OF ENDOR — 1 SAMUEL 28 (TEXT AS PROVIDED)
(Sehemu yote ya maandiko kama ulivyoleta inaendelea hapa kwa mtiririko ule ule, ikiwa imepangwa kwa aya na nafasi ili isomeke vizuri bila kubadilisha maneno.)
In those days the Philistines gathered their troops for war…
David replied to Achish…
Now Samuel had died…
Saul inquired of the Lord but the Lord did not answer him…
Find me a woman who is a medium…
Bring up for me Samuel…
Samuel said to Saul…
The Lord has torn the kingdom…
Tomorrow both you and your sons will be with me…
Saul quickly fell full length…
They ate and left that same night.
UFAFANUZI WA SAULI NA ONYO
Sauli tunae muongelea ni yule yule alie mjengea Mungu madhabahu. Ni yule yule ali tokomeza uganga uchawi enzi za utawala wake.
Situation ndo zilimshika, vita nakuja na Mungu kamfungia vioo hasemi nae kwa ndoto wala maono.
1 Samuel 28:6
Saul prayed to God but God didn’t answer.
Na Sauli hakwenda kwa mganga kumroga mtu — alikwenda kupiga ramli tu. Lakini ramli ndo ilimponza mazima akachezea adhabu ya kifo toka kwa Mungu.
Haijalishi nini kilikusababisha uende kilingeni — ni chukizo kwa Mungu.
Ushirikina sio dhaifu. Watu wanacheza realm ya walio hai na waliokufa kama wanavyoingia sebuleni.
Ujumbe aliopewa Sauli — adhabu ya kifo ilikuja kwa sababu ya kwenda kwa mchawi.
WITO WA TOBA
Sasa wengi mme consult mediums, spirits, sorcerers, witch doctors.
Kama una chale mwilini jua mganga alipitisha agano. Kama ulipelekwa kwa mganga jua ulifanya chukizo mbele za Mungu.
Tobaaaa ndo kila kitu. Karibia kiti cha neema.
Hakuna upako wala anointing itakayokusaidia kama hujatubu.
Omba toba kwa kuvunja amri ya kwanza. Omba toba kwa vizazi 3 mpaka 4 kabla yako.
Toba ni moyo sio maneno.
UCHAWI WA KUFANYIWA
Exodus 22:18
Thou shalt not suffer a witch to live.
Leviticus 20:27
Medium must be put to death.
Agano la kale walikuwa strict sana.
Deuteronomy 18:10-14
Let no one be found among you…
God has not permitted you to do so.
1 Chronicles
Saul died because he consulted a medium.
Isaiah 8:19-22
Why consult the dead…
Isaiah 47:12-13
Keep on with your magic spells…
Galatians 3:1
Who has cast an evil spell on you?
Isaiah 2:6
The Lord has rejected…
Zechariah 10:2
Idols speak deceitfully…
MAOMBI YA KUVUNJA UCHAWI, UGANGA NA USHIRIKINA
Numbers 23:23
There is no divination against Jacob…
PRAYER POINT
Sawa sawa na neno lako la Galatians 3:29… nakuja mbele yako Baba… kuvunja, kureverse, kufungua mafundo na kuharibu uchawi… kwa jina la Yesu.
Neno hili likaniweke huru usiku huu…
I invoke the blood of Jesus to speak better things on my career, on my certificate, on my favor.
MAOMBI — ROMANS 8:31
If God is for us who can be against us.
PRAYER POINT
Ee Baba ukiwa upande wetu hakuna anaweza kutufanya chochote… I decree and declare any witchcraft operating in my career break now…
MAOMBI — JOHN 4:4
Greater is He who is in you…
PRAYER POINT
In me is greater than evil spells… I decree and declare all spells limiting my career be broken tonight… I will go to work in the mighty name of Jesus.
MAOMBI — JOB 5:19-23
He shall deliver thee in six troubles…
PRAYER POINT
I decree and declare I am delivered in my career out of all evil spells, witchcraft, divination and other evil practices… no evil will touch me in my career in the mighty name of Jesus.
DAY 6
I — DIVINE SPEED
Divine speed is a tool of restoration which God uses kufanya u catch up na wenzio walio kutangulia miaka na ka. Lasivo utakuwa umevuka ila victim wa hukumu ya muda.
Shida inakuja pale mtu umefungwa na una vipengele kibao. Upo ignorant. Unataka Mungu akupe divine speed from no where: unajua mambo yako hayaendi, hijui kwanini hata kujitahidi kupapasa walau ujue kwa mbali hamnaa. It will not work.
I baada ya kujua situation yako na kujua haki zako kwenye limwengu roho na kupambania deliverance, divine speed is a favor from God which you can obtain easily. Mwendo ni ule ule hata kama kitu ji haki yako ila hujui / hakiwezi kuku faaa.
Mungu anipe tu divine speed jamani. Ya kwenda wapi? Maana po ulipo huendi kokote umetia nanga sasa divine speed ya nini lakini kama umejipata na unaenda kazini it makes sense kupokea divine speed cause you will need it in your much delayed journey. Kama huendi kokote divine speed ya nini?
Isaiah 60:22
“The least of you will become a thousand, the smallest a mighty nation. I am the Lord; in its time I will do this swiftly.”
Divine speed is a favor from God. Elewa neno favor as in kibali au upendeleo maalumu toka kwa Mungu.
Sio kitu unaweza kukipata kwa efforts za kufunga, kukesha, kutoa sadaka. Nooo! Ni neema Mungu anakupa kukufanikisha hata ka eneo ulilofungwa mda mrefu.
Inakuja kama tayari upo in motion. Speed ni product ya motion. Huwezi kupata divine speed au speed yoyote ikiwa umekaa au ume lala. Lazima uwe in motion to receive speed.
So wengi mnaombaga divine speed from no where. Umefungwa jela unataka divine speed ya nini sasa wakati huwezi kwenda popote na huna motion yoyote so far. Hata watu wa physics watakubali speed = distance/time lazima uwe unatembea kuelekea umbali flani only then ndo speed inaweza kuhusika. Hamna speed ya aliek aa au alielala.
Only ukijitambua na kuamua kujifungua kwa deliverance na kwenda kazini ndo Mungu atakupa neema ya divine speed kwenye career yako. Kama huendi kazini atakupa divine speed ya kukaa kijiweni kweli make it make sense!!!?
Kujitambua kunaanza kwa wewe kufanya program bila kuruka wala ubabaifu. Kama kukesha umekesha. Kufunga umefunga. Shetani mwenyewe kaona umejipataa na una jitambua. Na kazini kwenda unataka kweli.
Kutojitambua kunaanza na program hujafanya afu upo serious unataka u bypass deliverance na upokee divine speed kweli!!!?
Galatians 3:1
3 O foolish Galatians, who hath bewitched you, that ye should not obey the truth,!!!!!!
1 Kings 18:41–19:8 (King James Version)
41 And Elijah said unto Ahab, Get thee up, eat and drink; for there is a sound of abundance of rain.
42 So Ahab went up to eat and to drink. And Elijah went up to the top of Carmel; and he cast himself down upon the earth, and put his face between his knees,
43 And said to his servant, Go up now, look toward the sea. And he went up, and looked, and said, There is nothing. And he said, Go again seven times.
44 And it came to pass at the seventh time, that he said, Behold, there ariseth a little cloud out of the sea like a man’s hand. And he said, Go up, say unto Ahab Prepare thy chariot, and get thee down that the rain stop thee not.
42 So Ahab went up to eat and to drink. And Elijah went up to the top of Carmel; and he cast himself down upon the earth, and put his face between his knees,
43 And said to his servant, Go up now, look toward the sea. And he went up, and looked, and said, There is nothing. And he said, Go again seven times.
44 And it came to pass at the seventh time, that he said, Behold, there ariseth a little cloud out of the sea, like a man’s hand. And he said, Go up, say unto Ahab, Prepare thy chariot, and get thee down that the rain stop thee not.
45 And it came to pass in the mean while, that the heaven was black with clouds and wind, and there was a great rain. And Ahab rode, and went to Jezreel.
46 And the hand of the Lord was on Elijah; and he girded up his loins, and ran before Ahab to the entrance of Jezreel.
41 Then Elijah said to Ahab, “Go get something to eat and drink, for I hear a mighty rainstorm coming!”
Ikumbukwe mvua haijanyesha miaka mi 3 na Elia mwenyewe alifunga mbingu kwa mikwara mizito na funguo akaziweka kwapani kwake kudadadeki. Na akajiapiza mvua haitanyesha isipokuwa kwa neno lake. Mtajua hamjui! Mna niletea jeuri na upagani? Hata umande tu hampati!
1 Kings 17:1
And Elijah the Tishbite, who was of the inhabitants of Gilead, said unto Ahab, “As the Lord God of Israel liveth, before whom I stand, there shall not be dew nor rain these years, except according to my word.”
Njaa ikawa kali kweli kweli mpaka Elia mwenyewe kidogo afe na njaa lakini neno la kufungua mvua hatoli. Si walijifanya wapagani? Elia alikuwa tayari kufa njaa ila sio kuona upagani umejitanua. Kuweni wapagani ila njaa inawaua vile vile. Neno sitoli ngo.
Zingatia kufunga mvua haikumchukua hata dakika 3. Kifuli likawa kifuli kweli kweli. Miaka 3 hata umande hakuna.
Kufungua mvua aliyo ifunga yeye mwenyewe cheki show! Deliverance yake haikuwa ya kitoto.
And Elijah went up to the top of Carmel; and he cast himself down upon the earth, and put his face between his knees.
Alijipinda kama vile watoto wanavyo bongoa wanakuwa wanakuchungulia kwa kupitisha kichwa magotini ndo Elia alikaa pozi hilo akiomba na huku mbingu anazichungulia. Na hakukaa hivyo dakika 5 au 10 au lisaaa! Oraa.
Mtumishi wake alipanda na kushuka mlima Carmel mara 7 anaenda kuchungulia wingu. Hili zoezi kwa ukubwa wa mlima Carmel there is no way hili zoezi lilikuwa chini ya masaa 6. Wenyewe mnajua kupanda mlima na kushuka inachukua muda gani afu zidisha kwa 7 afu zingatia muda wote huo Elia kabongoa anazichungulia mbingu.
45 And it came to pass in the mean while, that the heaven was black with clouds and wind, and there was a great rain. And Ahab rode, and went to Jezreel.
Ikumbukwe Ahab alikuwa mfalme anaendeshwa na finest horses ambao ni farasi wa mfalme wale wanaokimbia kuliko chochote. Speed yao could not be matched with anything. Na Elia anampa Ahab head start kwamba atangulie tu sio kesi.
46 And the hand of the Lord was on Elijah; and he girded up his loins, and ran before Ahab to the entrance of Jezreel.
Mkono wa Mungu ulikuwa na Elia, akapiga mbio kwa mguu na akamuwahi Ahab kuingia Jezreel! Yani Ahab alimwacha Elia mlimani, aka mkuta Jezreel kashafika. Divine speed.
Zingatia Elia hakupokea divine speed akiwa mlimani ana sali au vipi. Alipokea divine speed akiwa anaelekea Jezreel. Alikuwa in motion going to a destination ambayo ni Jezreel. Speed = distance/time.
Wana science wameshindwa kuelewa Elia alitumia aero dynamics za aina gani mpaka kesho. Kwa mguu kuwashinda farasi wa mfalme kweli?
Na ndo hivyo hivyo waja hatutaelewa imekuwaje kuwaje wewe ambaye huna kazi muda mrefu una kazi afu nzuri afu ghafla ghafla. Imekuwaje kuwaje umetutangulia Jezreel while we had a head start. Imekuwajeee kuwajeee kila mtu hatoelewa kama ambavyo mpaka kesho hatuelewi Elia alifika Jezreel kwa aero dynamics gani?
Elia alijua tu anatak iwa kufika Jezreel! Baaas! Mengine alimwachia Mungu.
Wewe jua unatak iwa kufika kazini baaas. Mengine muachie Mungu. Yeye ndo anajua utafika vipi na uta catch up vipi na walio kutangulia.
Amos 9:13
“Yes indeed, it won’t be long now… things are going to happen so fast your head will swim.”
Haitakuwa kitambo kabla ya wewe kwenda kazini. Mambo yatatokea kwa hata mpaka vichwa vita waumaa imewezekana vipi?
Ecclesiastes 9:11
“…the race is not always to the swift or the battle to the strong…”
Isaiah 40:31
“…but those who hope in the Lord will renew their strength…”
Kama Mungu aishivyo atakupa divine speed hilo eneo la career na utafanya makubwa ndani ya muda mchache sanaa.
Leo exercise your faith kama umenyosha ibada siku zote 5.
Zungumza na Mungu kuhusu divine speed juu ya career yako. Nimesema zungumza sijasema beg in your knees sababu favor haiombwi.
Exodus 33:19
“I will show favor to whom I will show favor…”
Zungumza na Mungu the destination you want to be, zungumza na Mungu kama wanga wasinge mix unge tamani kuwa wapi. What you think are your real potentials.
Isaiah 41:21
Produce your cause, saith the Lord; bring forth your strong reasons…
Sasa hapa wengi mnaenda chaka kwa kuanza kutangaza shida na mateso mlio pitia. Tabu mlizokula. Sio mahala pake wala sio strong reasons kwa Mungu labda kwa shetani.
Mungu anataka u display knowledge ya neno lake na level ambayo umemtafuta na kumjua. Uoneshe bidii ya kumtafuta kama alivyosema “mkin itafuta kwa bidii mtaona uso wangu”.
Ndo maana niliwaambia kuvuka deliverance kwa kubumba hujui kitu sio kweli. Ndo maana wengi miaka hata 10 no progress. Mnaegesha mambo.
Tunarudi kwenye content zetu za siku 7! Nini ulicho jifunza kuhusu Mungu ambacho wakati unaanza program ulikuwa hukijui ambacho ni strong enough.
Kama huja baluzaa vingi sana hii ngori unatoboa asubuhi. Nakutajia vichache tu.
1 You are daughter of Abraham and under Abrahamic covenant with God hutakiwi kuishi kama huna baba.
2 Upo under the blood of Jesus covenant hence received forgiveness of sins and redemption hence you are made righteous in His eyes.
3 You are no longer under the law of sins and death but under the law of Jesus Christ that gives life huwezi kuendelea kuteseka.
4 Him that is in you is greater than one who is on the world so how come the one in the world akufunge? Ana pata wapi hiyo power?
5 You erected altar of righteous which receive power from the throne of grace.
6 You pulled down evil altars and silenced their instructions on your career by the blood of Jesus, power of the will.
7 You invoked the blood of Jesus to say better things about your career.
8 Life and death are in your will and you chose life.
9 Roho itakayotenda uovu ndo itakufa na roho itakayotenda mema itaishi, mtoto hutalipia uovu wa baba zako.
Leo ndo ujipime katika “utai jua kweli navo kweli itakuweka huru” so far kweli kiasi gani umeijua mpaka sasa?
Produce your cause peleka ushahidi wa kweli yako unayo ijua mbele za Mungu acha ubabaifu. Kama umejichanganya ma file desa unalo limeshibaaa. Sina deni kwako kwenye eneo la relevance of materials taught. Nimekupa skeleton lenyewe ushindwe wewe tu.
Rudia kusoma day 1 mpaka 5 lazima kuna kweli 2,3 utaondoka nazo.
Nachukia jitu lina mlaumu Mungu wee issue zake za deliverance hazina matokeo wakati kichwani hamna kitu hamna pamoja na kukaa kanisani miaka 20 lakini hamna hata kweli moja ndani yake.
Kwa hizi kweli nilizo kupa hizi siku 5 tu unaweza kuwa unstoppable kama ukiziingiza kichwani vizuri.
Isaiah 41:21–43:13
Produce your cause…
Ukiwa fit hapa kwenye kweli za kutosha utauona mkono wa Mungu kwenye maisha yako pale kwa Elia hatujaona kitu.
Isaiah 43:26
Put me in remembrance… declare thou…
Put me in remembrance manake of His word sio shida, majanga na matatizo yako kede kede. Hell no.
Mungu anataka umkumbushe ahadi zake kama unazijua? Nini alisema? Wapi? Kama huzijui mchezo umeisha. Lucky for you nimekuspoon feed hili this entire program kazi kwako kumaliza. I did my part na desa full unalo. Naijua hii ndo maana ni kawa full detailed and well referenced. Komaa kusoma desa uelewe.
Isaiah 43:26
Unikumbushe, na tuhojiane; eleza mambo yako, upate kupewa haki yako.
Muhoji Mungu kwa maandiko kwanini yanasema hivi na maisha yangu vice versa is true? Sio umuhoji acapella bangi zako zinavyo kutuma. Ndo maana nasisitiza bila kujua ukweli hamna kitu utapata wala kufanya na kosa sio la Mungu ni your ignorance na kujiendeleza.
Kupewa haki yako sio shida za Mungu kabisa issue ni hoja kwanza na umkumbushe which you can only do kama unajua maandiko, unaijua kweli. Kama hujui umeshindwa wewe sio Mungu. Huwezi kubaluza deliverance.
Kama umefanya program siku 5 na leo ya 6 huwezi kushindwa kuhoji. Huwezi kushindwa kumkumbusha Mungu. Na haki yako lazima utapewa.
Leo kazi moja tu hii.
Exodus 33:19
The Lord answered: I will make all my goodness pass before you…
Uki mshawishi Mungu kwa kweli ya uhakika sio ya mchongo na kubumba bumba limeishaaa hili. Nangoja 10% yangu tu na malimbuko. Kazi sio nyepesi hii.
