Ephesians 6:10
10 finally, be strong in the lord and in his mighty power.
Wengi mnajaribu kuwa strong on your own alafu kikisha waramba you blame God!, Why my lord najitahidi kuwa strong lakini it is getting worse!?. Sasa Strong in who exactly? In yourself definately it is disastrous, Najua tu ipo siku! Ipi? Siku zote ni alizozifanya bwana unatakiwa ufurahi.
Nakomaaa bila kazi mwaka wa kumi (10), Kifuatacho ni kufika umri wa kustaafu, Mungu hajakwambia ukomae, Kakwambia umtafute kwa bidii kukomaa na kuzoea mateso ni choice yako binafsi!
Mtumishi I’m so strong I’m 45 na bado namuamini Mungu kwa ndoa!, How strong? Navumilia macheko na dharau! Nani kakwambia uvumilie na uwe that type of strong sis? Nabii Elisha alichekwa akawaitia very jana dubu/ bear.Scriprures were crystal clear be strong in the Lord and his mighty powers, full stop! Not in your delulu and personal imagination. Most of you are strong in yourself and weak, absolutely fragile in the Lord.
Kitu kidogo Mungu alicho agiza ufanye hufanyi alafu unaenda kufanya vitu 100 ambavyo Mungu hajakuagiza ufanye, Yaani ni mkorogeko. Tunarudi pale pale hamsomi maandiko hence hamjui mungu ameagiza nini alafu mna amini na kufanya mambo ambayo hayaja andi kwa inakuwa tafrani.
How can one be strong in the lord? Kwa kufanya yale Mungu aliyo-agiza yafanywe kiasi kwamba akisema akukague anakukuta full umejipanga na umepangikaaa!
Mfano mtu anafanya kazi ya 300k, Zaka halipi sh kumi ana mrusha mungu hio 30k, Ibada hafanyi hata week 4, Sadaka nyingine za ibada kama ukombozi, mbegu, utakaso hafanyi, sina hela ndio kauli yake! Sadaka ya kumfanyia mungu ibada navo pia hamna kitu, Lakini ana amini ipo siku atapata kazi ya million 2, Humwambii kitu! He is strong kuvumilia shida ila absolutely not strong in the lord.
Your strength in the lord inapimwa na nguzo ngapi za imani una timiza, Walokole wana uchumi mgumu sababu nguzo za ibada wanatimiza vizuri sanaa ila nguzo za sadaka na matoleo ambazo ndizo keys za uchumi wana ignore, Hence wanabarikiwa maeneo mengine kama mahusiano, uzao, afya ila uchumi wana isoma namba kama watu wengine ambao sio walokole, Unakuta mtu mchungaji na uchumi wake mgumu kama jiwe.
Mtu huna kazi sababu you are weak in God, Unless ujifunge mkanda na kuwa strong in god and his mighty powers hamna kita kachobadilika lakini wewe jiwe lililokataliwa na waashi ukaamua kwa dhati yako,
1. kusoma maandiko hasa ya injili zote 4, Utajua ukweli na ukweli utakupa nguvu za kiroho! 80% ya deliverance ipo.
Kwenye Gospel, Kwa kujua tu wewe ni nani katika kristo na kujua finished work of christ hutakuwa mwepesi tena. Mtu mwenye uhusiano na kristo masiah sio mtu mnyonge na mwepesi, Ukiita tu Bwana Yesu! Kazi Imeisha. The devil will no longer walk all over you. You have a pal now! His nemesis lakini kwa ubabai wako ukifanya ibada siku mbili (2) shetani anasema screw you, Week ndefu umerudi kwake your papa! Upwiru kidogo tu kazi imeisha
2. Kulipa zaka, kuna confidence inakuja kwa kuto kuwa jizi nyumbani kwa bwana, Unaweza hata kuhoji utendaji wa mbingu! Unaweza ku-demand explanation, Unaweza kuzi challange mbingu ziji thibitishe simply because you did your part, Na hizi ndo ibada za kujilipua nazo waendeshea watu, Sio ibada za kinyonge sasa kama zaka hujalipa huwezi kunizima data na uki jichetua unaweza kuvuna laaana. Jizi la nyumbani kwa bwana afu una sema nini? Zaka usitoe alafu uzipelekeshe mbingu? Thubutu yako.
3. kufanya ibada na kuzi sindikiza na sadaka; Ukisoma maandiko ya kale na mapya utagundua ibada zao hazijawahi kuwa kavuuu, Lazima wateketeze sadaka! Na ukubwa wa ibada uliendana na ukubwa wa sadaka! Kama suleiman alikuwa hawazi mara 2 ana teketeza haswaaa! Watu wengi walio barikiwa sana na mungu ukifatilia Ibrahim, Isaka na Yakobo hawakuwa wachoyo kwa Mungu wao, Kitu kidogo tu wamechinja na kuteketeza.
Wageni wetoka mbinguni, amechinjwa kondoo kwa Gideon, People spent on God seriously Lakini sahivi watu ni wanyimwanyi kwa watumishi hakuna mfano, Hence watumishi wanaishi kwa kukwepa majukumu yaooo kweli kweli. Kuna mtu anafungua Ofisi ya almost 200m, Akamfata mchungaji maarufu tu, Akamuomba aje afungue, Mind you sio kondoo wake, sio usharika huo alimfata from no where, Akapewa cha mbavuuu.
Mwenzie juzi anaweka wakfu eneo tu anajenga ofisi mtumishi kaja na joho kabisaa rasmi, Na amekaaaa masaa ya kutosha, Na huyu pia sio msharika wake vile-vile, Isipokuwa alitoa offering inasemekna more than 5 million kama shukrani maana jengo lile sio chini ya Billion moja, Ile offering ndiyo mtumishi akajitolea kuja in person kusababisha mambo ya wakfuuu na nini na kuhakikisha mungu ana simama eneo lile naNini!
Kama umesoma maandiko huwezi kutaka mtumishi aje aendeshe ibada kavu! It is un ethical and an insult ! Mtumishi anaona kabisaa wewe hujui ulitendalo na society being so judgy anaona its no use kuanza kukuelekeza kitabu cha mwanzo tu hujasoma mpaka mfike walawi na waamuzi sio leo! Anakupiga siasa tu nitakuwa sipooo siku hio!
Mimi mwanzoni sikuamini kama mungu kawaruhusu kula kiasi hiko nikasema no way ngoja nisome mwenyewe nijiridhishe kitabu cha walawi ! Mbona nilifunga na kukimbiaaaa ! Nikasema kumbe these people are being very generous!
Being strong in the lord ni kufata yale mambo alio agiza hata kama ni magumuuu! Hata kama jamiii ina yapuuzia wewe fatishaaa maandioo
Yanavotaka!
3. jifunze kwa watumishi na fanya nao partnershi ps za kukupeleka mbele, Ukisoma kitabu cha Walawi kitakupa mwanga kwanini Mungu anaji-inulia watumishi, These people are chosen by God to full fill God’s purposes na Mungu anawapa special abilities na anointing ya kutimiza hili, Get it straight watumishi hawapo kutimiza matakwa yako wewe bali ya Mungu, Sasa ukiwapima kwa utimizaji matakwa yako binafsi hakuna mtumishi wa kweli, Sababu ni kweli hakuna mtumishi aliye letwa kukutumikia wewe.
As long as wewe unataka kumtumikia mungu automatically ni jukumu la mtumishi kukusaidia sababu yeye ni mtumishi wa Mungu na wewe una mtafuta Mungu! Mnakuwa in one accord.
Sasa kam Mungu kaweka wa wakilishi wake na watumishi wam-represent na kawatia mafuta wewe ukawa ignore sasa hio ni personal choice yako, Wao watabakia na mafuta yao na wewe utabakia na changamoto zako. Utashangaaa tu Mungu anakujilisha kuna mtumishi huyu na yule, sasa ukijitia nunda uta-angamia kwa kukosa maarifa.
Waisrael walikuwa mabingwa wa uasi na kukataaa manabii lakini wakibanwa kwenye kona wana wakubali manabii fasta na kuwatoa chambo wakafanye upatanisho kwa Mungu.Wewe umejitia nunda ume operate bila mtumishi, Mungu wetu sote au sio, Jeshi la mtu mmoja and you are failing fattaly, Miaka inaenda hupati hata vihatua tu vya kuzuga. Bado unapambana being strong in yourself, Ulikuwa kijana sasa ni muhenga wa ma-jobless! Upo experienced kwenye eneo la kukosa ajira, Na bado unakomaaa, Bongo hamnaaa mtumishi wa Mungu, Bado hujaonaaa! basi sawa mwaya, Ipo siku labda ukiwa na miaka 58.
4. Ibada iwe sehemu ya maisha yako ya kila siku; Ibada za zima moto hazinaga matokeo, Sababu ukisoma maandiko watu waliofanya mambo makubwa ni watu ambao ibada ni sehemu ya maisha yao, Sio wageni wa mbingu ? Ni watu wanao enda mbele za bwana 3 times a day. Atleast once a day! Siku isiishe huja sign-in mbinguni. Ndiyo maana mida ya msala mbingu zipo karibuuu sana, Just few hrs back umetoka huko, sasa Mungu unae ongea nae kila siku hatakusi kia kivipi? Wakati just yesterday mme sikilizana?
Ni kama this week nimewakatalia watu wengi tu kuwafanyia ibada za kulipuaaa lipua, From no where twende tuka pamabanie kombe mbele za bwana, It is a weak strategy! Very weak.
Lakini kuna watu wapo kwenye mfumo wa ibada tangu mwaka jana, Wameweka malengo kabisa ya mwaka Mungu awape kazi nzuri, Wanalipa zaka na wanaendelea na deliverance, Kufikia hilo lengo! Wamepanda mbegu, Wame ni recruit kama mtumishi wao, Tufikie hili lengo.
Kazi imetangazwa tayari wapo ndani ya mfumo wa ibada, Mungu ana watambua sababu kila mwezi wana jenga ufalme wake, madhabau ina watambua, hata Shetani ana watambua kwamba wapo too invested kwenye mfumo wa mbingu. Hapa dini ndo inakuwa nyepesi, Ni kufanya tu maombi yao yawe halisi, Absolutely nothing can go wrong!
Hata wangesema I am fired from representing them nisingekubali naanzaje ? Too late! Thubutuuuu! Na mkristo kama huyu ambae yupo kwenye mfumo wa ibada ndo ana gombaniwa na kila mtumishi, Easy and secured wins!
Badilisha strategy jinsi unavyo operate maisha yako acha kuwa strong in yourself invest in being strong in the Lord! Yale yanayo sababisha unakuwa mbali na mungu achana nayo, Wekeza kwenye kujenga mahusiano thabiti na mungu siku hadi siku, Acha ubabaifu timiza nguzo za imani kama maandiko yanavyotaka, Sio unashupalia Neno la mungu mdomoni tu alafu mfukoni aaaaaah!
Pastor Joshu anasisitiza kila siku alianza kuwa mkubwaaa sana kwenye huduma baada ya kuflkia level ambayo ”There is nothing in his life he can’t give God”, The pastor is 46 na bado hajao sababu ya tight schedule ya huduma sio kama baba tifa haja-oa ila ana watoto wanne (4), Yeye hana mtoto! Kazi kazi kueneza injili.
Sasa wewe udugu wangu kumpa mungu 30k you have to insult the servant of God kweli? And you wonder what God doesnt see in you? Everything. Mungu kaweka kabisa ina scripture records “lipa zaka kamili uone kama sijakubariki na kukufungulia madirisha ya mbinguni”
Sitaki kuona chochote na zaka silipi vile-vile, Kama vipi anza kwanza kunibariki labda ndo nitalipa hio zaka, God have mercy upon you. Watu wa hivi wakisema mtumishi niongoze, Absolutely no mam! Ndiyo unanikataaa ? Sikukatai ila naukataaa huo ubabaifu wako! Just do you dear and we will see how far will it take you! Tena mtu anakuwa mkalikweli kweliukigoma kuwa part of their circus, No mum!
Mtumishi mimi naombea kazi kwa miaka 10, Kwa andiko gani amabalo umetembea nalo miaka 10 na limegoma katu katu kuwa halisi? Sina andiko mtumishi naomba tu! Hapo hata alicho kiomba jana hakumbuki, Kuna mtu aliniambia hili jambo nimelitolea sana sadaka limegoma, Nika muuliza sh ngapi umetoa mpaka sasa! I dont keep record, Hivi kweli utoe sadaka kubwa usizikumbuke?Thubutuuu! Hapo alikaanisha zile TZS 5,000/= na TZS 2000 za kila jumapili, Wengi wetu ibada za kuegesha egesha na kimchongo mchongo uzugaji mtupu.