DELIVERANCE PRINCIPLES

1. MUNGU ANAWEZA KUKUVUSHA HAPO

Issue ikikusumbua muda mrefu kuna hali ya kukata tamaa na kuona kwamba imeshindikana! Sometimes tunafika mbali mpaka kuamua kuweka mfumo wa kuishi na shida zetu, ile kwamba zishakuwa familia—haziondoki leo wala kesho!

Wanadamu wanasema, “Ujikubali na kukubali mapungufu yako na kuishi nayo.”
Unakubali inawezekana kabisa ukazee peke yako! Inawezekana ukafa mgumba! Inawezekana ukafa hujaona mlango wa ofisi. Inawezekana ukafa mdogo usizeeke maana ndo ilivyo kwenu! Your parents died young, your siblings are already dying young! IT IS WHAT IT IS!

Sasa nakwambia leo—this is totally pagan bullshit and nonsense. Mungu hajawahi kushindwa kitu! Na mifumo yote ya kuishi maisha ya ushindi Yesu amesha iweka kitambo, hence “the finished works of Christ.” Shetani alishashindwa zamani isanaaaa. Ni kurudia tu kumpiga kipigo kilekile—tofauti ni zama tu.

Ubabaifu wako usimuingize Mungu na kuona Mungu kashindwa! Wewe ndo unam-limit Mungu na kumstawisha shetani! Kuvuka unataka, lakini you don’t equip yourself with spiritual war arsenal. Kwenye vita vya nuclear unaenda na kifua cha mkate—kweli kwanini usichapikeee?

Ubabaifu pro max! Mtu una miaka 39 hujasoma hata kitabu kimoja cha Injili—hata Papa Leo XVI akikufanyia deliverance ni uongo! You are a pagan as pagan can ever get.

DELIVERANCE NA UJINGA WA KIROHO

Mpagan anataka kuvuka maeneo kiroho akiwa mpagan vilevile—is total bullshit! It can never happen! It is a scam.

Mungu anaweza kukuvusha, ila mpaka pale utakapo kuwa believer na actually believe the scripture—which you will have to read first.

Kwenye Scripture ndo kuna principles za kiroho.
Sasa hakuna kitu kinakata kama kulifundisha principles za kiroho jitu ambalo halijasoma maandiko. Wewe mwalimu unakuwa kama mwana sesere au clown!

Mimi sijui maandiko ila nifundishe tu hivyo hivyo!ndo mwanzo wa kujifunza uchawi.
Una uhakika gani kama vimeandikwa hivyo? What if naongeza au napunguza ku-tailor motives zangu?

Kujua principles za kiroho bila foundation ya imani ni mwanzo wa ku-practice Scientology! Kuna Church of Jesus Christ, na kuna Church of Scientology—ambapo watu kama Tom Cruise wanaabudu.

DELIVERANCE KWA MISINGI YA YESU KRISTO

Deliverance as per the Church of Jesus Christ—base yake ni finished works of Christ. Kufungua vifungo, kuondoa vizuizi. Base ya deliverance ni upendo wa Mungu kwa ulimwengu na kumtuma Mwanae wa pekee kufa ili watu wawe huru.

Hii base ndo unatakiwa usome maandiko—hasa zile Injili 4—ili uwe na misingi imara ya imani yako na safari yako ya kufunguliwa.

Sasa wewe hii base huna, na kusoma maandiko hutaki, na mahusiano na Bwana Yesu hujengi—ila unataka utumie doctrines na principles za kiroho komchongo mchongo ufunguliwe? Sio kweli.

UBABAIFU WA KIROHO

Mimi kila siku nakutana na neo-pagans wanajilalamisha:
“Naombea hili suala miaka 10.”
Kwa maandiko gani? “Sina andiko specific.”

Unauliza—umemaliza Injili ngapi kwa hiyo miaka yote? Hakunaaaaa! Vipande vipande tu.

Deliverance ya tatu hii—na Injili hata moja hujamaliza! Hata ya Luke ina 23 chapters, ukifika chapter 12 unaishia.

Watu wanajiongelea wenyewe miaka inaenda—hamna matokeo. Matokeo gani? Kwa imani ipi? Input nani aliweka huko ulimwengu wa roho? Mpaka shetani mwenyewe anatusonya kimyakimya—anaona pwagu na pwaguzi.

MISINGI YA DELIVERANCE

Mungu anataka kukufungua hata usiku huu! Lakini huyu huyu Mungu amejifunua kwenye maandiko ambayo wewe husomi dear.

Kwa Mungu kuthibitisha kitu lazima principles za kiroho zikamilishwe. Kama hakuna mtu anaye-place demand ulimwengu wa roho—hakuna delivery itakayokuja.

Wengi mna-changanya kujilalamisha, whining, na umatonya kama ibada. “Mungu nipe hiki, fanya kile…” — hii sio ibada. Ni vanity upon vanity and personal ambitions.

Ndo maana unakesha ukilalamika, kesho unachapwa upyaaaa! Kipigo cha kesho kinakuwa kibaya kuliko cha jana—kwa sababu unaendeleza ubabaifu ule ule!

AGANO NA VIZUIZI

Watu wengi walifanya deliverance lakini maagano bado active! Agano la kwamba kwenu msi olewe lipo pale pale.

Hutaki agano likufunge? Vunja agano!
Miezi 6, maandiko yapo! Kila siku nenda mbele za Mungu, place demand kwamba “agano hili silitaki—na kupitia finished works of Christ nalivunjAAAA mchana kweupeeee!”

Week ya kwanza hutaona kitu, hata mwezi, hata miezi miwili. Ukishikilia hapo hapo—eventually agano linaanza kuisha nguvu na kuvunjika. Unaona patterns zinaisha, watu serious wanakuja, wanaulizia posa, mwisho mtu anavaa shela.

Lakini wewe huplace demand, unaendeleza uvivu na ubabaifu pro max. Kati yako na Mungu—nani anam-limit mwenzie?

MUNGU HAJAWAHI KUSHINDWA

Mungu akitaka kumfungua mtu hakuna kitakacho zuia.
Sio situation, sio muda imekuwepo, sio doctors’ opinions, sio science, sio biology.

Luke 19:40
“If they keep quiet, the stones will cry out.”

Yesu akaonesha—Mungu habanwi na kitu. Walitaka kuwanyamazisha watu, Yesu akasema hata mawe yanaweza kuimba.

Ndo uelewe—kile kinakokusumbua kwa Mungu ni kitu kidogo sanAAA!

UHUSIANO NA MUNGU

Ili Mungu apite kwa ukubwa kwenye mambo yako—lazima kuwe na uhusiano thabiti kati yako na Yeye.
Lazima uwe believer mwenye adabu ya kusoma maandiko bila kushurutishwa.
Uwe na delight ya kusoma maandiko.

Uwe na ibada za kumsifu Mungu frequently—kama utamaduni, sio tu unataka kitu kwa siku hiyo.

Kwa mtu wa caliber hii—deliverance inakuwa chap, haraka sana.

KUJUA NJIA ZA MUNGU

Acquire new knowledge every now and then!
Shida ya wengi—mnajua kidogo kuhusu Yesu, kidogo kuhusu shetani, kidogo kuhusu malaika, kidogo kuhusu Roho Mtakatifu.

Ni kama mtu kwenda chuo—unasoma kidogo engineering, kidogo IT, kidogo accounts, kidogo sheria… mwisho unajua vitu vingi juu juu ila hamna unachokijua kiundani!

Kama kuna eneo umekwama—acha kwenda nalo juu juu. Weka kambi, chimba maandiko, zama kwenye doctrines mpaka uvuke.

Bottom line: Mungu hajawahi kushindwa, na hataanza kushindwa kwako. Ushindi upo kwenye kujenga uhusiano wa kweli na Yeye, kusoma maandiko, na kuishi kwa misingi ya finished works of Christ.

2. BE INTENTIONAL AND EXPECTANT WITH YOUR DELIVERANCE

The thing about deliverance ni kwamba shetani hana nia ya kukuachia isipokuwa ushindi wako unabidi uchukue kwa nguvu. Na nguvu kubwa inabidiii kweli kweli.

Hii nguvu kubwa tunayoongelea hapa lazima itoke kwa Mungu na kufanya maangamizi haswaaa! Na kuitoa kwa Mungu kunataka utaalamu hasa, mafuta hasaaa, na kujizatiti kweli kweli sababu the devil always fights back!

Mimi nina mfungo wa siku 14, najifua tuuu.

Tatizo la Watu Wengi

Sasa ujinga wa watu wengi ni sio intentional na deliverance! Wanataka tu kujaribu na kuona kweli kweli? Wanataka experience!
Wanafanya for fun! Wachache ndo wapo kimkakati kwamba lazimaaa nivukeee – afe kipa, afe beklllll!

Mtu ameamua kwa dhati deliverance ni moja tu – I’m giving it my all!
Ikitoa panchaaa!

Dalili za Mtu Aliye Intentional

Mtu ambaye ni intentional na kufunguliwa kwake:

  1. Kwanza maandiko niliyo sema asome kasomaaa!
    Hata kama hajaelewa ila kusoma kasoma – Mungu shahidi.

  2. Kafunga siku japo 7 kabla anajua akikutana na mimi, mtumishi wa Bwana, it can never be the same!
    It just can’t!

  3. Anacho ngoja kwangu ni maandiko tu – imani anakuja nayo yeye.
    Nikisema “Rukaaaa!” anauliza, “Kushoto au kulia mama?”

Swala la qualifications zangu nitajua mwenyewe na Mungu. As long as nimemjia kwa jina la Bwana – imeishaaa!

Kwa Nini Inashindikana kwa Wengine

  • If you are intentional, you unlearn everything before your appointment!

  • You listen!

  • You learn!

  • You implement!

Kama upo kwenye memkwa! – and this is how you grow and unlock breakthrough!

Haya mambo sio magumu, ugumu mna kuja nao nyie.

Uvivu wa Kiroho

Jitu kama sio intentional:

  • Linakuja halijasoma hata kitabu kimoja cha injili na wala haoni tatizo!

  • Hata baada ya hapo hasomiii!

Picha inaanza – anakuja na theory zake anataka mjadili ambazo kame acquire kwa kuambiwa na watumishi kama 10! Anaziweka mezani, anakupima imaniii sasa aone kama yaliyo yamo!

Mimi napenda ubishiii – ilaaaaa nibishane na mtu mwenye hoja na facts na ajue anacho kibishaaa na awe na solid reference! Sio mtu flani kasema mimi na tatizo hili!

Sasa si ndo mngemalizia kulitatuwa? UPUUUZI MTUPU.

Usinipeleshe nieleweshe taratibu! Bwana weeeee. Kama unaona kujifunza ni kupelekeshwa, jaribu ujinga kipenzi. Kaa hivo hivo.

Intention Inaonekana Mapema

In short – intention ya mtu unaiona mapemaaa!

Mfano:

  • Mtu umempa mkeka mwaka jana August mpaka safari hii – mwaka na miezi kadhaa bado hajapata muda wa kupitia! Upuuziiii!

  • Mtu kama hana intentions, pamoja na kumpa page 10 tu za kusoma kwa siku kutatua issue zake – hasomiii walau hata once a week! Hakunaaa!

Siku ukimpa – anatupa hukooo mpaka appointment ingine.

Mimi nakwambia hata shetani mwenyewe anatuona wapuuzi wakubwa. Nyie ndo wa kung’oa mimi? Thubutuuu! Mka jipange upyaaaa!

Mtu Aliye Intentional Anajulikana

  • Anakuwambia, “Mama nimewasha moto wa petrol huku!”

  • Anaabudu lisaaa lizimaaa ndo anadondoka na mkeka – nao ni saa zimaaa!

  • Anaomba mpaka anashukiwa Roho Mtakatifu – juzi juzi alikuwa mpaga OG!

Ukimuongoza unasema, “Sikia umeshukiwa na Roho Mtakatifu” – ndo anapata ufahamu sasa.

Ulegevu vs. Moto

Ukiwa intentional you will not be a weakling na kuendeshwa na upwiruuuuu!

  • Kuna ex anaondokaga na kurudi maishani mwako kama chooni kwake na wewe unacheka cheka tu kama jingaaa.

  • Kila akiondoka anakunyea mdomoni mara ya 17 na unamia kuliko mwanzo.

Lakini intentional mtu – siku 2 ya 3 anawasha moto, ex akirudi anapigwa block moja takatifu!

Expectation

Be expectant – like expect results and nothing short of real tangible results!

Wengi hamna jeuri ya ku-expect real results sababu hamkuwa intentional na ibada zenu.

  • Mna baluzaaa baluzaaa.

  • Mnaendeleza ubabaifu.

Ndo maana jeuri ya kumuitisha Mungu haki hamnaaa – maana mnajua mnayofanya na mna uhakika haki haipo upande wenuuu.

Wenye Kisingizio

Kuna mtu nilimpa mkeka – nikawa na uhakika kabisaaaa haja utumia.

  • Ana lalamika uso mkavuuu haoni matokeo.

  • Nikamwambia, “Kama una uhakika tufunge siku 7 nimuitishe Mungu truce.”

Aka gomaaa! Hainaaa hajaaaa!

Mimi naacha tu! Thubutuuu!

Kama kweli umenyooosha ibada na matokeo hakuna – hutapepesa kope to call truce from God kusikia kwanini ibada yako imekuwa ya kumpigia mbuzi gitaa?

Kuna nini? Je Mungu ni muongo kwenye maandiko yake?

Kitu Cha Ajabu

Ipo hata mtu anafunga siku 40, anasali miezi hata 20 – hana expectation yoyote!

Mna jaribu vitu!
Mna test vitu!

Shida ya kujaribu mambo ni kwamba you don’t give it your all!

Expectation = Resilience

Expectation itakusaidia kukaa kwenye mstariii!

  • Kama una expect kupata mume na umemuamini Mungu juu ya hilo – hata ex wako afanye nini au aseme nini, haitaathiri ibada zako.

  • Kama una expect kupanda cheo na kukaa cheo cha boss wako – mikwara yake haitakutetemesha maana unajua siku zake zimehesabikaa.

Expectation ndo itakupa resilience inayotakiwa ku-survive vita mda mrefuuu.

Neno la Maandiko

Proverbs 23:18

There is surely a future hope for you and your expectations will not be cut off.

Jinsi unavo expect hiko kitu ndo jinsi unavo kiumba kwenye ulimwengu wa rohooo.

Na kama huna expectations zozote – hakuna kinacho fanyika ulimwengu wa roho!

Watu Waliotekwa na Kukaa Kimya

Isaiah 42:21-22

It pleased the Lord for the sake of his righteousness to make his law great and glorious.
But this is a people robbed and spoiled; they are all of them snared in holes, and they are hid in prison houses. They are for a prey, and none delivereth; for a spoil, and none saith, Restore.

Nabii Isaya alisema watu wengi wamefungwa, wamefukiwa kwenye mashimo, wameshikwa mateka, na hawafunguki – washakuwa nyara za adui.

Cha kushangaza kati ya hawa watu hakunaaaaaaa anaye sema “REJESHAAA”!

Kwa hiyo kwamba wewe umefungwa, umetekwa nyarAAAA, umefukiwa shimoni, upo gerezani kiroho, umegeuzwa mawindo na bado shingo umeshupazaaaaa – mbona fresh tuuu! BaridAAAA!

Nabii Isaya asha wavagaaa watu kama wewe!

Mpaka anashangaaa Mungu anataka kuwaokoa – wakazi gani watu nundaaa kama wale na jeuri kweli kweli???

“NONE SAITH RESTORE.”

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top