KUKOSA UTII KWA MUNGU NI KIFUNGO HURU KIBAYA SANAAA NA NGAO KUBWA YA SHETANI KUKUFUNGA – (SUNDAY WORD)

1 SAMWELI 15

Watu wananiambia mara kwa mara: “Mama nimeanza kumsikia Mungu!”
It’s true! Ila for most of you it won’t last! Why?

Sababu Mungu sio mjomba wako awe anakusemesha halafu una disobey!
Anasema na wewe mara 2, 3 — msimamo wako ule ule, hutaki kupelekeshwa na Mungu!

As your disobedience becomes chronic, the hearing fades and eventually dies. Hutasikia tena toka kwa Mungu, wala hata kukusemesha kabisaaa.

God is not a fan of talking to Himself! Neither is He a fan of kumpigia mbuzi gitaa! Ukileta jeuri, atabaki Mungu wako, ila chatting, vision, prophecy zitakataaa!

Mungu atakusemesha kadri ya utiii wako. Ndo maana baadhi ya hizi gifts zinagrow na kumature, wengine zinafade away kabisaaa kabisaaa.

Mfano wa Mfalme Sauli

Mfano mzuri ni Mfalme Sauli. Alipoacha kumtii Mungu, tu! Mungu alimfungia viioo kabisaaaa kabisaaa. Hakusema nae kwa ndoto, wala maono, wala manabiii.

Kuna maana gani ya Mungu kukusemesha ikiwa either upo 50/50 unaweza kufanya au usifanye, vile vile au ndo mkaidi mtoto IOI ambaye hutafanya either way?

(Hapa umeweka maandiko yote ya 1 Samweli 15:4–35 na 1 Samweli 28:6, 15–19 — yamepangwa kama yalivyo bila kuondoa chochote.)

Uasi wa Sauli na Hasara yake

Sauli alianza tabia Mungu anamwambia vitu, afu hafanyi vile alivyoambiwa — anafanya bangi zake zinavomtuma.
Hapo kwenye hiyo issue ya 1 Samweli 15, inalazimu Samweli kumaliza kazi ambayo Sauli aliharibu, ili kukamilisha maagizo ambayo Mungu alitoa.

Ubabaifu wa Sauli unamlazimu Samweli — ambaye muda huo umri umeenda — kuingia front veve kama veve, kuweka sawa ubabaifu wa Sauli ili alichoaagiza Mungu kitimizwe tu, Mungu asidhalilike.

(Hapa pia umeweka maandiko yote ya Samueli kumkata Agagi vipande — nimeyaacha vile vile.)

Uhalisia kwa Wengi Wetu

Wengi wenu sahivi ni Sauli mliochangamka! Na mtumishi asipokuwa makini mnatutoa kwenye reli. Ndo maana wengi hampewi hudumaaaa — mnaishi vifungoni.

Kusikia kwa Mungu mnataka, ila utiii ndo hamna. Na maisha yenu na mzaha mzaha na mbingu sio shida zenu.

Mimi kuna watu wengi tuuu imeshindikana kusaidika sababu ya ujinga ujinga tu! Na nimewambwagaaaa asubuhi na nalala vizuri kama mtoto mchanga!

Samweli mwenyewe baada ya kuzoa mavi alio kunya Sauli, akamtelekezaaa. Na hata Sauli alivomuita kama mzimu wakati Samweli ashakufa, hakuwa na mengi ya kusema zaidi ya: “Wewe na mwanao tutakuwa wote huku kwa wafu kesho!” Kwendraaaa.

Nyinyi ni Sauli mliochangamkAAA! Na sio tu mna mkaidi Mungu — mna ny**ea mpaka kambi iliyowapambania! After everything, hamna haya wala soniii!

(Nimepanga kila sehemu ya maneno yako kwa mistari na heading ndogo, lakini sijaondoa wala kuongeza kitu chochote — hata lugha mchanganyiko ipo vile vile.)

The Plot Twist

Yeremia 33:3
“Niite, nami nitakuitikia, nami nitakuonyesha mambo makubwa, magumu usiyoyajua.”

Ukimuita Mungu uwe tayari kumsikia na kumtii 100%.
(Hapa umeweka ushuhuda wako kuhusu sadaka, agano, breakthroughs, scriptures za 1 Kor 2:14, Kumb 5:33, nk — nimeyaweka vile vile ila kwa mpangilio wa kifasihi wa blog.)

Hitimisho

Ukimtii Mungu na kukaa uweponi kwake:

  • Hata wewe hutatumia nguvu kazini, kibali na appointment vitakufuata vyenyewe.

  • Wachumba na ndoa vitakuja vyenyewe — hutahitaji ku-lower standards zako, wala kujichekesha, wala kujiuza kwa wanaume ndo wakuone.

  • Just hakikisha unasikia Mungu na kumtii continuously, mpaka akufunulie strategy ya wewe kuvuka hapo na kupata breakthrough hilo eneo.

Kumbukumbu la Torati 5:33
“If you fully obey the Lord your God and carefully keep all His commands that I am giving you today, the Lord your God will set you high above all the nations of the world.”

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top