THE COME BACK STRATEGY
Ukiona mtu kasimama maishani sio kwamba hapigwi vipigo vya mbwa koko au life does not happen to them β IT DOES! Sometimes more fatal than you could ever handle! Tunacho kuzidi wenzio ni kugoma kufaaa hata tupigwe vipi!
Kipigo hakitusahaulishi who we are or what we stand for! We are soldiers of Christ and we should neverrrrr be defeated! We can collect yes, lakini we will never quit or abandon the army!
Unapigwa leo mpaka watu wanasema βBAAAASSS! IMEISHAAA!β
Lakini wewe unajipa siku 2β3 za kuomboleza, ya 5 unarudi war front ready to fight for survival and take what is rightfully yours.
π Ukipigwa kipigo kimoja uka kimbia vita, manake ulicho kipambania hutakaa ukipate. Umempa shetani ushindi wa mezani.
STEP 1: TAKE RESPONSIBILITY
Ukipigwa kipigo chochote kile, as much as you yearn to blame everyone and everything except you, cha kwanza kabisaaa β jilaumu wewe!
Hata tuangalie perspective ngapi, lazima na wewe una mchango wako mkubwa uliopelekea hayo matokeo mabovu!
Hata ubadilishe factors zote, kama wewe ni yule yule na ukafanya yale yale β utapigwa tenaaaa!
Mfano: mtu anaachwa na mwanaume wa kwanza, analaumu mwanaume. Baadae body count inafika 15, 50, mpaka 100 β mwisho anakua bank ya shahawa na a wrecked heart! Hakuambulia gari, nyumba, wala kiwanja.
π Je, tatizo ni wanaume tu? Hapana! Wewe pia una asilimia zako humo.
If you wanna come back and make things right, take responsibility for your part kwenye hiko kipigo!
Kama usingekuwa so damn weak, usingepigwa kama mbwa koko!
STEP 2: APOLOGISE TO GOD
Baada ya kuchukua lawama zako, hatua inayofuata ni hii: muombe Mungu msamaha!
Kwa nini? Kwa sababu umemdhalilisha na kuzidhalilisha mbingu. Wewe ndo umeharibu, alafu unataka mbingu zikufanyie cover up? Diabolical!
π Hii inahusu ndoa, kazi, mahusiano, huduma β chochote ulichovurunda. Ulifungua ufa, ukaukua mlango, ukaufanya geti. Shetani akaingia ndani akaharibu kila kitu.
For a clean comeback β apologise to God. God is God of second chances kwa wale wanaotambua ufyoro wao.
STEP 3: BECOME STRONGER
What doesnβt kill you should make you stronger!
Hakikisha hurudi vitani ukiwa dhaifu vile vile, maana kipigo kinachofuata kitakuwa most severe.
π Tafakari na analyse: ulipwaya wapi? Nini hukufanya? Wapi hukwenda?
π Rekebisha makosa.
π Jazia ulipo pwaya.
π Acquire new knowledge and strategies.
Hosea 4:6 inasema:
βWatu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa.β
Kama unataka clean comeback β tafuta knowledge na maarifa mapya.
THE REALITY CHECK
Wengi wenu hamchukui responsibility. Mnajihurumia tu, mnajikalia ubabaifu na kujipendekeza. No accountability, no growth.
Ukiendelea hivo, hautaenda popote kwenye haya maisha β na haitakuwa kosa la Mungu wala kosa la mtu mwingine. π Just look in the mirror honey!
CONCLUSION
Kama unataka A CLEAN COMEBACK:
-
Take responsibility.
-
Apologise to God.
-
Become stronger.
Na usisahau β own your shit! Hata mwalimu wako wa kiroho akiona umeanguka, atapata moyo wa kukuinua kwa sababu umeonyesha unajua kosa lako na unataka kubadilika.
Kwa hiyo β kipigo cha mbwa koko sio mwisho. Ni mwanzo wa safari mpya ya kurekebisha, kusimama, na kurudi vitani ukiwa imara zaidi.