SUNDAY WORD – DELIVERANCE MINISTRY

Yeremia 15:21


Nami nitakuokoa kutoka kwa mkono wa watu wabaya, nami nitakukomboa kutoka kwa mkono wao wenye kutisha.

SAWA SAWA NA ANDIKO HILI – MUNGU WAKO UNAE MUABUDU NA KUMTUMIKIA ANAENDA KUKUOKOA NA MKONO WA WATU DHALIMUUU, NA ATAKUKOMBOA KUTOKA MIKONONI MWA WATU WAOVU.

MUNGU NDIE ALI AHIDI HILO KWA WATU WAKE. NA ATA KWENDA KULITIMIZA PALE TUNAPO ENDA KUANZA DELIVERANCE KESHO.

Isaya 61:3

…niwape wale wanaoomboleza katika Siyoni taji la maua badala ya majivu, mafuta ya furaha badala ya maombolezo, vazi la sifa badala ya moyo mzito. Nao wataitwa mialoni madhubuti, aliyopanda Mwenyezi-Mungu kuonesha utukufu wake.

THE QUESTION OF WHETHER OR NOT GOD IS WILLING TO DELIVER YOU FROM EVIL LIMESHA JIBIWA KWA MAANDIKO!
IMEANDIKWA KABISAA KWAMBA ANATAKA KUKUOKOA NA ATAKUOKOA!
BADALA YA MAJIVU – ATAKUVESHA TAJI!!

Zaburi 34:17-18
Waadilifu wakimlilia Mwenyezi-Mungu yeye huwasikia, na kuwaokoa katika taabu zao zote. Mwenyezi-Mungu yu karibu na waliokufa moyo; huwaokoa wote waliokata tamaa kabisa.

BABA YETU ULIE MBINGUNI, TUNAKUJA MBELE ZAKO NA HII MIZIGO TULIO BEBA – IME TUELEMEA, IME TUZEESHA NA KUTUONDOLEA NURU, INAYOTUTESA NA KUTUNYIMA RAHA SIKU ZA UJANA WETU.

SAWA SAWA NA ANDIKO HILI, TUNAOMBA UKATUSIKIE NA KUTUOKOA NA TAABU ZETU.
UKAWE KARIBU NA SISI TULIO KATA TAMAA NA KUFA MOYO.

Jeremiah 33:3
Call unto me, and I will answer thee, and shew thee great and mighty things, which thou knowest not.

BABA, SAWA SAWA NA ANDIKO HILI, TUNAENDA KUOMBA USHARIKA NA WEWE TUNAPO ANZA SAFARI YA DELIVERANCE!

TUNA KUSIHI UKATUONESHE MAMBO MAKUBWA, MAGUMU TUSIYO YAJUA – YANAYO ZUIA HATMA ZETU, BABA.
UKATUFUNULIE WAZIWAZI TUKAPATE KUYAONA NA KUYAJUA NA KUWEZA KUKABILIANA NAVYO.

IN JESUS MIGHTY NAME WE HAVE PRAYED.

Sasa andika LENGO LAKO HASA la deliverance:
Unataka KUVUKA ENEO GANI hasaaa?

Likabidhi kwa Mungu usiku wa leo.
Fanya toba kama bado.
Kesho asubuhi tuna ANZA RASMIII.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top