1.SOMA MAANDIKO!
Mpendwa the more you know the word the easier your path will be!, Maandiko sio kujua story iliendaje alafu basi ni kuweza kumsikia Mungu anazungumza nini na ku-draw day to day inspiration za ku-survive your day to day challenges (mapito).
Mimi kuna mambo mazuri ya kufurahisha nafsi yangu Mungu alinipa unabii 2021, The minute after kila kitu kikaenda south kukanusha ule unabii kabisa yaani kama nisingekuwa najua maandiko kingeniramba lakini najua maandiko ya Joseph kwani alipewa unabii mambo yakawa meusi tii, pressure! hivyo na mimi when times get worst inspired by Joseph son of Jaccob nashupaza fuvu, yaani I ignore all the shenenigns and vivid evidence kwamba ule unabii will never come to pass, na natembea kwa imani kuwa Mungu siyo mwanadamu anidanganye au mwana wa binadamu aseme atafanya atafanya kitu na asifanye!.
Mpendwa three (3) years of shupazaring fuvu is not a joke na moja ya unabii wa 2021 umetimia mwaka jana na kunipa epic win lakini kama ungeniuliza mwaka 2022 ungeona I’m Delulu is not a Solulu, on serious note myself, si imeandikwa na kuna muda narudia kusoma just incase sikusoma vizuri or I missed something.
Mpendwa itafika muda kwenye safari yako ya kiimani things will not makew sense!, people will not make sense!, The government will not make sense, us preachers will look like hypocrites tunao payuka payuka tu, The only thing that will make sense will be the scriptures na kama hujui ni kwisha kazi.
Mfano mtu huna kazi hapo ulipo, wazazi wako walio kuzaa wanaokuona mzigo wa miba yaani hubebeki unakuta una miaka thelathini (30) lakini unavizia pension zao, Inafika wakati hadi mpenzi wako anakuona mzigo yaani anakupenda sawa lakini kuendana na gharama za maisha jinsi zilivyo juu inabidi tu akupe offer ya nafasi ya mchepuko ili nafasi ya mke akae bosslady wasaidiane zigo ambalo ni wewe, you take it personally na serikali inakwambia jiajiri sasa sijui ujiajiri kwa mtaji gani?, kila mtu anakutelekeza hapo ukafie mbele, at this point only Jesus make sense.
Mathew 11:28-30
28″Come to me, all you who are weary and burdened, and I will give you rest.29 Take my yoke up on you and learn from me, for I am gentle and humble in heart, and you will find your souls.30 For my yoke is easy and my burden is light”
Unaona watu tunakomaa na dini mpaka zituue na unazubaa zubaa!, shauri yako mjini hapa. Mpendwa kama unajua maandiko mtego wea un-employment ukikufayatukia, trust me you won’t break a sweat, unajua wa kukupa pumziko na nira laini.
Wapendwa kuna mwanangu kanyooka, zaka mezani ni kila mwezi, hawaja renew mkataba, akaniambia December ile nikamwambia hiyo gratitude leta mbuzi mmoja hapa watoto wale, We laughed and joked about it, The same un-employment issue inayokufanya una- haha.
Wapendwa akaniambia mwakani sijui hata nitakuwa industry gani, tukabet laki-laki, Mimi nikasema banking, Yeye akasema FCMG, Juzi kasaini na Bank na kanipa laki yangu.
Tushavukaaa! kwenye imeandikwa au Mungu ameahidi au atampa Neeme ya kazi, Level tuliyo sisi ni kazi ni Uhakika and guaranteed, kuisha kwa mkataba mmoja ni kuanza kwa mkataba mwingine, sometimes mikataba inagongana hapo ujue ka-sign na zungu lenye ratiba kali lilikuwa na fright usiku, siku gani ya week, no body gives a damn!, Wapendwa level tulizopo siyo za kwanini apate kazi rather ni kwa nini akose kazi?, Anaanzaje? Kivipi?, Muda huo mbingu zipo wapi?, Yeye kukosa kazi inabidi maandiko mengi sana yapinduke which is impossible sababu imeandikwa neno ” Mambo yatapita lakini Neno litasimama”
Hakuna aliye zaliwa anajua maandiko, Wote at some point tulianza kusoma na tukawa consistent mpaka kesho!, Na kadri tulivyo consume neno ndiyo our path become lighter and lighter!.
Proverbs 4:18
But the path of the just is as the shining, That shineht more and more unto the perfect day.
Wewe hapo upo na bby wako na mna mipango yenu wenyewe na most of all una mpenda na una malengo naye ya kuanzisha familia ili uweze ku-focus na mambo mengine ya kimaisha lakini ghafla hutaki tena na kibaya anakuambia kabisa hujafanya chcochote na siyo wewe ni mimi ndiyo mwenye shida sikutaki lakini hapa aibu tunaona sisi wasomaji.
At this point mapenzi yenu ni uchizi hata sisi wasomaji tunafunga Novel yenu, Novel gani kama Russian Roulette mpaka wasomaji tunakuwa heart broken, kwako hai make sense kabisa sababu you didi everything mpaka praying for him and fasting, He doesn’t make sense maana mna connection na wewe siyo mjings kumpenda mtu hakupendi, chemistry ipo na he was realy nice sometimes haya mabadiliko ya ghafla vipee??, He doesn’t make sense, nothing!! yaani absolutely nothing makes sense at this point, unawaza sijui uwe sister tu wa jimbo au washirika potelea potee!, au ugawee hovyo hovyoo maana ulio watunzia hawakitaki so ukitunze sokoni kwa bei za promotion.
Ungekuwa umesoma maandiko usingepepesa kope, Mary a whole virgin alitaka kukimbiwa na Joseph kwani mwamba hakutaka drama alitaka ile ya ku-slide kimya kimya, Kuyeyukaa! yaani Mary asingepewa Courtesy ya kupewa risala kama wewe kwamba kuanzia sasa penzi stop engine! ghaflaa tu ajikute single mother!, siyo hii mikimbio haijaanza sasa ipo tangu enzi za Yosefu Selemala.
Wapendwa na Yosefu hakuwa anamkimbia bibi kwa ubaya, He just needed answers ambazo even if Mary provided still the plot would have sounded as shameless diabolical lies, unless God provided D the divine answers in A divine way there was no way out for MARIA!.
So hata BBY wako, siyo kwamba hakupendi, things got complicated yaani dark Vuduu, Magic may have been used against you!, Anachokiona juu yako na anacho oneshwa kwenye ulimwengu wa roho hata wewe ukipewa nafasi ya kujitetea like Maria no way out for you unless God provides those devine answers in a divinely manner and style.
Like God tackled and Sorted Josephs doubts to the extent akaamua kuendelea na the holy plot, kama unajua haya maandiko he can sort out doubts and reservation z a Bby wako to the extent atarudisha fito zake kuja ku-propose kama siyo yeye aliye leta story za kukuacha, kivipi sasa? na Aende wapi? na Wewe ubakie na nani?
Kurudisha kiwili wili chake atarejeshaa, It is not for discussion, Ni suala tu la when exactly kama ikibidi Mungu amtumie malaika mchana saa saba (7), Ofisini akiwa katikati ya presentation anamwambia utamuoa mwanangu au umuoi, for him to proprose atatumaa!.
Mpendwa mwanaume akikwambia yule siyo chaguo langu lakini nimemuoa na jeuri ya kumuacha sina miaka 8000 muwe mnaelewa, It is 100% Truth, na ni kweli nafasi iliyopo ni ya mchepuko tu msifosi mambo, Girl Byee!!