Wapendwa katika Ulimwengu wa roho wakristo tumegawanyika katika aina na level mbalimbali kama ifuatavyo;
1. Natural Man!
Huyu ni mtu ambaye bado hujakutana na wokovu, wala haja batizwa kwa roho. Yaani hana uelewa wowote wa mambo ya kiroho na maandiko yaliyo andikwa juu ya huyu natural man sio rafiki sana.
1 Corinthians 2:14
But the natural man receiveth not the things of the Spirit of God; for they are foolishness unto him; neither can he know them, because they are spiritually discerned.
Wapendwa Wakristo wengi mmebatizwa ubatizo wa Yohana wa maji na vile mlikuwa watoto, lakini huo ndo mwisho wenu. Wakristo maji na na wakristo wapaganino. Mtu huoni kwanini ujisumbue kwa ubatizo wa roho Mtakatifu na wokovu. Muda mnapata mwingi na ndio hakuna, It is well and good!
Picha linaanza unavyopata changamoto ya kiroho, Na unataka ku-acess spiritual relim for breakthrough, Na spiritual relim sio sebleni kwako unaingia ghafla-ghafla unavyotaka kuna laws and principles very strict ili upate access.
Wapendwa Mtume Paul alinyoosha NATURAL MAN HAPOKEI CHOCHOTE KUTOKA KWA ROHO WA MUNGU NA HATA KUJUA MAMBO YA ROHO WA MUNGU HATOJUA NG’OO SABABU KUYAJUA YANAHITAJI KUFUNULIWA ROHONI,KWANINI MAMBO YAISHIE HIVI ? NI KWASABABU NATURAL MAN KWAKE ANAONA NI UPUUZI KUJIFUNZA JUU YA ROHO WA MUNGU NA KUPATA CLEAR UNDERSTANDING JUU YA MAMBO YA KIROHO, KWA HIYO HATA AKIWA NA MIAKA 55 BORN CHRISTIAN KATUNUKIWA MPAKA MASTERS IN ELECTRICAL ENGINEERING LAKINI KUJIFUNZA MAMBO YA ULIMWENGU WA ROHO ANAONA UPUUZI MTUPU NA HAJAPOTEZA MUDA WAKE KUJIFUNZA.
WAPENDWA KIMBEMBE KINAANZA ANAPOPATA CHANGAMOTO KWENYE ULIMWENGU WA MWILI SASA, NGUVU ZA GIZA ZINA MUWEKA MTU KATI NDIPO ANAPO JARIBU KUFOULISHA KUPOKEA VITU KUTOKA ULIMWENGU WA ROHO!
PAUL SAID IT CLEARLY NATURAL MAN RECEIVETH NOT THE THINGS OF THE SPIRIT!, Not because mbingu hazitaki kumpa, Bali Mfumo wa yeye kupokea HAUWEZEKANI.
Wapendwa juzi wamekuja watu wa wawili(2), Natural Woman and Spiritual Woman, Wote wana shida ile-ile, Kuhusu wanaume kuchepuka na Ndoa zimekuwa ndoano. Wapendwa Natural Woman nikamwambia tu options zake naturally anazoweza kuzi-acess ni Forgiveness, Ajifanye mjinga mambo yanaweza kuisha yalivyo-anza Au aombe talaka, Lakini it is what it is! Mwanaume Moyo wake ume badilika. Kwanini na Kivipi is beyond knowledge yake kuweza ku grasp!, The truth is the truth.
Akataka sana-sanaaa ku-access the spirit relim for breakthrough, Issue ikaja HOW? Kama nyinyi tu HAJUI CHOCHOTE na hakuwekeza kujijenga na power and mighty of God sio kama bidhaaa useme una laki moja yako ununue kitu uokoe ghafla SIO KWELI.
2. CARNAL MAN!
Ni mtu ana idea na uelewa juu ya Neno la Mungu, na anajua kiasi chake maandiko lakini ameshindwa kushinda matamanio ya mwili wake na kuendekeza vya dunia.
1 Corinthians 3:1-3
“And I brethren, could not speak to you as to spiritual people but as to carnal, as to babes in Christ. I fed you with milk and not with solid food; for until now you were not able to receive it, and even now you are still not able; for you are still carnal. For where there are envy, strife, and divisions among you, are you not carnal and behaving like mere men?”
CARNAL MAN TOFAUTI YAKE NA NATURAL MAN NI KWAMBA HUYU CARNAL MAN ANAJUA KILA KITU SEME EITHER NI JEURI AU MDHAIFU ANASHINDWA KWENDA KAMA VILE MUNGU ANATAKA; LAKINI MAMBO YA ULIMWENGU WA ANAYAJUA VIZURI KABISA.
NDIYO MAANA MTUME PAUL ANASEMA ALIONGEA NAO KAMA WACHANGA KWENYE IMANI, IMANI WAMEPEWA ILA BADO WANA UBABAIFU MWINGI SANA KUTOKANA NA HUU UBABAI HAWEZI KUWAPA MAMBO MAZITO YA KIROHO!
Wapendwa Kumpokea Yesu hawa Carnal People wamempokea vizuri lakini bado watumwa wa mambo ya kidunia. Badooo wababaifu hatari.
Romans 8:5-10
5 For they that are after the flesh do mind the things of the flesh; but they that are after the Spirit the things of the Spirit. 6 For to be carnal your minded is death; but to be spiritual your minded is life and peace. 7 Because the carnal mind is enmity against God;for it is not subject to the law of God, neither indeed can be. 8 So then they that are in the flesh cannot please God.
NENO UNALIJUA VIZURI ILA DISOBEDIENCE IMEKUJA, HUNA CONSISTENCY NA IBADA YAKO. Wapendwa shida ya kuwa Carnaly minded unashindwa kupokea vile Mungu alivyo kukusudia. Hata kama maandiko una ya fahamu unashindwa ku ya operate upate desired results!
Matokeo yake Neno kulijua unalijua vizuri lakini kuli-operate na technical know how ya kuli-operate SIO KWELI, Unajua Yesu ana ponyaaa, na una amini, Ndugu yako ana umwa administer uponyaji juu yake sasa, Thubutu!
Unajua Kwa Mungu yote yanawezekana, Absolutely ! Lakini SWALA LA KAZI KWAKO LIMESHINDIKANA MWAKA WA SITA(6), SWALA LA UCHUMI KWAKO LIME SHINDIKANA! SWALA LA MAHUSIANO KWAKO LINAKUZOMEA HOO HOOO!.
YAANI KUJUA UNAJUA NDIO ILA TATIZO UNAJUA MAMBO NUSU-NUSU, UWEZO WA MUNGU UNA UJUA VIZURI SANA LAKINI JINSI GANI WEWE UNAWEZA KU-ACCESS NDIYO HUJUI, UMESHALIWA KICHWA INJILI UNAIJUA NA UWEZO WA YESU UNA UJUA VIZURI SANA LAKINI SPIRITUAL EQUATION YA YESU KUISHI NDANI YAKO MFANYE COLLABO ZA KUFA MTU NDO HUIJUI.
3.SPIRITUAL MAN
NI MTU AMBAYE YUPO SAVED AND TRANSFORMED, NA AME BATIZWA KWA ROHO MTAKATIFU!
1 Corinthians 2:15-16
15 But he that is spiritual judgeth all things, yet he himself is judged of no man. 16 For who hath known the mind of the Lord, that he may instruct him? but we have the mind of Christ.
WAPENDWA KUNA LEVEL NA VITU UKITAKA KUPATA KIROHO LAZIMA UKAE KWENYE MFUMO WA MUNGU KUWEZA KUKU-ACESS NA KUVIPITISHA KWAKO!, LAZIMA UELEWE WORLD OF THE FLESH NA WORLD OF THE SPIRIT NI DUNIA MBILI (2) TOFAUTI NA HAZI CHANGAMANI.
NA SPIRIT WORLD HAIWEZI KUKUVAMIA GHAFLA BILA IDHINI YAKO, LAZIMA UWE NA KIU YA USHARIKA NAO NA UFATE PROCESS ZOTE KUWEZA KUPATA ACCESS YAO .
KAMA WANASEMA HUWEZI KUMU ACCESS ROHO MTAKATIFU MPAKA UBATIZWE KWA ROHO, KAMA HIYO NI PRINCIPLE NI KUITEKELEZA TU NO WAY OUT!, OTHERWISE UTABAKIA UNASIKI TU KUHUSU UBATIZO WA ROHO KWA WATU WENGINE.
LAZIMA UWE INTERESTED MATTER IF FACT VERY INTERESTED NA UWE UNA DICLEAR HIO INTEREST CONTINUOUSLY BEGGING THE HEAVENS!
Acts 19:1-7 Paul in Ephesus
19 While Apollos was at Corinth, Paul took the road through theinterior and arrived at Ephesus.There he found two disciples and asked them,”Did you receive the Holy Spirit when[ru you believed? ” They answered, “No,we have not even heard that there is a Holy Spirit.”. 3 So Paul asked,”Then what baptism did you receive?” “John’s baptism,” they replied. 4. Paul said,”John’s baptism was a baptism of repentance.He told the people to believe in the one coming after him,that is, in Jesus.” 5. On hearing this, they were baptized in the name of the Lord Jesus. 6. When Paul placed his hands on them, the Holy Spirit came on them, and they spoke in tongues and prophesied.7. There were about twelve men in all.
MTUME PAUL ALIPOKUWA EFESO ALIKUTA KUNA WATU WAMESHA OKOKA NA WAMEKUWA WAFUASI WA KRISTO NA WANA OPERATE KABISA ILA KIMCHONGO MCHONGO, LAKINI HAWANA NGUVU YOTOTE WALA CLEAR UNDERSTANDING YOYOTE!
Akawauliza hivi nyie mme mpokea Roho Mtakatifu kweli ? Waka mwambia hata hatujamsikia, Tumekula kitu cha ubatizo wa Yohana. Basi akawaombea na kuwa wekea mikono Roho Mtakatifu aka washikia. Uzuri wa Paul alikuwa hapendi UBABAIFU!
MTU ANA QUALIFY KUWA SPIRIT MAN PALE AMBAPO KWANZA AMEPOKEA NA KUKIRI WOKOVU WAKE, AMEBATIZWA KWA ROHO MTAKATIFU, NOT ONLY HE BELIEVES LAKINI AMEFANIKISHA TRANSFORMATION YA NENO ANALOLILIJIA NA ANAWEZA KULITUMIA TO TRANSFORM HIS LIFE AND OTHERS LIFE!
MTUMISHI WA KWELI HATESEKI NA UCHUMI, PESA ITAMFATA YENYEWE! ANA MANIPULATE TU SPIRITUAL LAWS, NI KAMA MWALIMU MTAALAMU YESU KRISTO WAKATI ANATIMBA JERUSALEM WAFARISAYO WAKA WAKATAZA WATU WASI-IMBEEEE KUMSHANGILIA! AKAWAULIZA TU ,MNA WAACHA WAIMBE AU NIPIGE TUKIO MAWE YAANZE KUIMBA WAKAONA MMMHHH! SAWA WAIMBE!
NI KAMA MTUMISHI WA KWELI AKI-SENSE TU KWAMBA UNAHISI HISI ANA NJAA AU HUWA ANASHIDA NA VIHELA VYAKO ANASIKITIKA MAANA HUJUI-ULITENDALO, HUJIJUI HATA KAMA HUNA PESA UWE NA ADABU BASI.
MTUMISHI ANAPO KUULIZA UNALIPA ZAKA THE QUESTION IS MORE FOR YOU KUJUA KAMA MBINGUNI UNA CLEANSHIT NA THE HEAVENS WILL RIDE FOR YOU AT DAWN AU NDIYO TAPELI LA DUNIANI NA MBINGUNI AKUOMBEE JAPO REHEMA, WEWE SASA UNAONA YALEE YALE.
Mambo manne ya kuzingatia kama unataka kuwa Spirit Man!
1.Affection and love for Jesus Christ!
Jinsi gani unawekeza muda kumjua na kuishi kutokana na maelekezo yake, j nsi gani unampa nafasi kubwa sanaa kuliko chochote moyoni mwako kila Siku.
2.Ministry of the Holyspirit!
Hakikisha unapokea ubatizo wa Roho Mtakatifu, Roho ndio engine behind ALL SPIRITUAL TRANSFORMATION, Bila Roho Mtakatifu NENO utalijua vizuri lakini kuli-operate to your benefit itakuwa uongo. NI NGUMU BUT IT CAN BE DONE, KEEP TRYING! KOMAAA! ONE DAY YES!
3.To be spiritually minded throughword based transformations!
Kusoma na kuyajua maandiko ndani yako. Maandiko yaishi ndani yako. You are spiritually minded as your submission to the word of God .Level ya utiii wako wa Neno la Mungu. Kikitokea chochote Spirit Man cha kwanza anakimbilia maandiko yanasemaje.
4 Empowerment!
Kuweza kutumika na Mbingu kwenye mission zao, Lazima kwanza uweze kuruhusu kuwa led by the spirt, Tamaa zako na matamanio yako yafe kwanza ili utulize kichwa kutongozwa na Roho wa Mungu, KUFANYA YALIYO YA MUNGU.