TEARING DOWN EVIL ALTARS / KUVUNJA MADHABAU ZINAZO KUTESA (SUNDAY WORD)

PART I

Wapendwa jamani nilisema nitaanza kuwasema na kuwasuuza lakini nimeghairi na nimekubali, ASIYE OGA MJINI HAENDI, Anayetaka kumtafuta Mungu amtafute ajiokoe nafsi yake, Anayetaka kuangamia aangamie tu kwani sh ngapi? Atakuwa amefata nyayo za familia yake, SIASA ZIFANYI TENA KILA MTU AFANYE ANACHO-ONA YEYE KINA FAIDA KWAKE, Usishangae wala usistuke kuona nakuunga mkono kwenye ujinga wako, UNAVYOTAKA NA MIMI NATAKA.

 

MADHABAU NI NINI ?

Ni sehemu, Mfumo au Muundo ambao Spirit realim ( ulimwengu wa Roho) unakutana na ulimwengu wa mwili ( physical relim) on legal (legitimate) grounds.

Genesis 1:26-28

26. And God said, Let us make man in our image, after our likeness;and let them have dominion over the fish of the sea, and over the fowl of the air, and over the cattle, and over allthe earth, and over every creeping thing that creepeth upon the earth.

27 So God created man in his own image, in the image of God created he him; Male and Female created he them.

28 And God blessed them, and God said unto them, Be fruitful, and multiply, and replenish the earth, and subdue it, and have dominion over the fish of the sea, and over the fowl of the air, and over every living thing that moveth upon the earth.

 

Wapendwa Mungu anampa Mwanadamu DOMINION /UTAWALA wa Dunia hence ana BAN / KUKATAZA KABISA operation of spirits kwenye dunia wakiwa kama SPIRITS, Hata yeye Mungu ana ji-BAN ku-operate duniani kama Roho, ROHO YOYOTE IKITAKA KU-OPERATE DUNIANI LAZIMA ICHUKUE MWILI EITHER WA MTU AU MNYAMA I-OPERATE NDANI YAKE, LAKINI ROHO KUWATOKEA WATU NA KU-OPERATE KAMA ROHO IMEPIGWA MARUFUKU.

 

Wapendwa ndiyo maana hata Shetani haendi kwa Eva kama roho, anaingia ndani ya nyoka na kumtokea Eva kama nyoka, Hata wakati anamtokea YESU baada ya kufunga 40 kavu, anavaa umbo la nyoka, YESU pia anachukua mwili wa Mtu ili aweze ku-operate duniani. YESU NDANI YA UMBO LA EMANUEL USO KWA USO NA LUCIFER NDANI YA UMBO LA NYOKA.

 

ROHO MBILI KUTOKA PANDE  MBILI  ZINAZO JUANA TANGU KITAMBO HIKO USO KWA USO DUNIANI NDANI YA  MIILI MIPYA PALINOGAJE?, HATA MAPEPO YOTE YESU ALIYO-YAKEMEA YALIKUWA YANA OPERATE DUNIANI KWA KUINGIA NDANI YA MIILI YA WATU, HATA WALE PEPO WALIOMBA YESU WAINGIE KWA NGURUWE SABABU WASINGEWEZA KU-OPERATE DUNIANI  BILA MWILI ULIO HALI, MALAIKA KILA WAKITOKEA DUNIANI WANATOKEA  KAMA WATU UNLESS MTU AWAONE KWENYE MAONO.

 

WAPENDWA KUTOKANA NA HILI MADHABAU NDIO YAKABAKIA NJIA PEKEE YA BINADAMU KU-INTERACT NA SPIRITS ZIKIWA KAMA SPIRITS HAPA DUNIANI, NDIYO SEHEMU PEKEE NA MFUMO PEKEE AMBAO BINADAMU WAKIWA KAMA BINADAMU WANAFANYA  MAAGANO NA TRANSACTIONS NA ROHO ZIKIWA KAMA ROHO, KWA MFUMO HUU WA MADHABAU BINADAMU NA ROHO ZINAPIGA COLLABO KILA MTU AKIWA KWENYE ULIMWENGU WAKE, HAIJALISHI ROHO GANI? ZA MUNGU AU SHETANI MAAGANO GANI YA NURU AU GIZA, EITHER WAY MADHABAU ILIHITAJIKA KAMA PORTAL YA HILI JAMBO KUFANYIKA.

 

Mwanzo 8:20

Noah akamjengea Mwenyezi-Mungu madhabahu, akatwaa mmoja katika kila aina ya wanyama walio safi na ndege walio safi, akamtolea Mungu sadaka za kuteketezwa.

 

Wapendwa Noah alikuwa wa kwanza kuanzisha utaratibu wa kumjengea Mungu madhabau, Baada ya kuokolewa kwenye Gharika lile.

 

Mwanzo 12:7-8

Ndipo Mwenyezi-Mungu akamtokea Abramu, akamwambia,”Wazawa wako nitawapa nchi hii.” Basi, Abramu akajenga madhabahu kwa ajiliya Mwenyezi-Mungu aliyemtokea. Baadaye Abrahamu akaondoka, akaelekea mlimani mashariki ya Betheli akapiga hema kati ya mji wa Betheli, upande wa magharibi, na mji wa Ai upande wa mashariki. Hapo pia akamjengea Mwenyezi-Mungu madhabahu na kumwomba kwa jina lake.

 

MUNGU ANASEMA NA ABRAHAM,LAKINI UTOKEAJI WAKE NI WA SAUTI TU, LAKINI ABRAHAMA ANAIPENDA AHADI YA MUNGU SANA,NA MUNGU NDIYO KATOA SAUTI TU, HAWAJAONANA WALA NINI ATAWEKA RECORD GANI AWEZE KUMKUMBUSHA HUKO MBELE KWAMBA WALI TOKEANA WAKA-TAMKIANA ? AKAONA HAPA NI KUJENGA TU MADHABAU KAMA RECORD YA TUKIO HILO, ILI MBELENI WAENDE SAWA.

 

Mwanzo 13:4

Ambapo alikuwa amejenga madhabahu. Hapo Abramu akamwomba Mwenyezi-Mungu kwa jina lake.

 

Ukija Mwanzo Kumi na Tatu (13) unaona Abraham anarudi kwenye ile madhabau alio jenga kuongea na Mungu, Ile Mkuu tulikutana hapa Mwanzo 12, Ukaongea vitu vya msingi sanaa,mwenzio BADO NAVIZINGATIA, Na nime ishi navyo, NA BAADA YA HAPO KILA ANAPOENDA ABARAHAM ALIJENGA MADHABAU YA MUNGU KUTUNZA ILE CONECTION KATI YAO, NI KAMA KUWEKA PORTAL JUST IN CASE MUNGU AKIMUHUTAJI PORTAL IPO LIVE, HAKAI MAHALI BILA PORTAL.

 

Mwanzo 28:12

Aliota ndoto, na katika ndoto hiyo, aliona ngazi iliyo-simamishwa duniani na ncha yake inafika mbinguni. Malaika wa Mungu walikuwa wakipanda na kushuka katika ngazi hiyo. Mwenyezi-Mungu alisimama juu ya ngazi hiyo, akamwambia,Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Abrahamu baba yako, na Mungu wa Isaka. Nchi unayo-ilalia nitakupa wewe na wazawa wako. Wazawa wako watakuwa wengi kama mavumbi ya dunia, na milki yao itaenea kila mahali; Magharibi, Mashariki, Kaskazini na Kusini. Kwako jamii zote duniani zitabarikiwa. Mimi nipo pamoja nawe; nitakulinda popote uendapo na kukurudisha katika nchi hii, sitakuacha mpaka nitakapotimiza ahadi niliyo-kupa.

 

Mwanzo 28:16-22

16.Ndipo Yakobo akaamka usingizini, akasema,”Hakika, Mwenyezi­ Mungu yupo mahali hapa, nami sikujua!” 17. Yakobo akaogopa na kusema, “Mahali hapa panatisha kama nini, Bila shaka hapa ni nyumba ya Mungu na Lango la mbinguni.” 18. Yakobo akaamka asubuhi na mapema, akachukua lile jiwe alilokuwa ameliweka chini ya kichwa chake, akalisimika kama nguzo na kuliweka wakfu kwa kulimiminia mafuta.19. Akapaita mahali hapo Betheli lakini jina la awali la mji huo lilikuwa Luzu.

 

20.Kisha Yakobo akaweka nadhiri akisema,”Iwapo, Ee Mungu, utakuwa pamoja nami na kunilinda katika safari yangu, ukinipa chakula na mavazi. 21. Ili nirudi nyumbani kwa Baba yangu salama, basi, Wewe Mwenyezi-Mungu utakuwa ndiwe Mungu wangu. 22.Nalo jiwe hili nililosimika hapa kama nguzo, litakuwa nyumba yako Mungu, nami nitakupa sehemu moja ya kumi ya vitu vyote utakavyonipa.”

 

HII SEHEMU AMBAYO YAKOBO ALILALA ILIKUWA MOJA YA MADHABU YA IBARHIM SO ALIBAHATIKA KULALA KWENYE PORTAL YA ULIMWENGU WA ROHO ALIO IFUNGUA ABRAHAM BABU YAKE.

 

Watu wengine pia walimjengea Mungu madhabau mbali mbali kwenye agano la kale kwa sababu mbali mbali, Sita pitia zote, Soma kwa muda wako, Usipo soma UNAVYOTAKA NA MIMI NATAKA.

 

Kutoka 17:15: Moses anamjenga Mungu madhabau, Joshua 22, Wanamjengea Mungu madhabau, Waamuzi 6, Gideon anabomoa madhabau ya Baalna kumjengea Mungu madhabau, Waamuzi 21, Waisrael wanamjengea Mungu madhabau. Ezra 3:2, Yeshua anamjengea Mungu madhabau. Samweli anamjengea Mungu madhabau nyingi na kutoa sadaka kwenye VITABU vyake vyote viwili (2), Kwenye vitabu vya Wafalme 1&2 na Nyakati pia Daudi na Saul wanamjengea Mungu madhabau.

 

PITIA UJUE KWANINI? KUNA SHIDA HAZIKUISHA BILA MADHABAU, GIDEON KUWAOKOA WATU WAKE MUNGU ALI-DEMAND MADHABAU YA BAAL IBOMOLEWE NA YAKE IJENGWE NDIYO BIASHARA YA KUOKOANA IWEPO.

 

WAPENDWA SASA KUNA WATU MNA-SHIDA KUBWA, MNASHIKILIWA NA MADHABAU KUBWA KULIKO YA BAAL, KUWA SERIOUS KUMJENGEA MUNGU MADHABAU NA KUBOMOA YA BAAAL HAMTAKI MNATAKA NINI ?, KUFUNGA NA KUZIKEME MADHABAU KWA JINA LA YESU. MTU UNA MIAKA 42 UNAFUNGA TANGU UNA MIAKA 25 NA BADO MAHUSIANO HAYASOGEI, JENGA MADHABAU YA MUNGU BOMOA HIZO ZA BAAL UWE HURU, HUTAKI UNAVYOTAKA NA MADHABAU ZINATAKA HVYO HIVYO.

 

 

WAPENDWA UKOO MZIMA HAMNA ALIYE-OLEWA AKADUMU HAKUNA, MADHABAU NI KUBWA NA IMETARADADI KUIBOMOA AAH, MAMA NIFUNGE SIKU SABA (7)?, SASA KUSHINDA NJAA NA KUBOMOA MADHABU WAPI NA WAPI?, WEWE UNASHIKILIWA NA MFUMO ALAFU UNATAKA KUTOROKA JELA KWA KUPITA MPANGO WA MBELE KWELI?,  KAMA NILIVYO KWAMBIA UNAVYO-TAKA NA NGUVU ZA GIZA ZINATAKA HIVYO HIVYO ZIPO NA WEWE MPAKA UZEEKE.

 

2 Samweli 24:25

Naye Daudi akamjengea BWANA madhabahu huko, akatoa sadaka za kuteketezwa na sadaka za amani. Basi BWANA aliiridhia nchi,na tauni ikazuiliwa katika Israeli.

 

UKITAKA KUFAIDI HILI-TUKIO SOMA 2 SAMWELI 24, YOTEE!

 

MFALME DAUDI ANAMKOSEA MUNGU, MUNGU ALIKUWA ANAONGEA NA DAUDI NA KAWAIDA YAKE UKIMKOSEA ANAKUFUNGIA VIOO TANGU ENZI ZA DAUDI, MUNGU HASEMI NA DAUDI ANASEMA NA NABII GADI KWA HABARI ZA DAUDI, NA NABII GADI ANASEMA NA MFALME DAUDI ANAMPA OPTION.

 

ZAMANI  ILIKUWA HALALI MTU KUHESABU MALI YAKE TU, LAKINI DAUDI MFALME ANAINGIA TAMAA YA KUWAHESABU WA ISRAEL WAKATI SIO MALI YAKE NI MALI YA MUNGU!, YOBU ANA MSHAURI SIO JAMBO JEMA YEYE ANAKAZA HESABU YAMKINI MFALME ALIKUWA ANA PENDA VITA SANAA ALITAKA KUJUA NGUVU YAKE YA KIJESHI, ANAPOMALIZA TUU KUPATA HESABU NABll GADI ANAMPA OPTION TATU (3).

 

Mpendwa basi Gadi akamwendea  Daudi, akamweleza, akamwambia, Basi, miaka saba ya njaa ikujie katika nchi yako? Au miezi mitatu ukimbie mbele ya adui zako, huku wakikufuatia? Au siku tatu iwe tauni katika nchi yako? Amua sasa, ufikiri, ni jawabu gani nimrudishie yeye aliyenituma.

 

Daudi anapiga hesabu paleeee!, Nikianguka kwa binadamu watanimaliza kabla muda aliotoa Mungu kuisha! Najua Bwana hato-niua, Naye Daudi akamwambia Gadi, Nimeingia katika mashaka sana;Basi sasa na tuanguke katika mkono wa BWANA; kwa kuwa rehema zake ni nyingi; wala nisianguke katika mkono wa wanadamu. Tauni likarindima!Watu wakafa Elfu Sabini, Daudi sio mtu mzuri.

 

Wakati yeye ange-anguka kwa aduizake angeokoa watu, UKIJUA MAANDIKO UNA-OPERATE KWA CHOICE SANA, MTANGOJA SANAA MTUMISHI AADHIBIWE NA MUNGU WAKATI MAANDIKO ANAYO KICHWANI NA MOYONI, NI KUJIKOA NAFSI YAKE TU NA KUWATOA KAFARA, Daudi, alipomwona malaika aliye wapiga watu, akanena na BWANA, akasema,Tazama,ni mimi niliyekosa,ni mimi niliyepotoka;lakini kondoo hawa, wamefanya nini? Mkono wako na uwe juu yangu, na juu ya nyumba ya baba yangu.

 

INSHORT MALAIKA ANATAKA ENEO LA MDHABAU NDIYO AWAONDOLEE TAUNI, MWNEYE ENEO ANAMPA  DAUDI BURE LAKINI ANATAKA NAMLIPA THAMANI YA ENEO LAKE NA KUJENGA MADHABAU NDO TAUNI INAISHA, ITAENDELEA HII TOPIC MPAKA AGANO JIPYA.

 

PART II:

KAZI YA  MADHABAU

Wapendwa to give continuity/authorization or to bring discontinuity to any spiritual activity on earth as per terms agreed on the  initial covenant. Wapendwa kuwezesha au kubatilisha jambo la kiroho duniani kukamilisha makubaliano ya agano lililo-ingiwa.

 

Wapendwa mfano agano ni kwamba ili mabinti waolewe lazima wazalie nyumbani kwanza. Kazi ya madhabau ni kuhakikisha inaleta wanaume ambao hawata OA kabla ya kuzalisha na hawata wa kubali watoto. HATA UCHAGUE KWA MICROSCOPE MADHABAU ZITA KUNYENGA TU.

 

Mpendwa hata kama Mwanaume ni mwema kiasi gani Madhabau zita-mgeuza awe MNYAMA na akufanye vibaya, Alafu akikuacha akaoa mwingine anakuwa mwemaa hatari, Watu wanaona wewe ndiyo ulikuwa una-shida.

 

KAZI YA MADHABAU SIO KUINGIA MAKUBALIANO BALI NI KUHAKIKISHA MAAGANO MLIYO INGIA NA SPIRITS YANA KAMILISHWA KIKAMILIFU, TERMS ZA MAAGANO NI NYINYI NA SPIRITS LAKINI KATIBA YA MAAGANO MLIYO INGIA NI JUKUMU LA MADHABAU KUHAKIKISHA INAFUATWA NA PANDE ZOTE.

 

USIJIDANGANYE SPIRITS WAMESHA-PIGWA STOP ORDER KU-OPERATE DUNIANI UNAWEZA KUWA TAPELI NA HAWANA LA KUKUFANYA, SPIRITS WAMEPIGWA STOP ORDER LAKINI MADHABAU NDIYO INASIMAMA  KAMA  MEDIUM YAO KUKUWAJIBISHA  HUKU  DUNIANI.

 

MWANADAMU LAZIMA ATOE ACESS KWA SPIRITS KU-OPRATE KWENYE FAMILIA, MAISHA, MJI, MALI ETC NA ACCESS HIYO LAZIMA AITOE KUPITIA MADHABAU KWA KUINGIA MAKUBALIANO NA ROHO, KUWEKA SHERIA NA TERMS ZA MAKUBALIANO, NA VYOTE HIVI LAZIMA KUWE NA MADHABAU YA KUSHUHUDIA NA KUWEZESHA HAYA YOTE KUFANYIKA

 

NA MAAGANO NI MAGUMU SANA KUVUNJIKA WALA KUVUNJWA SABABU NI MAKUBALIANO YA HIYARI ON LEGITIMATE BASIS NA ULIMWENGU WA ROHO NA YANA-SIMAMIWA KIKAMILIFU NA  MADHABAU.

 

WAPENDWA PROCESS NZIMA MPAKA AGANO LIWE ACTIVE AND FUNCTIONING LAZIMA ITIFAKI IZINGATIWE  MWANZO MPAKA MWISHO NDIYO MAANA HATA MAAGANO NA MUNGU YANATAKA MADHABAU KUYASIMAMISHA, NA IKITOKEA UMETENDA UPANDE WAKO NA MUNGU YUPO KIMYA UNAWEZA KWENDA KWA MTUMISHI AMBAYE NDIYO STEWARD WA HIYO SPIRTUAL PORTAL UKAMUULIZA AKUULIZE JAMBO LILIAGANWA MBONA KIMYA? NA AKAKUULIZIA, NA UKAPOKEA MAJIBU YAKO.

 

WAPENDWA MADHABAU ZINA-TOFAUTISHWA NA NANI YUPO NYUMA YA HIYO MADHABAU NA ALIYE NYUMA YA MADHABAU NDIO ANATOA NGUVU/POWER KWA HIYO MADHABAU. MADHABAU ZA MUNGU / NURU ZIPO POWERED NA MBINGU NA MUNGU MWENYEWE.

 

 

WAPENDWA MADHABAU ZA GIZA (EVIL/DEMONIC ALTARS) ZIPO POWERED MADHABAU KUBWA ZAIDI YA GIZA INAFAHAMIKA KAMA ALTAR OF INEQUITY AND SINS, AMBAYO KAZI YAKE KUBWA NI KU-ALLOW OPERATION OF DARKNESS WITH-IN FAMILY, LIFE,COMMUNITY ON LEGAL BASIS TO CAUSE MAHEYM CONSISTENTLY, CAUSE SETBACKS CONSISTENTLY, YANI NI KUSIMAMIA UNYONYAJI NA UNYANYASAJI WA NGUVU ZA GIZA KWENYE MAISHA YA MTU,FAMILIA AU JAMII KIHALALI KAMA MAAGANO YENU YALIVYO INSTRUCT.

 

WAPENDWA MADHABAU NI NEGOTIATION TABLE KATI YA MTU NA ROHO ANAZOTAKA KUFANYA NAZO SPIRITUAL TRANSACTIONS, AMBAYO ITA-HAKIKISHA MAKUBALIANO YAKO  NA ROHO ULIZO KUBALIANA NAZO YANA-KAMILISHWA  KIKAMILIFU, MLICHO-KUBALINA KINATEKELEZWA.

 

SPIRIT ZIKISEMA DESTROY, MADHABAU ZITA KU-DESTROY NA PHD YAKO HUTAAMINI, SPIRITS ZIKISEMA UWEKEWE VIKWAZO UTASHANGAA MTUMISHI ANAKUFUKUZA KANISANI HUNABUDI KURUDI MIKONO NYUMA KWA MTUMISHI.

 

WAPENDWA INSTRUCTIONS ZINAZOTOKA  KWENYE RELIM OF THE SPIRT ZINAJULIKANA KAMA PATTERNS MAANA WATOTO TOFAUTI MATOKEO NI YALE-YALE KWA WOTE HATA KAMA MKILELEWA TOFAUTI.

 

Madhabau za Mungu ni system ya operation inayo-ruhusu mbingu, Jeshi la malaika, maandiko matakatifu na Roho Mtakatifu kufanya kazi favorably kwenye maisha ya mtu kwa faida za huyo mtu.

 

Waamuzi 6:25

Usiku huo, Mwenyezi-Mungu akamwambia Gideoni, ” Chukua fahali mmoja wa baba yako, fahali yule wa pili wa umri wa miaka saba. Bomoa madhabau ya Baali aliyo nayo Baba yako na kuvunja sanamu ya Ashera iliyo karibu nayo.

 

MUNGU MWENYEWE ANAZUNGUMZA  UWEPO WA MADHABAU YA BAALI AMBAYO IKO POWERED NA NGUVU ZA GIZA NA ANA AGIZA IBOMOLEWE.

 

Just in case una-doubt uwepo wa hizi madhabau za ukoo hata hii madhabau ilikuwa ya Baba yake Gideon, Gideon aliikuta tu, Baba yake tayari anayo lakini anaye tumwa kwenda kuvunja ni Gideon, SASA ENDELEA KUDEKA-DEKA HUTAKI KWENDA KUVUNJA MADHABAU ZA UKOO WAKO UOLEWA NA KUPATA KAZI.

 

Mpendwa Unaweza kuwa unajiuliza NIKISHA VUNJA THEN WHAT ?

 

Waamuzi 6:26

Ukamjengee BWANA, Mungu wako, madhabau juu ya ngome hii, kwa taratibu zake; ukamtwae yule ng’ombe wa pili na kumtoa awe sadaka ya kuteketezwa, kwa kuni za ile Ashera uliyoikata.

 

UKISHA BOMOA MADHABAU UNATAKIWA UMEJENGEE MUNGU MADHABAU, ILA MUNGU, NDO WA KUAGIZA MBAO  ZA SANAMU LA ASHERA LA MADHABAU YA BAALI NDIYO ZIWE KUNI KWELI ZA KUTOLEA SADAKA KWENYE MADHABAU YAKE ATAKAYO JENGEWA, NIME PENTA!

 

GOD WAS VERY DESCRIPTIVE AND SPECIFIC ANATAKA KUNI ZA AINA GANI ZITUMIKE KWENYE HIYO MADHABAU YAKE KUMTOLEA SADAKA.

 

Unaweza sema huyo ni Gideon na alitokewa na Malaika na kupewa multiple confirmations na Mungu kwamba avunje tu HAKUNA MATATA, Mimi Je? NAANZAJE KUVUNJA KICHWA-KICHWA?

 

Jeremiah 1:10

10 See,I have this day set thee over the nations and over the kingdoms to root out and to pull down,and to destroy and to throw down, to build and to plant.”

 

RUKSA KAMA RUKSA TOKA KWA MUNGU MWENYEWE, IMETOLEWA HAPA KWA KINYWA CHA NABII YEREMIA, MUNGU MWENYEWE AMETOA RUKSA!.

 

JE UNAJUA KAMA KUNA MADHABAU INAFANYA KAZI KWENYE MAISHA YAKO AU ENEO LA MAISHA YAKO?; LAZIMA KUNA CONSISTENCY OCCURANCE OF PATTERNS ZA AINA FLANI YA MATOKEO KWENYE MAISHA YAKO, FANYA UFANYAVYO LAKINI WEMBE NI ULE-ULE,  PAMBANA UNAVYO PAMBANA LAKINI LAZIMA MATOKEO NI YALE-YALE PIGA UA GALAGAZA.

 

Mfano Umaskini, Watoto watano (5), Mko mikoa na nchi tofauti lakini wote hamna mwenye maisha Angalau, Wote ni kima cha chini. Mna kazi za kuchumia Juani. Soma usomavyo lakini juani utachumia, SISI KWENYE FAMILIA YETU TULIO KUBALI KUNA MADHABAU TUKAOKOKA TUMEVUKA,  WALIOBISHA WANAUNGUA  NA JUA!

 

Watoto watatu (3)  Mme olewa wote lakini ndoa zote majanga, Hamna mwenye nafuu yaani wote mnateseka ndoani na wengine washa ACHIKA!, Ukiinama mshale, ukiinuka mishale. Watoto watatu wote hamna aliye-olewa na anafurahia ndoa, Wale wenye akili timamu hawaolewi sababu hawapati suitable fit, Wanao jizima data kufosi ndoa wanakuta wameolewa na shetani lenyewe, Wanatoka nduki, YOU CAN RUN BUT YOU CAN’T HIDE!

 

MPENDWA VYETI VIZURI LAKINI KAZI YA MAANA HUPATI NG’OO NI EITHER UKIBALI KAZI ZA KISHENZI SHENZI AU UZA PAPA, KAZI YA MAANA NI NEHII NEHI BABUJI. YAANI KUNAKUWA NA CONSISTENCY OF PATTERNS ZA MATOKEO!

 

WAPENDWA SINGLE MOTHER WENGI NI WATOTO WA SINGLE MOTHER! PATTERNS,  NA PATTERN ISIPOVUNJWA WATOTO NAO WATAPITA MULE-MULE. WENGINE UNAKUTA BABA YAKO HAKUFANYA KAZI YA MAANA,WEWE HUJAFANYA KAZI YA MAANA NA USIPO-INGILIA KATI NA MWANAO ATAFANYA KAZI ZA HOVYO-HOVYO HIVYO HIVYO MAANA USHAANZA KUMSOMESHA SHULE CHIPULA!, HUNA MASKINI SIO KWAMBA CAMBRIDGE HUZIONI, UKIJIKUNA UNATOKA UNGA.

 

MIMI AUNTY YANGU ALIKUWA DIRECTOR SERIKALINI NA MIAKA HAMSINI NA TATU (53), ALIFIKA MAHALI AKAKATA TAMAA, NDIYO MAANA SISI TUKO FORM ONE AKAANZA KUTU SHAPE NA KU-PLANT VISION YA KUWA DIRECTORS BEFORE FOURTY (40), IKIWEZEKANA KUWA MD KABISA, ALIWEKA KIU YA UKUBWA NDANI YETU NA ALIWEKA SOLID EXPECTATIONS KWAMBA SHE IS EXPECTING NOTHING LESS THAN SUCESS KUTOKA KWETU.

 

SISI WADOGO WAKI-ITWA KWA MAWAZIRI  WANATUBEBA,  WANATAKA TUPATE TASTE OF THE BIG LIFE, TUONE THE BIGGER PICTURE, THE LARGER THAN LIFE PARTERNS NA ARGUMENT YAKE KUBWA SISI TUMEZALIWA MJINI THERE IS NO EXCUSE KUTOFIKA MBALI IKIWA YEYE  ALITOKA KIJIJINI NA AMEFIKA MBALI KWA JASHO LA DAMU, WE WERE BORN FOR GREATNESS IN BETTER TIMES NA YEYE AMEBAHATISHA TU.

 

Matokeo ya Madhabau ya Mungu pia yana Patterns, KAMA MTU KAKUSUDIWA KUPATA ATAPATA TUU HATA IWEJE!

 

Mpendwa ukisoma MWANZO 30, Utaupata Mkasa wa Jacob na Mjomba wake LABAN kwa Kina, Kumbuka Jacob alijenga madhabau wakati akiwa njiani kwenda kwa Mjomba wake, Na moja ya terms za agano lake na Mungu ni akimuokoa na WANTED aliyowekwa na Esau kaka yake na kumfanikisha kiuchumi basi atamtumikia Mungu.

 

Laban na Jacob walikubaliana amfanyie kazi, kazi ikaenda vizuri mno, Mungu akawabariki mno-mnoo! Sasa muda wa kugawana na Jacob kupewa chake, Wakakubaliana kuanzia siku hiyo wanyama wakizaliwa wenye maraka-raka wa Jacob na wa rangi-moja wa Laban.

 

Wapendwa Laban usiku na wanae WAKATOA WANYAMA WOTE MADUME WENYE HATA DALILI YA DOA NA KUWAPELEKA MBALII HATA MACHUNGANI HAWAWEZI KUKUKATANA, INSHORT ALIFUTA KABISA MBEGU YA MABAKABAKA KUSUDI AMTOE JACO DRY DRY.

 

LAKINI JACCOB NA MUNGU WALIMPIGA KATA-FUNUA MOJA NA JACOB ALIONDOKA NA RUNDO LA WANYAMA WENYE AFYA NJEMA NA MIBAKA BAKA YA KUTOSHAW, ALIFANYAJE HILO? SOMA MWENYEWE UONE TUKIO HILI.

 

PART III

HOW TO UPROOT DEMONIC ALTARS

Romans 8:1

Life Through the Spirit:

8 Therefore, there is now no condemnation for those who are in Christ Jesus, 2. Because through Christ Jesus the law of the Spirit who gives life has set you free from the law of sin and death.

 

Paul said he is experiencing Libery but the Liberty has dynamics.

 

FOR THE LAW OF THE SPIRIT WHO GIVES LIFE HAS SET ME FREE FROM THE LAW OF SIN AND DEATH

 

Altars work by speaking instructions in the spirit that must manifest in your life if allowed, Altars have VOICES, Once’s instructions spoken are then executed by Spirits, Man and Systems. Wapendwa twende taratibu, lengo ni uelewe mfano sasa instuructions zilizo-tolewa na madhabau ni USIPATE KAZI, Imetamkwa hivyo na ULIMWENGU WA ROHO.

 

Haya maelekezo yata-tekelezwa kwanza na SPIRITS, Ndipo unakuta ROHO ZA UVIVU, KIBURI, JEURI zinakuvaa ukienda kwenye interview wanaona kiburi chako wazi-wazi hawakuajiri NG’OO!. Pili yatatekelezwa na WANADAMU, Watu hawato kupa CONNECTIONS hata, Utakosa kibali machoni pa watu AUTOMATICALY tu hata kama hamna baya ulilofanya, Ndio ile MIMI SIMPENDI TU FLANI SIJUI KWANINI, LAKINI KANITOKA. Boss anakusema wewe hivyo, Ukiwaza hivi huyu maza nime fanya nini lakini HAKUNAn  ana-obey instructions za madhabau.

 

Wa-Tatu ni SYSTEMS nazo zita-obey hizo instructions, Hata shortlist ifanyike kwa AI bado huta rank kwenye green hata kama kila kitu cha ku-rank green unacho, Hata kama kuna mfumo wa kupanda kazini WEWE HUTOPANDA, It is systematic and all kweli lakini SYSTEMS OBEY ALTARS TANGU ENZI ZA PILATO!

 

Pilato alikuwa ROMAN Descendant, he has no business in Jewish Kings linage, He was the SYSTEM in Jesus Era, Angeweza kuwaambia kina Kayafa na Mfalme Herode acheni upuuzi basi ila ali-obey madhabau za kina Herode na akamsulubisha MFALME WA MAYAHUDI, Akamwandikia na kibao kabisa!” KING OF HEWS” How COLD!.

 

SYSTEMS ZINASIKIA SAUTI ZA MADHABAU NA ZINA OBEY, KUNA MDOGO WANGU KAFANYA ORAL SIO CHINI YA TANO(%) NA HAITWAGI KAZINI NA ORAL NDIYO MWISHO, SASA-HIVI HAITWI WRITTEN TENA ALIANZISHIWA ORAL NA UTUMISHI MAANA ALISHAFAULU WRITTEN ZOTE, SYSTEM YA UTUMISHI INA OBEY MADHABAU ZA KWETU NA NI KIBOKO NIMEMWAMBIA TAFUTA SADAKA NZITO LETA HAPA TUPIGE TUKIO UFUKUZWE NA MADHABAU KAMA MIMI, KWA KWELI NA ENJOY.

 

Kupata kazi anafanya japo ana-nyanyasika hatari, Na kufaulu written, Hata kama wanataka mtu mmoja (1) , maana yake shortlist ya oral ni watu watatu (3) from 500 people atakuwa shortlisted, Sasahivi wa akuwekea tu afanye oral, Nilimfanyisha Delivernace za KIGAIDI, Tatu(3)  kavu!, Saba(7) za masaa kumi na mbili (12), Nikachoka!, Nikampeleka kwa mkali wa Deliverance, Si mnajua Deliverance sometimes takes eternity na mimi subira sina, Sio mambo yangu ilitakiwa pesa like 200K nika-mtolea.

 

And the Pastor said hapa tumepooza-pooza arudi for complete deliverance, Kutoka pale kapata kazi, Akaanza unyambisi, Kupeleka shukrani na malimbuko hataki wanasema usimuoneshe ndugu yako Pastor wako au Mganga wako, Atakuharibia tu, Alimrusha Pastor! Wakati sasahivi tungeenda CHAAP, Pastor ana kazi ya kuniuliza Dogo anajifanya nunda, Mpaka mwenyewe ikabidi nimkatie wire ilimuuma sanaa sanaa Pastor!.

 

Matokeo yake sahivi anataka kunibebesha mimi mizigo, Ananilaghai niki-ingia serikalini nakukopea Million Arobaini (40)  uji-boost mtaji, ananivuruga NIKIWAZA ALIMRUSHA PASTOR SHUKRANI NA MALIMBUKO, NAKATA TAMAA KABISA JUU YAKE.

 

There is a CENTRAL ALTAR that powers all other evil ALTARS/ MADHABAU inaitwa ALTAR OF INEQUITY AND SIN, SINS THAT ATTACK PEOPLE ARE ON  THREE (3) LEVELS;

 

1. PERSONAL SINS

2.TERRITORIAL SINS

3. SINS ON FOUNDATIONS AND BLOOD LINES.

 

Personal sins niza kwako wewe, Hizi za zinaaa, wizi, abortion, upagani, kuroga na shirki, HIZI SHOW UNAISIMAMIA MWENYEWE SOLO UNO.

 

Territorial Sins ni ile eneo zima mnafanya COLLABO la kumkosea Mungu. Kama SODOMA na GOMORA, NINAWI kwa Zama hizo, Kwa Zama za sasa kuna MAENEO unaambiwa kabisa HAWANA UTUKUFU HATA CHEMBE, KONA YA SHETANI, UKIJICHANGANYA UMEISHA.

 

Mimi hata uniambie deal ya  million ngapi niingie maeneo yenu sijui kitambaa sijui vi-bwawa BORA NIKOSE PESA, SIWEZI KWENDA KUMVUTA SHETANI SHARUBU UWANJA WAKE WA NYUMBANI. JUST BECAUSE YOU CAN RESIST THE DEVIL DOESN’T MEAN YOU SHOULD HANG OUT WITH HIM CASUALLY, KUNA MAENEO YANA MIKOSI, WEWE KUWA PALE USHA-JINAJISI.

 

Aina ya 3 ni sins based on FOUNDATIONS and BLOOD LINES;

 

Psalms 11:3

3.If the foundations be destroyed, what can the righteous do?

 

ALL EVIL ALTARS DEPENDS ON THE STRENGTH AND EXISTENCE OF THE ALTAR OF INEQUITY AND SINS. MADHABAU NDOGO-NDOGO ZOTE ZA UKOO NA VILINGE ZINAPATA NGUVU KUTOKA KWENYE HII MADHABAU KUU YA INEQUITY AND SINS.

 

KUVUNJA HIZI MADHABAU NDOGO-NDOGO BILA KUISAMBARATISHA HII KUBWA NI SAWA NA KUAHIRISHA  TU TATIZO, UTAZIMALIZA NGUVU ZILE  MADHABAU NDOGO KWA MUDA ILA SOONER THAN YOU EXPECT UTAKUTA ZIMESHA-SIMAMA STRONGER THAN BEFORE!

 

ALL GODLY ALTARS ARE POWERED BY ONE MAJOR ALTAR CALLED THE THRONE OF GRACE,    MADHABAU ZOTE ZA MUNGU HIZI ZA MAKANISA NA BINAFSI ZOTE ZIAPOKEA NGUVU YAKE TOKA MADHABAU KUU YA MUNGU IJULIKANAYO KAMA MADHABAU YA KITI CHA REHEMA NA NEEMA.

 

Hebrews 4:16

Let us therefore come boldly unto the throne of grace, that we may obtain mercy, and find grace to help in time of need.

 

USIPOWEZA KUPATA ACESS YA THRONE OF GRACE MAANA YAKE MADHABAU YAKO HAITAWEZA KUPOKEA POWER YA MUNGU, ITAKUWA POWER LESS. PAY ATTENTION!;WATU WENGI WANAJENGA MADHABAU LAKINI NI KAMA HAMNA WALICHOFANYA MAANA WANAISHIA KUJENGA KWA KUFATA MKUMBO HAWAJUI NINI WANAFANYA MWISHO WANASHINDWA KUINGANISHA NA THRONE OF GRACE KUPATA NGUVU ZA MUNGU, MADHABAU INAKUWA IPO ILA NDIYO POWERLESS!

 

HAPA SASA NDIPO LINAKUJA SWALA LA KUKUSAIDIA KUTEGEMEANA UNAJUA NINI NA UNAJUA KIASI GANI? SO KAMA MADHABAU UNAYOO ILA NDIYO HAINA NETWORK MAANA YAKE UKO ROBO TATU YA NJIA NI KU-CONNECT CHAP, KAZI IMEISHA!

 

KAMA ULIKIWA  HUJUI CHOCHOTE  MPAKA HAPA SIO MWEUPE TENA! HATA UKIENDA KUOMBA MSAADA KWA MTUMISHI WAKO ATAJIHAKIKISHA UNA-IDEA KWA KIASI KIKUBWA!

 

Hebrews 12:22-24

22 But you have come to Mount Zion, to the city of the living God, the heavenly Jerusalem. You have come to thousands upon thousands of angels injoyful assembly. 23 to the church of the firstborn ,whose names are written in heaven. You have come to God, the Judge of all,to the spirits of the righteous made perfect. 24 to Jesus the mediator of a new covenant, and to the sprinkled blood that speaks a better word than the blood of Abel.

 

YOU STOP THE SPEAKING OF SATANIC ALTARS BY RAISING OF ANOTHER RIGHTEOUS ALTAR THAT CONSISTENTLY SPEAK RIGHTEOUS ON YOUR BEHALF!

 

MPEMDWA BAADA YA AGANO JIPYA MADHABAU ZA SEHEMU NA VITU YAMEPITWA NA WAKATI NA MFUMO, NI DHAMBIKU IDOLISE KITU AU SEHEMU KWAMBA NDIYO MADHABAU YAKO, KUWA NA SEHEMU YA KUSALI NI SAWA, NI SEHEMU SIO MADHABAU NA HATA KAMA HIO SEHEMU HAIPO HAIKUZUI KUFANYA IBADA, IT IS IDOLIZATION AND A SIN!

 

Yohana 4:21-23

21. Yesu akamjibu,”Mama, niamini ;wakati unakuja ambapo hamtamwabudu Baba katika mlima huu,wala huko Yerusalemu. 22 Ninyi Wasamaria mnaabudu msichokijua .Sisi Wayahudi tunamwabudu Mungu tunayemjua kwa sababu wokovu unatoka kwa Wayahudi. 23. Lakini wakati unakuja,tena umekwisha timia, ambapo wale wanaoabudu inavyostahili watamwabudu Baba katika roho na kweli.Watu wanaoabudu kwa njia hii ndio anaowataka Baba.

 

MADHABAU ZA AGANO JIPYA NI MWENDO WA KUABUDU KATIKA ROHO NA KWELI TUU, NO UBABAIFU, NO UZUGAJI ZUGAJI, NO GRAY AREAS, UKIABUDU KATIKA ROHO NA KWELI AUTOMATICALLY UTAPOKEA UBATIZO WA ROHO MTAKATIFU, NA KAMA HUJAPOKEA UBATIZO WA ROHO MTAKATIFU HUJAPOKEAA, IBADA YAKO KATIKA ROHO NA KWELI IME PWAYA HIVYO ONGEZA IBADA.

 

Matendo 1:5

ya kwamba Yohana alibatiza kwa maji, bali ninyi mtabatizwa katika Roho Mtakatifu baada ya siku hizi chache.

 

OOH MIMI MROMAN CATHOLIC HATA MTUME PAUL ALIKUWA MRUMI MY WANGU,BIBLIA UKO NAYO! MACHO UNAYO, UNANGOJA KUSOMEWA AYA MOJA JUMAPILI KWA JUMAPILI, PSEUDO CHRISTIANS KATIKA UBORA WENU.

 

Yule mwanangu anae sema alikuwa hajui YESU alikaa duniani muda kabla hajaenda Mbinguni mnafiki sanaa nae yule, Like serious? Kama alipaa Siku hiyo hiyo hata story ya Tomaso hakuwahi kusikia? Let’s say Tomaso was not popula, hata ya KUVUA SAMAKI USIKU KUCHA Mpaka Wimbo tena wa Kiswahili upo, IT GEST WORST HIZI STORY ZOTE MBILI(2) ANAZIJUA LAKINI MPAKA SASA BADO HAJA CONNECT DOTS.

 

ALL IN ALL NI JAMBO JEMA MMEANZA KUSOMA MAANDIKO,  NA JINSI MSIVYO SHAURIKA ANZA NA INJILI SOFT KATI YA MATHAYO, MARKO NA LUKA, KAMA KAWAIDA YENU MTU ANA WAZA HAPA INAYO HITAJIKA ZAIDI YA YOHANA, BASI NAKUFA NA HII YOTE NI UVIVU.

 

GOSPEL OF MATHEW HE FOCUSED POTRAYING JESUS AS THE KING OF JEWS NDIYO MAANA ALIANZA NA CHRONOLOGICAL ORDER YA WAFALME WA MAYAHUDI, ALI LINK SANA OLD NA NEW TESTAMENT, UTASEMA SIO MTOZA USHURU NI MWANA  HISTORIA.

 

MARK ALIPIGA COLLABO NA MTUME PETRO AMBAPO MAANDIKO YAMEWEKA WAZI ALIKUWA UNSCHOOLED, SO MARKO MTUME BAADA YA YESU KUPAA ALISIMULIWA NA PETRO AKA KONGOLI INJILI FUPI SANAA NA DIRECT TO THE POINT, HAINA MBWEWE WALA KUZUNGUKA MBUYU, NIMEFAFANUA KWA KINA KWENYE PART ZOTE TANO (5) ZA SALVATION, UKISOMA INJILI UKAMALIZA VITABU VIWILI (2)  RUDI KUSOMA SALVATION PART 5, UTAANZA KUPATA MWANGA.

 

PART IV

HOW TO UPROOT DEMONIC ALTARS

NO MATTER HOW LONG THE ALTAR IS IT CAN BE PULLED DOWN, NO MATTER HOW SAVAGE AN ALTAR IS IT CAN DEFINATELY BE PULLED DOWN EASILY AND BY EASILY I MEAN VERY EASILY, YOU JUST NEED TO UNDERSTAND THE EQUATION, SPIRITUAL EQUATION OF PULLING DOWN ALTARS NI KAMA PYTHAGOROUS EQUATION TU A+B MUST BE = C

 

WAPENDWA KUJUA KITU NI PART ONE (1) LAKINI KUTRANSFER KNOWLEDGE NDIYO MTITI ULIPO, UKIWEZA KUSHUSHA MADHABAU MOJA TU KWENYE MAISHA YAKO JUST ONE(1) UNAWEZA KUSHUSHA MADHABAU YOYOTE ITAKAYO KATISHA MBELE ZAKO, HATA ZISIZO KUHUSU UNA-POROMOSHA TU, KWANI SH NGAPI? SINCE YOU KNOW THE EQUATION YOU CAN AS WELL OVER-USE IT.

 

TULI-ISHIA EVIL ALTARS  CAN BE SILENCED BY RAISING GOD ALTARS THAT SPEAK RIGHTEOUS ABOUT YOU!

 

EQUATION YETU INAKUWA FALL OF EVILALTAR (IS  DIRECT PROPORTIONAL TO YOUR RISING OF A GODLY ALTAR!) UNDER NO CIRCUMSTANCES  SITUATION YA KUBAKIA VOID  INARUHUSIWA, PROPORTIONAL NA MAANISHA HAYA MAMBO YANAENDA KWA MPIGO YAAI  MUDA UNAO-POROMOSHA MADHABAU NDIYO MUDA HUO-HUO UNATAKIWA KUJENGA MADHABAU YA MUNGU, KAMA KWA GIDEON MAMBO YALIFANYIKA KWA MPIGO USIKU HUO HUO MOJA ILIPOROMOSHA NA USIKU HUO HUO MOJA IKAJENGWA.

 

KOSA WATU WENGI WANAFANYA, KUTAKA KUFANYA ZOEZI KWA AWAMU, APOROMOE KWANZA MADHABAU YA GIZA KISHA APUMZIKE NDIYO AJENGE YA MUNGU, SASA HUU MUDA UNAO-PUMZIKA UNATENGENEZA VOID!, NA HUU MUDA UPO VOID UKISTUKA MADHABAU ULIYO-POROMOSHA IMESIMAMA UPYA, HAPA SASA UNAKATA TAMAA.

 

WAPENDWA HIZI NGOMA MBILI(2)  ZINATAKIWA KUPIGWA KWA MPIGO, UKIPOROMOA LEO HAKIKISHA LEO-LEO UNAJENGA MADHABAU YA MUNGU ILI USITOE UPENYO KWA NGUVU ZA GIZA KUJIPANGA UPYA DHIDI YAKO.

 

UNAJENGAJE MADHABAU YA BWANA?

Mlikuwa mnangoja hili swala mjue nipo serious au nawa BULL-SHIT?, Wapendwa nipo serious sana na ku-transfer knowledge.

 

Tumesema ALTARS za Wakristo kwa sasa sio sehemu au vitu, Japo Madhabau za giza zinaweza kuwa na physical location, hata Vikings vya mganga vina-location na tunguli LIVE, Hirizi, pembe, usinga Ofcourse!; Sasa sio kuvunja madhabau ya mganga au ukoo basi na wewe ukajenge kanisa hapo jirani na killinge.

 

Kama mganga wetu wa Magomeni kilinge chake kipo Instagram na wewe unafungua Madhabau instagram unaenda ku-comment HOLYGHOST FIRE kwenye page ya  mganga, Mganga hakulogi anakuchukulia Bwana wako tu kwa madawa, Instagram hapata tosha.

 

WORSHIP TODAY FOR CHRISTIANS IS NOT A PLACE BUT A STATE, UPO KWENYE UWEPO GANI? UNAWEZA KUWA KANISANI KWENYE IBADA KUBWA CHINI YA NABII MKUBWA NA USIWE KWENYE STATE YA KUMUABUDU MUNGU HATA ROBO, UNAWAZA UKITOKA KUNA PORO LA JANA ,UNUNUE PARACHICHI NA REJESHO LA VIKOBA HUNA, TAREHE ZA MCHEZO, HAMNA STATE YOYOTE YA WORSHIP HATA UNGEENDA JERUSALEM  KABISAA.

 

Yohane 4:21-24

Yesu akamwambia,”Niamini; wakati unakuja ambapo hamtamwabudu Baba juu ya mlima huu,wala kule Yerusalemu. Nyinyi Wasamaria mnamwabudu yule msiyemjua, lakini sisi tunamjua huyo tunayemwabudu, kwa maana wokovu unatoka kwa Wayahudi. Lakini wakati waja, tena umekwisha wasili, ambapo wenye kuabudu wa kweli watamwabudu Baba katika roho na ukweli. Maana Baba anawataka watu wanaomwabudu namna hiyo. Mungu ni roho, na watu wanaomwabudu lazima wamwabudu kwa Roho na ukweli”

 

WAPENDWA MUNGU YUPO INTERESTED ZAIDI NA UNA MUABUDU KWENYE STATE GANI? KULIKO UNAMUABUDU WAPI?, CHINI YA MTUMISHI NANI?, FOCUS YAKE NI JE UNA MUABUDU KWA NA KWELI? AU FULL UBABAI BIN UBABAIFU?

 

Acts 2:1

2 And when the day of Pentecost was fully come, they were all with one accord in one place.

 

Hii maana imepotezwa kwenye translations za kiswahili, ZINGATIA THEY WERE WITH ONE ACCORD in one place, LENGO LAO LA KUWA SEHEMU MOJA LILIKUWA MOJA ” THEY WERE ALL WITH ONE ACCORD” KUMBUKA WALIKUWA WENGI KWA NAFSI TOFAUTI ILA LENGO LAO LA IBADA LILIKUWA MOJA KUMUABUDU MUNGU KWA MOYO WOTE JAPO KILA MMOJA NA NAFSI YAKE, KWENYE KILE CHUMBA HAKUKUWA NA MBABAIFU WALA UBABAI HAUKUWEPO.

 

THEIR ACCORD WAS GREATER THAN THE PLACE, ROHO MTAKATIFU HAKUWASHUKIA SABABU ILE SEHEMU ILIKUWA MARIDHAWA NA YA KUVUTIA, NA TULIVU SANA, ALIWASHUKIA SABABU LAO LILIKUWA HILIM MOJA KUFANYA IBADA YA UHAKIKA ISIYO NA UBABAIFU WOTE WOTE KWA WAKATI MMOJA PAMOJA NA WINGI WAO, THEIR STATE OF UNITY, FAITH AND EXPECTATIONS NDIVO VILIVYO MSHUSHA ROHO MTAKATIFU JUU YAO.

 

MTU ANATUMIA NGUVU NYINGI KU-IDOLISE MAHALI LAKINI HASALI MPAKA APIGE MAGOTI CHUMBANI HOPING ATASHUKIWA NA ROHO MTAKATIFU, MTU ANATAFUTA MPAKA HOSTEL, AU HOTEL NYOTA TATU(3)! NDIYO ANATAFUTA SIGNAL KWELI JAMANI?, KITANDA WENZIO WAMEZINI ASUBUHI, WEWE JIONI UNATAFUTA CONNECTION ZA MBINGU ?

 

Watu mmetumia nguvu kubwa kutenga sehemu extravagant za kumuabudu Mungu, ISSUE UNA MUABUDU KWENYE STATE GANI WAKATI WA IBADA ZAKO? IN SPIRIT AND TRUTH? AU IN MLIPUO LIPUO MODE?, UKIINUA MDAHABU UKASHINDWA KU-WORSHIP IN SPIRIT AND TRUTH USHAFELI HUTAPATA CONNECTION, NA BILA CONNECTION MADHABAU YAKO ITAKUWA POWERLESS!

 

ALTARS NOW ARE YOUR SPEAKINGS ( SCRIPTURAL) AND PROGRAMMING THAT SHOULD BE CONSISTENT ENOUGH TO CREATE INSTRUCTIONS IN THE SPIRIT RELIM THAT ARE PRO DESTINY AND PRO KINGDOM! ( RUDIA KUSOMA HAPA MPAKA IKUINGIE KICHWANI)

 

MADHABAU SASA NI MATAMKO ( YA KIMAANDIKO) NA MIFUMO YAKO YA MAISHA AMBAYO ITAKUWA ENDELEVU KUTOSHA KUTENGENEZA MATOKEO KWENYE ULIMWENGU WA ROHO AMBAYO YANA KAMILISHA KUSUDI LA MUNGU NA UFALME WAKE KUTIMIA!

 

MADHABAU INAJENGWA NA KWA MATAMKO/SPEAKINGS BAKED BY SCRIPTURE, UKIROPOKA ROPOKA TU YOUR OPINIONS AND THOUGHTS IT DOESNT COUNT, SPEAKINGS ZINAZO SEMWA HAPA NI KUTAMKA MATAMKO YA KIMAANDIKO YA SHERIA ZA KIMAANDIKO NA PRINCIPLES ZA KIMAANDIKO JUU YA MAISHA YAKO, ILI UZITAMKE MANAKE LAZIMA UWE UNAZIJUA MAANA YAKE UTA-DECLARE VIPI JAMBO AMBALO HUJUI LINA EXISIST?

 

UKIROPOKA ROPOKA HOVYO SABABU HUNA NENO NDANI YAKO USISHANGAE MADHABAU ZIKA KUJIBU KWA MDUNDO WA JAHAZI MORDEN TAARAB YAANI “Ropoka ropoka hovyooo naapa siku opoiii”

 

WENGI NDIYO HAPA MAMBO YANAENDA MRAMA, MNAJARIBU KUINUA MADHABAU AMBAYO HAINA BASE YA MAANDIKO YENU NA ANDIKO HATA KAMA LIPO KWELI NA LIMEANDIKWA SIO UONGO ILA WEWE HUJUI BIASHARA  HAKUNA HALIWEZI  KUKUFAA.

 

HAPA NDO MIMI NAFUNGAGA BIBLIA, MTUMISHI NISAIDIE SAWA INGIZA KWANZA NENO HATA CHACHE TU NDANI YAKO TUTA TUMIA HILO HILO,  HUTAKII UNATAKA TU SILENCE SPEAKINGS OF EVIL ALTARS SAWA ISSUE NI KWA NENO GANI LA MUNGU UNALOLIJUA WEWE ? KIMFAACHO MTU CHAKE! SINA NENO LOLOTE MTUMISHI, SAWA INGIZA NENO? IT IS JUST A COUPLE OF BOOKS! KWANI HUWEZI KUNISIADIA TUU? SASA NAKUSAIDIAJE?

 

HATA KWA MILLIONI MBILI (2) HUWEZI KUNISAIDIA ? NDIYO KUNA TAARAB JUZI ALIIPIGA DJ MTASHA KWENYE MIRIAM CHOZI ALIMSUTA NAYO CHIOMA (HAYA MAMBO TUACHENI WASWAZI) LAKINI ILIKUWA HIVI ” WAPIGA MAGOTI UKIONA NOTI”, IMANI YA MTUMISHI IMEWEKWA KWENYE MZANI? BALAA NA NUSU NA MWISHO WA HILI SIO MZURI SIKU ZOTE, WATU WATALALAMIKA KUTAPELIWA, THE QUESTION IS MTUMISHI ALIJUAJE MNA MILLION MBILI (2)?, CASH!!!

 

NA MARA NYINGI  MATOKEO HAKUNAGA SABABU IPO WAZI, NANI ALITAMKA MAANDIKO YA KUTOSHA KWENYE ULIMWENGU WA ROHO KUFUTA MATAMKO YA EVIL SPIRITS JUU YA MAISHA YENU NA HATMA YENU ? HAKUNA, WEWE MATEKA WA MADHABAU UNAONASHIDA KUINGIZA NENO NDANI YAKO NA SHIDA KULITAMKA JUU YA MAISHA YAKO NDIPO U-RELY KWA MTUMISHI BINADAMU MWENZIO KUFANYA HILO?, UTAJI SURPRISE!.

 

KAMA NILIVYO WAAMB IA NAURUDIA TENA MADHABAU UNAZISHINDA KWA LAW OF SUBTITUTION! HUWEZI YAANI HUWEZI KU-STOPISHA MATAMKO AMBAYO YAMETOLEWA TANGU KIZAZI CHA KWANZA (1) HUKO NA WEWE NDO KIZAZI CHA NNE (4), UTAYA STOPISHA VIPI? MHENGA ALISHA IUZI MIZIMU NA MIZIMU IMEROPOKA DESTROY, NI UHARIBIFU KWENYE MAISHA YAKO MWANZO MWISHO UKI-INUKA MSHALE ,UKI-INAMA MSHALE SASA THERE IS NO SPIRITUAL PRINCIPLE YA KU-STOPISHA BUT LUCKY FOR US ALL KUNA SPIRITUAL LAW OF SUBSTITUTION, NDIYO ILE ILE INASEMA KWENYE MAISHA YAKO UNDER NO CIRCUMSTANCE HAPAWEZI KUWA NA VOID.

 

GIZA NA NURU HAVIWEZI KU-EXISIT KWA WAKATI MMOJA KWENYE MAISHA YA MTU, NI CONTRALY NA MAANDIKO, KINYUME KABISA KABISA, HAVINA USHARIKAA WOWOTE.

 

2 Corinthians 6:14-16

Be ye not unequally yoked together with unbelievers: for what fellowship hath righteousness with unrighteousness? and what communion hath light with darkness? And what concord hath Christ with Belial? or what part hath he that believeth with an infidel? And what agreement hath the temple of God with idols? for you are the temple of the living God; as God hath said, I will dwell in them, and walk in them; and I will be their God, and they shall be my people.

 

HENCE KU-DEAL NA MADHABAU LAZIMA UTUMIE LAW OF SUBSTITUTION, UKITAKA KUONDOA GIZA KWENYE MAISHA YAKO LAZIMA U-SUBSTITUTE NA MWANGA, KAMA SIO MCHANA LAZIMA ITAKUWA USIKU, HAIWEZEKANI KUWA SIO MWANGA WALA GIZA!SASA ITAKUWA NINI? KAMA SIO DAY AUTOMTICALY NI NIGHT.

 

HIVYO KAMA MADHABAU ZA NURU HAZITARADADI KWENYE MAISHA YAKO AT ANY POINT LAZIMA ZA GIZA ZIME TARADADI, SINA MADHABAU YOYOTE JUA TU NI MCHUMBA WA MADHABAU ZA GIZA!

 

KAMA WEWE USIPO JENGA MADHABAU ZA MUNGU BASI AUTOMATICALLY MADHABAU ZA BABU ZAKO NA ZA UKOO WAKO NDIYO ZITA-ASSUME STATUS QUO YAKO KUDADADEKI, HATA KAMA ULIKUWA NA MADHABAU YA MUNGU UKARUDIA UMALAYA NA KUMUACHA MUNGU, MADHABAU IKAPOTEZA UPAKO WAKO STATUS QUO YAKO YA MADHABAU ZA UKOO ITARUDI PALE PALE KUKUTAWALA.

 

KWA HIYO THE ONLY WAY OUT NI KU-SUBSTITUTE MADHABAU YA MUNGU PALE ZILIPOKUWA ZIME SIMAMA MADHABAU ZA GIZA, KU-SUBSTITUTE MAANA YAKE NI KUCHOMOA NA KUCHOMEKA PAPO KWA HAPO, UKIWA UNA POROMOSHA HII HAPO HAPO UNA-INUA YA MUNGU.

 

KAMA MADHABAU ZA GIZA ZINAZUNGUMZA ANGUKO LAKO NA UBHARIBIFU UNATAKIWA KUKIRI MAANDIKO YA DAMU YA YESU INAYO NENA MEMA KULIKO DAMU YA ABEL, DAMU NI UHAI, SIWAFICHI HAPA NDIYO UJUZI WA MAANDIKO UNA-APPLY, MAANA KILA CHANGAMOTO INATAKA ANDIKO LAKE SPECIFIC LIWE SPOKEN OVER THE INDIVIDUAL,  SHIDA NI NYINGI NA MAANDIKO NI MENGI HAPA NDIYO MADHABAU INA KAZA AU KULEGEA!.

 

PART V:

JUSTICE BEFORE JUDGEMENT.

WAPENDWA TULIISHIA  ALL GODLY ALTARS RECEIVE THEIR POWER FROM THE ALTAR

OF THRONE OF GRACE, Na kwamba ALTARS for Christians are no-longer places rather in your SCRIPTURAL SPEAKINGS AND PROGRAMING CONSISTENT ENOUGH TO CREATE INSTRUCTIONS IN THE SPIRIT RELIM THAT ARE PRO-DESTINY AND PRO-KINGDOM.

 

UNAJENGA MADHABAU YAKO KWANZA KWA KUSIMAMISHA MAANDIKO ( YAPI EXACTLY ? YOU HAVE 73 BOOKS TO CHOOSE FROM IF YOU ARE CATHOLIC, NA 66 BOOKS IF YOU ARE PROTESTANTS; NA PROTESTANTS NDIYO SISI WOTE LUTHERANS, ANGLICANS, PENTEKOSTAL CHURCHES, APOSTOLIC CHURCHES, ASSMBLIES, PRESPITERIAN, ETC AND IF YOU ARE NOT CATHOLIC YOU ARE PROTESTANT OR ADVENTIST OR JEW.

 

MADHABAU NI MAANDIKO UNAYOYASIMAMIA NA KUYAISHI  KIKAMILIFU NA KWA MOYO WAKO WOTE KAMA HAMNA KESHO; HIVYO KAMA HUNA MAANDIKO HUNA MADHABAU NO MATTER HOW GRAND YOU PRAYER ROOM IS OR HOW GRAND YOUR LITRUJE IS!, HATA KAMA SADAKA YAKO NI BILLIONS OF DOLLARS KAMA HUNA MAANDIKO YA KUISIMAMISHA HUNA LOLOTE KWISHA HABARI YAKO!

 

STRENGTH YA MADHABAU YAKO ITAENDANA NA KWA KIASI GANI UNALIJUA NENO NA KIASI GANI UTAENDELEA KUJIFUNZA NENO, SASA MWALIMU MWAKASEGE MPAKA LEO NIMENUKUU ANASEMA ANASOMA BIBLIA YOTE WALAU MARA 5 ( HAPA SINA UHAKIKA SANA AGE GO MY MEMORY CANT BE TRUSTED), KWA MWAKA AND HE HAS BEEN DOING SO KWA MIAKA MINGI  SO SIO SWALA LA KUSOMA NA KUMALIZA, NI SWALA LA KUENDELEA KUSOMA KUONGEZA UFAHAMU NA UELEWA!

 

WAPENDWA KAMA HUNA MAANDIKO HUNA MADHABAU, NASISITIZA!.MUNGU ANAFANYA KAZI KWA MAANDIKO YAKE TU,  ONLY NENO LAKE KUPITIA MAANDIKO YAKE NDIYO LINA MFUNGA NA KUMBANA, ANYTHING OUTSIDE THAT IS LAMENTATIONS/ MALALAMIKO AMBAYO HAYAMSTUI.

 

SO ILI WEWE UWE NA BIASHARA RASMI NA MUNGU LAZIMA NA MSINGI WA KIMAANDIKO, UKIONA JAMBO LAKO HALINA MSINGI WA KIMAANDIKO KAA UKIJUA WEWE UNA JAMBO NA MUNGU LAKINI MUNGU HANA JAMBO LOLOTE NA WEWE, MAANA YAKE MAMBO YAKE YOTE YAPO KWENYE MAANDIKO AMBAYO WEWE HUNA MUDA NAVYO.

 

MPAKA HAPA USHAJUA KWAMBA POWER INATOKA KWENYE MADHABAU YA MUNGU YA THRONE OF GRACE, NA KUFIKA KULE KUNAHITAJI ANDIKO! NA ANDIKO NILIKUPA NA NAKUPA TENA!.

 

Hebrews 4:16

16 Let us then with confidence draw near to the throne of grace, that we may receive mercy and find grace to help in time of need.

 

SASA UKISHAFIKA MBELE ZA MUNGU WENGI NDIYO MNA HARIBU KWA MUNGU KUNA BASIS 2 TU ZA KUSHINDA AS PER SCRIPTURES; NA KWA KUTOKUJUA WENGI MNAENDA NA ACCAPELA NA STORIES THAT TOUCH THE HEART TRYING TO MOVE GOD, MNASAHAU KWAMBA HE IS GOD THY LORD, HE KNOWS EVERYTHING! DO YOU ? YEYE ANAJUA KILA KITU!, JE WEWE UNAJUA ULIVYO TAKIWA UVIJUE KABLA YA KWENDA KWAKE ?

 

KlNACHO TOKEA WEWE MAMBO MUNGU ALIYO-AGIZA YAANDIKWE NA YAKA ANDIKWA MPAKA PETRO WHO WAS UNSCHOOLED LAKINI KAPAMBANA NA KUKUANDIKIA ILI TU UJUE, HUJASOMA BASI NIA YA KUSOMAAA HUNA, ALAFU UNAENDA MBELE ZA MUNGU KU BWABWAJA NA KULALAMA BILA BASE YOTOTE YA KIMAANDIKO!, CHINEKE YOU DEY PLAY!

 

KINACHOTOKEA MUNGU ANACHOTAKA KWAKO HUTAKI KUTOA NA UNACHOTAKA KWAKE NAE VILE VILE HUPATI KITU, UNAMUOMBEA MTU UNAPEWA ANDIKO LA YEREMIA 7:16; SUBHANA ALLAH UNAMUULIZA KWANI UMEFANYA NINI NDUGU YANGU? EMBU FUNGUKA.

 

Yeremia 7:16

“Nawe,Yeremia, usiwaombee watu hawa, usini lilie kwa ajili yao, usiwaombee dua wala usi-nisihi kwa ajili yao, maana sitakusikiliza.

 

BASIS ZA KUPATA HAKI YAKO MBELE ZA MUNGU NI NJIA MBILI(2) TU; ZINGATIA ILI  UKIINUA MADHABAU YAKO, BASIS NI MBILI(2)  UKITOKA NJE YA HAPO JUA UPO NJE YA MAANDIKO TAYARI NA UNAELEKEA KWENYE LAMENTATIONS MODE  KUPATA HAKI YAKO KWENYE MAHAKAMA ZA MBINGUNI LAZIMA UJUE LUGHA ZA MAHAKAMA YA MBINGUNI.

 

1.SADAKA YA UKOMBOZI WA YESU ALIPO MWAGA DAMU YAKE KWA AJILI YA UKOMBOZI WA WAKO NA SISI ( SOMA AGANO JIPYA UNA RUKA-RUKA )

 

1Timothy 2:5-6

For there is One God and one Mediator between God and men, the Man Christ Jesus, who gave himself a ransom for all, to be testified in due time.

 

SOMA SALVATION PART ZOTE TANO (5) UJUE KWA KINA, YESU ALIFANYA NINI KWA AJILI YETU ILI TUOKOLEWE, USHINDI UPO KWENYE DETAILS, KADRI UTAKAVYO WEZA KUJUA YESU ALIFANYA HIKI NA HIKI ILI  NIWE HURU NDIVYO UTAKAVYOWEZA KUKIRI HAYO MAANDIKO NA KUJIWEKA HURU.

 

UHURU UPO NA YESU KAZI ALISHA-IMALIZA MIAKA 2000 ILIYOPITA, WEWE NDIYO MBABAIFU HUJAWEKEZA KUJUA KAMA ULISHAKOMBOLEWA  NA UPO HURU KWA USHAHIDI, NGUVU ZA GIZA ZINAENDESHA MAMBO KWA USHAHIDI, UKISEMA UNAJUA UNAOLEWA IMEANDIKWAA! ZITAKUTUNISHIA MSULI WAPII?, ANDIKO GANI? KAMA HUJUI UME KWISHA NDIYO MAANA SIO AJABU KUKUTA MLOKOLE ANATESEKA NA NGUVU ZA GIZA NA MROMA AMEZISHIKA NGUVU ZA GIZA PABAYA, IT ALL COMES DOWN WEWE KAMA WEWE UNAJUA NINI NA KWA KIASI GANI? SIO USHABIKI  MAANDAZI.

 

NA KUSEMA KWAMBA NITAKUFUNDISHA  INJILI NNE ZOTE KWA SLIDE MOJA HII ITAKUWA UONGO MTAKATIFU NA KUKOSA HAYA MTU MZIMA MIMI, LAKINI NILIPAMBANA KUFUNDISHA WOKOVU KWA PART  TANO (5) ZA SLIDE KUMI (10) NA KILA PART SO NI KAMA SLIDES 50 TU, UKIONGEZA 4 BOOKS SIO MBAYA.

 

KAMA NILIVYO WAAMBIA SHETANI ALIKUWA KIONGOZI WA MALAIKA MBINGUNI SO NENO ANALIJUA HATARII, WOTE NA YESU WALIKUWEPO KABLA YA ULIMWENGU HUU, KWENYE MFUMO WAKE NA NO-PERATIONS ZAKE HANA MASIHARA, MPAKA MAANDIKO YAME MNUKUU KAMA “ACCUSER OF THE BREATHEN” MAANA ANA KUSHTAKI MPAKA KWENYE MIFUPA MY WANGU!

 

Revelations 12:10

For the accuser of our brothers and sisters, who accuses them before our God day and night, has been hurled down.

 

UKIENDA MBELE ZA MUNGU HUJUI YESU ALIFANYA NINI, MUNGU ATAJUA HUJUI, SHETANI ATAJUA HUJUI NA WEWE PIA UNAJIJUA HUJUI!, SO LAZIMA UTAPOTEZA KESI, SAWA UNAJUA HAKI YAKO IPO KWENYE BIBLIA WAPI HASAA HUJUI, TUNASEMA CASE UNAYO ILA USHAHIDI NDIYO HUNA, KATAFUTE USHAHIDI ALAFU KATA RUFAA; KAMA UNATAKA KUFIKA SEHEMU YOYOTE NA UKRISTO WAKO MAKE SURE YOU KNOW YOUR WORD YAANI JUA MAANDIKO.

 

Kwa sisi tunao-jua maandiko sababu hatujiendekezi tunasoma na kusoma mpaka yana tu soma mwisho inakuwa tumesomana; NATOA MFANO FOR TEACHING PURPOSE, USHA-INUA MADHABAU UNA KIPENGELE CHA KAZI SASA NDIYO UMEJONGEA THRONE OF GRACE!; NAJUA MCHONGO MZIMA WA WOKOVU UNA-UJUA AU UNA IDEA NAO, KONA YA KUPITA NAYO WIMA WIMA NI DAMU YA YESU INENAYO MEMA KULIKO DAMU YA ABEL.

 

Hebrews 12:24

You have come to Jesus, the one who mediates the new covenant between God and people, and to the sprinkled blood, which speaks of forgiveness instead of crying out for vengeance Like the blood of Abel.

 

UNASIMAMISHA KITU HIKOO CHA APOSTLE PAUL, JAMANI PAUL SIJUI KWANINI HAKU-OA! WALIFELI WAPII? THE GUY WAS SMART KUKISIMAMISHA MAANA YAKE  ILI ANDIKO LIISHI KICHWANI KWAKO 24/7 RENT FREE, NA LIJITANUE MOYONI MWAKO KWA KULI KIRIMU.

 

THEN SASA UNAANZA KULIKIRI KINYUME NA INSTURCTIONS ZA MADHABAU YA KWENU KWAMBA USIENDE KAZINI, “BWANA YESU MPATANISHI WA AGANO JIPYA ( KAMA HULIJUI HAMNA BIASHARA UTAULIZWA TU LIPI?, HUNA SERAA!

 

Ambalo ulimwaga Damu yako ya thamani ya wengi tupate msamaha wa dhambi na kuokolewa,Damu yako inayonena mema kuliko ile ya Abeli ilio nena kisasi, na msihi Mungu baba na Mbingu kwa ujumla wenu mnifutie laana na maagano yote ya agiza yanayo zuia business kazini.

 

DAMU YAKO YESU ILINENA MSAMAHA, IKANENE MSAMAHA JUU YA DHAMBI ZANGU MWENYEWE ZINAZO ZUIA NISIENDE KAZINI, JUU YA DHAMBI ZA UKOO WANGU NA MABABU ZANGU!

 

2 Corinthians 5:17

17 Therefore, if anyone is in Christ, the new creation has come: [The old has gone, the new is here!]

 

BWANA YESU NIMESHA AMINI KUKIRI KWA KINYWA CHANGU KWAMBA WEWE NI BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NIMEFANYIKA UUMBAJI MPYA KATIKA KRISTO SO SIWEZI KUENDELEA KUSHTAKIWA KWA MASHTAKA YA ZAMANI KABLA YA WOKOVU.

 

Warumi 8:2

Kwa sababu sheria ya Roho wa uzima katika Kristo Yesu imeniweka huru mbali na sheria ya dhambi na mauti.

 

Sitakiwi  kabisa kuhukumiwa  kwa sheria ya dhambi na Mauti ambazo  Baba na Babu zangu waliingia maagano. I DECREE AND DECLARE THE LAW OF SPIRIT OF LIFE OVER MY LIFE FROM NOW ON, KILA KITU CHANGU KITAISHI NA KUFANIKIWA,  CAREER YANGU ITAISHI NA KUFANIKIWA.

 

UTAKUWA UNA TAMKA HIVI JUU YAKO NA KUAMINi NA KUSIMAMIA NA IN NO TIME CAREER YAKO ITAANZA KUISHI; SO KIFUPI KUSHINDA NGUVU ZA GIZA LAZIMA UJUE KWA KINA WOKOVU ALIOFANYA BWANA YESU, KWA KINA NA ALIKUOKOA VIPI NA KWA MAANDIKO YAPI! KAMA HAPO THE LAW OF SPIRIT OF LIFE IPO NA HUIJUI NA UMEZALIWA MKRISTO, SHAME ON YOU AND ME YOUR PASTOR!

 

WAPENDWA NA HII NDO SABABU PASTOR ANATAKA PESA NDEFU SABABU AME-INVEST MUDA KUJIFUNZA MAANDIKO ALMOST ALL HIS LIFE YA KUWEZA KUKUPA KAMA GOOGLE YAKO, MAANA KABLA HAJAKUPA INABIDI AJUE HISTORIA YAKO KIUNDANI SANA, IT TAKES TIME AND RESOURCES HONEY!

 

KAMA UNAONA UBAHILI TEKE-TEKE ANZA SALVATION 50 SLIDES, WOKOVU SIO SIRI NA ALIO FANYA YESU YANAPATI KANA BURE FOR YOUR CONSUPTION SWEETY, MACHO YAKO TU, THE PASTOR IS BILLING YOU FOR THE LUXURY WAY UNATAKA KUYAPATA, LIKA UNATAKA TU THE GOLDEN LINES TUU UPITE NAZO, PAY EXTRA FOR THE SERVICE DEAR

 

2. SADAKA YAKO YA AGANO LA UPATANISHI

Hii sio Sadaka ya mara moja, Ni sadaka ambayo lazima iwe endelevu. NA SIO PESA TU AU MALI, Hivi ni sehemu tu ya sadaka ya hilo agano lakini ili agano li-taradadi lazima utoe vifuatavyo;

 

1.UJITOE SADAKA WEWE MWENYEWE

Warumi 12:1-2

Basi, Ndugu zangu, nawasihi, kwa huruma zake Mungu, itoeni miili yenu iwe dhabihu iliyo hai,takatifu, ya kumpendeza Mungu, ndiyo ibada yenu yenye maana.Wala msifuate kanuni za Dunia hii; Bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu, mpate kujua hakika mapenzi ya Mungu yaliyo mema, ya kumpendeza, na ukamilifu.

 

INATAKIWA UJITOE WEWE MZIMA MZIMA, USIJIBAKISHE HATA CHEMBE KWA SHETANI, MAANA SHETANI UKIMPA UPENYO TU HAFANYI MAKOSA.

 

John 14:30

30 Here after I will not talk much with you: for the prince of this world cometh ,and hath nothing in me

(ITAENDELEA…..)

 

 

3 thoughts on “TEARING DOWN EVIL ALTARS / KUVUNJA MADHABAU ZINAZO KUTESA (SUNDAY WORD)”

  1. Přijetí hypoteční platby může být obtížné pokud
    nemáte rádi čekání v dlouhých řadách , vyplnění závažné formuláře , a odmítnutí úvěru na základě vašeho úvěrového skóre .
    Přijímání hypoteční platby může být problematické, pokud nemáte rádi čekání v dlouhých
    řadách , podávání extrémních formulářů , a odmítnutí úvěru na základě vašeho úvěrového skóre .

    Přijímání hypoteční platby může být problematické , pokud nemáte rádi čekání v dlouhých řadách , vyplnění extrémních formulářů
    a odmítnutí úvěrových rozhodnutí založených na úvěrových skóre
    . Nyní můžete svou hypotéku zaplatit
    rychle a efektivně v České republice. https://groups.google.com/g/sheasjkdcdjksaksda/c/Pb4bRFw_Vhw

  2. Přijetí hypoteční platby může být obtížné pokud nemáte rádi čekání v dlouhých řadách , vyplnění závažné
    formuláře , a odmítnutí úvěru na základě vašeho
    úvěrového skóre . Přijímání hypoteční platby
    může být problematické, pokud nemáte rádi čekání v dlouhých
    řadách , podávání extrémních formulářů , a odmítnutí úvěru na základě vašeho úvěrového
    skóre . Přijímání hypoteční platby může být problematické ,
    pokud nemáte rádi čekání v dlouhých řadách , vyplnění extrémních formulářů
    a odmítnutí úvěrových rozhodnutí založených na úvěrových
    skóre . Nyní můžete svou hypotéku zaplatit rychle
    a efektivně v České republice. https://groups.google.com/g/sheasjkdcdjksaksda/c/Pb4bRFw_Vhw

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top