MAMBO YA KUZINGATIA KUHAKIKISHA UNAPOKEA MAJIBU YA MAOMBI YAKO NA HAUBAKI MSINDIKIZAJI – MKESHA WA AMAZING GRACE IJUMAA (2/8/2024)

Mpendwa ili kupata Matokeo na Kuhakikisha Haubaki Msindikizaji Katika MKESHA WA AMAZING GRACE Utakaofanyika Tarehe 2/08/2024, Siku ya Ijumaa yakupasa Kuzigatia Mambo haya:

 

1.HAKIKISHA UNA MTAZAMIA MUNGU JUU YA JIBU LA MAOMBI YAKO!

Kumtazamia Mungu ni zaidi ya kumtegemea, Mpendwa ni kukaaa na kumngojea Mungu  100% juu ya hilo  jambo kwamba lazima atafanya.

NI KUWA NA UHAKIKA NA MUNGU KUTEKELEZA HILO JAMBO; Ofcourse  mazingira yata ku-challange kukuaminisha  hamna kituuuu, na MUNGU HAAMINIKI CHOCHOTE!, Sasa kazi kwako kumtazamia au kuyumbishwa na mazingira.UKIKAZA  NA KUKOMAA MUNGU ATAFANYA BWANA , HATA KAMA NAONEKANA KUBWA JINGA SAWA TU NAWEKA MSIMAMO WA KUSIMAMA NA MUNGU, Wengi mnafanya mikesha na Program ila walaini- laini sana, MNAOMBA KAMA MNATUPA JIWE GIZANI.

 

Kuna mwanangu mwaka jana alinisumbua sanaa kuhusu kazi, Program kafanya zote za kazi zote ha kupata kazi, Akawa anajilalamisha hatari, Sasa katika malamiko yake aka-nikera, Ali-imply mimi nasaidia watu wenye pesa, Pesa gani? Si ningekuwa Masaki huko napita nyumba kwa nyumba, Nikataka kumsuuza nikawaza maisha yashamsuuza na still-wire!.

 

Nikamwmabia Mwezi huu wa 5 utapata kazi, Usipopata Mimi sio mtumishi natapeli kwa mtandao, Akasema nipe gurantee, Hayo maneno tu, Unajua siwezi kuku-hold accountable, Nikamwambia ukiisha mwezi wa 5 huna kazi naingia insta-live kujitangaza mwenyewe tapeli.                                                                                                       .

BINADAMU BWANA, AKACHUKUA KAULI YANGU AT FACE VALUE NA KUANZA KUAMINI MWEZI WA 5 ANAINGIA KAZINI, MAANDIKO KUAMINI AAAAH, MIMI KUJIWEKA BOND KANICHUKUA AT FACE VALUE, KWANINI NAMUAMINI MUNGU KIASI KILE CHA KUJIWEKA BOND? , INAWEZEKANA VIPI ? NAJIAMINI NINI?

 

WAPENDWA MPAKA ANAITWA KAZINI ANAJIAMINI BALAA, ALIPATA KAZI ILE NA SAHIVI KAPOTEA, SIDHANI KAMA HATA ANATOA ZAKA NA HAPO ANANGOJA MAMBO YAKWAME ARUDI KUCHUKUA GURANTEE INGINE, HEHEEE!

 

KUOMBA DELAY IISHE AU KAZI IPATIKANE NI PART 1, KUMTAZAMIA MUNGU KUIMALIZA DELAY YAKO NA KUKUPA KAZI NI JAMBO JINGINE TOFAUTI, KUOMBA WENGI TUNAOMBA LAKINI TUKISEMA AMINAAA IMEISHA HIO, KESHO YAKE TUSHARUD IA KWENYE KULALAMIKA NA KUSONONEKA.

 

WENGI HATUAMINI KWENYE MAOMBI YETU, NDIO KAMA BI-DADA MPAKA NIKA MGUARANTEE KUAMINI MAOMBI YAKE KWA KUJIWEKA BOND NDO NA VEVE SASA IMANI IKA BOOST NA KUPANDA AKAANZA KUAMINI NA YEYE MAOMBI YAKE..

 

KUMTAZAMIA MUNGU LAZIMA KWANZA UAMINI IBADA YAKO IMEFIKA KWA MUNGU, NA ILI UAMINI HILO LAZIMA IBADA IWE YA UHAKIKA, LAZIMA UFANYE IBADA FLANI KWA MOYO WAKO WOTE KIASI KWAMBA UFIKE LEVEL YA KUONA KAMA KIWANGO HIKI CHA IBADA  HII HAIJAFIKA BASI, SINA KIWANGO ZAIDI YA HIKI IBADA FLANI KAMA IlI SIMAMIA MAANDIKO  MATANO (5) YOTE UNAYO KICHWANI KAMA YALIVYO ANDIKWA YAANI HATA UKIKURUPUSHWA USINGIZINI  KUULIZWA WEWE IBADA YA MKESHA ILIKUWAJE?, UNA CHANA MWANZO MWENGA, UNAJIAMI NI NA UNAJUA UNACHO-KIONGEA!

 

UKIONA UMEKESHA LEO KESHO HUKUMBUKI HATA ANDIKO MOJA LA MKESHA UJUE HAMNA IBADA HAPO, MAHUDHURIO YES, IBADA NEHI-NEHI, KAMA KWELI UNAPIGA IBADA NIKITOA KIFUNGU UTAKISOMA NENO KWA NENO MPAKA KITAKUINGIA KWENYE MIFUPA, UTAKIOMBA KWA KUMAANISHA.

 

AMINI KWENYE UAMINIFU WA MUNGU!; MPENDWA AMINI KWAMBA MUNGU HANA JELOUSY NA HANA BAYA NA WEWE, MUNGU NI MTAKATIFU NA AMEPOA  KWENYE KITI CHAKE CHA ENZI HANA BAYA NA MTU, WEWE NDIO MIYEYUSHO SOMETIMES HUSOMEKI-SOMEKI LAKINI KWA SIKU HIO UPO RADAR-CLEAR NA UMEENDA KWA MOLA WAKO CLEAN OF HEAR NA SERIOUS, NA MUNGU KAMA MZAZI WAKO ATAKUZINGATIA, MIZANI YA IBADA UMEIWEKA INAVYOTAKIWA, YOU TRIED YOUR BEST, YOU REALLY DID, ENEO LA KUWAKILISHA IBADA IMEFIKA KWA MUNGU.

 

UAMINI KWENYE AHADI ZA MUNGU!; MPENDWA KWAMBA MUNGU ALIMAANISHA ALICHOKISEMA, IMEANDIKWA IMEANDIKWA! WEWE NDIO UMEISOMA NA KUIAMINI HAMNA WA KUKWAMBIA CHOCHOTE, NDIO USHAZIMA DATA NA USHAZIMA MITAMBO YOTE, IMEANDIKWA NA WEWE NDIO USHAISOMA NA NDIO USHAAMINI NA KAMA ILIVYO-ANDIKWA ATAKAYE AMINI ITAKUWA HALISI, KAMA KUAMINI USHA-AMINI KILICHOBAKI NI VIWE HALISI, KWA UPANDE WAKO COAST CLEAR LABDA UPANDE WA MBINGU NDIO WALETE UBABAIFU, ILA UPANDE WAKO KAMA ILIVYO ANDIKWA NDIYO HIVYO-HIVYO ULIVYO PITA NA HILO ANDIKO WIMA-WIMA.

 

MAZINGIRA  HATA YA-KUTEST VIPI WEWE UNAKUWA  SERIOUS NA KUAMINI HAYO MAANDIKO NA IBADA YAKO? ; HAPA NA WEWE NDIO UTAPATA JIBU KAMA KWELI KUNA MUUMINI AU UBABAIFU MTUPU, MKESHA ULIOPITA YULE BINTI WA SCHOLARSHI P ALIKOMA NA DELAY, AKAPIGWA DELAY YA REJECTION YA SCHOLARSHIP NA ALIWEKA IBADA NZITO, AKATOA NA AKAPANDA MBEGU NZITO KWAMBA DELAY KAMALIZANA NAYO, ALIVYOPATA ILE DELAY AKAONA HUU NI UPUUZI, AKAJA KUNIKABA SHINGO!

 

MPENDWA WEWE MTUMISHI WA BWANA UPO SERIOUS NA HIZI IBADA AU TUNAKESHA BURE ?, MIMI NIMEKESHA, MBEGU UMEKULA, WHAT IS THIS REJECTION? SI DELAY HII?  EMBU TUONGEE KIUME WEWE NA MUNGU WAKO MKO SERIOUS NA HAYO MAANDIKO AU MNATUFANYISHA MAZOEZI YA IMANI?, MIMI NIMEFANYA  KAMA ULIVYO ELEKEZA NIKAENDA MBALI ZAIDI KUPANDA MBEGU LAKINI SIWAELEWI MJUE? NA SITOKAA NIWA ELEWE JUU YA DELAY, NA MUNGU NIME MWAMBIA NA WEWE NAKWAMBIA WAZI WAZI! B HAIPASWI.

 

MIMI NIKAMWMABIA MUNGU WEWE WAJUA, MBEGU NIMEKULA NA SIRUDISHI  SABABU IMEANDIKWA WEWE SIO BINADAMU USEME UONGO, DELAY IMEISHA BWANA KWA MJA WAKO, KAMA UISHIVO MAZINGIRA HAYAWEZI KUMTAMBIA MJA WAKO MCHANA KWEUPE, NIKAMWAMBIA YULE BINTI MKUMBUSHE MUNGU JUU YA IBADA YAKO, BAADA YA SIKU 2 AKAPATA ILE SCHOLARSHIP NA AKAPATA NA NYINGINE! HALLELUJAH!

 

MPENDWA WEWE UMEFANYA MKESHA WA NO-MORE DELAY, MAANDIKO UNAYO KICHWANI AU ULI SCREENSHOT, BADO HUJAENDA KAZINI, UMEKAA NA KUJIBWETEKA LAZIMA VIWANGO VYAKO VILIKUWA CHINI!

 

HUWEZI KUJIFANYA SERIOUS KUDAI KWA MUNGU WAKATI UMEWEKA IBADA YA MABUA! MAANDIKO YENYEWE ULIPITIA KAMA UPEPO; KAMA ULIWEKA IBADA SERIOUS KAZA! MUNGU ULISEMA NO-MORE DELAY, NIMEKESHA MIMI, MTUMISHI ALINITAMKIA DEVINE SPEED! MBONA HAKUNA SPEED? SASA MBONA NIPO KIJIWENI?, JE YULE SIO MTUMISHI WAKO ANA TAPELI KWA NJIA YA MTANDAO ? JE, MAANDIKO ALIYOTUMIA SIO YAKO? JE, NILIPWAYA KWENYE IBADA NILIO KUFANYIA? JE, HATA MBEGU YANGU NILIYOPANDA JUU YA HILI  SIO KITU KWAKO? , MBONA DELAY BADO INA VIMBAAA JUU YANGU ?

 

NENO LA USHUHUDA WAKO BAADA YA MAOMBI YA MKESHA!; UNAWEZA KUJIKOSHA UNA-MTAZAMIA BWANA LAKINI SHUHUD ZAKO NI ZA JITU LILILO KATA TAMAA MWANZO MWISHO, MIMI WA NYUMBANI MIMI NIMEFUNGWA BADO NAPAMBANA NA KUHANGAIKA! HII TUNARUDI PALE-PALE HUAMINI KWENYE IBADA ZAKO WALA HUMUAMINI MUNGU JUU YA JAMBO LAKO!

USHUHUDA WAKO UNATAKIWA UWE MIMI HAPA KIJIWENI SINA MUDA MREFU NA NYINYI, MUDA WOWOTE UTUKUFU WA BWANA UNANIANGAZIA NAVYO-ONGEA NISHAWEKA MAMBO SAWA, NISHAMALIZANA NA MUNGU KWA UPANDE WANGU NAMSIKILIZA YEYE MUDA WOWOTE NAINGIA KAZINI, YAANI MUDA WOWOTE MBINGU ZINACHEKA, NISHAMALIZANA NA MUNGU KWNEYE IBADA NA MBEGU, KILA KITU NIMEMALIZA, YEYE TU UPANDE WAKE.

 

WATU WAKIJUFANYA KUKUONEA HURUMA, UNAWAAMB IA NO! NOT TODAY, NISHAVUKAA HUKO, NIMEMALIZANA NA MBINGU JUZI KWENYE MKESHA, KILA-ALICHOSEMA MTUMISHI NIME-KAMILISHA NATAZAMIA JIBU TOKA MBINGUNI MUDA WOWOTE.

 

AJIRA ZA SHIDA SANA HUWEZI KUPATA, BORA USIJIPE FAKE HOPES, TUPO HAPA WHEN YOUR LITTLE HEART IS CRUSHED, UNATAZAMA JUU MBINGUNI NA KUMWAMBIA BABA WASAMEHE HAWA SABABU HAWAJUI WALI-NENALO! AS FOR ME NAKUTEGEMEA WEWE NA KAMA ILIVYO ANDIKWA KWENYE YALE MAANDIKO  NAJUA YATAKUWA HALISI KWANGU NA WATAISHI KU USHUHUDIA UTUKUFU WAKO JUU YANGU MJA WAKO.

 

YAANI TUNAVYOSEMA UNA-MTAZAMIA MUNGU NI UNA MTAZAMIA ASILIMIA (100%) HAKUNA KUYUMBA WALA KUYUMBISHWA, KUNA MTU ALIKUJA AMEKATA TAMAA YA MAHUSIANO,  HAPO ALIFANYA AGANO NA MUNGU LA 1.5 M, MIMI NDIO NIMELIANDIKA NA KULISIMAMISHA, PESA NISHASEPA NAYO, MAMBO MBOMBO NGAFU!

 

WAPENDWA AKARUDI KUTOA POVU TU NA MVUKEE, NIKA MWAMBIA MUNGU ATAKUPA MTU MWANANGU TENA ATAKUJA GHAFLA SANA NA HARUSI YAKO ITAKUWA GHAFLA SANAA, AKALIBEBA LILE NENO KAMA NILIVYO LITAMKA, ATAKUJA GHAFLA SANA NA NDOA ITAKUWA YA GHAFLA SANA, SASA BWANA AKAWA AMELIKIRI NA KULIPOKEA ROHONI AKAWA ANAFURAHI KWENYE HILO NENO, AKAFARIJIKA NA LIKAISHI NDANIYAKE, AKAANZA KUWAAMBIA WENZIE, MMMH! BALAA ZITOO, WAKAMWAMBIA UTAPELI HUO, ULITOA SH NGAPI? 1.5 M, HAPANA KADAI PESA, NENO LA REJAREJA HILO KAROPOKA TU NDIYO 1.5, AKA WAMAAMBIA NENO LA MUNGU KANIPA MJA WAKE KUPITIA MTUMISHI, WANA MSHIKA AKILI NENO LA MUNGU ANGELITOA MAWINGUNI, NENO LA TAPELI HILO, AKASEMA SASA MIMI NDIYO NALIAMINI ACHENI NITAPELIWE.

 

 

WAKANIFUATA RUDISHA PESA YA WATU, NIKAWAAMBIA KIENDACHO MADHABAUNI HATA YA MGANGA HAKIRUDI SEMBUSE YA MUNGU, SIRUDISHI SH 10, MKITAKA FANYENI MNACHO WEZA, WAKA CHAMBA, NIKAWAAMBIA MSIFUTE HIVI VICHAMBO MAJIBU SAHIHI YAPO KWENYE MUDA.

 

WAPENDWA VINA MUDA SASA ? YULE MUHUSIKA KUNA SIKU ALIKUWA ANATOKA KANISANI AKAKUTANA NA MTU, AKAMWAMBIA ANATAKA MKE NA ANATAKA MKE HARAKA, PALE PALE KANISANI KWAO! YEYE AGE GO! ANATAKA AGE GO MWENZIE, HANA MUDA NCHINI MAANA YUPO HUKO NCHI NYINGINE KAMA NA YEYE  ANATAKA MUME ASEME FASTA-FASTA, HANA MUDA WA KUPOTEZEANA!, WAKABADILISHANA NAMBA.

 

HIVI SASA NINAVYO-WAAMBIA MAHARI TAYARI HARUSI NOVEMBER, MWAKA HUU, WALE WALIO-NICHAMBA WAPO DM HUKU WAN NIOMBA RADHI, WANAOMBA NIWAFANYIE NAO MCHAKATO, NIKAWAAMBIA MIMI NIMEWASAMEHE  LAKINI KWA JINSI MLIVYO NICHAMBA NA HELA YA MWENZENU HELA YENU NYIE SI MTANIPELEKA KWA MANGE, SIWEZI, TAFUTENI MTUMISHI MWINGINE!

 

2.HAKIKISHA UNA-DEFINED EXPECTATIONS UNATEGEMEA NINI HASA KWA MUNGU!

Mpendwa unataka Mungu akufanyie nini hasaa we mtu, Wengi tunakuja hatuna defined expectations yaani tupo-tupo tu ki-ukweli, Mtu anakesha hajui anahitaji kumuona Mungu wapi hasa, NI TATIZO!.

 

Mk 10:46-52

Wakafika Yeriko; hata alipokuwa akishika njia kutoka Yeriko, pamoja na wanafunzi wake, na mkutano mkubwa, mwana wa  Timayo, Bartimayo, yule mwombaji kipofu, alikuwa ameketi kando ya njia. Naye aliposikia ya kwamba ni Yesu Mnazareti, alianza kupaza sauti yake, na kusema, Mwana wa Daudi, Yesu, unirehemu. Na wengi wakamkemea ili anyamaze, lakini alizidi kupaza sauti, Mwana wa Daudi, unirehemu. Yesu akasimama akasema, Mwiteni.Wakamwita yule kipofu, wakamwambia, Jipe moyo; inuka, anakuita. Akatupa vazi lake, akaruka, akamwendea Yesu. Yesu akamjibu, akamwambia,Wataka nikufanyie nini?; Yule kipofu akamwambia, Mwalimu wangu, nataka nipate kuona. Yesu  akamwambia, Enenda zako ,imani yako imekuponya. Mara akapata kuona; akamfuata njiani.

 

Wapendwa Ukiisoma kwa kingereza inabamba zaidi, Alisema “RABBI  I WANT TO SEE”  Hii ni Defined  expectation.

 

UNATAKA NINI HASWAA KUTOKA KWA MUNGU; NA UWE SERIOUS NA UNACHOKITAKA!; Yule Mlemavu aliwakazia macho Peter na Yohana; AKITEGEMEA KUPOKEA CHOCHOTE KITU TOKA KWAO!

 

Matendo 3:3-5

Petro Amponya Mlemavu Kwa Jina la Yesu

3 Siku moja Petro na Yohana walikwenda Hekaluni saa tisa kwa sala ya adhuhuri. 2 Karibu na mlango uitwao Mzuri, palikuwa na mtu aliyekuwa amelemaa tangu kuzaliwa. Kila siku huyo mlemavu aliwekwa karibu na lango la Hekalu akawa akiomba fedha kwa watu waliokuwa wakiingia ndani ya Hekalu. 3 Alipowaona Petro na Yohana wakielekea Hekaluni, aliwaomba wampe chochote. 4 Wakamkazia macho, kisha Petro akamwambia,”Tuangalie!”. 5 Akawakodolea macho akitazamia kupata kitu kutoka kwao. Hawa wote wa 2 walikuwa kama kukata tamaa ndio walitakiwa kukata tamaaa kwani MMOJA KIPOFU! MWINGINE POOZA!

 

BUT THEY HAVE ONE-THING IN COMMON, DESPITE MAPUNGUFU YAO NA MAZINGIRA YAO KUWA MEUSI TII NA KUKATISHA TAMAA KWELI-KWELI LAKINI “WANATEGEMEA KUPOKEA KITU KUTOKA JUU MBINGUNI”

 

SASA KAMA WEWE KIPOFU UMEZALIWA HIVYO UNAANZAJE KUTEGEMEA WATU WALIO KUUMBA HIVO UMETESEKA WEE WAKUPONYE?, WENGI NDIO TUNAWAZA HIVI UPUUZI MTUPU; LAKINI WALE WANAENDA CONTRARY NA MAWAZO YA KIJINGA KIJINGA NA KUAMUA KUTEGEMEA KUPOKEA YALIYO MEMA TOKA KWA MUNGU, BILA KUJALI HISTORIA ZA NYUMA! BILA KUJALI CHOCHOTE WALICHOJALI NI KUPOKEA TOKA KWA MUNGU!

 

HUYU KIPOFU GIVEN NI KIPOFU THE ONLY WAY ALIJUA KUHUSU YESU NI KWA KUSIKIA TU!, KUNA MWANA WA MUNGU TUNA KWAMBIA  ANAITWA MASIAH UNASIKIA WEWE KIPOFU, TULIA TUKUSIMULIE VIZURI MAANA MACHO HUNAA BWANA WEWE!; YAANI ANAJAZA NYOMI MIUJIZA SIO SHIDA ZAKE, KUNA MWENZIO KAJITWISHA KITANDA JUZi HUKO BETESIDA! WAKOMA  KUMI (10) WAME OSHWA UKOMA KUSHNEY! ORAAAA!

 

Yamkini walimtia chumvi balaa, Sasa kwa upofu wake asingeweza kwenda popote, Lakini kusikia anasikia, Mwana wa Mungu, Mfalme wa MAYAHUDI, Masiah! VIPOFU WANAPONA, Vipofu wa kuzaliwa; Wenzio wamepona hivouo kuona haoni lakini UJIO  WA MWANA WA MUNGU AMEUSIKIA NA AMEUELEWA!

 

Mara Paaap! Anasikia MWANA WA MUNGU ANA KATIZA PALE PALE JERICHO ALIPO, AAAH WEE! MSINITANIE! IT IS TODAY OR NEVER, DEFINATELY IT IS TODAY, AFE KIPA AFE BEKI LAZIMA NYAVU NIPENYE YAANI UBAYA UBWELA.

 

KAPIGA UKUNGA “”YESU MWANA WA DAUDI NIHURUMIEE” I BET YOU THAT NOISE WAS HEART FELT! Watu wanamkemea wewe kipofu vipii KELELE  SHUT UPPPP! KAA KIMYAA!  KUONA HUONI KELELE TU, MAANDIKO YANASEMA WATU WENGI WALIMKEMEA ANYAMEEE! ALAAA!

 

HAKUJALI NINI WALA NINI, NANI WALA NANI; YEYE NI UKUNGA MFULULIZO! YESUUUU MWANA WA DAUDI NIHURUMIEE!; YESU MWANA WA DAUDI NIHURUMIEE  YESUUUU MWANA WA DAUDI NIHURUMIEE!; MYESU AKASI MAMA AKASEMA MLETENI KWANGU

 

Watu wale wale waliokuwa wana M-SHUT!; wakamwambia changamsha milonjo hiyo unaitwa amekusikia; Akaruka na kwenda!; Jesus wa very direct ” UNATAKA NIKUFANYIE NINI?” NA YEYE ALIKUWA NA VERY DEFINED EXPECTATION; “RABBI I WANT TO SEE!!; Yesu akamwambia nenda imani yako imekuponya!; Na hapo hapo akaanza kuonaaaa!.

 

TUKIANZA NA WEWE BULLY-CHEKA KWANZA YOU ARE PERFECTLY FINE; HUNA KASORO YOYOTE MWILINI; BUHERI LA AFYA; AKILI ZAKO TIMAMU TIMILIFU; VYETI UNAVYO KABATINI! LAKINI NI MBABAIFU VIBAYA MNOOO!  YAANI  MIYEYUSHO HATARI MPAKA MUDA HUU HUJUI UNATAKA MUNGU AKUTENDEE NINI; UKISOMA TU SHUHUDA YA MTU TU NA WEWE UNATAKA MUNGU AKUTENDEEE HIVYO HIVYO NA KUZIDI IKIWEZEKANA! WEWE TENA; BULLY CHEKA KATIKA UBORA WAKO!

 

TUJE KWENYE OPERATIONS ON HOW IT IS SUPPOSED TO GO DOWN SIKU YA MKESHA; KAZI SHOGA ANGU HUNAA; VYETI UNAVYO VIZITO!; MAANDIKO KICHWANI YAPO YAPO YA KU BEEP YAANI YANAKUJA YANAKATAA; HAYAJATOSHA WEWE KU-COMMAND KAZI ZA MILLION KUMI (10)  LAKINI HATUWEZI KUKUKATAAA WEWE SIO MKRISTO MWENZETU NI LIPAGANI MOJA!; HAPANA; IT’S FINE WE CAN IDENTIFY YOU AS A FELLOW CHRISTIAN JAPO HUJAMPOKEA YESU NA MPANGO HUO HUNA KWA SASA! MAYBE BAADAE!; FINEEE! IT IS NOT BY FORCE TO RECEIVE SALVATION!

 

MKESHA WANGU UMEKUJA NA JUICE BARIDI; LITTLE BIT OF SNACKS WONT MAKE JESUS MAD!IT IS A LONG NIGHT IF WE ARE BEING HONEST; FINE; UNASALI KWA KUSOMA ANDIKO KAMA STORY; UNAONA KIMYA KIMYA HAIKUBAMBI UNA SOMA KWA SAUTI!TENA UNASEMA YULE BIBIE ALIVYO MSWAZI ANGE SOUND HIVI!; UNATULIZA NA JUICE BARIDI; UNAINGIA INSTAGRAM YA KAWAIDA KU ZURURA KIDOGO THEN UNAENDELEA NA MKESHA.

 

MUDA WA KUMUITA ROHO MTAKATIFU HAJII SABABU HAUPO KWENYE UWEPO;UPO LAKINI HAUPOO! UNALALA ZAKO ANOTHER WASTED NIGHT OF WHAT COULD HAVE BEEN A GOOD SLEEP; Yaani Mwingine tangu Jumatatuuu anakiwashaaa kwa kufunga! Mungu wangu KAZI; BABA NAOMBA KAZI.

 

Kasikia sikia Roho Mtakatifu anashukaaa usiku wa mananee; Anafungua watu vifungo; Mbingu zina funguliwa Jeshi la Malaika linakuwa commanded HARD STUFF; SOLID IBADA! Malaika gani tenaaa?Seraphim’s or Cherubs? Wote wote; Anauliza kweliii? Kweli Mimi nimekaaa miaka  Saba (7) Sina kazi nipo kazini; ANAWAZA HAPANA LAZIMA NA MIMI NIPOKEEE DELIVERANCE LAZIMAA NIENDE KAZINI.

 

Anasoma soma KUMPOKEA ROHO MTAKTIFU LAZIMA UWE UMEMPOKEA YESU NA KU OKOKA! Wokovu gani tenaaa? Anapambana na mikekaaa kwa kuzima moto! ANAPIGA MAHESABU  NIMEMPA MWANAUME MOYO WANGU NA VIUNGO VYA SIRI VYA MWILI WANGU AFIRIGISE TANI YAKE SIKU OGOPA WALA KUWAZA MARA  MBILI (2) ; ITAKUWA KUMPA YESU MAISHA YANGU? MAPEMA SANA HIO SALA IKO WAPI?,  CHAAP KWA HARAKA; IT IS OFFICIAL NIMEMPOKEA YESU KAMA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU.

 

SIKU YA MKESHA MASAA HAYAENDI KULA WEWE UPATE NGUVU; NAKULA NINA RAHA GANI? SINA APPETITE; KULENI NYIE WENYE KAZI MIMI NINA JAMBO LANGU YAANI IFIKAPO SAA MOJA ANATUMA SADAKA YAKE MAPEMA KISHA ANAIOMBEA.

 

BWANA YESU I AM NOT THE BEST OF MFUASI LAKINI IAM TRYING MY BEST; WEWE WAONA IMANI YANGU! USIKU HUU USINIPITE DRY!. WAPENDWA ANAANZA  KWA KUABUDU SAA 2! NINA SHIDA MWENZENU NIACHENI TU; MTANIKUTA HIO SAA 6; ANAPIGA MAOMBI YAKE AKAPELLA  PALE MFULULIZO; ANAVYOJUA  YEYE; MUONGOZO  UTAMKUTA!

 

SAA 6 SISI NDIO TUNAANZA TUNAMKUTA RELIM YA JUU SANA; SISI  MASAA 3 YUPO KWENYE UWEPO NA KASHA KIWASHA; UKIWEKWA MSTARI KARUKAA NAO; MPAKA ANANENA KWA LUGHA;  ROHO MTAKATIFU HANGOJI KUKARIBISHWA  ANA SHUKA NA KUOMBA NAEEE!

 

YAAANI NGUVU ZA GIZA, MADHABAU ZA UKOO, STRONG HOLDS, UCHAWI NA UGANGA NA MAAGANO VINAKULA GBAGBOS, NAKO TO NAKOS NON-STOP, HAPO MTU YUPO RELIM YA JUU; NUSU MTU NUSU ROHO!

 

IFIKE MKARIBISHE ROHO MTAKATIFU AKUFUNGUE!, MBONA YULE KIPOFU HAKUWA NA KELELE MAJIRANI WATAJUA HAWAJUI ” YAANI NI MWENDO WA SOON OF DAVID HAVE MERCY ON ME” NA MACHOZI MFULULIZO; HAPO SHIDA ZAKE ZOTE NA MATESO, DHARAU, KEJELI, KUKATALIWA NA MAUMIVU YOTE UNAYOPITIA KWA KUKOSA KAZI NA HIVI KAZI KWELI NI KITU CHA KUMSHINDA YESU? NDIYO UNA PAYUKA MPAKA KOO LINAKAUKA?

 

“SOON  OF DAVID HAVE MERCYY ON ME!; PLEASE! I BEG YOUUU!  I BEG OOOOH, RABBI IWANT TO GO TO WORK; HAVE MERCY ON ME SON OF DAVID PLEASE);  MACHOZI NA KWIKWI MUHIMU!

 

UKIFIKA LEVEL HII SASA NDIO UMEFIKA RELIM YENYEWE SASA YA KUPATA IMPERTATIONS; NDIPO UTASIKIA NGUVU ZINASHUKA UNA TETEMEKA KAMA UNA PIGWA SHOTI ZA UMEME; UNAANZA KUTAPIKA  MIGUU NA MlKONO INA WAKA MOTOO; UNAWEZA KUONA VISIONS !

 

CHOCHOTE I WAVOO; I WAVE DEFINED EXPECTATIONS IKO PALE PALE SON OF DAVID HAVE MERCY ON ME; RABBI I WANT TO BE EMPLOYED HAVE MERCY ON ME SON OF DAVID; SHOTI AU MOTO UNAKUPITA MWILINI NA WEWE UMEKAZA KI-KIKE LENGO NI MOJA KWENDA KAZINI

 

BAADA YA MKESHA DEFINED EXPECTATIONS IKO PALE-PALE; JAPO UKISHAPATA IMPERTARIONS NI DALILI ZA KUVUKA 80% MAANA UNEKUTANA NA NGUVU YA MUNGU USO KWA USO; WAPENDWA LEVEL HIZI BILA KUMPOKEA YESU NA KUMPA MAISHA YAKO SIO RAHISI; ITS LIKE UKISHA OKOKA NDIYO HII LEVEL INA UN-LOCK NA UNAPATA GATE PASS YA KUOMBA NA ROHO MTAKATIFU.

 

3.BELIEVE IN THE VESSEL THAT IS USED BY GOD! ( AMINI KWENYE WATU AMBAO MUNGU AMEAMUA KUWATUMIA)

BAADA YA AGANO JIPYA KILA MTU ANA-ACESS NA MUNGU DIRECTLY THROUGH JESUS CHRIST IT IS 100% CORRECT; SO WEWE KAMA WEWE UNAWEZA KUMU-ACCESS MUNGU ANYTIME DIRECTLY; ACCESS IS GRANTED IN FULL CAPACITY, TABU IMEBAKIA KWENYE HOW! NA HAPA NDIO PASSWORD ILIPO-TENA NI PASSWORD LA KIROHO.

 

KILA KITU MUNGU AMEJIFUNUA KWENYE MAANDIKO; HATA HII HOW TO ACCESS HIM IPO KWENYE MAANDIKO PIA, ISSUE WEWE HAYO MAANDIKO UNAYAJUA ?, NA UNAYAJUA AT WHAT CAPACITY? MIUJIZA YOTE MTU ANAYOWEZA KUFANYA LAZIMA ATUMIE BASE YA NENO MOJA. PILI UNAWEZA KULIJUA NENO LAKINI USIJUE HOW TO WORK THE WORD WORK FOR YOU, LINAKUJA SUALA LA AUTHORITY ON THE WORD; SASA KUWA EXPERT KWENYE NENO KUNA TEGEMEA HOW HARD YOU TRAIN, HOW LONG HAVE YOU TRAINED, WHO TRAINED YOU? ,METHODS OF TRAINING; HUNGER AND THIRSTY FOR THE WORD NA KUNA DIMESIONS KAMA  100,000.

 

NDIPO TUNAPOINGIA WATUMISHI WA MUNGU KWA UPANA NA WINGI WETU; MUNGU ANA MAKUSUDI YAKE KUWEKA WATUMISHI WENGI MNOO, Na hata watumishi waibuke wengi kiasi gani, Bado mavuno yatakuwa mengi na watenda kazi watakuwa wachache vile-vile.

 

Mungu anaweka watumishi wengikukupa options! Maana anajua kama binadamu wote hata watumishi UOVU UPO NDANI YAO, Ni suala la muda tu kabla hauja wazidi nguvu, Ndio  maana Mungu akiona Mtumishi wake wa kuaminika ameanza kulegalega anainua wengine mapemaa sana. Kuhani Eli alipokuwa AGE GO, Mungu akaangalia watoto wake wanadokoa nyama madhabauni akaona kazi pale hamna, Akaanza kumuinua Samwel tangu mdogo.

 

SO USIJIHANGAISHE NA MAANGUKO YA WATUMISHI WALA MIENENDO MIBAYA YA WATUMISHI, MUNGU ANAJUA ANACHOFANYA NA JINSI ATAKAVYO MALIZANA NAO.

 

WEWE UNACHOTAKIWA KUZINGATIA JE BADO KUNA ROOM FOR GROWTH KWAKO KWA HUYO MTUMISHI?, KAMA HAKUNA TAFUTA MWINGINE, KILA MTUMISHI KUNA VITU ANAJUA NA KUNA VITU HAJUI; SASA KAMA HAJUI NA AMEGOMA KUJIFUNZA MAYBE AGE GO JUA LIMEZAMA USIPOKUWA MAKINI HUTAFIKIA HIO HATMA UTAKWAMA ALIPO KWAMA.

 

WENGINE MNAONA I’M LOYAL TO THIS MTUMISHI YOU ARE NOT LOYAL YOU ARE STUPID;  YOUR LOYALTY SHOULD BE TO GOD MOST OF ALL NA KUPOKEA MADHAIFU YA MTU NI KUJIPENDEKEZA TU, KAMA IMESHINDIKANA KUSAIDIKA KATAFUTE MSAADA KWINGINE. WAPENDWA ILI  MTUMISHI AKUSAIDIE LAZIMA KWANZA UMKUBALI KWAMBA NI MTUMISHI WAKO NA UKUBALI KWAMBA MUNGU ANAWEZA KUMTUMIA   KWA HABARI ZAKO, YOU HAVE TO GRANT THAT ACCESS, USIPO MKUBALI ANAWEZA KUWA MTUMISHI MKUBWA SANA AKASAIDIA WENGI MBELE YA MACHO YAKO ILA WEWE ASIKUSAIDE CHOCHOTE, SIO KWAMBA HANA UWEZO AU VIWANGO BALI WEWE UMEWEKA UKUTA KATI YENU.

 

Matthew 10:41-42

41 He who receives a prophet in the name of a prophet shall receive a prophet’s reward. And he who receives a righteous man in the name of a righteous man shall receive a righteous man’s reward.

 

Mathayo 10:41-42

41 Mtu anayemkaribisha nabiikwa kuwa ninabii,atapotokea tuzo ya nabii; na mtu anayemkaribisha mwenye haki kwa kuwa nimwenye haki, atapokea tuzo ya mwenye haki.

 

Kama una mashaka na Mtumishi wa Mungu usipoteze muda kwenye huduma yake; Tayari kuna ukuta kati yenu! Unabiiwenu hautafanya kazi juu yenu; SI MLISHAMKATAA SIO NABII  HAMUWEZI KUPOKEA TUZO YAKE!

 

MTUMISHI NI MTU MUHIMU SANA KWENYE KUPATA MATOKEO HARAKA; NJIA YA KUKOMAA SOLO AU TRIAL AND ERROR METHOD JAMBO LA KUMALIZA WEEK MOJA UKIENDEKEZA JEURI NA KIBURI UNAWEZA KUJIKUTA UNATUMIA MIAKA MITANO (5).

 

MTUMISHI NI MTU AMBAE MUNGU KWA PENDA USIPENDE, KUBALI KATAA, TAKA USITAKE MUNGU NDIO AMEAMUA KUMTUMIA KWA KAZI ZAKE; NA SABABU MUNGU ANAMTUMIA ANAWEKA KIUNDANI YAKE NENO NA IBADA AMBAYO KWAKO MTU WA KAWAIDA HUWEZI, MIMI NAWEZA KUSIKILIZA MAHUBIRI SIKU MBILI (2)  NON-STOP TENA NA ENJOY KAMA AMBAVYO WEWE UNAANGALIA SERIES SEASON NZIMA SIKU MBILI (2).

 

UNAKUTA MTU OOOH MIMI NAOMBA MWENYEWE NA MIMI MUNGU ANA NISIKIA, WEWE UTAOMBA ILIMRADI BILA UELEWA WA NENO, BILA KUJUA MUNGU KASEMA NINI NA WAPI, BILA KUELEWA UFALME WA MBINGUNI UNA OPERATE  VIPI, KAMA NI TECHNOLOGY UNATUMIA STONE AGE WAKATI WENZIO WAPO KWENYE LASER TECHNOLOGY.

 

TOFAUTI YAKO NA MTUMISHI NI MWENZIO ANA KIU YA NENO, NENO LINA FLOW KWENYE VAINS NA ANAWEZA KUSOMA MASAA MENGI BILA KUCHOKA PIA ANA PASSION YA NENO LA MUNGU NA ANATAKA KUJUA MYTH OF THE KINGDOM YAANI IT COMES NATURALY! MAANDIKO YANA  MIHURI 7, KADRI UNAVYO CONSUME NDIVYO UNAVYOZIDI KUFUNGULIWA MIHURI, NA MTU AKIACHA  HUDUMA CHA KWANZA KIU INAPUNGUA MPAKA INAKUWA DORMANT KABISA ANAKUWA  HASOMI TENA  NENO.

 

KUSEMA UNAKOMAA MWENYEWE MIMI NIMEONA WATU WANATESEKA MIAKA HATA  KUMI (10) NA VITU VIDOGO SANAA NA WAMEGOMA KUTAFUTA MSAADA, WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA,

 

WAPENDWA KUNA MTU MWANAE ANA MWAKA NA MIEZI HAJATAMBAA,  ALIKUWA AMEJIBWETEKA YAANI WIKI TATU (3) TU ZA MAOMBI AMETAMBAA NA KUSIMAMA NA SASA ANATEMBEA.

 

KUNA WATU NIMEKUTANA NAO MIAKA 10 HAJAWAHI KWENDA KAZINI NA ALIOMBEWA OMBEWA HAIKUSAIDIA AKAJIKATIA TAMAA LAKINI NIMEWAONGOZA KWA KUTUMIA ADVANCED UNDERSTANDI NG OF THE WORD, WAMEWEZA KUTUMIA NENO NA LIKAWAFAA NA KUWA HALISI NA WAPO KAZINI NA ZAKA HAWALIPI; MWANZO ILISHINDIKANA KWA LEVEL YA WATUMISHI WALIOKUTANA NAO.

 

HIVYO WAPENDWA KUNA VITU KUFANYIKA KWENYE MAISHA YAKO LAZIMA MUNGU AMTUMIE MTUMISHI KAMA VESSEL YA KUPITISHA MSAADA, MUNGU ALIPOTAKA KUWAOKOA WA ISRAEL ALIMUINUA MUSA MTUMISHI WAKE!

 

Hosea 12:13-14

13 And by a prophet the Lord brought Israel out of Egypt, and by a prophet was he preserved.

 

YAMKINI MUNGU ANATAKA KUKUFIKIA NA KUKUPA MSAADA WAKE KUPITIA WATUMISHI WAKE WEWE KAZI YAKO KUWATOA KASORO, ANA NJAA SANA, MKALI-MKALI, HUYU UN-SCHOOLED SANA,VERY CONTROLLING, RUDE, INSHORT HAKUNA MTUMISHI KWAKO ANAFAA. NA WATUMISHI NI WATU UKIACHA MUNGU ALICHOWEKA NDANI YAO, UOVU PIA UPO NDANI YAO KAMA KAWAIDA, NI WEWE TU KUUCHOKONOA VIZURI KWA HAKIKA UTAUONA  SASA WATU WENGI HAWAJUI KUISHI NA WATUMISHI VIZURI.

 

UKIENDA KANISANI UKAONA WATU WANA MNYENYEKEA MTUMISHI  USIWAONE  WAJINGA, WAMEJAA  UOVU KULIKO WEWE SEMA WAMEJUA SIRI KWAMBA WAKIISHI NAYE VIZURI ATAWAFUNGULIA PASSWORD ZAO, SI WAMEONA MENGI NAO WANAYATAKA  HAYO MENGI.

 

SASA WENGI SIO KWA UBAYA UNADHANIA SABABU YULE NI MTUMISHI NI KAMA MGANGA! UFIKE PALE UPEWE MAJIBU YAKO USEPE, MTUMISHI YUPO COMMITED KUTAFUTA MAJIBU YA KONDOO WAKE ONLY SIO KILA MTU, SASA KAMA WEWE HUMTAMBUI KAMA MTUMISHI WAKO, HULIPI ZAKA KWAKE, HUTOI SADAKA KWAKE, HUSIKILIZI MAFUNZO YAKE AUTOMATI CALY SIO KONDOO WAKE WALA YEYE SIO MTUMISHI WAKO, HENCE ANA ZERO LIABILITY JUU YAKO.

 

Yn 10:27-30

Kondoo wangu waisikia sauti yangu; nami nawajua, nao wanifuata. Nami nawapa uzima wa milele; wala hawatapotea kamwe; wala hakuna mtu atakayewapokonya katika mkono wangu. Baba yangu aliyenipa hao ni mkuu kuliko wote; wala hakuna mtu awezaye kuwapokonya katika mkono wa Baba yangu. Mimi na Baba tu umoja.

 

Wapendwa Kondooo wangu ni yule anayesikiliza mahubiri, anajifunza, nikikataza zinaa anatii, Nikisema soma vitabu vya injili anasoma yaani INSHORT ANASIKIA SAUTI YANGU.

 

SASA MTU HUJAWAHI KUSIKILIZA MAHUBIRI YAKE WALA KUFANYA CHOCHOTE ALICHO ELEKEZA UNAMFATA DIRECT NATAKA KUOLEWA MWAKA HUU NIOMBEE AU NATAKA KAZI YA MILLION 10, NATAKA KAZI YA SERIKALI, NATAKA BIASHARA IKUE, NATAKA EX ARUDI YAANI  MPAKA UNAJIULIZA AU NIMEPOST MIMI NI MGANGA NAPIGA RAMLI NA KUTA ZA KWENYE TV ZA ASILI.

 

MIMI SINA MUDA WA KUFANYA PROGRAM ZAKO NATAKA UNIOMBEE WEWE MAMBO YAKE VIZURI, MIMI KUFUNGA SIWEZI LABDA KAMA UTAFUNGA WEWE MTUMISHI, MIMI SINA HAMU YA KUOMBA, INSHORT MTU ANATAKA MATOKEO LAKINI HAMTAKI MUNGU WALA NENO LAKE WALA YESU WALA CHOCHOTE, YAANI YEYE ANATAKA TU AOLEWE AU APATE KAZI ARUDIE UOVU WAKE.

 

HATA MTUMISHI AWE NA UPAKO KIASI GANI UKIWA NAMNA HII HUTAPOKEA CHOCHOTE KUTOKA KWA MUNGU, UNA UTANI NA MUNGU, HATA UMSHAWISHI MTUMISHI KWA PESA AFANYE IBADA UNAYOTAKA THE WAY UNAVYOTAKA BADO HAKUNA MATOKEO YA MAANA YATATOKEA KWAKO, PESA ITALIWA NA MATOKEO HAKUNA.

 

WAPENDWA MIMI NIWE MKWELI NIPO MUDA ILA SIJAWAHI FANYA PROGRAM YOYOTE, SAWA NA NDO MAANA IMEPITA MIAKA HUJAPATA MATOKEO YOYOTE ILA KUELEKEA  MKESHA ACHA UJUAJI ACHA  UBABAIFU, ACHA MIYEYUSHO, NDIO INAYO KUCHELEWESHA.

 

WEWE UNATAKA MATOKEO MAISHA YAKO YAENDE, SIASA ZA DINI ZA KAZI GANI? BADO MCHANGA KIIMANI, BADO KUWEZA KUMU-ACCESS MUNGU WEWE KAMA WEWE NA KUPATA MAJIBU YAKO PAPO KWA PAPO, BADO UNAHITAJI VESSEL YA KUKUPELEKA MBELE ZA MUNGU NA KUKUSHUSHIA  MAJIBU.

 

WAPENDWA HATA WAFALME WALIKUWA WABISHI KUKUBALI MTU NI NABII ILA WAKIKWAMA CHAAP KWA HARAKA WANATUMA WAJUMBE KWA NABII AWAULIZIE KWA MUNGU WAKE HILO JAMBO LINAKUWAJE? MFALME HEZEKIA ALITUMA UJUMBE KWA NABII ISAYA, NAAMAN ALIENDA KWA NABII ELISHA KWA HABARI YA UKOMA WAKE, SIO KWAMBA WEWE HUOMBI VIZURI AU IBADA ZAKO NI BATILI, KUNA MUDA UNAHITAJI VESSEL AMBAYO MUNGU ATAITUMIA KUKUVUSHA HAPO ULIPOKWAMA, WEWE UNACHO TAKIWA NI KUPOKEA UNABII NA KUTII

 

SOMETIMES MAAGIZO YA MANABII YANAKUWA KAMA UPUUZI UKILINGANISHA ULIVYO TESEKA, MAAGIZO MAANA NDIO SAUTI YA MUNGU. NAAMAN ELISHA ANAGOMA KUMUONA NA KUMWAMBIA KAOGE MTO YORDANI, KIDOGO ASUSE, LAKINI ANAENDA NA UKOMA UNAISHA.

 

MTU UNAMPA MAELEKEZO FANYA PROGRAM SIKU TANO 5 MAMBO YATAFUNGUKA; ANAANZA KUKWAMBIA JINSI GANI AMEFANYA PROGRAM NGUMU KULIKO HIO NA HAIKUMSAIDIA            ANAJI ZUNGUSHA  NA PROGRAM HAFANYI ATAKAA MUDA BAADAYE ANAKWAMBIA BADO HAMNA MAENDELEO! NA ANAJUA FIKA HAJAWEKA EFFORT YOTOTE KUTATUA  HIO ISSUE! MKUTE ANA SIMULIA NIMEKAAA PALE KWENYE HUDUMA MIAKA SITA (6) SIJASAIDIKA CHOCHOTE.

 

WAPENDWA WENGINE MNAKUJA NA THEORY NA MAJIBU YENU; UNA-AMBIWA HIVYO SIVYOO, HAPANAA YAANI MTU ANAJUBU HIVI NDIVYO NIMEELEKEZWA SEHEMU FLANI, HIVI NDIO NAVYOJUA SAWAA!  LAKINI MUDA UKIPITA UTASIKIA MAMA BADO SINA MATOKEO YOYOTE.

 

AU MTU ANAKUJA KWA UNYENYEKEVU, AKIPATA TU ANACHOTAKA, ANAANZA KUKUFANYA KAMA HUNA AKILI, SAWA! LAKINI AKIKWAMA TENA ANATEGEMEA UTAJITOA KAMA MWANZO, ANASAHAU KAMA AMEKUFANYA HUNA AKILI, MIMI AMBAYE NAONA  YA MWILINI NA ROHONI NDIO NISIONE JEURI YAKO KIVIPI SASA ?

 

WAPENDWA WATU WENGI MNATEMBEA NA LAANA ZA WATUMISHI BILA KUJIJUA, WENGI MLISAIDIKA MKALETA JEURI NA IKAJERUHI WATUMISHI WAKA WAACHIA LAANA AMBAZO MNATEMBEA NAZO NA ZIME FUNGA BARAKA JUU YENU, HASA WATU MLIOPITA PITA MAKANISANI! WENGI HASA-HASA KWENYE UCHUMI NA MAHUSIANO.

 

4.BELIEVE IN THE VESSEL THAT IS USED BY GOD! ( AMINI KWENYE WATU AMBAO MUNGU AMEAMUA KUWATUMIAAA) – CONTINUITY..

WATU WENGI MNATEMBEA NA LAANA ZA WATUMISHI BILA KUJIJUA. Mimi nimefanya kazi, Nimefanya biashara na nimefanya huduma, lakini I guarantee you BETRAYAL IN THE CHURCH IS THE MOST DEADLY!

 

WAPENDWA NABII ELISHA ALIVYOSEMA ANAUONA UOVU NDANI YA YULE MTU SIO KIDOGO!, MTU AKIKUSUMBUA SANA  NA GHAFLA AKAACHA  UJUE AMEPATA JAMBO LAKE AND YOUR SERVICES ARE NO LONGER NEEDED!

 

MUNGU ANAWEZA KUWA HAMPI MTU KITU,YAANI KA-MBLACK LIST KWELI-KWELI, NA MTU ANAKUSUMBUA BALAA, MPAKA UNAKUWA MKALI KWA MUNGU. MUNGU ANAAMUA KUFANYA HIKO KITU ILI UMJUE MUUMINI WAKO VIZURI, ATAKUPIGA TUKIO MATATA UTAMUELEWA MUNGU KWANINI ALIMUWEKA PENDING MUDA WOTE, ALIUONA UOVU ULIYO NDANI YAKE ATAKAO KUTENDEA.

 

WATU WENGI WANAUA HUDUMA NDANI YA MTU KWA MAKUSUDI KABISA, Kama huna Roho ngumu na sio katiliwa roho utakuwa frustrated hata kurukwa akili muda mwingine kwa sababu the deceit is so deep mostly from people you trust most!.

 

Wapendwa unakuta mtu mna hangaika nae, Deliverance za kutosha, Saa tano (5) yupo Dm, Hana mtu, Lakini Anapata mtu, Mna hangaika tena na Maagano kama yote, Mbegu kuzi-mwagilia, Anatolewa mahari, Mna ongeza speed, HUTOKAA UPATE PICHA YA MAHARI,WALA SEND-OFF, WALA HARUSI, UKIBAHATIKA SANA TEXT MOJA MAMA LEO SIKU YETU.

 

OKAY KUMBE IT IS LIKE THAT, MATATIZO TUNA SHARE LAKINI UTUKUFU WAKO PEKE YAKO! SAWA, NAMSHUKURU MUNGU KWA YOTE NA KUMWAMBIA NIPE UJASIRI BABA NISONGE MBELE WAPUUZI WAPUUZI NAWAPOTEZEA KAMA HIVI.

 

WEWE UNAJUA MIMI NAFANYA HUDUMA KWA WATU WALIO KATA TAMAA, ATLEAST WAFIKIRIE WENZIO WAKIONA USHUHUDA WAKO UMEVUKA WATAINUKA, ATLEAST WAINUE KWA KUWAONESHA MUNGU ANAJIBU, SUPPORT HUDUMA KWA ASIEAMINI NAE AANZE KUAMINI.

 

HAPANA! SITAKI KUPOSTIWA! SITAKI MAZOEA, KILA MTU NA MSALABA WAKE!, NITAJIJUA NA HUDUMA YANGU! AU SIO!; SI NIMESHUHUDIA KWA SMS, SIKU HIZI UFUNGE NDOA UTUME TEXT YA SHUKRANI SI POST, BORA WATUMISHI SOURCE NYINGINE YA IMANI SIO TEXT YAKO YA KUTUFANYA HATUNA AKILI WOTE, TUMA HATA PETE!, HAPANA SITUMI CHOCHOTE! MTAJIJU.

 

Mimi mwanzo nilikuwa naumiaaa sana, KWANINI UNAMLIPA MUNGU HIVYO?, AFTER EVERYTHING UNAMPA MUNGU SHUKRANI ZA VICHAKANI, YAANI UNA-VIMBA NA KULETA JEURI,  ILINIKATA SANA-SANA.

 

MWANZO NILIAMINI MUNGU AKIFANYA WATU WAKIONA WATA AMINI KAZI ITAKUWA NYEPESI, KUMBE WATAONA NINI? NANI ATAWAONESHA? LAKINI MUNGU ALINITOA SHAKA KWAMBA HUDUMA  HII NI YAKE NA ANA NJIA ZAKE HIVYO NI FOCUS NA KAZI NA WANAO JITOA AKILI ATAMALIZANA NAO YEYE, WASINITOE KWENYE RELI, NI FOCUS TU KU-DELIVER NACHOTAKIWA KU-DELIVER NA NAFANYA HILO EVER SINCE.

 

NA KWELI MTU AKIPATA ILE SOLUTION YA SHIDA YAKE ANAPOTEA, BAADA  YA MUDA ANA RUDI NA MATATIZO MENGINE MAKUBWA KULIKO YA KWANZA ANATAKA TENA HUDUMA NA YUPO SERIOUS, UYUDA ALIOFANYA ASHAJIZIMA DATA!; YAANI MTU ANAKUJA 2024 NA KUSEMA UJUE 2022 NILIFANIKIWA NIKAOLEWA ILA MTOTO MPAKA LEO BADO ? NAOMBA TUHANGAIKE WOTE,  MIMI TENAAAA? AFTER EVERYTHING ? SIO KWELI!.

 

WAPENDWA NINA MWANANGU ALIOLEWA MARCH NA AGE GO SO ANATAKIWA AWAHI KUZAA MAANA NDOA IMECHELEWA SANA, ALINIPA PICHA ZOTE KUANZIA MAHARI, SASA MPAKA LEO HAMNA KITU, KARUDI MAMA MAMBO MEUSI, NDIO TUNA PAMBANA MAANA WANAMUOMBA MUNGU WAPATE JAPO WATOTO WATATU (3)  NA YUPO NJE YA MUDA, MUNGU NI MUAMINIFU TUNA PAMABANAA SANA-SANA.

 

THE THING ABOUT THESE BETRAYALS ZINA MKATA MTUMISHI SANA-SANA NA ZIKIZIDI ZINA UA HUDUMA NDANI YAKE MAANA TUNA TEGEMEANA, WEWE UNATEGEMEA MTUMISHI AKUINUE NA YEYE ANATEGEMEA WEWE UMUINUE MAMBO

YANAPOKUWA MAGUMU NA KUNA MUDA WOTE TUNA MTEGEMEA MUNGU. SASA ILI  MTUMISHI U-SURVIVE KWENYE HUDUMA INABIDI UWEZE KU-HANDLE BETRAYALS, MIMI KUNA MUDA ZILINITOA KWENYE RELI NIKAANZA KUONA WATU WOTE WASALITI TU YAANI HAINA  MAANA YOYOTE KUHANGAIKA NA MIJITU ISIO KUWA NA SHUKRANI, NIKAWA SULUHISHO NALIJUA LAKINI SINA MOYO, MTU AKINISUMBUA NAONA WALE-WALE LAKINI MUNGU ALINIPA MOYO KWAMBA VEVE NDO MAKER OF MEN.

 

WAPENDWA SHUHUDA HAZITA NI MAKE, WALA SIO MOJA YA PLAN ZAKE, I SHOULD DELIVER THE WORD AND HELP PEOPLE BILA KUANGALIA BETRAYAL SABABU WATU WANAOTESEKA SIO WASALITI, ATLEAST NOT YET, NIWAPE FAIR CHANCE WA PROVE THEMSELVES.

 

USALITI MKUBWA NI WA KWENYE UCHUMI LAKINI HAUNIUMI SANA KAMA WA MAHUSIANO,  I WORK FOR A LIVING HATA UKINIRUSHA HELA YA AGANO AU NADHIRI KESHO NITAMSI MAMISHIA MWINGINE SIKU ZITAENDA.

 

WAPENDWA USALITI WA HARUSI UNAUMA MAANA MTU MPAKA HARUSI IFUNGWE MIAKA  MIWILI (2)  UKIPUNGUA SANA MWAKA MAANA MTU ANAKUJA  HANA HATA MTU, MPAKA WAKITANE, MAHARI IFIKE HARUSI SIO LEO ALAFU ANANITOA DRY-DRY AFTER  TWO (2) YEARS OF WAITING AND HARD LABOR, NDIO MAANA UTAELEWA KWANINI MAKANISA MENGI HAWA HANGAIKI NA MAHUSIANO, THE BETRAYAL IS TOO DEEP.

 

 

WAPENDWA SASA MIMI NINA ROHO NGUMU SANA, HATA UFANYE NINI NISHAFANYA MAAMUZI YA KUSAMEHE NA KUMUACHIA MUNGU, NA KAMA HIVYO NAFANYA KAZI NGUMU KUPATA KIPATO HALALI I LI-TU NIWEZE KUJI-CONTROL UOVU ULIO NDANI YANGU NA KISTAHIMILI BETRAYAL ZENU.

 

WATUMISHI WENGINE HASA WADOGO AMBAO NDIO WANAPAMBANA   KUTOKA  KlMAISHA  NA KIHUDUMA  HAWAWEZI YAANI SIO RAHISI NA HAWAWEZI SABABU HUDUMA KWAKE NDIO MAISHA YAKE NA NDIO FUTURE YA WANAE NA FAMILIA YAKE, MUDA WOTE ANA WAHUDUMIA NYINYI KAMA HUDUMA KWENDA MBELE MAANA YAKE NI NYINYI NDO MUIPELEKE ALAFU NA NYINYI NDO MNA MLETEA UJINGA,  MNA MFANYISHA KAZI NZITO ANA WAFANYIA KWA MOYO ALAFU MKIVUKA MNA MPIGA TUKIO.

 

 

WAPENDWA KUNA WATU WENGI MKO 30’s MKIWA WASICHANA MLIENDA KWA WATUMISHI KUTAFUTA KAZI, MKAFANYIWA HUDUMA KWA UPENDO SANA NA MKAMUAHIDI MUNGU AKITENDA WATUMISHI WATAFURAHI  MBONA  KAZI MMEPATA HAMJARUDI TENA, KIMOJA SHUKRANI HAMJATOA,  ZAKA ZAKE MME-ENDA KUTOA KWINGINE, INSHORT MME-MUACHA MTUMISHI WENU PEKE YAKE NA MADHABAU YAKE WONDERING WHAT BAD THING DID HE DO TO YOU TO DESERVE THAT.

 

 

KWENYE HUDUMA ULIENDA MWENYEWE, MSAADA ULITAKA MWENYEWE NA AKAKUSAIDIA KWA UPENDO, KUNA WATU MLIPELEKA CV KWA WATUMISHI ZIKAWA ZINA LALA MADHABAUNI ANAZIOMBEA USIKU-KUCHA, MNAJIJUA ( SASA  CV INA MAJINA YAKO YOTE MA 3 ALAFU UNAMKIMBIA MTUMISHI NA KUMUACHIA USHAHIDI?.

 

WAPENDWA MLI WAJERUHI WATUMISHI KWA MAMBO YA KIJINGA-KIJINGA NA WAME ACHILIA LAANA JUU YENU HASA HASA KWAMBA KAMA YEYE ALIFUNGUA UCHUMI WAKO UKAPATA KAZI NA UKAMFYEKA BASI NDOA KWAKO UTAZIONA KWA GARA B

 

NA SO FAR NI MIAKA NA MIAKA, WEWE MZURI MASHALLAH, UNA KAZI YAKO NZURI NA MAISHA YAKO LAKINI KUPATA MTU WA KUKUTAMKIA NDOA IMEKUWA IMPOSSIBLE, MNA IKIMBIZA 40 KILA MAOMBI YANA DUNDA JUU YENU, OKAY BASI MSIOLEWE MPATE HATA MTU MWEMA WA KUZAA NAE LAKINI HAMPATI CHOCHOTE.

 

MACHOZI YA MTUMISHI YANAPIGA KELELE KWENYE MADHABAU YAKE JUU YA USALITI WAKO NA MTUMISHI AKISEMA ANA LAANI UJUE ANAPITA MULE-MULE MAANA UWANJA WA NYUMBANI ULE!

 

KUNA WATU WANAUME HAMPATI KAZI WALA HAMSHIKI HELA WALA HAMNA MNACHO FANYA KIKAENDA YAANI  ENEO LA UCHUMI LIMEOFUNGWA NA SABABU KUU NI  HAYA-HAYA YA KUKIMBIA NA NADHIRI NA MAAGANO YA WATUMISHI, WAPENDWA HUDUMA MME FANYIWA MAMBO YENU YAMEENDA SAFI KABISA LAKINI UOVU NDANI YENU UKA-TARADADI MKA MTELEKEZA MTUMISHI KWENYE MADHABAU YAKE NA MUNGU AKE LIFE LIKA SONGA, SASA KWA TAARIFA YAKO ALIACHIA LAANA KWENYE MlKONO YAKO YAANI HUTAZALISHA KITU UKALA NA MTA TANGA-TANGA HIVYO HIVYO!

 

WAPENDWA HIZI LAANA ZA WATUMISHI NI LAANA SPECIAL MAANA ZINA UHALALI NA ALIYE TOA UHALALI NI WEWE KWA MIYEYUSHO NA UBABAI WAKO, NINAE MMOJA HAPA MIAKA 44, JUZI HAPA NDO NIMETOA PASSWORD. WAPENDWA SULUHISHO JEPESI NI KWENDA KUOMBA RADHI NA KUWEKA MAMBO SAWA  NA KUMWAMBIA AFUTE HIO LAANA KISHKAJI NA AKITAMKIE BARAKA, AKIKATAA SASA NDO INABIDI UTUMIE NJIA ADVANCED, WENGI WANA KUBALIGI ANATAKA UKIRI TU KOSA LAKO

 

2 Kings 9

Jehu Anointed Kingof Israel

9 The prophet Elisha summoned a man from the company of the prophets and said to him, “Tuck your cloak into your belt, take this flask of olive oil with you and go to Ramoth Gilead. 2 When you get there,look for Jehu son of Jehoshaphat, the son of Nimshi. Go to him, get him away from his companions and take him into an inner room.3 Then take the flask and pour the oilon his head and declare,’This is what the Lordsays:Ianoint you king over Israel.’ Then open the door and run;don’t delay!”.4 So the young prophet went to Ramoth Gilead.5 When he arrived,he found the army officers sittingtogether. “Ihave a message for you,commander,” he said. “For which of us?” asked Jehu. “For you,commander,” he replied. 6 Jehu got up and went into the house. Then the prophet poured the oil on Jehu’s head and declared,” This is what the Lord,the God of Israel, says:’ I anNoint you king over the Lord’s people Israel. 7 You are to destroy the house of Ahab your master, and Iwill avenge the blood of my servants the prophets and the blood of all the Lord’s servants shed by Jezebel. 8 The whole house of Ahab will perish.I wilL cut off from Ahab every last male in Israel-slave or free.9 I will make the house of Ahab like the house of Jeroboam son of Nebat and like the house of Baasha son of Ahijah .10 As for Jezebel,dogs will devour her on the plot of ground at Jezreel, and no one will bury her.”‘ Then he opened the door and ran.

 

HUYU NABII KIJANA ANATUMWA KWA KAMANDA WA VITA JEHU MTU MBADII, JEHU JITU LA UPANGA! ANA AMBIWA KABISAA UKIFIKA UKISHA MMWAGIA MAFUTA TOKA NDUKI, USIGEUKEEE NYUMAAA! UPAKO WAKE NI WA KUUA TU! UPAKO WA CHINJA CHINJA,  ANOI NTING IKI-ACTIVATE UKIWA MBELE YAKE HUNA BAHATI.

 

Dogo ana kamilisha, Issue ni kwanini Mungu ana mu anNoint Jesu kwa kazi ya kuua? JEZEBEL alishindikana kwa ushenzi kwa manabiiina watumishi, Yaani alishindikana, Picha linaanza ana Miliki Ma-Baali na manabii 400 wa bahali, Aliwaua manabii woteee akabakia Elia peke yake napo Elia aliwekwa MOST WANTED sema akajificha sana na kukimbia!

 

KUNA WATU MNAPENDA KUWAFANYIA USHENZI WATUMISHI BASI TU NA KUWAPIMA PIMA NA KUWA FRUSTRATE, MNA FANYA FANYA HILA MPAKA HUDUMA ZIFE AFU MNA HAMA HUDUMA, KUMUUA NABII SIO LAZIMA UMCHINJE, UNA UA HUDUMA MUNGU ALIYOWEKA NDANI YAKE KWA HILA NA UMALAYA, UONGO, UCHONGANISHI,UCHOCHEZI NA KUSINGIZIA AU KUSEPA NA UTUKUFU MLIO TAFUTA PAMOJA NA KUMUACHA DRY-DRY MPAKA ANA KATA TAMAA NA KUACHA HUDUMA!

 

WAPENDWA KAENI  MKIJUA MTUMISHI MASIKITIKO YAKE  NA FRUSTRATIONS ZAKE ZIMEFIKA KWA MUNGU NA MUDA WOWOTE JEHU WAKO ANAPAKWA MAFUTA NA NABII KIJANA, UPANGA WA  JEHU JUU  YAKO UNAKUJAAAA SOON.

 

KAMA UNAJUA ULIMPIGA MTUMISHI WAKO TUKIO KABLA YA MKESHA KAWEKE MAMBO SAWA, UTAOMBA NEEMA YA MUNGU SAWA LAKINI KUNA LAANA JUU YAKO NA INA UHALALI NA  ITA BLOCK NEEMA YA MUNGU KU-FLOW SWIFTLY.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top
× IT Help Desk