KUTOKA 19:9-11
9 BWANA akamwambia Musa,Tazama, Mimi naja kwako katika wingu zito ili watu hawa wasikie nitakaposema nawe, nao wapate kukuamini nawe hata milele. Musa akamwambia BWANA hayo maneno ya watu.
10 BWANA akamwambia Musa, Nenda kwa watu hawa,ukawatakase leo na kesho, wakazifue nguo zao
11 Wawe tayari kwa siku ya tatu; Maana siku ya tatu BWANA atashuka katika mlima wa Sinai machoni pa watu hawa wote.
PRAYER POINTS
1 Bwana Shuka kwenye maisha yangu usiku na ukajifunze kwa waajiri kote nilipo peleka cv, wakanione na kuniamini na kazi zao, Badilisha matokeo ya unsuccessful interviews usiku huu. Nikapokeee habari njema za kazi,walipo nisahau wakanikumbuke kwenye application na kuitwa kazini.
2.Bwana shuka kwenye maisha yangu eneo la mahusiano, ukajioneshe kwa Mume wangu mtarajiwa, anione kama Mwanamke anayefaa kuwa mkewe, Badilisha na kutaka hili vazi nililovaa saa la mwanamke ASIYOLEKA, UJIFUNUE KWA WATU KAMA MUNGU WANGU NA KUWATHIBITISHIA KUWA NINA FAAA KUWA MKE.
3 Bwana shuka kwenye afya yangu, unitakase na kunibadilishia vazi la ugonjwa na afya mgogoro!, Kajioneshe kwa watu wangu kama Mungu uponyaye, YAHWE RAPHA!
Kutegemea na prayer point zako customize andiko!