ASSIGNMENT YA WIKI

Wapendwa Jana nimewapa assigment nyepesi sanaa ndiyo maana nawaambiaga nyie hampo-serious na mambo yenu, Kitu watu wanafanya kwa masaa, Nyie whole week mnaona ndogo, Mna-kata tamaa!, Nyama mnataka, lakini Kuwinda hamtaki!, Tutafika kweli?

 

Vijiweni wanasema watumishi walikuwa zamani, Mimi nasema waumini walikuwa zamani, Wengi mpo mpo, Kufanya huwezi na kutofanya roho ina-kuuma yaani days to go!

 

Mwenzenu mmoja kasha-fanikishaa, Kwenye msafara wa kenge, Mamba kajipenyeza katoboa!. Ningeweza njooni niwaombeee DM 3000, Jiombeee feedback hazizidi kumi (10) na Kati ya hao Tisa (9)  wana leta ubabai mtupu.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top