MAHUSIANO YALIYOFUNGWA KUPANDA MBEGU

Wapendwa mutikio naona ni mdogo, nilihisi labda mwisho wa mwezi mnajikusanya lakini sijui.

Prayer point no 5: Yamkini siku-ifafanua sana, lsack alipanda Mbegu mwaka ule-ule akavuna Mara 100 mwaka ule-ule, Usichokijua ukisoma nyuma ENEO HILO-HILO ALILOPANDA AKAVUNA MARA MIA, LILIKUWA NA UKAME MKUBWA MPAKA IKATOKEA NJAA KUBWA!

 

I GET IT UNA STRESS NA UKAME WA MAHUSIANO MAZURI BALAA, LAKINI KUPANDA MBEGU HUTAKI, SASA USIPO-PANDA MY WANGU, UTAMUULIZA MUNGU KWANINI HAVIJAOTA NA UTAVUNA NINI WAKATI HUJAPANDA ?

 

MFIKIRIE ISAC ALIE MUAMINI MUNGU AKAPANDA MBEGU KWENYE ARDHI YA UKAME UKAME, WA ILE ARDHI HAUFIKII MAHUSIANO YAKO HATA ROBO.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top
× IT Help Desk