VITU VITAKAVO SABABISHA UMUONE MUNGU KWA HARAKA AU UMUONE NUSU AU USIMUONE

PART I

WAPENDWA SUALA LA KUMTAFUTA MUNGU KWA MOYO WOTE NA KWA BIDII LIKO PALE PALE  KAMA CONSTANT FACTOR!, LAKINI KUNA OTHER VARYING FACTORS KAMA ZIFATAZO:

 

2 EXPECTATIONS ZAKO ZA KUMTAFUTA MUNGU!

Mitume walikaa na Yesu karibu na zaidi yua kufundishwa na kumfata-fata Yesu kila anapoenda hawakufanya makubwa ya maana, Kwanza walikuwa wazembe, walamishi, wanadeka mpaka wanavunja Sabato kisa NJAA tu!, In Short wakati Yesu yupo hawakuwa the DREAM TEAM, Kidogo walijaribu-jaribu kutoa pepo hivyo hivyo, TICHA SI YUPOO.

 

WHY???? Muda huu Expectations zao za kumtafuta Yesu zilikuwa wazi, Washangaa yule Mfalme wa kumpindua Herodeee ndo huyu Sasa!, Ofcourse he is Masiah he has a plan to dethrone the King which expected miaka 1000!, After-all Herode alisha-anza kuhanya-hanya na uwezo Masiah alisha uonesha mkubwa.

 

 

Ao walichokuwa wana-ngoja Yesu aite JESHI lake la Mbinguni, Siku isiyo na jina, kiwakeeee, Herode akwendre wakae madarakani watawale na mfalme! ,Basi wakipiga hesabu Ufalme wa milele wanaona wamemalizaaa!, All the time they were making power moves!, Nani atakuwa mkubwaaa kwenye huo Ufalme? Nani atakaa kushoto na kulia kwa mwalimu!

 

SABABU YA HIZI EXPECTATIONS ZAO BATILI NDIYO MAANA HAKUWAZA MATUNDA MAKUBWA WALA KUFANYA MAAJABU WAKATI WAKIWA NA YESU!, Ukitaka kujua walikuwa serious na kuitawala yahudi na kumngoa Pilato! Yesu ana-waaga wanagoma kumuelewa, Aondoke aende wapi wakati Ufalme bado? Kivipi sasa maana washazurura KM za kutosha kuutangaza ujio wa Ufalme wa Mbinguni, Time is Over for Herode and Ceaser! Ni muda wa Yesu na wao kutawala, Hawakuwaza sana kuhusu JESHI silipo JESHI LA MALAIKAA!, Ukileta ubishi Uta deal na JESHI LA MBINGUNI!

 

Yuda wakati anakula pesa ya watu hakuwa na mashaka HATA kidogo!,  Alijua Yesu akishindwa kabisa kabisa ata ita JESHI lake la Mbinguni Bwana, Shekeli zao 30 napita na nazo, na wakikutana na TICHA kitawakuta kitu, Kujua Yesu kafa as in officially DECEASED zile SHEKELI yaani kazi-ona CHUNGU na Dunia kaiona Haikaliki kabisaaa!, akaona bora tu Ajinyonge zake!

 

Wanafunzi baada ya kuona Yesu kafa msalabani mchana kweupeee!, Hakuna Jeshi la Mbinguni wala la Malaika likitokea!, Basi Malaika japo mmoja!, Basi mitume Wake! Walivyo -poteana wanajua hata.

 

KI-EXPECTATION CHAO KUSHNEY BABU G!, PILATO SIO MTU! KAKIFUTILIA MBALI. Petro akaona hakuna ufalmeee, hamnaaa chochote, Bora arudie zake Nyavu tu na Bahari! Ashakutana na maisha uso kwa uso na yakampiga KNOCK-OUT! Chezea!. Samaki akawa hapatiii, bahari ikamkataaa!, Akawa na kazi ya KUKESHA usiku kucha bureee ! Wengine walirudia kulima!, Wengine walibakia wana zurura zurura bila direction.

 

IKALAZIMU YESU MWENYEWER BAADA YA KUFUFUKA KUWATOKEA BAADHI NA KUWAHAKIKISHA HAKUFA FULL FULL, BADO YUPOO, UFALME UKO PALEEE PALEEE!, TENA SIO UYAHUDI TU, HE IS COMING FOR THE ENTIRE WORLD!, WAJIPANGE TU AND HE IS BRINGING THE HELP FROM HEAVEN!HALLELUYAH !

 

Wale wale wababaifu walio-mkana Yesu Mara 3 na kumpotea kwenye Safari ya Mateso!, KUSIKIA UFALME UPO PALE-PALE NA NIMKUBWA KULIKO WALIVYO-EXPECT, TICHA YUPO HAI  KITAAA, NA MISSION IKO PALE PALE NA KUNA USAIDIZI UNATOKA MBINGUNI WANAKUTANA NA WANAFANYA MAAMUZI YA MSINGI SANA.

 

WATU WALE WALE WABABAI MNAO WAJUA WANAPEWA MAJUKUMU YA YESU, YESU ANAPAA ZAKE MBINGUNI,WAO WANABAKIA WANAUKIMBIZA MWENGE BALAAAA!, WANAZAAA MATUNDAAA KULIKOOOOO!

 

YULE HERODE ALIYE WA FRUSTRATE WANAMVUTA SHARUBU MPAKA SIO POA, MAPINDUZI WANAFANYA WAO BILA YESU! WANA EXCEED EXPECTATIONS ZOTE JUU YAO!, KUMBUKA WATU NIWALE WALE, MUNGU YULE YULE, MISSION ILE ILE KINACHOBADILIKA NIEXPECTATIONS ZAO TU NDO ZINA CHANGE THE WHOLE GAME!.

 

Turudi kwenu wana-zengo, Wengi imani zenu zina bebwa na EXPECTATIONS ZENU kwa asilimia kubwa na kibaya zaidi ni SELFISH AMBITIONED EXPECTATIONS, Sababu una Expect Mungu atakupa Ndoa na Mume na watoto ili uwanyamazishe wanao-chonga sanaajuu yako,Uwaridhishe wazazi wako,ukubalike kwenye jamii, Uondoe aibu na manyanyaso! FOR THESE EXPECTATIONS UKO TAYARI KUFUNGA SIKU 89 NA NUSU.

 

Like I Said ALL OF YOUR REASONS ARE SELFISH!ITS ALL BOUT YOU!YOUR HAPPINESS, YOUR VICTORY! YOUR! YOUR! YOU, YOURSELF AND YOU, THE MINUTE UKIONA AMBITIONS KAMA ZINAKUJA AFU ZINAKATA HUWAZI MARA 2 KUVUNJA UHUSIANO NA MUNGU NA KUSUSA IBADA.

 

Ukiona kama Mungu anapita mule mule kwenye Plan lako, Mtumishi nitafurahiii, Nakula masadaka na matoleo!Aaaahh!, Kwa raha zanguuu!

 

IMANI NA IBADA ZAKO ZINAPANDA NA  KUSHUKA KUTOKANA NA EXPECTATIONS ZINAVYO ENDAAA! ZIKIENDA VIZURI UNANIPIGA MASADAKA, ZIKIYUMBA NAKULA UNFOLLOW YA CHAP KWA HARAKA! MUNGU MBAYA, MIMI NDIO MPAMBE WAKE, MPAKA PAGE UNAONA INAKULETEA UPUUZI TU.

 

EXPECTATIONS NIVARIABLE FACTOR HATARI SANA, INAWEZA KUKUSAIDIA KUFANIKISHA JAMBO LAKO FASTER AU KUKU KWAMISHAAA  MAZIMA, WEWE UNA EXPECTATIONS ZAKO AMBAZO NDO HIZI SELFISH AMBITION BASED NA MUNGU ANA EXPECTATIONS ZAKEEEE AMBAZO ZINALENGA KUJENGA UFALME WALE KUPITIA WATU KAMA WEWE.

 

UKIWEZA KUPELEKA EXPECTATIONS ZAKO SAMBAMBA NA MUNGU AAH UMETOBOAAAA! NURU IMEKUANGAZIA. Mpedwa wengi mmekwama kujaribu ku-mmove Mungu kwa uchungu na simanzi yenu!, Mungu hatishiki HATA robo na uchungu na Simanzi Ya WAZINZI WANAO VUNA WALICHO PANDA !Mnajitekenya mnacheka wenyewe!

 

UMEAMBIWA   USIZINI,UNAZINI UNAVYO-TAKA, HUNA HOFU YA MUNGU HATA CHEMBE AND YOU HAVE THE ADUCITY YA KUFOSI MUNGU AKUPE MUME ON-TOP OF ZINAA UNAZOFANYA KWA SIFAAA TENA IKIWEZEKANA AKUPE MZINZI MWENZIO KAMA MUME  NA UPO SERIOUS KABISA WHO DO YOU TAKE GOD FOR ? KWAMBA HAPA DUNIANIAMEKUJA KUSIMIKA UFALME WA ZINAAA, SISTER PLEASEEE!

 

UKIPIGWA MATUKIO KWENYE ZINAA UNAJILIZA KWA MUNGU, UTAFUNGA NA KUFUNGA, HATA AIBU BASII DADA YA KUSEMA HAYA MAFAO YA DHAMBI NIBADILIKE BASI, KWAKO HAPANA, KUACHA ZINAA NI NEVER! LAKINI SIMANZI NA UCHUNGU KAMA KAWAIDA.

 

KWA STYLE HII MUNGU HAWEZI KUKUENDEKEZA UJINGA WAKO HATA KAMA ULIROGWAAA SAWAAA LAKINI MATUNDA YA KUROGWA UMEZIDISHA KUYAFAIDI PEPO LA NGONO LIMEKAAA PEMBENI LINACHUKUA NOTSI KWAKO.

 

KAMA UNATAKA MATOKEO YA HARAKA BADILISHA EXPECTATIONS ZAKO KWANINI UNATAKA KUOLEWA ZIENDANE NA MAANDIKO YA MUNGU NA KUSIWE NA ONE BOUNCE OF SELFISH AMBITION.

 

Mit 18:22

Apataye mke apata kitu chema, Naye aji patia kibali kwa BWANA.

 

Ji-aminishe kwa Bwana kwamba UMEMALIZA KUDANGAAA.Ukipewa ndoa wewe utakuwa the best thing that ever happened to that man!Anamshukuru kukupata, From the bottom of your heart. Mungu na KUAMINI katika Hilo.

 

MUNGU ANA-WANAUME WA MAANA WANAFANYA MISSON ZAKE NA KUHAKIKISHA UFALME WAKE DUNIANI UNA TARADADI, ANAANGALIA NENO LAKE HILO ALITIMIZE KWAKO KWA UKUBWA, JE WEWE NI KITU CHEMA? AU ANGOJE TU LAWAMA ZAKE ZA KUPELEKA NUSU MTU NUSU MDANGAJI.

 

Mhubiri4:9-12

Ni afadhali kuwa wawili kuliko mtu kuwa peke yake. Kwa sababu wawili watapata tuzo la kazi yao. Ikijatokea mmoja akaanguka,huyo mwenzake atamwinua.Lakini ole wake aliye-peke yake akianguka!, Huyo hatakuwa na mtu wa kumwinua!, Hali kadhalika,wawiliwakila pamoja watapata joto, Lakini mtu akiwa peke yake atajipatiaje joto?, Mtu akiwa peke yake aweza kushindwa na adui, lakini wakiwa wawili watamkabili na kumshinda adui.Kamba Tatu zikisokotwa pamoja hazikatikikwa urahisi.

 

Kama kawaida Mungu Ana Angalia nenolake apate kulitimiza!, JE NDANI YAKO KUNA NENO SHOGA??? HILO HAPO JUU? Unatafuta Mume wa kusaidiana kama hivo,au unatafuta MTU WA KUKUTOA KIMAISHA, Je upo willing kuwekeza kwenye hio ndoa unacho expect mwenzio awekeze na yeye? UNATAKA MUME KUTOKA KWA MUNGU AU UNATAKA DANGA LILILO CHANGAMKA!

 

WATU WENGI MNAFUNGA KUMUOMBA MUNGU MTU FLANI ALL FOR WRONG REASONS SIO MUNGU AKUPE UMPENDE BALI AKUPE IWE JACKPOT YAKO KUKIMBIA SHIDA ZAKO, THUBUTU!, KAMA EXPECTATIONS ZAKO ZA KUKITUMIA KILE UNACHO MUOMBA MUNGU ARE NOT IN ACCORDANCE WITH HIS WILL NIBIG NO FOR YOU!.

 

PART II

3 STATE YA MUOMBAJI, UPO KWENYE HALI GANI WEWE UNAE OMBA?

Nguvu ya Mungu kama nguvu ya Mungu inataka uwe kwenye level flani ya nguvu, Akili,Utayari ili iweze Ku-Flow ndani yako au kupitia wewe!    ILI UWE PORTAL YA KUPITISHA NGUVU ZA MUNGU LAZIMA UWE VIZURI KIMWILI, KIAKILI NA KIROHO, Lack of any of the above NOTHING WILL FLOW THROUGH YOU NOR OVER YOU NOR WITHIN YOU.

 

Mpendwa Kupanic, kuchoka, kususaa, kuzira, kuhuzunika, uchungu, sononeko, sikitiko, hasira, Attitude  ndo OFF Buttons zenyewe za kushut down ALL SPIRITUAL PORTALS ambazo Mungu angetumia kupitisha his MIGHTY POWERS!, INTERNAL BATTLES MAKE YOU WEAK,DEFEAT YOU AND SHUT YOU UP FROM GOD! HUMPI MUNGU UPENYO.

 

Ukisoma kitabu cha Wafalme, Daudi ana umiaa na kugaa-gaa wakati mwanae anaumwa yule waliezaa na Betsheba!, Cha ajabu anapo anapo ambiwa Mtoto KAFARIKI ndo ana-acha kuomboleza, ana-oga na kujichana chakula!,WHY?. ANAJUA IN ORDER TO ACESS GOD HE HAS TO DEFEAT HIS SORROW, LAZIMA AISHINDE SIMANZI YAKE! SO ANA DEFEAT SIMANZI NA KUFUNGUA PORTAL ZOTE ! ANATUB U KAMA SIO VEVE ALIEKUWA NA SIMANZI WEEK ZIMA.

 

NA MUNGU ANAMSAMEHE NA KUREJESHA MAHUSIANO YAO NA ANAMPA MTOTO MWINGINE NA HUYO HUYO BETSHEBA, AMBAYE NI SULEIMAN!, WENGI MNA MACHUNGU YA BREAKUPS NA MAJERAHA YA MOYO!MMEVUNJIKA VIPANDE VIPANDE !HAMPO IN FORM OR STATE YA KU ACCESS GODS POWERS NOR RESULTS!, KWANZA HAJITAMBUI.

 

MWANAUME KAKWAMBIA HAKUTAKI HATA APEWE BURE BADALA UKUBALINA KURUDIKWA MUNGU UPEWE MWINGINE !UNATAKA MUNGU AKUPE YULE YULE, HUJIELEWI NA HAMNA KITAKACHO JIBIWA.

 

Mtu ana-kuficha kama ARVs, Penzi enu mnalijua watu wa 2 tu, Wewe na yeye, Hataki yaani hataki mtu mwingine ajue, Hataki wazazi wajue, Penzi la kupelekeana moto tu, Akiwa na upwiruuu ndo anakuwa mkarimu kwako! akiukata tuuu!. Anakujibu Kunya non-stop!, Who Are we Babe? We are Kenyans!, Tusichoshane wewe mwenyewe ukitulia unajua hupendwi ,unadanganywa na hutakiwi! As to why you put up with that nonsense wewe ndo unajua.

 

SASA STATE KAMA HII UNALALWA KWA BOOTY CALLS HUKU UNAFANYA PROGRAM KUWA SERIOUS MUNGU ASHUSHE POWERS GANI UPATE MATOKEO? LABDA RADI ZA MIALE YA MOTO MNASANE KWENYE BOOTY CALLS, MUNGU HANA SHIDA! MAANDIKO HAVANA SHIDA.

 

MATOKEO HAVANA SHIDA, WEWE MUOMBAJINDO UPO KWENYE FORM YA UOZO NA UPUUZI, MUNGU JIKUTUZE KUPITIA MIMI, BOOTY CALL GIRL, PUT SOME RESPECT ON GODS NAME !JUST DO YOUR BOOTY CALLS IN PEACE! WE ARE NOT JUDGING.

 

Umezaaa na mtu sawaaa, The kid is 7 years for Christ sake, Lakini you is still bitter on both God and Baby dady!And his wife of 5 years definitely, Even if the wife dies unfortunately HE STILL WONT MARRY YOU AGAIN, Kinacho kushinda kuuona ukweli na kuukubali ni kipi?

 

Mpendwa Daudi mwenzio aliona mtoto kama Kufa ashakufa, Siwezi kupoteza vyote, Mtoto na uhusiano na Mungu! Wewe umepoteza vyote Mume na furaha yako, Mungu hawezi kuleta Mume mumjumlishe kwenye hio Baby Dady Drama anangoja umalizane na mzazi mwenzio ndo maisha mengine yaendele.

 

Wapendwa Jifunzeni kwa DIVORCE, Mtu ana achwa na watoto wa nne (4) na hayupo bittet hata chembe, Ndo maana wengi wana re-marry, Wewe mtoto mmoja tu, Kamoya, Uchungu wako wa karne 3, Hata utumie maombi ya Kiebrania kwa nyaraka zile-zile za Mtume Paul, if you are bitter you are far from God, Mpaka umalize uchungu ndo utamkaribia Mungu.

 

Ephesians 4:31

31 Get rid of all bitterness, Rage and anger, brawling and sander, along with every form of malice.

 

UNAVYO-JIFANYA MGUMU KUACHILIA NDO UNAZIDI KUJINYONGA NA KUJICHELEWESHA, NARUDIA ISSUE SIO MAOMBI, ISSUE SIO MUNGU, ISSUE NI WEWE UNAFANYA MAOMBI KWENYE HALIGANI, HALI YAKO INAMPA MUNGU NAFASIYA KUJITHIBITISHA KUPITIA WEWE ? MUNGU ANAWEZA KUKUTUMIA WEWE KUJICHUKULIA UTUKUFU? AU NDO USHAMALIZWA NA VITA ZENU ZA WENYEWE KWA WENYEWE NA BABA MTOTO?, UKIENDELEA HIVO HAMNAAA MAOMBI YATAKAYO KUSAIDIA.

 

Mtu unajijua uko-single as in upo kwenye Booty cals au we Are Kenyans Situation, Hutakikukubali! na kazi ya kukuweka mwenzio Status wakati yeye hakuweki, Una kazi ya kujifosikwa mtu ambae unajua ndani ya Moyo wako HAKUTAKI WALA HANA MPANGO WA KUKUOA, BADO UNAJIZIMA DATA, AKIITWA SINGLE UNAJIFARIJI HAUPO SINGLE, UPAKO WA SINGLEEEEEE!WEWE HUUTAKI, UNAJIFARIJI MCHUMBA!, MCHUMBA   KIVIPI WAKATI HATA MSHENGA KWENU HAJAKATIZA.

 

MPENDWA WEWE MENTALY HAUPO KWENYE STATE YA POWER OF GOD KU ACESS YOUR PORTALS, HATA UKIWA PHYSICALLY AND SPIRITUALLY STRONG! MENTALLY DISH LIMEYUMBA MWANANGU, USIPOZINDUKA USINGIZINI UNAJIPOTEZEA TU MUDA WA UJANA WAKO, SOON ATA-OA MWANAMKE WAKE WA NDOTO ZAKE NA UTAUMIA. KUNA WATU WALINIAMBIA WAKO KWENYE MAHUSIANO 2022, NIKA WAULIZA BARUA MMETOLEWA? HAPANA, NIKAJIONGEZA BOOTY CALLS TU HIZI, WENZAO WALIO KUJA SINGLE VERY SINGLE WAMESOGEA KUPATA WATU WA KULIPA MAHARI NA KUTAMBULISHANA NYUMBANI.

 

MPENDWA BOOTY CALLS NYINGI ZINAISHIAGA MWEZI UJAO NA-O ALAFU MTU ANAUMIA NA KUSTUKA,  MIAKA 4 UNAMPA UTAMU HATA MLANGO WA KWENU HAJAWAHI KUULIZIA UNASTUKA NINI SASA ?

 

HIVI VITU VIKO WAZI KABISA, MWANAUME MWENYE NIA NJEMA ANAENDA KWENU! ANAKUTAMBULISHA KWAO UNAONA KABISAAA KUNA SEHEMU MNAELEKEA, AKIKUPIGA KONA KONA DONT ANSWER BOOTY CALLS!, ANSWER PRAYER CALLS!, MUNGU ATAKULETEA MWINGINE, THE SOONER THE BETTER FOR YOU, PENTEKOSTE KAMA MTU ANAKUPENDA ANATANGAZA  KANISANI, NO JANJA!

 

MPENDWA UKIFANYA MAOMBI HAKIKISHA UKO-FORM YA KUPOKEA MAJIBU, UPO KWENYE FORM YA NGUVU ZA MUNGU KUPITA NDANIYAKO NA KUPITIA WEWE, DEFEAT YOUR INTERNAL WARS! DEFEAT YOUR MALICE, KUWA ON YOUR BEST FORM PHYSICALLY! MENTALLY! NA SPIRITUALY KAMA UNAONA DONDA BADO LINAVUJA DAMUUU TAKE TIME TO HEAL,  KAMA UNA UCHUNGU ACHA KUOMBA MUME KWANZA JIOMBEE AMANI!, KAMA UMESHINDWA KUSAMEHE OMBEA NEEMA YA KUKUBALI MAMBO! TIBU KWANZA MAJERAHA YAKO YA NDANI , HIWEZI KWENDA VITANI DHAIFU UTAKUFA.

 

MUELEWE MUNGU NI AINA GANI YA WATU ANAFANYA NAO MAKUBWA, BADILIKA KUWA AINA HIO YA WATU, ONLY THEN NDO UTAINULIWA UTUKUFU HADI UTUKUFU KUNA MAMBO KWAKO YAMEGOMA KUFANYIKA SABABU YA AINA YA MTU AMBAE WEWE ULIVO HAYAWEZI KUFANYIKA.

 

Wewe unamuomba Mungu akupe the best of his best, Huku upo kwenye booty calls, Do you think you deserve the best of his best? Thubutu, Mungu hajakata, Anangoja na kukupa mda upone uchizi, Ndo mkae mezani serious Sasa juu ya maombi yako!

 

MUNGU YUPO SERIOUS SANA NA MAOMBI YAKO KULIKO UNAVYO DHANIA, MAANDIKO YAPO STAND-BY KUPITISHA NGUVU ZA MUNGU NA KUACHILIA MATOKEO, KIMBEMBE KIPO KWAKO, JE UPO SERIOUS KWENDA SAMBAMBA NA MAANDIKO KUPITISHA NGUVU ZA MUNGU?

 

MIMI NIMEONA WENGI MNATAKA MUNGU ASHUKE KWENYE VIWANGO VYENUUU NA KUWAPA MATOKEO!, MUNGU AMEGOMA KUSHUKA MPAKA SASA NA NYIE MMEGOMA KUPANDA, NGOMA DROOO!. KUNA MTU ALINIULIZA MBONA WAZI NZI WANAOLEWA? WALIKWAMBIA WAMETUMIA TECHNIC GANI KUPATA HIO NDOA?, KAMA SHUNTAMA LILIKOLEZWA JE ?, KAMA WALIHONGA NA KUNUNUA NDOA ? SIO KILA NDOA INATOKA KWA MUNGU?

 

Ndo kuna mtu akaniuliza Mmbona kama Ndoa zinatoka kwa MUNGU kwanini watu wana Divorce?, Walikwambia wame unganishwa na Mungu? Unakuta mmoja alitumia libwata moja matata la kihaya toka Kamachumu linaitwa Shuntamaaa,  Hatariiii! Likiisha nguvu na mganga kasha-jifia Divorce lazima. Anyway haya Ya Divorce tu waachie wenyewe watu ambao walisha onana bila nguo miaka kwenda!

 

KIKUBWA MUNGU ANA STANDARD ZAKE NA VIGEZO VYAKE NA MOST OF ALL,  ANA CONDITIONS ZAKE AMBAZO LAZIMA ZITIMIE ILI UWEZE KU -ACESS HIS POWERS AND RELEASE RESULTS AND THE SOONER YOU FULFILL THESE CONDITIONS THE OONER YOU WILL GET RESULTS!OTHER WISE IBAD ZAKO ZINABAKIA HEWANI KUNGOJA UKAMILISHE CONDITIONS.

PART III

4 FULL FILLING THE WILL OF GOD/ KUTIMIZA MAPENZI YA MUNGU

Wapendwa msicho kujua ni kwamba most of the time kutimiza mapenzi ya Mungu nikuyawasha biriti mapenzi na haja za moyo wako, Fullfilling the will  lof God most of the times requires youto give up your will and desires! MOST OF THE TIMES.

 

You can only fulfill One will at a time! Either Gods will or your own will and desire, Single Mama siwataji lakini I can’t resist mfano wenu, Ata  One Point mlikuwa Dilemma ukaze umtii Mungu au Umelt-down kwenye huna na zinaaaa afterallwe live only once !Umzalie mwanaume wa ndoto zako!, I BET YOU WAS LIKE TO HELL WITH GOD I LOVE ME THIS MAN AND JUST WAS FEW SECONDS BEFORE AFUNUE PEMBE NA MKIA WAKE  BILA HAYA YOU CALLED GOD BACK TO SAVE YOU.

 

Yesu mwenyewe alianza ku-have second thoughts lakini akajikaza Ki-Mungu na kusema MAPENZI YAKO YATIMIZWE!

 

Marko 14:36

36 Akasema,”Baba, Baba, Mambo yote yawezekana kwako.Tafadhali niondolee kikombe hiki cha mateso.

Lakini si kama nitakavyo mimi, bali mapenzi yako yatimizwe.”

 

WENGI TUNA GIDA VIKOMBE VYA  MATESOO, MATESO YA UPWEKE, MATESO YA UZINZI, MATESO YA KUPENDA JITU LISILO KUPENDA, MATESO YA EMOTIONAL AND VERBAL ABUSE, MATESO YA DHARAU LAKINI COME WHAT MAY WE AINT GIVING UP ON OUR WILLS, UKO NA MAPENZI YAKO MPAKA YAKUUE! HUU MWAKA NIMWAKA WA KUFOSI AU SIO, KAMA NDOA INAGOMA MNAFOSI DIVORCE ENTERED THE CHAT.

 

Mapenzi ya Mungu juu ya ndoa yako wazi, Tena Mtume Paul ndo kishan-shuda kweli-kweli kwenye Nyaraka zake juu nafasi ya Mwanamke kwenye kanisa na familia, AlAFU MWAMBA HAKUOA WALA NINI.

 

Hii post nili andika kwa kinaaa, Apo chini, Nitai pin-juu!, Nili Reference maandiko yale key point, Maandiko  yameweka wazi What God expect from you!, Ofcourse after understanding his revelation in his scriptures, Sasa wewe hutakikusoma scriptures kuelewa Ukishapata hio ndoa wewe na Mungu mnasimamia wapi?. Unataka umtapeli Mungu akupe tu hio ndoa the rest utajua mwenyewe, Ndo ume JIFUNZA kwa Njia ndefu KUWA MUNGU HATAPELIKI!, WEWE HUTAKI KUJIFUNZA NA YEYE ANAKUONGEZA MUDA UJIFUNZE! NGOMA DROOO! BILA BILA MWAKA HADI MWAKA, ACHA KUKOMAA KUTIMIZA MAPENZI YAKO, YATAKUUA.

 

MOST OF THE TIMES KUTIMIZA MAPENZI YA MUNGU WILL DEMAND AS IN DEMAND DEMAND FOR YOU TO GIVE UP YOUR OWN WILL, ALL OF IT SIO KIPANDE. OOH MI- NITAJUAJE MAPENZI YA MUNGU JUU YA NDOA YANGU?, READ SCRIPTURES BABY, READ GIRL!, ONLY THEN NDO UTAKAPO-ONA MAPENZI YAKE YAMEANDIKWA KWA HERUFI KUBWA KWELI-KWELI WEWE TU HAUPO SERIOUS KUYAJUA SABABU YATA CONTRADICT MAPENZI YAKO!

 

Mathayo 19:5

Na akasema:’Kwa sababu hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake,ataungana na mke wake,nao wawili watakuwa mwili mmoja?”

 

Wewe kila mwanaume unamkagua anatoka familia gani kwanza?, Shekeli zipo zipo, Chambi-chambi!,Unaolewa na Mume au na familia yake? Kwa hio lengo kuambatana na familia nzima au sio? , THIS IS YOUR WILL AND IS PURELY VANITY, Ukikuta familia yake wamechachuka lazima ndoa ikushinde sababu umeijenga kwenye  misingi ya  ubatili.

 

Wengi hamfikii  ndoa mnakuwa na SHOBO na vitu ya watu mpaka wana wa-ona SIO wife material!, We hujaolewa unataka uendeshe Gari za ukweni kweliii?, WAKWE NA UTAJIRI WAO, ARE NOT PART OF THE WILL OF GOD ON YOUR MARRIAGE, Mama wakweee hawanitaki, Wewe unataka kuambatana na mwenzio au Familia yake ? Mbona Sikuelewi -elewi mwanangu.

 

Wakolosai3:18-19

Enyi wake,watiini waume zenu, kwani ndivyo apendavyo  Bwana. Nanyi waume,wapendeni wake zenu,na msiwe wakali kwao.

 

Mtu unafunga siku 30 unaombea mahusiano, Lakini wewe Huyo huyo ni JEURI, KIBURi,  KISIRANI, lnshort

unashindana na Kiba-Pasua kichwa!Umpasue nanikichwa?, Pasua upwekeee!

 

Unapata wanaume vizuri, KUWATII UTIMIZE MAPENZI YA MUNGU HUTAKII, UNAENDELEZA KUTEKELEZA MAPENZI YAKO YA HASIRA, UNAMFOKEA MWANAUME MPAKA KORODANI ZINALEGEA  AKIKUBLOCK UNALIA NA WANGA NA MIZIMU YA MABABU, COME ON!. MTUMISHI MIMI NA HASIRA SANA,  MIMI KUPAMBANA NA MWANAUME KIUME SIO SHIDA ZANGU, MWANAUME GANI ANATAKA MWANAMKE KAMA DUME MWENZIE ?, AKIKOROMA UNAMNGOA KOROMELO ALAAAH! FEMININE  MOVEMENT        WIFE X.

 

UONGOOOO!, MWANAMKE MUONGO AFU HUNA KUMBUKUMBU KILA SIKU  ANAKUSHIKA NA UONGO WAKO, MTU UNA WATOTO WA 2 UNA DECLARE MMOJA, HUWAGA KALE KA DOGO! SIKU AKIJUA WA PILI SIO  WA KWANZA BBIASHARA IMEISHA.

 

Hata kama wewe ndo mwanaume UNAWEZA KUJIOA KWELI KWA TABIA ZAKO?, Zinaaaa mfululu mambo yetu yale Ya Booty CaLls! My body  has needs, God damn!. ANSWERING BOOTY CALLS IS YOUR I’LL, IF YOU FULL FILL YOUR BOOTY CALL WILL WHO WIL FULL-FILL GODS WILL? ABSOLUTELY NO ONE.

 

TAMAA  YA MALISASA , Mkiona mkaka ana vimali kanisani wote mnataka kujiweka hapooo! Wasio na Mali aku.Unataka uolewe uka pumzike kwa MUMEO! Ndo will YAKO hio, Wakati Maandiko yanasema MWENDO NIKUSADIANA, MUNGU ANAKUPA HUYO MAPROSOO MKIFUNGA NDOA TU ANA ONDOA PESAAA! MSAIDIANE!USO MKAVU MAHAKAMANI UNADAI TALAKA!

 

NI NGUMU NA ALMOST IMPOSSIBLE TO FUL-FILL YOUR WILLAND GODS WILL AT THE SAME TIME!, WEWE ULIPO SIOO MUNGU ALIPO KABISA  NA NDIYO MAANA UPANDE WAKO MAMBO YAKO MAGUMU. Take Jesus approach!, MAPENZI YAKO YATIMIZWE, God I surrendar my wills on Marriage kuanzia Sasa, MAPENZI YAKO WEWE TU NDO YATIMIZWE!

 

MY WILL ON ANGER, LIES,DECEIT,LAZINESS, ADULTERY,POWER GAMES ,ETC FROM TODAY IFORFIT THEM !SITATIMIZA MAPENZI YANGU WALA KUUFATA UBATILI WANGU, NITATIMIZA MAPENZI YAKO! NIPE MUME ATOKAE KWAKO NA NITAENDA SAWA SAWA NA MAANDIKO YAKO.

 

NI MAPENZIYAKO WATU WAACHE ZINAA, NIMEACHAA,  WAWATII WANAUME, NIMEKUWA MTIIFUUU! WAJITOE KWA WENZAO NITAJITOA, WAWAPENDE WENZA WAO KWA UKARIMU, KUSAMEHE, COMPASSIONATE , MIMI NITAMALIZA GAUGE!

 

UNAFANYA AGANO NA MUNGU VERY SERIOUS, NA MUNGU ATALETA MTU NA SHETANI ATAKUWEKA KWENYE MZANI MARA KWA MARAA. AKIKUWEKA KWENYE MZANI NDO UKUMBUKE ” MAPENZI YAKO YATIMIZWE!” UNAJIKAZAA KAMA BWANA YESU KUPITIA KWENYE HILO JARIBU HUKU UKIYABEBA MAPENZI YA MUNGU WITH HONOR. MPAKA YATIMIE NA KUYA TEKEKETEZA KWA KIBERITI MAPENZI YAKO NA KUSHUHUDIA YAKIGEUKA MAJIVUUU! INATAKA ROHO NGUMU SANAAA! BUT IT CAN BE DONE!

 

MY COUSIN ALIKUWA NA KIBWANA KITAMU!, ANAMPENDAAA KUFAAAA! AKAMZALIA KATOTO KAMOJA! HUKU NA HUKU EX WAKE NAE AKAMZALIA! IKAWA UKE WENZA FLANIWA KIJINGAAA SANAA, TUKAENDA KWA MNIGERIA KULE TULIKO -FUKUZWA! YEYE ALIENDA KWA AJILI YA MAHUSIANO! SABABU YULE BWANA NA EX, WALIONGEZA WATOTO NA KUFUNGA NDOA! SHE WAS SHATTERED!

 

MNIGERIA AKAMPA HII PRINCIPLE, MUACHILIE NA ACHILIA KILA KITU, ACHILIA YOUR WILLS NA MWAMBIE MUNGU MAPENZI YAKE YATIMIZWE, NAONA KUNA MWANAUME WA MAISHA YAKO BADO HAMJAKUTANA BADO NA MNASHINDWA KUKUTANA SABABU UPO SHATTERED UNA FOSI WILL ZAKO NA SIO MAPENZI YA MUNGU, AKAWA MGUMU SISITUNAMTIA NDIMUUU! UMESIKIA MWANAUME A MAANA TENA WA NCHIZA NJE!SHAURI YAKO!UNAILILIA UBWAA ILE!, JIKAZEEEE KIKIKE! UTAPISHANA NA AMERICAN DREAM!

 

Tuka mchotaaa!Akasema mimi baba Mtoto basi, Mapenzi Ya Mungu yatimizwe! Miezi 6 mbona mingi! Lilikuja Bonge la Bwana toka hukoooo majuuu Ilisomaga huko Majuu like 4 yrs back ila ndiyo alikuwa na mimba Sasa, Huyu Kaka anakuonaga , Akampenda sana lakini ndo majira zilikuwa mbaya. Alivyoanza kuomba MAPENZI ya Mungu yatimizwe akamkumbuka!Akaanza kuulizia habari zake!Alivosikia yuko Single!Akaja moja kwa moja anataka KUMUOA! Cousin akaogopa!Tukamwambia mapenzi ya Mungu shogaaa.

 

Walioana less than 6 month za kukutana, Na ana-mpendaaaa balaaa, Kila mwaka anamzalia, Kwa nchi za nje ukiona watu wana zaa-zaa ujue penzi tao sio la kitoto,  Kaka age go ana hamu ya watoto, Dada uzazi upoo wa kutoshaaa! SHETANI LAZIMA A-AIBIKE.

4 thoughts on “VITU VITAKAVO SABABISHA UMUONE MUNGU KWA HARAKA AU UMUONE NUSU AU USIMUONE”

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top