Wapendwa kumbukeni niliwapa daliliza kujua kama umefungwa hilo eneo!, Nimekupa sababu nne (4) unakwama wapi kwenye maombi yako mpaka kuomba kila mtu yaani mpaka Shetani mwenyewe anajua umeomba sanaaa sanaa hilo eneo! Sanaaaa!.
Sasa pamoja na zile sababu nne (4) kwanini inakuwa ngumu kwako kuchomokaaa? Ngumu kama jiwe la volcano! Mpendwa Vifungo vya mahusiano vina time limit aka expirery date ambayo kwa wengi ni miaka 49!, Ukifika hamsini unapewa msamaha wa Shetani, !Not really !Just kidding! In reality muda wako wa kifungo unakuwa umefikia kikomo umeutumikia kikamilifu with honor!, Sasa unaachwa ukamalizie uzee maana destiny yako ishaharibika kapambane tu na hukumu za muda.
At 49 kama hukuzaa mtoto au watoto ndo basi tena!Utabakia rich aunty! Na kama ulizaaa kiubishi ubishi ni muda wa watoto sasa kuolewa na kuzaa sio tena wewe!, Sexy Bibi kajala yuko 40’s and she is enjoying granny hood!, Mange ana-dai mjukuuu huku aki-hint possibility of adopting!, Mother hood days are over!
Wengi hivi vifungo mnacheka cheka navyo msicho-kijua hukumu ya muda is loading!, Juzi you was 30!, Leo 38!, And you are still doing booty calls!, Granny era is loading!. Sawa at 49 utatolewa gerezani bila ajitihada zozote!, Men will come sanaaa mpaka utashangaaa!, Where were they when you was young and beautiful? na Wengi watakwambia walitaka sanaa kukuoa lakini sijuii ikuwajeeee. You will remain wondering why you became second rated in life.
Kwanini utumikie kifungo cha kipuuzi na kishenzi wakati prison break zipo, Kweli Yesu alikufa Msalabani for you to serve a complete nosense sentence in evil prisons while you can afford expensive bible and you can read and write!, Ukifanya masihara utatumikia kifungo chako cha mahusinao kikamilifu, The sky will always be small for you mpaka 49! Like you used to be 23 now you are 30! Still doing booty calls!, 40 yrs is loading, Even the booty is getting too old for random calls!
Mpendwa kama nilivyosema prison break iment prison break! Sio kitu kirahislll!Jela za nguvu za giza nihatari sana!, Nguvu za giza zina operate within you, Kuna muda mnakuwa lenu moja yaani Nguvu za giza ni wewe na wewe ndo nguvu za Giza!, Hamuwezi kutenganishwa mfano hasiraaa zipo ndani yako, Unafokea wanaume kama watoto, How can normal people differentiate hasira zako na wewe mwenyewe!, Wanaona wewe ndio hasira na hasira ndio wewe!, If you dont break out of that prison you are done!
Some of you I know for a fact you are good people!, Mnachukia zinaa kwa moyo woteee, Lakini you just can’t close them legs!, Upwiruuu wa nguvu za giza una washa kama upupu, Unalala mpaka na vitu vya ajabu wengine mnatumia sex toys!, Ni maroho ya zinaaa tu!, Watu wengine mpaka wanajiua!, Maroho ya homo sexual!, Cha kushangaza kifungo chako kikifika ukomo maroho yote yanaondokaa, Huwezi kukuta mtu 50 amechachukaaa! Ukifika 45 menopause Nguvu za giza zina ona kazi imeishaaa ,kifungo umekitumikia kikamilifu nenda mwana kwenda.
Ukifika 46 driving force inaondoka mdogo mdogo! Stimuuu huna tenaaa, Mshawasha haupooo!, Ndio unaelekea kuwa huru na kumaliza mda wa kifungo cha nguvu za giza uanze kibano cha hukumu ya muda, At 49 una kiu ya ibada ikiwezekana ulale kanisani.
Kama huaminiwale baddest wa enzi zi eee magazeti ya shigongo wengi huwaskii tenaaa!, Wamejituliza mahali wana kula hukumu ya muda tu!, My favorite alikuwaga Sinta, Nime follow instagram yake, she is still cute. Ugumu wa hili prison break nikwamba tayari wewe na nguvu za giza nikitu kimojaa Na hilo ni balaaa kubwa sana upande wako
Kuzishinda nguvu za giza cha kwanza kabisa you have to defeat yourself, Sio kitu kirahisi, Sio rahisi na sisitiza!. The only way utaweza ku-defeat nguvu za giza ambazo tayari ni part of you tayari ni by defeating yourself completely!
Unatakiwa ushinde nafsi yako! Ubadilike kuwa mtu mwingine!. Na kuishinda nafsi yako is only possible ukiweza ku attain inner peace, Ukapata amani na utulivu wa ndani!, Only then utaweza ku focus na utapata matokeo kwenye kila unalo gusa.Wewe ukibadilika only then ndo mambo yataanza kubadilika!, Lakini kwa state uliyopo mambo kubadilika ni Ngumu sanaaa!
Na wengi hamtakiku ezolve, Hamtaki kubadilika, Lakini mnataka matokeo yawa tokeee kwenye hali hio hio ambayo wewe na nguvu za giza lenu moja!.,Haiwezekani. Nguvu zaa giza zina enforce kifungo chaoooo na kazi kwao nimoja tuuu!, Kuhakikisha unatumikia muda ulio hukumiwa kikamilifuuu! They will give you all the as munation to blow yourself up!Watakupa mabomu ya kutosha ujilipueee!
Kama niuongo watakupa the finest of the finest!Uongo cream dela cream!Kama nihasira watakupa promax!, Kama ninyodo watakupa sio za nchihii!Anything to hang yourself faster
For you to break from these prisons you have to break yourself, And the process is painfull! I wont lie!, Mimi 2022 niliwaambia watu waache zinaaa!,Wengi mliniona nenda eka, Kubwa jingaaaa! Dishi lime-yumbaaa!Hooow??? As in 2020’s hoooow????, Wengi mliendeleza zinaa mkani puuza!, How you doing huko kwenye jela za zinaa, Wengine mbele mshamaliza mko nyuma, mwili una matundu ya kutosha bado pua na masikio.
Wale walio nisikiliza wana nishukuruuu sana, Maana sasahivi wanajiona kweli walimkosea Mungu na Walijikosea hata wenyewe, Wametumikia kifungo bila sababu za msingi lakini wamechomoka!. Mtu anashangaaa aliyewapa papuchi hamna la maana alilo-mfanyia zaidi ya kulitoa kasoro tu, Wana kazi ya kumwagia acid kwenye kidonda! Alio wantuma ndiyo wameona thamani yake, wana pambana to give her their sir name, Wana pambana ku-make it official, They cant breath without her!, Prison break.
Mpenndwa Prison break is possible but definitely not easy!, Inataka maamuzi na commitment kwamba humu sikai bora Nife natoroka lakini sio kukaaa humu, Kama shetani anataka kuniua aniueeee tu!, Lakini humu sikai , I am going out!, Ukishafanya resolution kama hizi mission impossible inakuwa nyepesi sanaa, Hutaamka bila kusali wala Hutalala bila kusali, Ukistuka usingizini unakandamiza andiko moja chaap kwa haraka, Ukiwa chooni utasali, Ukiwa Kwenye gari nikukandamiza tu ibadaa kwako kila siku ni jumapili na jumapili ni kila siku.
Na ukiamua kwamba I am breaking out of prison, Kukamatwa na shetani ni kurudishwa jela kawaidaaa sanaa Then you break out again and again!, Atachoka yeye. Set back zitakuwepo za kutosha lakini wewe ushaweka msimamooo!. Ukiwa serious prison break haitakiwi kuzidi miezi 9, Tena kama ukidhamiria mmoja tu unatosha. Not to killing Yoursef in the process walau 9.
Mpendwa Mimi wale above 35 wametoa sadaka kubwa sana, na Nime zisimamisha kwenye ulimwengu wa roho! God knows I did, Wale wenye kituo wana-niandikia from time to time kushukuru tu lakini 70% they deliberately chose to enjoy the comforts of evil prisons one more yea, Uzembe uzembe tuuu! Kujiendekeza upuuzi! Mtu kajiteketeza sadaka na bado ka left!Sasa hasara ya nani? Lakiniuzuri mungu ni muaminifu sadaka yako ipo pending inangoja ujipate ili ukamilishe ibada ya kui-claim!
Prison breaks are not easy lakini kila siku watu wanaokolewa na kujiokoa kutoka kwenye vifungo vya nguvu za giza, Hata wewe ukiwa serious Utajiokoaaa mpendwa process ya kujiokoa inauma nikweli lakini the pain is not worth wewe kutumikia kifungo mpaka miaka 49 kweliufukie makamo ya sexy bibi! Hapanaaa! Kataaaaa! Bora ufe unajiokoaaaa!
Mimi mtu akiniandikia DM Akwa real IdD najua ashajipata ndiyo maana shuhuda nyingi zina background za 2022 kuendelea, Pale ndiyo walishafanya maamuzi magumu.