VITU VITAKAVYO SABABISHA UMUONE MUNGU AU USIMUONE KABISA AU UMUONE NUSU!

WAPENDWA SUALA LA KUMTAFUTA MUNGU KWA MOYO WOTE NA KWA BIDII LIKO PALE PALE  KAMA CONSTANT FACTOR!, LAKINI KUNA OTHER VARYING FACTORS KAMA ZIFATAZO:

 

2 EXPECTATIONS ZAKO ZA KUMTAFUTA MUNGU!

Mitume walikaa na Yesu karibu na zaidi yua kufundishwa na kumfata-fata Yesu kila anapoenda hawakufanya makubwa ya maana, Kwanza walikuwa wazembe, walamishi, wanadeka mpaka wanavunja Sabato kisa NJAA tu!, In Short wakati Yesu yupo hawakuwa the DREAM TEAM, Kidogo walijaribu-jaribu kutoa pepo hivyo hivyo, TICHA SI YUPOO.

 

WHY???? Muda huu Expectations zao za kumtafuta Yesu zilikuwa wazi, Washangaa yule Mfalme wa kumpindua Herodeee ndo huyu Sasa!, Ofcourse he is Masiah he has a plan to dethrone the King which expected miaka 1000!, After-all Herode alisha-anza kuhanya-hanya na uwezo Masiah alisha uonesha mkubwa.

 

 

Ao walichokuwa wana-ngoja Yesu aite JESHI lake la Mbinguni, Siku isiyo na jina, kiwakeeee, Herode akwendre wakae madarakani watawale na mfalme! ,Basi wakipiga hesabu Ufalme wa milele wanaona wamemalizaaa!, All the time they were making power moves!, Nani atakuwa mkubwaaa kwenye huo Ufalme? Nani atakaa kushoto na kulia kwa mwalimu!

 

SABABU YA HIZI EXPECTATIONS ZAO BATILI NDIYO MAANA HAKUWAZA MATUNDA MAKUBWA WALA KUFANYA MAAJABU WAKATI WAKIWA NA YESU!, Ukitaka kujua walikuwa serious na kuitawala yahudi na kumngoa Pilato! Yesu ana-waaga wanagoma kumuelewa, Aondoke aende wapi wakati Ufalme bado? Kivipi sasa maana washazurura KM za kutosha kuutangaza ujio wa Ufalme wa Mbinguni, Time is Over for Herode and Ceaser! Ni muda wa Yesu na wao kutawala, Hawakuwaza sana kuhusu JESHI silipo JESHI LA MALAIKAA!, Ukileta ubishi Uta deal na JESHI LA MBINGUNI!

 

Yuda wakati anakula pesa ya watu hakuwa na mashaka HATA kidogo!,  Alijua Yesu akishindwa kabisa kabisa ata ita JESHI lake la Mbinguni Bwana, Shekeli zao 30 napita na nazo, na wakikutana na TICHA kitawakuta kitu, Kujua Yesu kafa as in officially DECEASED zile SHEKELI yaani kazi-ona CHUNGU na Dunia kaiona Haikaliki kabisaaa!, akaona bora tu Ajinyonge zake!

 

Wanafunzi baada ya kuona Yesu kafa msalabani mchana kweupeee!, Hakuna Jeshi la Mbinguni wala la Malaika likitokea!, Basi Malaika japo mmoja!, Basi mitume Wake! Walivyo -poteana wanajua hata.

 

KI-EXPECTATION CHAO KUSHNEY BABU G!, PILATO SIO MTU! KAKIFUTILIA MBALI. Petro akaona hakuna ufalmeee, hamnaaa chochote, Bora arudie zake Nyavu tu na Bahari! Ashakutana na maisha uso kwa uso na yakampiga KNOCK-OUT! Chezea!. Samaki akawa hapatiii, bahari ikamkataaa!, Akawa na kazi ya KUKESHA usiku kucha bureee ! Wengine walirudia kulima!, Wengine walibakia wana zurura zurura bila direction.

 

IKALAZIMU YESU MWENYEWER BAADA YA KUFUFUKA KUWATOKEA BAADHI NA KUWAHAKIKISHA HAKUFA FULL FULL, BADO YUPOO, UFALME UKO PALEEE PALEEE!, TENA SIO UYAHUDI TU, HE IS COMING FOR THE ENTIRE WORLD!, WAJIPANGE TU AND HE IS BRINGING THE HELP FROM HEAVEN!HALLELUYAH !

 

Wale wale wababaifu walio-mkana Yesu Mara 3 na kumpotea kwenye Safari ya Mateso!, KUSIKIA UFALME UPO PALE-PALE NA NIMKUBWA KULIKO WALIVYO-EXPECT, TICHA YUPO HAI  KITAAA, NA MISSION IKO PALE PALE NA KUNA USAIDIZI UNATOKA MBINGUNI WANAKUTANA NA WANAFANYA MAAMUZI YA MSINGI SANA.

 

WATU WALE WALE WABABAI MNAO WAJUA WANAPEWA MAJUKUMU YA YESU, YESU ANAPAA ZAKE MBINGUNI,WAO WANABAKIA WANAUKIMBIZA MWENGE BALAAAA!, WANAZAAA MATUNDAAA KULIKOOOOO!

 

YULE HERODE ALIYE WA FRUSTRATE WANAMVUTA SHARUBU MPAKA SIO POA, MAPINDUZI WANAFANYA WAO BILA YESU! WANA EXCEED EXPECTATIONS ZOTE JUU YAO!, KUMBUKA WATU NIWALE WALE, MUNGU YULE YULE, MISSION ILE ILE KINACHOBADILIKA NIEXPECTATIONS ZAO TU NDO ZINA CHANGE THE WHOLE GAME!.

 

Turudi kwenu wana-zengo, Wengi imani zenu zina bebwa na EXPECTATIONS ZENU kwa asilimia kubwa na kibaya zaidi ni SELFISH AMBITIONED EXPECTATIONS, Sababu una Expect Mungu atakupa Ndoa na Mume na watoto ili uwanyamazishe wanao-chonga sanaajuu yako,Uwaridhishe wazazi wako,ukubalike kwenye jamii, Uondoe aibu na manyanyaso! FOR THESE EXPECTATIONS UKO TAYARI KUFUNGA SIKU 89 NA NUSU.

 

Like I Said ALL OF YOUR REASONS ARE SELFISH!ITS ALL BOUT YOU!YOUR HAPPINESS, YOUR VICTORY! YOUR! YOUR! YOU, YOURSELF AND YOU, THE MINUTE UKIONA AMBITIONS KAMA ZINAKUJA AFU ZINAKATA HUWAZI MARA 2 KUVUNJA UHUSIANO NA MUNGU NA KUSUSA IBADA.

 

Ukiona kama Mungu anapita mule mule kwenye Plan lako, Mtumishi nitafurahiii, Nakula masadaka na matoleo!Aaaahh!, Kwa raha zanguuu!

 

IMANI NA IBADA ZAKO ZINAPANDA NA  KUSHUKA KUTOKANA NA EXPECTATIONS ZINAVYO ENDAAA! ZIKIENDA VIZURI UNANIPIGA MASADAKA, ZIKIYUMBA NAKULA UNFOLLOW YA CHAP KWA HARAKA! MUNGU MBAYA, MIMI NDIO MPAMBE WAKE, MPAKA PAGE UNAONA INAKULETEA UPUUZI TU.

 

EXPECTATIONS NIVARIABLE FACTOR HATARI SANA, INAWEZA KUKUSAIDIA KUFANIKISHA JAMBO LAKO FASTER AU KUKU KWAMISHAAA  MAZIMA, WEWE UNA EXPECTATIONS ZAKO AMBAZO NDO HIZI SELFISH AMBITION BASED NA MUNGU ANA EXPECTATIONS ZAKEEEE AMBAZO ZINALENGA KUJENGA UFALME WALE KUPITIA WATU KAMA WEWE.

 

UKIWEZA KUPELEKA EXPECTATIONS ZAKO SAMBAMBA NA MUNGU AAH UMETOBOAAAA! NURU IMEKUANGAZIA. Mpedwa wengi mmekwama kujaribu ku-mmove Mungu kwa uchungu na simanzi yenu!, Mungu hatishiki HATA robo na uchungu na Simanzi Ya WAZINZI WANAO VUNA WALICHO PANDA !Mnajitekenya mnacheka wenyewe!

 

UMEAMBIWA   USIZINI,UNAZINI UNAVYO-TAKA, HUNA HOFU YA MUNGU HATA CHEMBE AND YOU HAVE THE ADUCITY YA KUFOSI MUNGU AKUPE MUME ON-TOP OF ZINAA UNAZOFANYA KWA SIFAAA TENA IKIWEZEKANA AKUPE MZINZI MWENZIO KAMA MUME  NA UPO SERIOUS KABISA WHO DO YOU TAKE GOD FOR ? KWAMBA HAPA DUNIANIAMEKUJA KUSIMIKA UFALME WA ZINAAA, SISTER PLEASEEE!

 

UKIPIGWA MATUKIO KWENYE ZINAA UNAJILIZA KWA MUNGU, UTAFUNGA NA KUFUNGA, HATA AIBU BASII DADA YA KUSEMA HAYA MAFAO YA DHAMBI NIBADILIKE BASI, KWAKO HAPANA, KUACHA ZINAA NI NEVER! LAKINI SIMANZI NA UCHUNGU KAMA KAWAIDA.

 

KWA STYLE HII MUNGU HAWEZI KUKUENDEKEZA UJINGA WAKO HATA KAMA ULIROGWAAA SAWAAA LAKINI MATUNDA YA KUROGWA UMEZIDISHA KUYAFAIDI PEPO LA NGONO LIMEKAAA PEMBENI LINACHUKUA NOTSI KWAKO.

 

KAMA UNATAKA MATOKEO YA HARAKA BADILISHA EXPECTATIONS ZAKO KWANINI UNATAKA KUOLEWA ZIENDANE NA MAANDIKO YA MUNGU NA KUSIWE NA ONE BOUNCE OF SELFISH AMBITION.

 

Mit 18:22

Apataye mke apata kitu chema, Naye aji patia kibali kwa BWANA.

 

Ji-aminishe kwa Bwana kwamba UMEMALIZA KUDANGAAA.Ukipewa ndoa wewe utakuwa the best thing that ever happened to that man!Anamshukuru kukupata, From the bottom of your heart. Mungu na KUAMINI katika Hilo.

 

MUNGU ANA-WANAUME WA MAANA WANAFANYA MISSON ZAKE NA KUHAKIKISHA UFALME WAKE DUNIANI UNA TARADADI, ANAANGALIA NENO LAKE HILO ALITIMIZE KWAKO KWA UKUBWA, JE WEWE NI KITU CHEMA? AU ANGOJE TU LAWAMA ZAKE ZA KUPELEKA NUSU MTU NUSU MDANGAJI.

 

Mhubiri4:9-12

Ni afadhali kuwa wawili kuliko mtu kuwa peke yake. Kwa sababu wawili watapata tuzo la kazi yao. Ikijatokea mmoja akaanguka,huyo mwenzake atamwinua.Lakini ole wake aliye-peke yake akianguka!, Huyo hatakuwa na mtu wa kumwinua!, Hali kadhalika,wawiliwakila pamoja watapata joto, Lakini mtu akiwa peke yake atajipatiaje joto?, Mtu akiwa peke yake aweza kushindwa na adui, lakini wakiwa wawili watamkabili na kumshinda adui.Kamba Tatu zikisokotwa pamoja hazikatikikwa urahisi.

 

Kama kawaida Mungu Ana Angalia nenolake apate kulitimiza!, JE NDANI YAKO KUNA NENO SHOGA??? HILO HAPO JUU? Unatafuta Mume wa kusaidiana kama hivo,au unatafuta MTU WA KUKUTOA KIMAISHA, Je upo willing kuwekeza kwenye hio ndoa unacho expect mwenzio awekeze na yeye? UNATAKA MUME KUTOKA KWA MUNGU AU UNATAKA DANGA LILILO CHANGAMKA!

 

WATU WENGI MNAFUNGA KUMUOMBA MUNGU MTU FLANI ALL FOR WRONG REASONS SIO MUNGU AKUPE UMPENDE BALI AKUPE IWE JACKPOT YAKO KUKIMBIA SHIDA ZAKO, THUBUTU!, KAMA EXPECTATIONS ZAKO ZA KUKITUMIA KILE UNACHO MUOMBA MUNGU ARE NOT IN ACCORDANCE WITH HIS WILL NIBIG NO FOR YOU!.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top