MAZINGIRA AMBAYO UNAWEZA KUPOKEA MAJIBU YAKO KWA HARAKA (SUNDAY WORD)

Wote tunataka majibu sawa, Tofauti yetu ni HOW FAST DO YOU WANT THOSE ANSWERS, Wote mnaweza kuwa mnataka jambo moja kama Kazi/Ndoa.Tofauti ni unataka kuona matokeo ndani ya muda gani? THE FASTER YOU WANT THE RESULTS THE HARDER YOU SHOLUD FACILITATE ENVIRONMENT   FOR THE MIRACLE TO GO THROUGH.

 

MUNGU ANAWEZA KUFANYA LOLOTE MUDA WOWOTE NI KWELI ISSUE NI KWAMBA, JE? WEWE UNAWEZA KUMAINTAIN MAZINGIRA YA KIROHO KUMRUHUSU MUNGU AFANYE UNACHOTAKA AFANYE NDANIYA MuDA UNAOTAKA AFANYE, MAANA NPAKA STAGE HII UNATAKA MIRACLE, MUNGU AKISHANGAZE NA ATUSHANGAZE NA SISI KUPITIA WEWE! MUNGU HIZO SIO SHIDA ZAKE KABISA ISSUE JE WEWE MSULI UNAO?

 

Kwa ukubwa na uweza wa Mungu ninae mtumikia mimi,mtu kuomba kitu hike hiko miaka 3 sio asili na nature ya Mungu either MAOMBI yana matatizo au muombaji ana tatizo,Haombi inavotakiwa na cha kusikitisha your GAME OF LIES IS STRONG, MNAPENDA KU APPEAR KAMA MNAOMBA LAKINI HAMUOMBI CHOCHOTE NA MNAWEZA KUAPA MUNGU HAJAFANYA KUMBE HUOMBICHOCHOTE! MTU ANATAKA KU FINESE ANOINTING KWELI.

 

AMINI NAWAAMBIA KAMA UNATAKA KUFIKA MBALI NORMALISE KUJIFUNZA KUJIOMBEA NA KU UNLOCK RESULTS INDEPENDENTLY, GOD IS FOR US ALL, UPAKO WA MTU UNA GHARAMA KUBWA SANAA! NA UTA MOVE NA TUMETABLE ZA MTU! MODEL YA KUOMBEWA IPO LIMITED SANAA KWA MUOMBAJI  NA MUOMBEWAJI.

 

NI PROCESS NGUMU LAKINI UKIIJUA UNAWEZA KUWA UNAITUMIAAAA KWA RAHA ZAKO KWA MDA WAKO! WEWE TU NA MAAMUZI YAKO! FREE AS A BIRD! BORA UINVEST MDA KUJIFUNZA PROCESS KULIKO MTU AKUPE RESULTS NA HUJUI AMETUMIA FORMULAR GANI KUZI REALEASE.

 

Wengi mpo vizuri kwenye kutengeneza mazingira ya kuomba na kuomba! Ila mkimaliza zile Siku za maombi mna rudia RELIM yenu dunia ghafla sana, Hivyo MAJIBU kama yanaanza KUJA alafu yana KATA.

 

KUNA  MZINGIRA AMBAYO  UKIWEZA KUYA FACILITATE  BAADA  YA  MAOMBI YATAKUTENGEZEA  MAZINGIRA YA KUPOKEA MAJIBU YAKO HARAKA NA MUUJIZA KABISA.

 

1.MAZINGIRA YA KUENDELEA KUSIFU NA KUABUDU JUU YA HILO JAMBO

Ukiweza kuweka ratibaaaa ngumu na kuifata ya kumsifu na kumuabudu Mungu specificaly juu ya maombi yako ya kazi au ndoa au mtoto kwa muda wa nusu saa asubuhi, na nusu saa jioni kila siku, Unamsifu na kumuabudu kwa habari ya kazi au ndoa au unachotaka, Nakuhakikishia IN NO TIME KAZI ZITAANZA KUKUFATA KAMA NZI!WATU WATAANZA KUOMBA KUKUOA GHAFLA SANAA. YAANI MTU UPO TAYARI KUTUMIA MASAA 9 KWENYE 24 KUSIKITIKIA KUKOSA NDOA, KUKOSA KAZI ,UNAVOSIKITIKA MANAKE UNA MTUKUZA SHETANIWASTANI WA MASAA 9 KWA SIKU,HUFANYI CONTINUOUSLY MASAA 9 BUT KILA SAA 1WALAU NUSU SAA UNAJISIKITIKIA, NUSU ZIKIJUMLISHWA NI MASAA 9!

 

BASI TUMIA LISAA 1 OUT OF 24 KUMSIFU NA KUMUABUDU MUNGU JUU YA SWALA LA NDOA  SIKU 30 SIDHANI KAMA ZITAISHA MUNGU BILA KUFANYA IF YOU SHOW UP EVERY DAY, KUNA NAMNA ATAONA  MMMMMH HUYU BINADAMU MBONA ANANIJARIBU? ANANISIFU VIPI KWA NDOA WAKATI HANA NDOA NA SIKU 30 AME SHOW UP HANA ABSENT HATA MOJA MALAIKA MKUTANISHENI NA MWENZIE.

 

Kuna mtu alikuwa ananilalamikia this year she turns 40 bila ndoa, Sasa angekuwa ana msifu Mungu 1hr tangu yupo 25 angefika hio 40? Thubutuuuu,  Na asipo msifu kufika 50 sio schocker.

 

SIFA NA KUABUDU ZINAKUPA CONNECTION NA MUNGU JUU YA HIO CHANGAMOTO, MWANZO HUTAONA MAAJABU LAKINI UKIFANYA BAADA YA MDA UTAONA TATIZO LINAANZA KUWA DOGO NA MUNGU ANAANZA KUWA MKUBWA!

 

2  MAZINGIRA YA GRATITUDE / SHUKRANI.

Sio gratitude ya njeee tu, una Mshukuru kwa ndoa kama protocal tu!, Hapana, Ni ile shukrani inayo toka ndani kabisa ya moyo wako ambao una-amini kabisa either kwa kujizima data au kukosa option kwamba MUNGU AMEIMALIZA HIYO CHANGAMOTO!

 

 

Mungu ninakushukuru kwa NDOA YANGU TAKATIFU 2024!, Umemaliza hurudi nyuma,  Hugeuki nyuma, Unajua kama unavojua Jina LAKO kwamba Mungu mwaka HUU 2024 atakupa ndoa na unatembea nayooo hii ofcourse watu watakuona MISS DELULU lakini as Christian WE MOVE BY FAITH AND SPIRIT!WHAT DO THEY KNOW! Unashikilia makubaliano yako na Mungu juu ya hilo jambo.

 

Unaweza pia kuwa hata unamshuhudia Mungu kwa shukrani juu ya hilo jambo, Hadharani au moyoni!, Watu wakiachwa una Mshukuru Mungu kwamba wewe huyo achwa sababu una muamini na kumtegemea VEVE! THIS BECOMES YOUR CONVICTION ALL YEAR ROUND, NAKUHAKIKISHIA MDA SI MUDA UTAYAONA MATENDO MAKUU YA MUNGU !KWA SISI ITAKUWA GHAFLA SANA LAKINI KWAKO ITAKUWA AS PLANED MAANA UNA CHOCHEA MOTO MWAKA MZIMA GHAFLA KIVIPI?, MIMI NAWAAMBIA UKIAMUA KWENDA KAZINI KIROHO NI SWALA LA MDA MFUPI TU UTAENDA KIMWILI.

SABABU UPO TAYARI KWA MAJIBUUU MATTER OF FACT UNACHOCHEA MAJIBU MOYONI MWAKO 24/7 YATASHUKA TUU SABABU USHAWEKA MAZINGIRA SAHIHI MAJIBU KUSHUKA!, KUWA NA SHUKRANI MANAKE NI UMEMALIZANA NA MASHAKA MASHAKA YOTE NA UMEMALIZANA NA WOGA ,WASIWASI,HUZUNI,UCHUNGU UMEJIZIMA DATA KABISA UME BLOCK SUPPLY YOYOTE YA NEGATIVITY NA KUACHA MAZINGIRA YA KUWA CARRIED BY THE SPIRIT OF GOD KU RELEASE MATOKEO YANAYO TAKIWA KUWA RELEASED! NA MATOKEO YATAKUWA  RELEASED!.

 

3. MAZINGIRA YA PRAYER WITH EXPECTATI ONS OF RESULTS

Kuna prayer zile vague vague tu na kuna prayers with expectations, Unasali asubuhi na SIKU nzima ukiwa na full expectations ya kupata matokeo juu ya jambo uliyo-omba, Kama Umeomba kazi unashinda na expectations za kuitwa interview, kuitwa kazini, kuambiwa mambo yatakayo kupa MlLAGE ya kazi!

 

Wengi asubuhi mtu anasali, alafu anashinda anasikitikaaa na kusononeka, Maana yake hata yale maombi aliofanya haya Aminiwala hayafatiliiii!Afu yupo serious kupata majibu, Kivipi kwa mfano?, Mimi nashangaaa mtu anakwambia ana ndugu wakubwa wamemsahau, Kivipiii? Unakubalije?, Wapeleke kirohooo, Sali wakukumbuke! Alafu shinda una expect watakupigia simu upeleke cv, Ukikomalia Wiki 2 nyingi watakupigia!

 

Mtu anaomba NDOA, Mwaka wa 15 ( I exaggerated a little) lakini miaka Mingi lakini ha-expect chochote, Matokeo yake hapati Majibu yoyote.Kuna mtu anaomba Mungu akutane na Mume wake mwezi HUU, na Hilo jambo amelisimamia na kulibeba haswaaa moyoni mwake HUU mwezi, Analo moyoni 24/7 ni Ana ombea Hilo tu! HATA akiwa Chooni akili yake ipo kwenye expectations hio hio, Na wahakikisha mwezi hautaisha, PRAYER WITH EXPECTATIONS NIKIBOKO KABISA.

4. MAZINGIRA YA KUSIMAMA NA MAANDIKO/ SCRIPTURES JUU YA HILO JAMBO.

Hapa Sasa inabidi ujue maandiko, Na ujue kuya Cross yaendane na Situation YAKO, Maandiko yote ni Hai, Hamna andiko mtu hata moja, Wewe tu kutafuta andiko sahihi ambalo Mungu kaaahidi KWELI kufanya unacho hitaji afanye, Na kusimama na hilo andiko like your life depends on it, Unachotakiwa kuhakikisha andiko linaishi ndani YAKO! Unalitamka 24/7 na kumeditate na kumuomba Mungu litimie juu yako kama ilivyo andikwa!

 

Kwenye Program zangu za kazi nakupa maandiko ya kazi kama 100, Yote Ukimaliza program unaniachiaaaa! CHUKUA HATA MOJA TEMBEA NALO! THUBUTUUU!, Program za mahusiano nimekupa maandiko na Doctorine mpaka basi, MTU kafanya program 12 lakini hana maandiko 12 ya Ndoa yanayo ishi ndani yake, True definition of EMPTY VESSEL, USHAURI WANGU RUDIA PROGRAM UPATE MAANDIKO YA KUTEMBEA NAYO.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top