PRAYER POINTS
1.Lord give me an encounter this week kwenye eneo la kazi/ mahusiano/ afya that willchange my life through your grace.
2.Bwana chipua na rejesha uhai eneo langu la mahusiano/kazi kwa neema yako, Neema yako ikarejeshe kibali changu na chochote kinachohitajika mahusiano yangu kwenda mbele wiki hii.