Focus itakuwa kumuomba Mungu ajitukuze yeye kama yeye mbele ya adui na changamoto zako!
Mpendwa utatumia meditation method/ tafakari ya maandiko, Ambapo uta-tafakari maandiko ya siku hiyo siku nzima na kumsihi Mungu ajithibitishe kwako na kwa adui /changamoto zako sawa sawa na hilo andiko!.
Nitatoa prayer points za kukuongoza tu ila unaweza kujiongeza kutumia za kwako, Kama huna tumia hizo.
Unaweza kuona ni rahisi lakini ni ngumu zaidi na inachosha ZAIDI maana akili YAKO inatakiwa i-Focus na jambo moja zaidi Siku nzima nalo ni Delivarence.
Ukifanya mzaha unaweza kuta hujafanya lolote la msingi katika siku nzimaaa!
Maandiko na prayer points nitakuwa natoa usiku, lli uamke nazooo!
Ukifanya njia HII vizuri ina MAJIBU ya fasta fasta! Na sio impertations ni MAJIBU HALISI!
Vile Vimeo vya mda mrefu unavifungua chap-chap, Ni kuwa tu na imani ya kutosha na ku-Focus na Delivarence.