Waefeso 6:12
Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.
2 Wakorintho 10:4-5
Maana, silaha tunazotumia katika vita vyetu si silaha za kidunia, ila ni nguvu ya Mungu yenye kuharibu ngome zote. Tunaharibu hoja zote za uongo na kubomoa kila kizuizi cha majivuno kilichowekwa kuipinga elimu ya Mungu; tunaziteka fikira zote na kuzifanya zimtii Kristo.
Mpendwa Neno la leo lipo Direct kabisaa na Program hii WENGI MNAHISI KWAMBA MAISHA JINSI YALIVYO NI COINCIDENCE TU!, HAMNA VITA YOYOTE.
Mimi mwenyewe nilipoteza miaka mingi nikijipa moyo hivyo! Kilicho ni cost ni MUDA, Na kitakacho ku-cost ni MUDA pia.
Kilicho nizindua ni baada ya kuona muda unaenda na hakuna kinacho enda ZAIDI ya umri tu, Hivyo nikaona hapa VITA IPO NA MIMI NDO NISHAPOTEZA.
Wewe unaweza kuwa una miaka thelathini (30) hujaolewa na Ukajiambia hakuna vita yoyote ila pindi ukifika miaka arobaini (40) ukakubali kabisa kuna vita imekucost miaka kumi (10) ya ujinga na ubishi, Kwani laiti ungekubali ukiwa na miaka (30) hadi ufike miaka (40) ungelikuwa na miaka kumi (10) ya ndoa na watoto watatu (3) , YAANI YOU SUCESSFULY BALANCED TIME!
Ukienda kazini na miaka arobaini (40) utakuwa na miaka kumi na tano (15) tu ya kazi ustaafu, TIME WILL HAVE ALREADY CHEATED MOST OF YOUR YOUTH, THE SOONER YOU ACKNOWLEDGE THE WAR THE BETTER FOR YOU.
KUKUBALI VITA IPO IS THE EASY PART, THE HARD PART NI KUJUA UNA VITA NA NANI? HILI NDIO THE MILLION DOLLAR QUESTION NA THE PROCESS OF FINDING OUT IS NOT EASY EITHER.
MIMI WATU WENGI WANAKUJA WANAKATA HAWAHITAJI DELIVARENCE NA HAWATAKI KUFANYA ILA WANATAKA WASAIDIWE SASA SIJUI WANAJUA VIFUNGO VYA ROHO VINAFUNGULIWA NA HEDEX AU PANADOL.
MIMI NATAKA KUWASAIDIA ILA NAKUMBUKA THE PROCESS YENYEWE YA MSAADA IS HARD, YOU HAVE TO TRUST THE PROCESS OR DIE IN THE PROCESS ILI UZALIWE UPYAA! AND THE PROCESS IS THE PROCESS!
It breaks my heart akija mtu na vifungo ambavyo vinataka delivarence lakini IT IS WHAT IT IS, Mimi binafsi bado Nina vifungo vingi tu naishi navyo kwa uvivu wa kuvitoa, Navijua na process naijua ila uvivu unanicost! Na sababu sio vikubwa havipigi interest zangu kubwa kubwa.
KIUKWELI BILA KUFANYA MAAMUZI NA KUYASIMAMIA DELIVARENCE NI UONGO!
MPENDWA MIMI NILIJARIBU KUNUNUA DELIVERANCE! SIKUFANIKIWA, SASA KAMA KITU KUJIFANYIA MWENYEWE KAZI KAMA NINI NDO UTEGEMEE MTU AKUFANYIE? THUBUTU, PESA HAIKATALIWI, ILA DELIVARENCE NDIO SAHAU.
HiLo neno la kwanza limeweka wazi kwa ujumla what are you up against!, JE, NI FALME NA MAMLAKA, WAKUU WA GIZA HILI, JESHI LA PEPO WABAYA AU WOTE WAZITO SASA WEWE MTOTO MDOGO UKAANZE VITA NA HII MI-GIANT UNADHANI ITAKUWA VITA NYEPESI?? , THUBUTU.
LAKINI MAANDIKO YAMEKUPA SILAHA ZA KWENDA VITANI, USIENDE MIKONO MITUPU MWANETU, SILAHA HIZO HAPO NA SILAHA KUU NI NGUVU YA MUNGU IWEZAYO KUHARIBU NGOME ZOTE!.
HII NGUVU YA MUNGU NI KAMA NUCLEAR WEAPON LAKINI BADO KUITUMIA ILI UWEZE KUSHINDA VITA KWANZA NI KWA KUWEZA KUI-ACCESS ILI UWEZE KUIPATA KWANZA WEWE NDIO UWEZE KUMLAMBISHA ADUI.
Hii nguvu ya Mungu huwezi kui-ACESS hovyo hovyo tu, lnataka Uwe na neno la kutosha na ujuzi wa kutosha na technical to know how to access it.
Sasa wengi hamtaki kuwekeza muda ku-achieve hili, Sababu umejua tu Nguvu ya Mungu ipo na ndio kiboko ya ngome zote, Unataka kukurupuka ukamlambishe adui, Unafika kule una dhailika unakutwa huna nguvu yoyote, na tukiacha ya Mungu hata yako binafsi huna.
Hapa ndio mtu anakuja leo anataka leo hihi-hii umfundishe kupambana na nguvu za giza, Do you have a death wish or something ?, Anakwambia mimi sina muda wa hayo mengine, Nipe silaha nijitose.
Mpendwa ndiyo maana watumishi wengine hawakufundishi, Sio kwamba ni-wachoyo, They just don’t trust your judgement with that kind of DANGEROUS KNOWLEDGE.
EVEN I DONT TRUST YOU THAT MUCH BUT I TRUST GOD THAT MUCH KWAMBA KUTAKUWA NA SOME SORT OF BALANCE SINCE I CANT HELP YOU ITS ONLY FAIR YOU ATTEMPT TO HELP YOUR SELF.
Hvyo kushindwa vita SIO mwisho wa vita, Ongeza Knowledge na rudi VITANI upya, Ukishindwa mara moja au mbili hata kumi ,It DOESNT mean anything than YOU WERE NOT PREPARED ENOUGH.
Mpendwa It’s day 5 na kuna watu wengi wa zamani wameweza na wamepata matokeo makubwa kwa sababu ni mwaka wa 2/3 wa constant prayers, WAMEWEZA KU-ACCESS NGUVU YA MUNGU NA KUTUMIA VITANI!SABABU YA UZOEFU NA NENO NDANI YAO NI JINGII.
Kuna watu wa zamani hawaja weza chochote japo wana Pambana, KEEP TRYING, Usirudi nyumaaa, Shikilia hapo hapo, ndio maana program ni siku thelathini (30) sio Siku tano (5), If you keep going uta unlock new levels.
BOTTOM LINE IS ANAYEENDA VITANI YUPO NUSU YA NJIA, NO MATTER HOW LONG WILL THE WAR TAKE, IKO SIKU YAKE, YOU WILL GET BETTER WITH TIME AND EXPERIENCE.
KUKATAA HUNA VITA HAKUIFANYI VITA ISIWEPO, TABU IPO PALE PALE, ONLY YOU ARE EITHER TOO LAZY OR TOO WEAK TO ENGAGE, HIO INAKUFANYA UKUBALI AUTOMATICALLY KUWA MTUMWA WA NGUVU ZA GIZA NA KUISHI CHINI YA UTAWALA WAO WA MABAVU KWA MDA USIOJULIKANA.
MPENDWA YOUR LIFE YOUR CHOICES.