Luka 13:31-36
31;Saa ile-ile Mafarisayo kadha wa kadha walimwendea,wakamwambia, Toka-hapa,uende mahali pengine, kwa sababu Herode anataka kukuua.
32 Akawaambia,Nendeni,mkamwambie yule mbweha, Tazama, Leo na kesho natoa pepo na kuponya wagonjwa, siku ya tatu nakamilika.
33 Pamoja na hayo imenipasa kushika njia yangu leo na kesho na kesho kutwa, kwa kuwa haimkini nabii angamie nje ya Yerusalemu.
34 Ee Yerusalemu,Yerusalemu uwauaye manabii na kuwapiga kwa mawe waliotumwa kwako, mara ngapi nimetaka kuwakusanya watoto wako kama vile kuku avikusanyavyo vifaranga vyake chini ya mbawa zake, wala hamkutaka.
35 Angalieni, mmeachiwa nyumba yenu! Nami nawaambia, Hamtaniona tena kamwe, hata mtakaposema, Amebarikiwa ajaye kwajinala Bwana
Mpendwa Mapitoooo yapoooo kwenye maishaaa!, Mapito yapo kwenye imaniii!, Nijinsi tu mambo yalivo!
Kama umesoma VITABU vya injili utajua Yesu hakuwa mtu wa kukasirika kirahisi, Wala hakuwa mwepesi kuwa provoked Na most of all alikuwa na msimamo.
Lakini unaona hapa anakuwa ingtrigued!, Ana kereka na taarifa za Herode kutaka kumuua, Mpaka anasema “NENDENI MKAMWAMBIE YULE MBWEHA!”, HERODE HUYOOO MFALME WA YUDEA, MFALME WA MAYAHUDI, MSHARIKA WA KAISARI, THE GREAT HERODE!
NA KAULI HII YESU ANAITOA HADHARANI SIO KWA KUJIFICHA NA WHAT IS MORE INTERESTING IS THE MESSAGE HE SENT BACK TO HERODE!.
Mpendwa ukisoma mistari michache nyuma utajua wakati huo Herode alikuwa mtu MBADI, Akishirikiana na Pilato ndio balaaa linakuwa zitooo kweli.
Ukirudi nyuma kidogo hiyo Luka 13,Yesu anapewa habari za Pilato kafanya ujasusi.
Luka 13:1-2
Na wakati uo huo walikuwapo watu waliompasha habari ya Wagalilaya wale ambao Pilato alichanganya damu yao na dhabihu zao.
2.Akawajibu akawaambia, Je! Mwadhani ya kwamba Wagali aya hao walikuwa wenye dhambi kuliko Wagalilaya wote, hata wakapatwa na mambo hayo?.
YAANI MUDA HUU YERUSALEMU KULIKUWA KIMENUKAAAA KWELIKWELI!, SIO HERODE, WALA SIO PILATO NI HAPAKALIKI.
Yesu anawapa ujumbe wa kumpelekea Herode kwamba hata kama mambo nime-usi kiasi gani, hakai ngoooo! Kwa taarifa yake Leo na kesho yupooo tena yupo sana na anaendelea kutoa pepo kama kawaida, Naponya wagonjwa kama kawaida na siogopi chochote Siku tatu (3) nakamilisha!.
PAMOJA NA HAYA YOTE NAFANYA LIKE NILICHOKUJA KUFANYAAAAA HIZI SIKU TATU (3), MPOOOO!, NABII HAWEZI KUKIMBIA KIMBIA NA KWENDA KUANGAMIZWA NJE YA YERUSALEMU KAMA IT IS GOING DOWN, IT SHOULD GO DOWN HAPA HAPA YERUSALEM NA NDANI YA SIKU HIZI TATU (3)!
WENGI MNAANZAGA KUOMBA VIZURI MNAANZA IBADA VIZURI MNAANZA MAOMBI VIZURI VIKIIBUKA VIKWAZO KIDOGO TU MNAISHIA NJIANI.
WEWE IMAGINE YESU ALIKUWA KATIKATI YA KAZI YAKE AND A THREAT OF HIS LIFE WAS MADE ON HIM BY A KING, RUTHLESS KING TO BE PRECISE!
Lakini It was not enough to stop his mission for God!, NOT GOOD ENOUGH, Na anaweka wazi SIO sawa kwa NABII KUKIMBIA KIMBIA kisa to a threat was made! Not an actual attack! Just a threat!.
Na kuonesha seriousness of the threat anairudia historia ya Mji wa YERUSALEM kuwaua manabii LAKINI STILL NOT GOOD ENOUGH GROUNDS TO ABORT GODS MISSION AND RUN FOR HIS LIFE!.
Nyinyi kuanza Siku 30 sio kazi lakini Kumaliza 30 ndio mtiti! LEO DAY 3 MMEANZA NA UPUUZI ! MTU ANAJIANDIKISHA ESSAY NA ESSAY!, NYARAKA KWA NYARAKA! YOTE HIYO ANATAKA KU-DROP OUT DELIVARENCE.
MNAJIDEKEZAAAA SANAA! SABABU HAMJUI MAANDIKO! N SIJUI NANI ALIWAAMINISHA DINI NI YA KUBEMBELEZANA!
LABDA KAMA KWENYE HIO DINI WEWE NI FURSAAAA UNABEMBELEZWA ULIWE SADAKA SIO UVUKE!
Wewe you are on a mission to SAVE YOURSELF wala sio hata mission ya Mungu!, YOUR OWN PERSONAL MISSION! Lakini Sasa kudekaaa kama kote YANI USIFANYE HIZI SIKU 30 NA UPATE MATOKEO PENGINE KUZIDI WALIOFANYA HIZI 30!.
Na this kind of thinking imekufikisha hapo ulipo na ime KUGHARIMU sana yaani una dharaulika na unakosa raha na huna amani, UKI DROP-OUT MAANA YAKE UMEKUBALINA NA HAYA NA KUISHI HIVI.
Lakini vipi ufanye maamuzi magumu kama Yesu!, Whatever is distracting you! WAAMBIENI HAO MBWEHA HIZI SIKU 30 NAMALIZA! NITAJITOA PEPOOO! NA NITAKAMILISHA DELIVARENCE YOTEEE KAMA KAWAIDA.
Maana mnakuwa kama Yerusalem!Kita nikijari bu kujifanyia delivarence mna-ni provoke! Mna ni-distract! Mna nitoa kwenye reli!
THIS TIME NAKAMILISHA SIKU 30! NAKAMILISHA MY MISSION TO SEEK GOD! IAM NOT DROPPING OUT!, NA UKIMALIZA HIZI 30 YOU WILL THANK YOURSELF.
NA MNAO JIENDEKEZA NA KUANZA DRAMA, SPARE ME THE SENTIMENTS!, YOUR LIFE YOUR CHOICE.
AS MUCH AS NIKISIKITIKA PAMOJA NA WEWE MATOKEO YATAKUWA HAMNA YATATOKA WAPI?, TUWE REALISTIC.
MIMI STAKI NOVEMBER NIKUSIAIDIE KUJUTAAA QUITETE AND LOSERS ARE NEVER CELEBRATED! ONLY HEROS!! ONLY HEROES! THERE IS NEVER AN AWARD FOR QUITING AND LOSING.
IF YOU QUIT ON YOURSELF NOW WHAT NEXT?, IF JESUS HAD QUIT AND RAN-AWAY WHAT NEXT?.
Distraction zipooo!, Mwenyewe Jana nilisema nasali usiku! Nikapitiliza!, Mambo ya ajabu sana na aibu so hapa nilipo nadaiwa moja ya kulipiza, Lakini naendelea na Safari!.
Mpendwa kuanguka kupooo! Kupanic kupooo!, Lakini HAKIKISHA UNAKAMILISHA SIKU 30.
IF YOU DON’T GO ON A MISSION TO SEEK GOD FOR YOURSELF WHO WILL GO FOR YOU ?.