PROMOTION

Mpendwa Wengi sanaa mnaniuliza kuhusu kuwa promoted.Wengi wenu naona kabisaa hampo serious na mimi uongo sipendi. As Long as haupo serious we will achieve nothing.Sasa kwanini nikutese?, Nikishaona you don’t have what it takes naku-encourage kuridhika na Mungu alichokupa!, Sio kwa ubaya!

 

So far nimeongoza watu wa nne (4) tu!, Na hao walikuwa na tamaa kweli-kweli nikaona hata nisipo waongoza watafika tu au watapata tu mwalimu. WHEN A STUDENT IS TRULY READY A TEACHER WILL APPER!, Hapo wa 2 washa ni disapoint! Cheo kimoja tu mtu karidhika ndo ninisasa?.

 

Basis ya Promotion ni GREED NA TAMAA!, Hakuna sababu nyingine ya kutaka kuwajuu ya wenzio. Hio sio issue kubwa. Issue kubwa ni JE, WENZIO HIVIHIVI KIRAHISI WATA KURUHUSU UWE JUU YAO? HELL NO! NEVER!

 

UKIELEWA HII SIMPLE LOGIC YA KIBINADAMU UTAACHA KUCHUKULIA POA SWALA LA PROMOTION! UTAELEWA KUWA PROMOTED INABIDI UWACHEZE WOTE MA BOSS NA WENZIO! NA KATIKA HUO MCHEZO USHINDE!

 

Wengi mnapenda kwa Mungu,kizembe sanaaa.Yaani Sadaka hafifu bila strong reasons, Baba ni promote!, That is all you can do? Really! Na Unataka kuwa Boss!, Najua mnajua hakuna results zaidiya miaka kwenda. Kita mtu kazini kwenu either anamuomba Mungu au ana-rogaaa mpaka sio poa. Sawa umeamua kumuomba Mungu. Put your all in it! Ili katika  watu mnao muomba Mungu hapo ofisini atleast you stand out! Piga ibada ya uhakikaaa kama chizi. Be extraaa!, Kusafisha Vyoo vya kanisa huku unaombaaa Promotion!, Funga siku zisizo na idadi. Ili hata malaika wakiangalia chini huku wanaona Kuna mtu kadhamiria.

 

Ukweli ni kwamba hamuwezi kuwa promoted!, Lazima kuwe na Boss na lazima Level za chini ziwepo. Mungu wako ndo Mungu wetu!The question is WHY YOU?, Hapa wengindo mna kosa ushawishina kukosa Backup za Mbingu kwenye hilo swala.

 

Program ya mtu sahihimnaweza kufanya 10 na wote 10 mkapewa watu.Lakinimkiwa 10 ofisini atakuwa promoted mmoja (1) wakizidi wawili (2). UBINAFSI NA UMIMI NDO KILA KITU KWENYE PROMOTION!, Narudia tena swali langu la msingi wayahudi, WHY YOU? KWANINI MUNGU AKU-PROMOTE WEWE?

 

A journey for promotion is a self journey!, Huwezi hata kumwambia shoga ako maana akiwa meneja wako usini laumu mimi. MPENDWA WENGI MNATAKA PROMOTION LAKINI HAMNA QUALITIES ZA KUWA PROMOTED WALA HAMJUI PATTERNS ZA KIMAANDIKO ZA PROMOTIONS.

PROMOTION INAPIKWA! SIO RAHISI. KUTAMKA TU MKAWE PROMOTED!, MPENDWA SUALA LA PROMOTION LINAJALI  SANA UHUSIANO WAKO NA MBINGU YAANI KAMA ZITA KU-BACK UP AU LA!NA KAMA ZITA KUBACK UP WHEN? TIMING NDO KILA TU!

 

Mtu anataka kuwa Chief Accountant hana CPA inawezekana vipi? Au Head wa Procurement hajafanya mitihani ya bodi.Uta sign vipi? Bodi haikutambui. Na Unamwambia mtu fanya mitihani ya bodi mwaka huu kwanza ndo Tuendeleze ligi!, Anaona Mtumishi hana nguvu , Anataka kudanganywa leta sadaka hizo utakuwa Head bila vyeti ??? Wakati fani yako ina bodi kabisaa ya ku-regulate! Hizi cheap lies sooner or later utaziona na hutakuwa promoted! KAMA HUNA CHETI AU KITU MUHIMU CHA KUWA PROMOTED GET IT! ACHA SABABU SABABU!

 

Competitor analysis ni muhimu.Wengi mnataka hiko kiti.Watu wapo radhikuua iliwakae kwenye nafasi.Na nafasi inavokuwa kubwa vita yake sio poa.Afu mtu anakwambia Siwezi kufunga! Siwezi kuomba.

 

Sasa ni sawa sawa unaenda na katoto kwenye Vita ya nuclear! Lazima mtembezewe kichapooo! lnatakiwa mtu akiambiwa kufunga anauliza kavu au masaa 12?, Anaambiwa sadaka inatakiwa anauliza nipeleke wapi sio bei gani.Bei haipo negotiable!, Atafanya lolote mda wowote ilimradi tu akae kwenye nafasi.

 

Watumishi hatuwezi kumbembeleza mtu mambo ya promotion sababu ni mambo ya tamaa na greed!, Usipokuwa promoted bado Mungu anakupenda sanaa tu mbona.Lakini selfish ambition haijakuacha salama unataka  vikubwa. Sasa nania kubembeleze upate vikubwa? Be your own inspiration.Jitie mayo mwenyewe .

 

EITHER YOU WANT TO BE PROMOTED GO ALL IN DO WHATEVER IT TAKES AU RIDHIKA TU NA MAJAALIWA.

Ukisoma kitabu cha Mwanzo habari za Yusufu utajua Kama PROMOTION INA GHARAMA KUBWA SANAA NA SIJAMBO LA MASIHARA!

 

Yusufu anaota ndoto ya Promotion!, Masuke ya ndugu zake yana mwinamia, manake japo ni ndoto lakini kwenye hizo ndoto anakuwa promoted above ndugu zake. Najua( Baba), mwezi (mama) na nyota Kumi na Moja (11)  ambazo ni ndugu zake wana msujudia. Anakuwa promoted mpaka juu ya wazazi wake.

 

Japo ni ndoto ndugu zake wanaona upuuzi huu. Mtoto mdogo unaanza ubinafsi mapemaa kutaka kututawala. Ni familia yake lakini ona ROHO zao? Itakuwa wafanyakazi wenzio ??? Promotion na Vita ni 5 na 6!

Unaweza kushangaaa sio tu kuwa hautakuwa promoted ukiwa Mzembe wanaweza kukufukuzisha kazi kabisaaa ukafie mbele. Yaani utayatibua yaliyo lala.

 

Wanakaaa kikao cha dharura na kuona pamoja ni familia na Damu yetu tukaue Haka katoto. Umtawale nani kwa mfano? , Ndo maana unaweza ukipata tu cheo hata wale ulio hesabu ni marafiki ndo wa kwanza kukuweka sumu kwenye chai.

 

YUSUFU ANA AHIDIWA PROMOTION NA MUNGU KWAMBA ATAKUWA JUU YA WENGI NE LAKINI HAKUAMBIWA GHARAMA ZA HIO PROMOTION!, YAMKINI ANGEZIJUA ANGESEMA BASI. NDO MANAANA MTU AKITAKA PROMOTION NAMUULIZA UKO TAYARI KWA GHARAMA?

 

Hii Story ni Common so napita juu juu. Anafika kwa Potifar kama mtumwa, lakini ANAKUWA PROMOTED kama kiongozi. Gharama zinamla tenaaa anapelekwa jela. Akiwa jela ANAKUWA PROMOTED TENAAA kuwa kiongozi wa wafungwa.

 

HUU MDA WOTE NA GHARAMA ZOTE YUSUFU YUKO GADOOO! HUMSIKll KULALAMIKA WALA KUSUSAAA HATA KUYUMBAAA! YUPO TAYARI KWA LOLOTE MRADI  UNABII UTIMIE.

 

Kama unataka kuwa boss Uwe tayari kwa gharama za kutoka kwa kuchelewa,kufanya kazi Weekends,watu kuku chukia bi a sababu,majungu.Wewe una songa mbele!, Yusufu anakaaa gerezani na kuendelea na unaji mu wa ndoto .Ana mpa unaji mu Cup bearer! Na kumuomba amfanyie mpango wa kutoka gerezani.Yule mtu Ana msahau kwa miaka miwili (2). Hivyo sometimes unaweza kufanya ki a kitulakini mambo yakachelewa usikate tamaa.

 

Mwisho Yusufu Ana najimu ndoto ya Pharao na Kuwa PROMOTED TENAAA na kupewa nafasi kubwa sanaa. Na Baba yake na ndugu zake wanakutana tena kama ule unabiiwa ndoto ulivo nabii utimie.

 

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top
× IT Help Desk