Nawashukuru kwa mliojitoa kwenye charity zetu zote za mwaka Jana!, Mungu awabariki sanaaa! Sanaaa! Ajithibitishe kwenu kama mlivo jithibitisha uaminifu kwake!, HAPPY NEW YEAR 2024.
Nashukuru more than 80% walikuwa satisfied kabisaaa na agreement! Na wame renew!, Wachache kulikuwa na mushkeli!, Lakini Mungu ni muaminifu tume tumia Zile zaka kumkumbusha uaminif u wao,na mambo yapo on Progress!
Nawashuru Pia kwa Wale mnaopanda Mbegu!, Somo la Mbegu na hizi sadaka zote lipo kwenye website! SADAKA INAYOLETA MATOKEO!, Hakikisha unalipitia!, Nawashukuru wote mlio toa sadaka zenu mbali-mbali kukamilisha programs na moto ulizidi kuwaka baada Ya watu wengi kufunguliwa eneo la kazi,hawa kutaka kubadili madhabau!, Waka unga malimbuko na zaka!, Wapendwa Zaka is serious business kama nilivowaambia.
Mtu anakuweka kwenye Payroll yake monthly ujue!, Yaani ana budget kabisaa ya mambo ya kiroho!, Hana mbambamba!, Tarehe 30 she/he runs the money, keeps the part of their agreement! Ananingoja mimi na Mbingu!!! Ukisikia agreement between 2 parties ndo hiliii!
Mnajua mimi kama mimi sijawah ikuzungumzia kutoa zaka.I Never thought kuna watu wata taka niwe mtumishiwao official!( Na ndani ya zaka, ni SADAKA inayo-kufunga sana ukijicommit kuipokea hence it’s too much work!)lakini watu wakaanza kunifata wenyewe tunataka kutoa zaka kwako, hapo nikama walitaka nitoke kuwatumikia huru tuingie Formal Contract! Wanipige pini niwe officialy mtumishiwao,shida zao shida zangu. Nikajipa moyo huyu tu, haiwezi kuwa issue! In no time wakawa wengi kweli-kweli.
THANK YOU ALL AND MAY GOD BLESS YOU.