Gereza Lako

Mpendwa “Gereza lako” inaweza kuwa chochote kinachotuzuia kufikia maendeleo na kustawi katika maisha yetu, kama vile dhambi, hofu, au kujitenga kijamii. Kuna Dalili Mbalimbali zinazotupa ishara kuwa huenda tuko gerezani ,tupitie kadhaa:

  1. Umekata tamaa kabisa
  2. .Una imani kubwa lakini milima ndo inazidi kukusogelea
  1. .Unasali Sanaa lakini matatizo yako hayatikisi hata kope.
  1. Unapienda dini lakini unahisi dini imekukataaa kabisaa.
  1. Unahisi umeshafanya vyote!

Yote hayo sababu ni moja tu ambayo ni Neno la Mungu ndani yako kutokuwa na nguvu ya kutosha kubadili matokeo yaani POWER OF THE WORD OF GOD!, Mpendwa Jioni nitaaddress kwanini Neno la Mungu ndani yako halina nguvu! na Ufanye nini kupambana na changamoto hiyo!

Kwanini Mnapenda sana Babeli?

WHY CANT YOU JUST BELIEVE GOD LOVES YOU AND HAS HELPED YOU??? KIPI KIGUMU? SASA UNAMTUMIKIA THE MIGHTY GOD! EBENEZER! WINNING FOR YOU IS A NORMAL THING SIO BIG DEAL! YOU WILL WIN ALL ( I MEAN ALL) YOUR BATLES.

WHY DO YOU PAINT GOD AS MTU KATILI, HASIKILIZI,ANAPENDA KUBEMBELEZWA SANAA,HANA SPEED, HATOKEI MPAKA UTATE TAMAA!! HE IS NOOOT!!! WAPI KWENYE MAANDIKO MUNGU ANA SIFA HIZI! ILA VICHWANI MWENU MUNGU WENU NI ANAKUJA MDA WA KUKATA ROHO, UKIMUOMBA ATLEAST MWAKA NDO UJIBIWE, KUKUSIKIA HILO SAHAU, UKIKOSEA ADHABU NI ON THE SPOT,KUKASIRIKIA WATU NDO SIFA YAKE KUU!!! ( HOW CAN GOD BE MIGHTY KAMA HIVI NDO UNAVOMUONA??)

MTU ANAOMBA MUNGU KWA MOYO! HERE GOD IS EXPRESS!JUST ONE WEEK ANAPATA  MATOKEO  MAKUBWA KWA SABABU  MUNGU MKUBWA ANA  MATOKEO MAKUBWA! MTU ANARUDI  NYUMA WHY SO FAST NIMEJIBIWA??? MBONA NIMETESEKA SANA? MBONA KWA NABll FLANI SIKUPATA MATOKEO? MBONA NIMETOA SANA SADAKA HAPA SIJATOA  100 NA NIMESAIDIKA! HUYU MUNGU WA HAPA MBONA EXPRESS HIVO? INA MAANA YULE NABll ASHINDWE HUYU BINTI MLOKOLE AWEZE? BINTI NI NANI??? KUNA KITU HAKIPO SAWA?

BAADA YA HUKU KURUDI NYUMA MATOKEO YANAPOTEA!  UNARUDI BABEU! UNAANZA KUNISUMBUA UPYAAA NAKOSEA WAPI??? I TASTED VICTORY BUT NOT FOR LONG! BINTI DO SOMETHING! I NEED THE RESULTS BACK! IMEKULA KWAKO! MBINGU ZINAONA HAUPO TAYARI VEVE!

Gereza Lako Part 1

Wapendwa Sababu zinazo sababisha neno la Mungu ndani yako likakosa nguvu ni nyingi sana. Sitapenda kufocus huko sababu kila mahali wanafundisha hilo!,Kwetu  Focus itakuwa how do we move foward

zaburi 19:14

Maneno ya kinywa changu na mawazo ya moyo wangu,Yapate kibali mbele zako, Ee BWANA, Mwamba wangu, na mwokozi wangu.

Wapendwa wengi hapa tunaimba ushindi lakini moyo na mawazo yako vimenasa kwenye kipigo ulichopata huko nyuma! Mambo yalivoenda vibaya! Jinsi gani kila Siku hupokei! Na haya ndo yanapata kibali kwa Bwana na kuji manifest kwenye maisha yako!,Unawaza siolewi na ndio mahusiano ya nazidi kukukimbia.Mpendwa Whatever stays long enough in your mind will surely manifest it-self! Kama umejaza mawazo ya kushindwa na kujihukumu hicho ndicho kitacho ji-manifest sooner.Badilisha mawazo yako kuwa makubwa na ya ushindi, Mungu atayapa kibali na yatathibitika kwako,Anza leo kuwaza kuwa umeshashinda

Badala ya self-pity replace hayo mawazo na mambo unayoyaombea sasa. Kama huna kazi anza kujiona upo kazini,Kama huna Mume anza kuwaza utaolewa soon na anza kujiona mke na mama!,Mpendwa Badala ya ku-focus kwanini huolewi focus kwamba nikiolewa nitafanya hiki na hiki. Plan your future girl! Plan it huge and big!,Ukifanya hili Utaona maombi yako yanapata nguvu kubwa, na ukigusa kitu kimooo! Hata uchungu uliobeba utakuwa huna nafasi moyo umejaaa plans babe! Nafasi hakuna! Hate who? Which? Where?

GEREZA LAKO NI AKILI YAKO! AKILI YAKO NDO IMETENGENEZA HILO GEREZA! NA AKILI YAKO NDIO ITAKUTOA! WHATEVER STAYS IN YOUR MIND LONG ENOUGH WILL SURELY MANIFEST!

Unakuta wewe ni single mom sawa! Ila mayo mda wote umeja failed past! Trauma! Asubuhi mpaka usiku ni kulalamika wakati show mli enjoy 2 lawama unawapa dunia nzima! Mtu anakuja kwangu niombeee! Nifunge nini? Hapo aIipo skeleton! Mtu Ana 25 Kama 40! Bitterness has robbed her age!,Mi namwambia chukua chumvi weka kwenye uji wa lishe kidogo tu,chumvi ya Elisha! Declare sitakuwa pooza tena!, Kila Siku asubuhi na jioni. Hivo 2!Week 2! Na uwe unaoga na kupendeza kwenda kanisani kila Siku jioni. ( Hapa iii ale na kuoga atoke nje), Baadae anapata afya uji tenaaaa!  anaanza kungangaaa! Psiiii zinaanza! Aki Ii yake inatoka gerezani! Kumbe naweza pata mtu mwingine! Yaani mtumishi this stuff ya salt is workingwonders wonders! Iam free! Na baada ya hapo sky is the limit!, No one wants to date a bitter,wrecked lady!Ambae amejaaa uchunguuu, hasiraaa, resentments and all which is against Happy life.No one!

Mpendwa unaweza kuwa upo kwenye mfungo ndio au umemaliza maombi lakini as a person wewe ni yule yule kabla ya maombi! Kisirani vile vile! Maombi hayaja Gusa kitu ndani yako kabisaaa! Maombi yanatakiwa yarekebishe ndani ndo nje!,Safisha moyo wake na huo Uzito ulio okota maishani! Unakuta aliekupa jeraha ameoa ana familia yake living their best life!,Kumsamehe not for him rather for you and your future! Deki moyo wake jaza  mambo mapya yakupayo ushindi na tumaini jipya yaani unaanza kushinda moyoni na rohoni ndo ushinde kwenye mwili! Shella Unaanza kuivaaa rohoni then ndo mwilini! Kazi unaipata rohoni ndo Mungu anajithibitisha unaipata kwenye mwili.

Mithali 4:23

Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo;Maana ndiko zitokako chemchemiza uzima.

Moyo wako ukiruhusu ukajeruhiwa basi na maisha yako umeyaharibu. Kuyafungua maisha yako rudisha moyo wako kwenye hali nzuri mnooo.

Waebrania 4:12

Maana Neno la Mungu li hai,tena lina nguvu, tena lina ukali kuliko upanga uwao wowote ukatao kuwili, tena unachoma hata kuzigawanya nafsi na roho ,na viungo na mafuta yaliyomo ndani yake, tena lijepesi kuyatambua mawazo na makusudi yako.

Gereza Lako Part 2

Imani ya Matendo

Make sure umesafisha moyo wako na nafsi yako! Viko ngaringar! No more hatred, visasi, uchungu, na Takataka zingine. Kama bado baki part 1  huku kitakukuta kitu.Tengeneza kwanza moyo wako na mawazo maana ndo silaha kuu za ushindi

KAMA UMESHA DEKI MOYO NA MAWAZO, KAA MKAO WA VITA YA  IMANI  YA MATENDO! HUKU SILAHA ZAKO NI UZURI, AKILI, BIDII, TABIA CHOCHOTE ALICHOKUJALIA MUNGU UTAKIWEKA KAZINI.

Yakobo 2:14-26

Ndugu zangu, kuna faida gani mtu kusema ana imani, lakini haonyeshi kwa vitendo? je, hiyo imani yawezaje kumwokoa? Tuseme kaka au dada hana nguo au chakula. Yafaa kitu gani nyinyi kuwaambi a hao:”Nendeni salama mkaote moto na kushiba,” bila kuwapatia mahitaji yao ya maisha? Vivyo hivyo, imani peke yake bila matendo imekufa.

Esta 4:14

Kwa maana wewe ukinyamaza kabisa wakati huu, ndipo kutakapowatokea Wayahudi msaada na wokovu kwa njia nyingine; ila wewe utaangamia pamoja na mlango wote wa baba yako; lakini ni nani ajuaye kama wewe hukuujia ufalme kwa ajili ya wakati kama huu?

Esta alitaka kufanya chupli chupli ajiokoe nafsi yake! Chezea mfalme wewe! Akikumbuka yaliyomkuta Vashti mmmh! Si ajabu alitaka kama vipi tumshihi Mungu tu kwa maombi ya kukesha kulia vyovyote ila sio imani ya matendo mi kwenda kwa Mfalme! Modekai anamwambia hakuna chupli chupli lazima uibuke kwa mfalme IN PERSON! Ukasolve hii ngori. Esta anajua Sheria ukiingia kichwa kichwa mfalme asipokunyooshea fimbo OUT! Una die! Modekai was like I don’t care if you die or not but kwenda lazima uende. Nahisi maombi ya Esta yalikuwa very precise. How deep do you trust the heavens! Can you make the Esta Move?

Yamkini   unapenda  mzazi mwenzio kufa au kuna kijana  unampenda sana! Umeomba miezi 271/2 usiku kwa mchana, masika na kiangazi. umefunga mpaka 40. BUT YOU JUST CANT TRUSt THE HEAVEN’S  IS ENOUGH TO MAKE ANY MOVE!.

Mtu mzima kabisaa in your 30’s you can’t just text. Make moves! Msalimie. Si ushafanya maombi. Mpe invitation to treaty! Make him notice you! Jichanganye kwenye cycle zake! Don’t die crushing! Sia dhambi kujipigia debe after all the heavens are awa re of your singleness whic h is long overdue and are ready to back you up!.Wapendwa most of you kuna watu mnawapenda and you are not making any moves at all! Times have changed! Sijasema umtongoze but make your-self available. Akuone, ajue upo single. With your prayers sky is the limit.Waisraeli waliomba Mungu ila vitani waliingia vizuri Sanaa wakafa wa kutosha na waliobaki wakamtukuza Mungu kwa ushindi. You can never escape ACTION. Hata Malkia Ester Ali lngia kwa Mfalme kichwa kichwa.Yes alifunga siku 3 lakini ndani ya Siku hizo 3 ile amri ilibakia bado Wayahudi wauwawe vile vile na Harman alikuwa bado Boss lao vile vile. Ndipo Esta backed up by prayers anaenda kumvuta Chui kope. Anajilipua kuingia kwa Mfalme tajiri Auserc na prayers never fail akamnyooshea fimbo. And the rest was endless victory

Wewe unafanya maombi ya Esta sawa, 3 kavuuu unapigaaa sawaa ila HUENDI KWA MFALME WAKO SASA HIKO KIBALI UNAPATAJE? Humaliziii dose afu unasema dawa haifanyi kazi kivipi???? Malizia mission impossible.Baada ya kufunga 3 kavu probably unangoja Heavens will send you the prince charming ata ku text mta chat 2 days, on the 3rc Atakwambia Please Mary me!    He so tall, dark with body Ofcourse Amka usingizini wewe.Baada ya 3 kavu text that crush of yours find any excus there is Kama kazini ulizia ile report vipi? Kama kanisani Kaa jirani yake Kama jirani kaazime kiberiti. Mpendwa Sijasema kampelekee mwili wako aule, hapanaaa! Bali nenda kaji introduce ajue upo! It makes things faster!,Hata Waisrael walifa nya ibada Sanaa na w alitoa sada ka kubwa kabla ya vita ila hawakuambiwa mrelax, sasa Wafilist     na wa roast wote. Walienda vitani kwa imani! Action! Na wewe unasali sana lakini put a little action, pendeza, toka toka, jic hanga nye,”Apatae mke!’

Mpendwa Patikanika. Weka reasonable standards za mwanaume unae mtaka sio sifa za Malaika. Onyesha ushirikia no Kama unataka kuolewa sio nimekukubali basi tu ila sio type zangu.Prayers won’t make up for your lack of action! Heavens are ready wa iting for you to take action.

Gereza Lako Part 3B

Kama hujaona kitabu cha Ruth! Nenda tu kasome! Page 4 tu zikushinde??? Ona haya mara moja moja uvivu gani!,Mwanzo wa kitabu ni habari tu za kusikitisha mnooo! Ruth anapita mapito makubwa sanaaa! Anakuwa na mumewe na kubaki tu mkwewe. Mpaka wanarudi Moabu.Ndo mambo yanaanza kunoga!, Chapter 2. Ruth anaenda kujiokotea zake Masazo katika shamba anajiokotea zake. Jicho la Boaz linamuona Ruth! Ila sio Kama mke wala chohote. Boaz ni mtu mwema anajua historia ya Naomi. Anamuonea Ruth huruma.  na kumruhusu aokote pale. ( TUNARUDI POINT YA JANA! ACTION! RUTH ALITOKA KWAKE! AKAONEKANA). Siku inaisha salama anarudi kwa Mama Mkwe wake.

Point ya 2. Ni Ruth anapatikanika. Boaz anajiongeza na yeye Ruth anaongezeka. lngekuwa wewe sasa. Ni shamus na huyu Boaz nia yake sio nzuri hata kidogo! Nawajua wanaume ujanja ujanja wao! Ruth wala! Karibu ule anakula.Anarudi anamwambia mkwewe kuhusu Boaz!, Mkwewe anamwambia tii maagizo ya Boaz! Wafate waai Hana wake na usionekane mashamba mengine.Na Ruth anakubali bila kufanya power games. Wengi mnapenda power games. Utii kwenu ni ngumu sanaaaa.Mpendwa Msimu unaisha na Boaz Did not do the needful unfortunately! Ndo kama wewe una kaka mnapendana ila ndo nani amuanze mwenzie??? Patamu hapo! Ruth Anaendelea na kazi Boaz amekaza Kamba.Naomi mtu mzima akaona hapaaa itakula Kwao. Ni Kama mama yako au watu wazima wakiona huolewi na haupo serious wa naanza kukuletea watu sasa.Naomi akaona atoe Nasaha zake kwa Ruth, Anampa game plan zima! Iii Ruth apate raha. Akampa game plan zima! ( Game plan gani Ruth Chapter 3). Sio jepesi. Na kwa Wanaume wa sasa utakuwa huna bahati. Hizi ndo kasema ACTION FAITH! Unafanya mambo kwa imani.

Ruth alichokifanya kwa Boaz ni kuonesha anahitaji Mume, Alipatikanika, Alipeleka kwa Boaz clear signals kwamba yupo tayari kuwa mke! Just in case Boaz Ana doubts.Onesha kwamba wewe ni WIFE MATERIAL! You are ready to be a wife. Sio mambo yako ya patty after party! Miss independent! You send wrong signals to the man! Afu usiku unakesha kuomba ndoa. Mkwewe anamwa mbia sasa Tulia! Ashakuelewa atamaliza kila kitu yeye! Sasa nyie you go to your wildest possible range ku prove you are a mad, bad beach, party monster, kisirani, cha uvivuuuu . Mabaya yako yote umeweka kwenye display! Huna adabu hata 1/4! Huna mila, hujafundwa.  Uzungu umeuweka mbele. Baada ya kujivua nguo Unaanza kufosi ndoa.

Ndo maana mnaambiwa usiishi ki nyumba kabla ya ndoa. Unawapa chance ya Kuku soma ubaradhuli na ufedhuli wako wotee.  Hawawezi kukuoa. Watakubali tu utumike kwa mda ila sio ndoa. Dawa ni kuwauzia mbuyu kwenye guni. Wakishaoa imekula kwao.Ukishakaa na mama mkwe akakusoma  udhaifu wako  ndoa ni ngumu Sanaa. Ndo maana Ruth anarudi kwa mkwewe na sio kumpata Boaz kwa watu wao. Kama tayari upo kwenye huu mtego, don’t play power games. Send clear signs kwamba wewe ni wife material. jishushe. Ukiwatibua wanakutimua kwani sh ngapi. Ruth anakaa kwa mkwewe mpaka Boaz anamaliza taratibu na kumtwaa akawa Mke wake kihala li. Na Mungu anawaja lia  mtoto.

Gereza Lako Part 3C

IMANI YA VITENDO COMITTMENT

Sometimes Mungu anakuwa yupo kimya sababu anakujua ni mtu usie na msimamo.Wengi hamna misimamo. Leo unaondoka kwa Ex unaenda Canaan,kesho unasikia uchungu una mtext Pharao how you miss him! JESUS CHRIST!, Yaani unaleta mchezo na Mbingu! Unafanya powerful prayers kama hizi iii hali you are Tryn to fool me ( apo utafanikiwa cause mimi ni binadamu mwenzio, japo most times unachoniambia Roho Mtakatifu ndani yangu Ana nionesha red flags  za kutosha.You try to manipulate the heavens.Then you have the audacity to ask me kwanini hujibiwl. Sababu unajua wazi Heavens can never be manipulated. Tena mnapenda mtumishi niombeee wewe. Mmmh! You think you are so smart dear!   You are fooling yourself!, Kama ningekuwa mtumishi mwenye tamaa na mpenda sadaka it takes 2 to play that game. Ningewaambi a haina shida toa tu sadaka kubwa. Mimi nafunga Siku 40 only for you dear. We si mvivu hutaki kufunga! Najichana KFC na sadaka yako. Usipojibiwa nakwambia haijatosha kutikisa Mbingu Ongeza. Mpaka Siku ukistuka nimekutoboa pakubwa. Kama unataka matokeo kuwa serious! Show me your serious. Neno la Mungu ni buree. Nawapa bure hutoi hata 10. Yet huwezi kufunga. Huna mda wa kusali. Una uchungu sana! Umekata tamaa! Full of excuses. YOU CAN NEVER MANIPULATE THE HEAVENS! Hata ukitumia njaa ya mtusmishi kummanipulate afanye unachotaka sio unachotakiwa still wewe na mtumishi mtapata majibu ovesi kabisaa.

Mpendwa IMANI NI VITENDO! Haikwepekiiii. Kama maombi ya kufunga ukiishia nusu utapata sawasawa na juhudi zako. Ukitumia chupli chupli hutapata matokeo.Unless ufanye kikao n akili yako na uwe candid uji ambie ukweli. Na uwe commited kutaka mabadiliko. Kama unatak mume uwe commited kuacha vyoteee vinavokukosesha Mume. Sia unachachua chachua ukingoja majibu.God is not interested in your drama. Yani uko na toxic X! Hakutakiii hakutakii ila unajifosl. Then unafanya maombi ya mtu sahihi Mungu amlete mtu ndo uamue sasa Kama unaendelea na Sumu au unakunywa maziwa. Hawezi mleta mtu wake mpendwa awe engaged in your entanglement.No dear. It will be only you.

Mpendwa omba Mungu anisaidie ni toke hapa. Kutoka hapo hadi kwenu ni 400 tuseme unataka kuondoka in style kwa boda ni 3000! Unaomba Mungu. Watu wanakupa 5000, kila ukiomba unapata 5000! Kumbe ndo nauli ya kubeba vitu vyako rudi kwenu. Unashindwa tu kujiongeza

FOR GOD TO HELP YOU, YOU MUST MAKE THE CHOICE AND COMITMENT FIRST! YA KUACHANA NA YOUR DRAMA PAST! UNAANZA KWANZA KUMUONA FARAO MBAYA NA KUAMUA KUONDOKA KWANZA NDO MUNGU ANAKUJA KUFANYA NJIA! UKIWA BADO UNASULUHISHA NA FARAO KWANZA MBINGU ZITAKAA ZINAANGALIA KWANZA. WAISRAEL WALIONA MISRI HAPAFAI NDIO WAKAMUITA MUNGU AWATOE.

Kutoka 2:23

Baada ya muda mrefu, mfalme wa Misri akafa. Wa israeli wakapiga kite na kulia kutokana na hali yao ya utumwa, na kilio chao kikamfikia Mungu juu.

Kutoka 3:9

Naam, kilio cha Wa israeli kimenifikia; nimeona jinsi Wa misri wa navyowatesa.

Unapomlilia Mungu anakuja na suluhisho mbadala. Yeye Mungu ndo anajua kwa situation yako what is best! Ndo maana unaweza lia ukapewa 5000 ya boda ubebe virago vyako. Maana ashaona Huyo bwana ataoa mda si mda. Hata wa Israel akaona mmmh warudi tu Canaan! Pharao sio mtu mzuri. Sasa wewe hutaki unataka ageuze moyo wa Pharao.Kwa andiko gani? Moyo wa Pharao uligeuzwa kuwa mgumu zaidiii. Unaweza shangaaa unavozidi kuomba ageuze Moyo wa Pharao ndo vita inazidi ndani moyo wa Pharao wako unakuwa jiwe kweli kweli. Mpaka utaelewa somo na kufungash. Because God knows you are good person. He doesn’t deserve you. God only want the best for you and he si nothing close to best. Safari ni ndefu na ngumu lakini Waisrael wanakubali potelea potee tunazama jagwani. Kwani sh ngapi. Pharao huyu si mtu. Either Mungu anaaminika au vipijangwani tunakuja wazima.

Ufanye nini Mungu akusikie?

Fanya maamuzi na kuwa comitted na hayo maamuzi kwamba you deserve better na unachopata sio better at all. Na Mungu hajashindwa kukupa better. Fanya matendo ya commitment kama ku delete namba na vitu vyote vinakufanya urudi nyuma . Block Pharao everywhere.Amua  toka ndani ya moyo wa ko kwamba imetoshaaa. Hutakaa urudi misriLook at the big picture! Mungu ni tajiri na mkarimu Ana hazina ya wanaume wazuri wakufaa kuwa Mume wako. Kwanini ukae Misri in bondage.? Unatumika kingono na manyanyaso juu . Sio mpa ngo wa Mungu juu yako huo uwe kiburudisho

Mtazame Pharao wako . Mwambie temaa nyongo yote, Choma daraja  hilo   dada mchane tu kwamba umenifanyia A, B na C na nimekaaa  in your  bondage for so long! Lakini nimetambua  Mungu wangu ni Mkubwa Sanaa.Ananipenda Sanaa. Naenda zangu Canaan!, Afu Mwmabie Mungu wangu wa Haki, Mungu uonae sirini, nishachoma daraja kule kwa Pharao, nifungulie njia ya Canaan! Maana kule nimekutanguliza wewe! Tutaaibika wote mwenyewe unamjua Pharao wangu. Idid my part sababu na kuamini. Nishachoma madaraja yote kurudi nyuma Haiwezekani,twende tu mbele! Fanya njia pasipo na njia.Mpendwa Hapo utajihisi Kama kijukuuu cha mtume. Watu watafumuka kila Kana wanataka ndoa na wewe. Mpaka utajihisi au umeenda turkey nini kuongeza mpododo. Kumbe ni baraka tu! Heavens Generosity!,DEAL NA PHARAO! WEWE NDO MUSA WAKO MWENYWE!

Gereza Lako : Part 3D

Kushinda Majaribu

Wengi huwa mnavuka vizuriii ya kipita majaribu kidogo tu yanapita     na nyie. Mtu anafanikiwa Siku 2 na ya 3 chalii. Mnashindwa kukomaaa na imani wakati wa g1za. Sawa unafanya restoration anarudi akichuna Siku moja tu unepanic. Nifanyaje pastor! Really!!!? Mtu Umeomba maombi ya mtu sahihi mnaanza vizuri akisema   mslow down zigo late la kukata ta maa linarudiii upyaaa. Sasa mimi nipo mfungo wa 40 days! Mambo ya ngu hapo Kati yakayumba Sanaa! On top nikawa Niko sehemu akaja Madman aka nipiga kisawa-sawa.

watu walikuwa wengi, from no where aka nifata mimi na kunipiga. Nikamkazia macho naugulia maumivu makali sijapiga yowe nimekazaaa . Mmmh akakimbia baada ya kuona si react. Maumivu sio mchezo .Acha aibu.Acha sina kosa. Niliendelea na nilichokuwa nafanya siwezi mpa sheta ni ushindi kizembe.Ingekuwa wewe ungemlaani Mungu sio shetani. Hapo ndo nawashangaa. Majaribu ya shetani lawama zote kwa Mungu na ushindi kwa shetani. Yaani hapo ungelewa, ungetoa style zote hata kwa mtu humpendi. Ukajiwekea ka self pity kako ka wiki nzima cha kumsusia Mungu.Tripple wins for the “! Sasa ataachaje kukujarib.

Yaani sikutoa hata chozi moja kwa shetani. Hata toneeee.

Yaani nilimkemea tu shetani kwa kumwambia umenichekecha kwenye biashara zangu hujatosheka sasa unanivamia mwilini. Wrong move! Narudi IG kuendeleza mashambulizi. Mungu sio mbaya! Na amenitoa mbali! Huwezi kuningoa kwenye ufalme kizembe hivo. Hata Mungu akae kimya mda gani sitokiii. Roho ya kuaniambia mbona ya mekukuta, Mungu ha kupendi niliikemea vikali. Kwamba shetani ndo hanipendi God will never want any harm for me. Mpaka Leo mwili unaumaaa. Siku waambia watu nimpe ibilisi ushindi. Kimyaaa .Naona mwenywe Alishangaa! Tena nikainua imani juu zaidii. Maana nikaona mpaka Yule Nyoka kaanza hila itakuwa nimelegea kiimani.

Mpendwa Sikwenda kwa Mungu kinyonge, Baba Leo nimepigwaaa mimi sababu ya yule muovu na michozi mwamwa kwa sababu najua Mungu aliona na atahukumu. Nimeenda kibabe kabisaa. Baba na kuja kwa habari ya biashara ya ngu. Mind you mwili unawaka moto mda huo kwa kipigo c ha John Cena.This is faith! Kuuona ukuu wa Mungu katikati ya giza nene. Nikapeleka mambo ya biashara yangu tu. Na hii huduma. Nikaendelea na maisha mengine.Siku inayofata akaja mteja wa kibabe. Mpaka kila mtu alishangaaa. Mimi Siku shangaaa. Cause najua I serve the mighty lord! Na najua ibilisi hawezi kututenganis ha kizembe kwa kipigo tu. Hamna kitu Kama Hiko.

Wapendwa Sasa nyie mnaomba vizuri ii. Mnapokea vizuriii. Na mnafurahiii na kushuhudia.When the going gets tough kidogo tu and business gets serious. Mnaanza kudeka na kurudi nyuma. Kurudi Misri, kurudi kwa Pharao.Hata waisrael walivotoka misri bado walikutana na wa babe zaidi ya Pharao kina Yerico! Jiji wame Ii lock! Acha kabisaaa! Mpaka Siku ya kuanguka Yerico,Joshua anauwasha moto mji mzima na kuhakikisha unateketea majivu. Na kulaani juu alee ataedhubutu  kuujenga atalaaniwa. Oooh! Kumbe mbabe sio Pharao tu, lngekuwa nyie ndo mmefika Yerico mngesema Kama vipi turudi tu Misri. Such is life! Ukitoka Misri Kuna Yerico Kuna Wafi list. Grow tough kuishi nao wote mda wowote. As long as you stay weak, the devil will make you his prayground. Atakuchezea mpaka basi. Mpaka ujue kumkemea kikamilifu.As long as akija Kutibua tibia Issue zako you become a cry baby na unampa ushindi wa mezani utacheza sebene lake sana

Mathayo 11:12

Tangu siku za Yohana Mbatizaji hata sasa ufalme wa mbinguni hupatikana kwa nguvu, nao wenye nguvu huuteka.

Kama umechoka kuwa mtumwa reject the devil and he will flee from you. Mkatae shetani dada! Goma goma kataaa katukatu.Usijilegeze.

KATAAA KUWA SINGLE, KATAA KUACHWA ACHWA HOVYO, KATAA KUWA MCHEPUKO, KATAA KUWA MWANAMKE WA KUFICHWA FICHWA, KATAA KUWA MWANAMKE WA KUBEMBELEZA . KATAAA KUKOSA KAZI, KATAA KUKOSA UCHUMI, KATAA KUISHI KAMA MTUMWA, KATAA KUKOSA FURAHA.

Omba kwa hasiraaa! Sia unaomba kwa kujiliza liza Kama ndama katoto ka moo. Wenye NGUVU huuteka. Sasa lia lia hapo uone show. Hata ukikaaa badala ya kumlaani Mungu mwambie wewe l’Mbwa wewe muongo Sanaa! Usidhani kumfanya Huyo bwana awe na roho ngumu Kama Pharao umenikomoa sasa nitakuonesha! Naenda kutoa sadaka kabisaa. Nguvu baby ! Nguvu! Mambo yakiwa Mabaya Tuliza kichwa jua plot lake mshushue.Mr devil acha uongo. Sio kupanic, kujivictimise yaani akijua ni mnyonge atakutesaaa sanaaaa. Atakuchezesha singeli mpaka uta Komaa. Anajua imani yote ipo kwenye sms ya baby! Atamzongaaa baby mpaka aistume hio sms. Wewe huku kazi imeishaaa. Self pity party imeanza. Wiki nzima. Wakati ilikuwa swala la kujua tu huyu mpuuzi ananichezea. Asubuhi mchezo Bae Kama hamna kitu. Cause hamna kitu kweli.

Mpendwa Ukitaka kujikomboa kwamba jifunge mshipi. Kaaa tayari mda woteee Yule mwovu anakinukisha na anakinukisha kisawasawa . Akili kuisha unakuwa strong kumpa vita. Si anataka vita. Sio kujiangusha Kama victim miguuni pake. Eventually atakuacha sababu anajua moto wako.When the business get serious you get more serious. Kujidekeza kutakuumiza. Kunamfanyia kazi yake iwe rahisi aidi. Katikati ya mapambano simama na Mungu kikamilifu.Mungu akishajua umeujua mchezo wa adui yuko very fast kukuletea msaada wa haraka uvuke.Hata Mungu akiwa kimya jua utamkuta mbele kwa mbele ila mapambano lazima yaendelee!     Nenda mbele za Mungu kibabe Kama kina Yobu! Makamanda wale wenyewe! Sio lazima uwe mtumishi ndo uwe kamanda. Hata katika kazi yako kuwa voice of God! Tenda haki,simamia haki,kuwa mfano wa kumtukuza Mungu. Wanao kuzunguka wa uone Mungu wako kwa kuangalia matendo yako. Hata kwenye mahusiano yako kuwa kamand. Mpaka baby wako akubali aseme I want to serve your God! Mungu wetu ni mkuu sanaaaa. Ukimjua vizuri haitaji introduction na cover up. Ana jiintroduce mwenyewe. Kama unaona unaonewa mahali na unahitaji akaji introduce iii wakujue wewe ni nani na unamtumikia Nani. Just tell him. Kesha tunaenda kwenye ile deal au interview I need you to introduce yourself  na uni introduce mimi mtumishi wako wa kuunga unga maana kwenye uaminifu haupo. Njitahidi baba. Nitafika tu. Hivi ndo unatakiwa Usali kabla ya interview sio kinyongeee baba sina kazi mwaka wa 10,baba nilishindwa orodha Ndefu ya failures.

Mpendwa Sasa which side of God are you seeking? Side ya huruma zake! Sawa atakuhurumia but that won’t make you win. Kama una hitaji his winning side,victory side nenda na angle hio don’t discuss failure because he saw all of them minute by minute hamna jipya  utalosema halijui. Ukienda kurudia kumkumbusha so what? ,Forget your failures nenda na mkakati. Mpango kazi. Mwmabie part yake ni ipi na yako ni ipi. Mtakuwa the Dream Team. Kama ni intro mwambie God fanya tu intro panapobakia namaliza mwenywe. Kamanda wako. Kama ni kukutana na crush Mwmabie God forget the series of heartbreaks nimemuelewa mtu flani. Kama ikikupendeza nikutanishe nae hata shelli tu vingine namaliza mwenywe. God Nimejua nilipo feli, mruhdishe tu Ex atume 1 text is all I ask for  mengine namaliza. Sio huna plan huna mkakati then unataka Mungu amlete mtu.Akimleta uta stuck tu. Jipange kwanza. On your part.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top