Waebrania 3:7-8
Jihadharini na Kutokuamini
7.Kwa hiyo, kama Roho Mtakatifu asemavyo, “Leo, mkiisikia sauti yake 8. Msiifanye mioyo yenu kuwa migumu kama mlivyofanya wakati wa uasi, siku ile ya majaribio jangwani.
Waebrania 3:12
12 Angalieni, ndugu zangu asiwepo miongoni mwenu mtu yeyote mwenye moyo wa dhambi, usioamini, unaomfanya ajitenge na Mungu wa uzima.
Wengi mna taka kukumbatia dhambi na muda huo-huo mumuone Mungu kwa ukubwa, Ndahani mpaka hapa wote tumejiridhisha, IT IS IMPOSSIBLE, YAANI ABSOLUTELY IMPOSSIBLE.
Watu wengi mnafanya mioyo yenu kuwa migumu kwa ajili ya kuikumbatia zinaa, kukumbatia wizi, kukumbatia dhambi nyinginezo.
Niliwaahidi ROHO MTAKATIFU atakuja kuwafungua kwenye HII program Lakini mwanzo kabisa kabla Ya ile post ya MTIRIRIKO WA IBADA, Nilitoa maelekezo Ya kujiandaa kumpokea Roho Mtakatifu ikiwepo NUMBER ONE (1) REQUIREMENT YA KUMKIRI NA KUMPOKEA YESU KAMA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO.
Waliofanya zile preparations wamepokea msaada wa Roho Mtakatifu kwa ukubwa, Lakini wengine katika kuifanya mioyo yenu kuwa migumu mlidandia Day 01, Matokeo yake mmepata matokeo Papatu-papatu, Mwingine leo ndio yupo Day One (1) na ndio nanaona anaona program niliyo-itangaza for the whole 2 weeks na preparations hajafanya na hato-fanya.
Wapendwa matokeo yanaanza na kuwa na full-complete information and details, yaani ukiwa tu na in-complete information lazima uende chaka na detail ndogo tu itakutesa sana.
Kuna watu hawa-kusoma ile post ya how to ACTIVATE THE HOLYSPIRIT, yaani wameruka moja kwa moja na procedure na wanaumiza vichwa mbona kwao mambo meusi, Kumbe hawaja mu- activate Holyspirit wa Bwana.
Nikufanya tu mioyo yenu kuwa migumu KWASABABU HATA KAMA UMENIJUA LEO, HATA KAMA HUKUA ONLINE MUDA HUO YET STILL KU-SCROLL DOWN UPATE COMPLETE INFORMATION HAKUKUGHARIMU CHOCHOTE.
Sio kwamba una furaha sana au maisha umeyapatia, Basi kuifanya Roho yako kuwa ngumu tu ndio hutaki kufanya delivarence, Nawaambiaje, Watu wanaolipwa vizuri na wenye kazi zao ndo wanao-fanya program hii, kama hamna kesho, Wamezikamia hizo Million nane(8) mpaka Kumi na tano (15) na payroll balaa, By the fire by force lakini WASIO na kazi wala hawana muda huo Hawafanyi, Yaani MTU ana masaa ishirini na nne (24) ya kuomba ila ndio haombi na mwenye masaa nane (8) ndio anatengeneza muda maana schedule yake haina muda.
Mpendwa program HII haina mfano lakini wenye matatizo makubwa sasa wameifanya migumu mioyo yao, wana ngoja program iishe, Waendeleee kujilalamisha kuwa hawana matokeo, Sasa sauti ya Roho Mtakatifu wameisikia lakini mioyo yao wameifanya migumu.
TO GET RESULTS YOU NEED TO WANT TO GET THE RESULTS, WISHING AND HOPPING FOR RESULTS WILL NOT GET YOU ANYWHERE .
Wengine kisa tu kuna mambo haya kwenda sawa basi ndio kuifanya Roho yako ngumu moja kwa moja, Matatizo ndio yanatakiwa kuwa kama Engine oil ya kulegeza moyo wako sasa ili Roho Mtakatifu aingie.
Mimi sina kazi na kiukweli na moyo wa ibada ndani yangu umekufa kabisa sasa ukisusa watapata wenzio hizo kazi, THE FACT HUNA KAZI MSIMU KAMA HUU MAANA YAKE YOU CAN DO EIGHT (8) HOURS WITH THE HOLYSPIRIT, LAKINI UKO BUSY KUUFANYA MOYO WAKO MGUMU KAMA JIWE.
Mimi Nina miaka arobaini (40) sina Mume so siendi kanisani,Wanawake wengi waliokuwa makamanda wa Yesu walikuwa single women na majina yamebakia kwenye maandiko, The fact upo single maana yake you can do more for the kingdom, Lakini hapana, lazima uufanye moyo wako kamajabali.
Yaani watu kwa makusudi kabisaaa tunajitenga na Mungu na kuikumbatia dhambi the WE PUT THE ENTIRE BLAME ON GOD! KWAMBA KATUTELEKEZA!.
Upo kati-kati ya dhambi na unataka Mungu ashuke kukuokoa na kukutendea yaliyo makuu, YAANI ASHUSHE UTUKUFU WAKE KU ACCOMODATE YOUR MALICE NA UPO SERIOUS KABISA.
GOD BEING GOD, HE WILL NEVER, NOT WITHOUT SOLID GODLY CAUSE.
NDIO MTU ANATAKA NIMUONGOZE AENDELEE KUZINI NA BWANA WAKE NA MIMI KAMA ZOMBI AU MTUMISHI NJAA NISIKEMEE HIO ZINAA NIFUMBE MACHO KU-ACCOMODATE HIYO ZINAA HUKU NIKIWAPA HUDUMA KIUTU-UZIMA NA KISASA.
Mmoja anaye-tii maandiko kuliko waumini maelfu nao wapaka mafuta kwa mgongo wa chupa, Kwa-sababu Mungu hatoshuka wala Roho Mtakatifu, Kwa hali hiyo kutaka matokeo ni kujitekenya na kucheka wenyewe.
Mungu anaweza kushuka kumnyakua mtu kwenye Dhambi pale tu anapo muhitaji kwa kazi zake maalumu tu na si vinginevyo.
Sauli alikuwa mtesi wa mitume yaani muuaji na mfungaji wa mitume ilifika mahali waipoposikia Jina la Sauli waliharaa, EVIL OF EVIL NDIO ILIKUWA LEVEL YAKE, NA MUNGU AKAAMUA ANA-MHIJI KWENYE KAZI ZAKE , YAANI gahafla upofu then anapokea OFFICIAL CALL YA KUMTUMIKIA YESU.
KWA KAZI ALIYOIFANYA ILIKUWA VYEMA MUNGU KUSHUKA NA KUMNYAKUA TOKA KWA ADUI, SAULI NDIO BAADAE ANAPEWA JINA LA PAULO, THE MTUME PAUL UNAYEMJUA WEWE, PAUL ALIYETOLEWA GEREZANI NA MALAIKA, PAUL AS IN PAUL AND SILAS WALIOMBA MILANGO YA GEREZA IKAFUNGUKA, HIZO NI IMPROSONMENT MBILI (2) TOFAUTI MJUE, NA ALIENDELEA KUWA IN AND OUT JAILS KWA MDA WA KUTOSHA NDANI YA MIJI YA KUTOSHA NA MWISHO ALISULUBIWA HUKO ROMA, MIGUU JUU KICHWA CHINI.
PAULO HAKUWAHI KUWA MWANAFUNZI WA YESU WALA HAKUWA KATI YA MITUME KUMI NA MBILI (12) LAKINI ALIFANYA KAZI KUBWA SANA NA AMEACHA LEGACY KUBWA MNO.
SASA KUWAZA KWAMBA MUNGU ATASHUSHA UTUKUFU WAKE AJE AKUPE NDOA KATIKATI YA ZINAA SIJUI MWENZETU UNATUMIA REFRENCE GANI ?, ACHA KUUFANYA MOYO WAKO KUWA MGUMU SIKIA SAUTI YA ROHO MTAKATIFU NA KU-ACESS NEW DIMENSIONS ZA IMANI YAKO.
MPENDWA MOYO MGUMU UTAKUCHELEWESHA TU NA KUKUPOTEZA NJIA KUELEKEA HATMA YAKO.
KAMA MTUME PAUL ALIWEZA KUISIKIA NA KUITII SAUTI YA BWANA YESU NA KUFANYA MAKUBWA SANA NA KUIANDIKA UPYA HISTORIA YA MAISHA YAKE , WEWE PIA UNAWEZA KUFANYA HIVYO HIVYO, BASI LEGEZA MOYO WAKO SASA NA MKARIBISHE ROHO MTAKATIFU MOYONI MWAKO