30 DAYS DELIVERANCE PROGRAM (PART 1) -DAY 7

Luka 10:38-42

Walipokuwa safarini, waliingia katika kijiji kimoja na mwanamke mmoja aitwaye Martha, akamkaribisha nyumbani kwake. Martha alikuwa na dada yake aitwaye Maria, huyu aliketi karibu na Yesu akisikiliza mafundisho yake.

 

Lakini Martha alikuwa anashughulika na mambo mengi. Basi akamwendea Yesu, akamwambia,”Bwana, hivi hujali kwamba dada yangu ameniacha nishughulike peke yangu?, Mwambie basi anisaidie.”

 

Lakini Bwana akamjibu,”Martha, Martha, unahangaika na kusumbuka kwa mambo mengi. Kitu kimoja tu ni muhimu, Maria amechagua kitu bora zaidi ambacho hakuna mtu  atakaye mnyanganya.”

 

Mpendwa leo kuna mtu akasema aliyajaribu maombi, yaani amekuwa muwazi, Haniamini mimi wala maombi, ila alijaribu tu out curiousity, lli approve kama mimi na SHUHUDA zote ni ukweli au uongo. Hvyo basi wapendwa leo alikutana uso kwa uso na lile andiko gumu la:

 

Mathayo 4:7

Yesu akamwambia,”lmeandikwa pia’Usimjaribu Bwana, Mungu wako.'”

 

Katikati ya majaribio Kidole cha Pete kikaanza kuwaka moto, akachanganyikiwa kuwa haya mambo kumbe kweli ole WANGU nimeingia vita kwa majaribio hakika leo mashetani yananila mzimaa mzima.

 

The fact kujua spirits anazo sema HUMU katika uongo uongo wake zipo ndani yake siku nyingi kitambo, Alafu sasa YEYE ndio anajidanganya sisi ndio wa kweli, yaani BALAA ZITO alipambana kukemea hivyo hivyo na Roho Mtakatifu akaja kumsiadia It was a very Long night for her and even today will even be longer day.

 

Kaja nimemsaidia mawazo sababu now that is  to show KWENYE MSAFARA WA MAMBA HATA KAMA WEWE NI KENGE  tena Ki kenge kidogo-dogo jana mwenzio kimemkuta kitu but She will be fine though she found out the truth in a hard way.

 

Martha na Mary wanapata bahati ya kutembelewa na Yesu, Martha kama wengi wetu yupo focused mambo ya kidunia ya ku-make a lasting impression kwa mgeni, Yupo focused na hospitality na ukarimu kwa mgeni wao, Yaani kiufupi yupo focused na mambo mengi kidunia.

 

Mary alikuwa focused kujifunza neno la Mungu kutoka kwa Mwalimu wa walimu, Muda wote alikaa ametulia ku-focus na mafundisho, Hakwenda hata msalani siku hiyo, Alihakikisha yote atakayo fundisha Yesu ana-yasikiliza na kujifunza kwa makini.

 

Mpendwa tunaona Yesu anamwambia Martha jambo moja la msingi sana kuwa MARY AMECHAGUA KITU BORA ZAIDI AMBACHO HAKUNA MTU ATAKAE MNYANGANYA

 

Ni kama watu waliochuagua kufanya DELIVARENCE ya maisha yao ili kutafuta wokovu na kufunguliwa mambo yao,HAMNA MTU ATAKAE WANYANGANYA  HUO WOKOVU NA HIZO BREAKTHROUGH HATA SHETANI AKIJARIBU HAWATA MRUHUSU.

 

Ofcourse Mpendwa ni Process ngumu na inachosha kweli kweli, kwani Tunafunga LONG HOURS, lbada yenyewe masaa mawili (2) nayo ni Long Hours lakini this is the price of un-locking new levels.

 

Yesu alikuwa anapita-tu kwa kina Martha kwani sio mkazi ndio maana Mary aliona NOW OR NEVER.

 

WAPENDWA MIMI MNANIJUA? MNAJUA KILINISIBU NINI NIKAANZA KUHUBIRI ?, MNAJUA NINA MPANGO WA KUHUBIRI MUDA GANI?, MNAJUA LINI NITAPOTEA GHAFLA TU KAMA NILIVO ANZA GHAFLA?, NAWEZA KUBADILISHIWA ASSIGMENT, SASA KWAKO WAKATI  NI SASA AU NEVER.

 

Je, ni kuchagua Delivarence? au kufocus na kazi yake mwaya au biashara zake, Siku ya Siku analogwa kazini anapoteza kibali chake mbele ya ma-Boss anafukuzwa hio kazi au biashara inapigwa scad na kusambaratika.

 

ANABAKIA HANA BIASHARA WALA KAZI NA VIFUNGO KAMA VYOTE NA KWENYE MAISHA YAKE HANA IDEA AANZIE WAPI KUVIFUNGUA.

 

“Maria amechagua kitu bora zaidi ambacho hakuna mtu atakaye mnyanganya.” – Jesus of Nazareth.

 

HAMNA MTU ANAYEWEZA KUKUNYANGANYA WOKOVU WAKO WALA UHUSIANO WAKO NA MUNGU NA AS LONG AS UNA UHUSIANO SOLID NA MUNGU UNA UHAKIKA WA MAISHA  HUBAHATISHII MPENDWA.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top