Marko 5:1-20
Yesu Amponya Mtu Mwenye Pepo
5 Wakafika upande wa piliwa ziwa wakaingia katika jimbo la Wagerasi. 2 Yesu alipotoka kwenye mashua, mtu mmoja mwenye pepo mchafu alitoka makaburini akaja kukutana naye.
3 Mtu huyu aliishi makaburini wala hakuna aliyeweza kumfunga hata kwa minyororo.4 kwa maana mara nyingi alipofungwa kwa minyororo mikononi na vyuma miguuni, aliivunja-vunja na hakuna mtu aliyekuwa na nguvu za kumshinda.5 Usiku na mchana alikaa makaburini na milimani akipiga makelele na kujikatakata kwa mawe.
6. Alipomwona Yesu kwa mbali, alimkimbilia akaja akapiga magoti mbele yake. 7 Akapiga kelele kwa nguvu akasema,”Unataka nini kwangu,Yesu, Mwana wa Mungu Mkuu? Ninakusihi kwa jina la Mungu usinitese” 8. Alisema hivi kwa kuwa Yesu alikuwa akimwambia, “Mtoke huyu mtu, Wewe pepo mchafu!”
9 Yesu akamwuliza,”Jina lako ni nani?” Akamjibu,”Jina langu ni jeshi, kwa maana tupo wengi.”10.Akamwomba sana Yesu asiwapeleke nje ya jimbo lile.
11.Hapo hapo lilikuwapo kundi la nguruwe likilisha kando ya mlima. 12 Wale pepo wakamsihi Yesu, “Turuhusu tukawaingie wale nguruwe.” 13 Basi akawaruhusu.Wakamtoka yule mtu wakaenda wakawaingia wale nguruwe na kundi Lote la nguruwe wapatao elfu mbili likatimka kasi kwenye mteremko ule,wakazama ziwani, wakafa.
Huyu mtu alikuwa possed kweli-kweli na mashetani mabaya haswaa Hayataki hata akae na mtu, Yaani yeye nikushinda makaburini na wafu mwanzo mwisho na Hili lilikuwa against his will.
Na alikuwa amekaaa hapo makaburini muda KWELI KWELI kiasi kwamba kila mtu amemkatia tamaa, Na walijaribu, Walihangaikaa sana!Yamkini ni ndugu zake au majirani walijaribu kumtoa makaburini kwa kumfunga na minyororo ya chuma ila aliikata na hakukuwa na mwenye nguvu kumshinda.
Hivyo akawa mtumwa wa pepo wachafu anakaa zake makaburini na mi-imani peke yake na kujikata kwa mawe, Hayo ndio yakawa maisha yake.
Ukiangalia kwa ukaribu huyu mtu hakuwa mbaya mbaya japo alikuwa na mapepo mabaya, Hata kukubaliana na mapepo kuishi in isolation ni kuwalinda wengine asiwaumize aendelee kujiumiza YEYE na kuteswa na pepo wachafu.
JAMBO MOJA KUHUSU HUYU MTU NI KWAMBA JAPO ALITESWA NA MAPEPO HE NEVER GAVE UP ON HIMSELF! NEVER!
Na idadi yote ya mapepo ndani yake lakini anapomuona Yesu kwa mbali anamkimbilia SASA HAPA NDIO KUNA JANJA-JANJA KUBWA, MTU ANAJIFANYA MAPEPO NDIO YANAMZUIA KUSALI NA KITAFUTA MUNGU SIO KWELI, BALI NI KIBURI CHAKO NA JEURl NDIO VINAKUPUMBAZA USIFANYE IBADA!
Huyu mtu alikuwa na JESHl la mapepo, lakini aliji-nyenyekeza na kujiongeza kukimbilia kwa Yesu na kupiga magoti, KUTAFUTA MSAADA.
Anapopiga MAGOTI Yesu anaanza kuwakemea wale pepo ndio mapepo sasa yana take control na kupanic na kuanza kuhanya-anya kwamba TAYARI yapo kwenye 18 za Mwana wa Mungu.
NA STORY YA PEPO WACHAFU NA JESHI LAO NDIO IKAISHIA HAPO BAADA YA KUKUTANA NA KIBOKO YAO, HAMNA HATA KAPEPO KAMOJA KALICHO SALIA NDANI YA YULE MTU!
Wengi mna-matatizo makubwa sana ila VIBURI NA JEURI ZENU ZINA CLOUD JUDGEMENT ZENU MPAKA HURUMA.
MTU UNAISHI MAKABURINI MAYBE NOT PHYSICALLY BUT LITERALY, KILA KITU KWENYE MAISHA YAKO KIMEKUFA, HUZAI MATUNDA KATIKA ENEO LOLOTE SIO KAZI, SIO BIASHARA, SIO UCHUMI, SIO MAHUSIANO, SIO FAMILIA, LAKINI LEVEL YAKO YA JEURI NA KIBURI NI NEXT TO NONE.
KITAKACHO KUANGAMIZA SIO KWAMBA MSAADA HAMNA NI HUTAKI KUSAIDIKA KINACHO KUMALIZA NI JEURI YAKO NA KIBURI NGUVU ZA GIZA NI BONUS TU.
NA WATU TUPO HIVI TANGU ENZI ZA HUYU MWENYE PEPO, MPAKA LEO UKIJITIA JEURI NA KIBURI TUNAKUACHA MAKABAURINI, KAA HAPO TULIA NA WAFU WENZIO KIDOGO MPAKA UTAKAPO JIPATA.
Mpendwa wale watu walihangaika mpaka na minyororo walivoona imeshindikana waliendelea na maisha yao kama kawaida na walimuacha ndugu yao makaburini apambane na hali yake na vifungo vyake na mapepo yake.
Mpendwa inasikitisha lakini maisha ndiyo yalivyo na ndio yatakavyo kuwa, No body is going down with anybody, hata kama familiaaa!Wana kuacha makaburini mchana kweupe.
Juzi mjukuuu wa mama alipata red-eyes, Nyumba nzima wana mkimbia maskini, Wakimnawisha uso wanavaa gloves, Wakikaa Vyumbani wanajifungia na akishika kitasa Dada ana sanitise lakini Sasa mdogooo haelewi why everbody is running from her.
UKWELINI KWAMBA NO ONE, ABSOLUTELY NO ONE! WILL FOLLOW YOU TO THE GRAVES MAYBE JUST TO CHECK ON YOU FROM TIME TO TIME, LAKINI KUKAA NA WEWE MAKABURINI NI NEVER WATAKUACHA UPAMBANE NA HALI YAKO
MIMI NIMEKAA MAKABURINI MDA WA KUTOSHA AND I CAN ASSURE YOU ITS NOT THAT BAD LAKINI IT IS NOT A GOOD PLACE, NOTHING HAPPENS THERE!, ABSOLUTELY NOTHING! SI MNAJUA WAFU TENA!, DEAD PEOPLE TELL NO TALES!
MPENDWA NA UKIWA STAGE HIYO HAMNA KINACHOTOKEA THERE IS ABSOLUTELY NO LIFE WHAT SOEVER, SIKU TU NA CALENDAR NDIO VINAENDA ILA KWENYE MAISHA YAKO HAMNAAAA KINACHO JITIKISA, ITS LIKE YOU ARE DEAD LAKINI BADO UNAISHI.
MAKABURI SIO LAZIMA YAWE PHYSICAL! ATLEAST PHYSICAL GRAVES YOU GET TO REST IN ETERNAL PEACE! HAYA PSYCHOLOGICAL NI TORTUROUS NA MORE DEADLY.
SOME SAY WE LIVE ONLY ONCE SOME ARGUE WE LIVE EVERYDAY AND DIE ONCE, LAKINI UKIWA KATIKA PSYCHOLOGICAL GRAVE YOU LIVE IN THE MIDDLE BETWEEN THE DEAD AND THE LIVING! EVERY SINGLE DAY OF YOUR LIFE UNTILL YOU GET HELP!.
THE QUESTION IS DO YOU NEED HELP? AU BADO JEURI NA KIBURI CHAKO VIKO NUMBER ON TRENDING ?.
KAMA UNAHITAJI MSAADA NIMEKUPA KAMBA HIYO NI 30 DAYS DELIVERANCE PROGRAM, WEKA TU NIA NA IMANI YAKO.
WANAONIJUA WANAJUA MIMI SIO FAN WA DELIVERANCE, MIAKA MITATU (3) HII NI PROGRAM YA PILI (2) NATOA! GOD KNOWS NITATOA YA TATU (3) LINI, MPENDWA YA KWANZA ILIKUWA NI PART 3A NILITOA MWAKA 2022.
SASA MTU UNASHINDWA VIPI KUJICHEKI KIBURI CHAKO NA KUBALANCE JEURI ZAKO UKAFANYA PROGRAM KWA MOYO WOTE UKUTANE NA ROHO MTAKATIFU AKUFUNGUE VIFUNGO.
Mimi kuna watu nawajua mwaka wa tatu (3) yaani Mambo yao meusi ila kwa mzaha na kutonichukulia serious na waangalia, Kuna watu wapo kwenye group la above 35 yaani ni the most un-serious people you have ever seen unakuta umri wake haumstui hata kidogo! THEIR LIFE THEIR CHOICE!
ITS ABOUT TIME UWE SERIOUS NA MAISHA YAKO USHAKAA SANA MAKABURINI, NO BODY IS COMMING FOR YOU, HELL NO! IFIKE MDA UMKIMBILIE YESU!, UMKIMBILIE ROHO MTAKATIFU UKAPIGE MAGOTI MBELE YAO UPONYWE!, UWE RESTORED KUWA MTU HAI TENA NA WAKUFAA NA UTOKE HUKO MAKABAURINI!
I PROMISE YOU UKIFANYA HIZI SIKU THELATHINI (30 DAYS) KWA UAMINIFU MKUBWA, ROHO MTAKATIFU ATAKUTOA HUKO MAKABAURI NI NA KAMA ITASHINDIKANA MAKABAURINI YATATOKA YENYEWE KICHWANI KWAKO NA UTABAKIA HURU.