Isaiah 42:22
22 But this is a people robbed and spoiled, they are all of them snared in holes, and they are hid in prison houses, they are for a prey, and none delivereth, for a spoil and none saith, Restore.
lsaya 42:22
Lakini hawa ni watu walioibiwa mali na kuporwa, Wote wamenaswa mashimoni, wamefungwa gerezani.Wamekuwa kama mawindo bila mtu wa kuwaokoa,wamekuwa nyara na hakuna asemaye, ”Waokolewe”.
NONE SAYTH RESTORE, HAKUNA ASEMAYE WAREJESHWE.
NONE/HAKUNA ina maana kubwa sana kwenye hili andiko, Maana yake hapo SIO WAFUNGWA WENYEWE WALA SIO WALIO WAFUNGA WENZAO NA SIO WATAZAMAJI NONE AS IN HAKUNA HAKUNA KABISA ASEMAYE RESTORE.
Mimi naweza kuwaelewa walio funga wenzao,they want them right where they are! Naweza kuwaelewa watazamaji !Wellmaybe hawafurahiii kinacho endelealakiniheeey it’s non of their business any ways.
Watu ambao sitokaa niwaelewe ni wafungwa, Wewe ushafungwa, You have nothing to lose anymore, Kwanini usijipambanie? Usipo jipambania mwenyewe nani atakupambania?.
Mimi kila siku nawaambia Usipo jipambania mwenyewe umejitelekeza mwenyewe.
Mpendwa wanaofanya program hii wana nielewa JINSI inavo chosha, Na iko kwa faidaa yako, Ingekuwa unamfanyia mtu Day 2 unaacha, Ndio uelewe usipojifanyia imeisha.
Unaweza kuwa na matatizo makubwa, mazito na unateseka sana wala SIO uongo, To be fair to you kweli unateseka LAKINI NDIO HUTAKI KUSEMA RESTORE, HUTAKI KUREJESHWA UNATAKA KUENDELEA KUTESEKA.
Kusema RESTORE SIO kutamkaaa tu, RESTORE! Imeisha, Thubutu, Ningesema RESTORE asubuhi hadi usiku.
Kusema RESTORE nikutaka urejesho kwa dhati! Kuacha yale yote yaliyo kufanya ufungweee na kuwekwa kwenye shimo.
Ni kama mtu anakuja anasema anataka kumuona Mungu eneo la ndoa takatifu, cha kwanza namuuliza ZINAA TUNAPIGAJE HAPO?, Akisema tu ITS COMLICATED na delete account, nishajua kabisa huyu kanogewa na vifungo.
Sipotezi muda wangu na WAZINZI mimi, ndio yale yale NONE SAYTH RESTORE, NILIPOKUWA NAMSOMA NABII ISAYA, SWALI LA KWANZA WORTH MILLION OF DOLLARS KUNIJIA KICHWANI NI WHY HAO WAFUNGWA HAWASEMI RSTORE JAMANI? , Mwaka wa tatu kwenye huduma nimepata majibu.
Aidha, Ni kama hapo kwenye zinaa, mtu anataka kuachana na shetani lakini aendelee kuenjoy faida zake, ni UPUUZI.
Like God said CRYSTAL CLEARY USIZINI AS NI AMRI SIO OMBI, YOU KNOW IT, GOD KNOWS IT, EVEN THE DEVIL KNOWS IT SASA TUNADANGANYA NINI?
Mtu yupo in pool of fornication, multiple partners, alafu hapo-hapo the audacity kunishirikisha hilo dimbwi kannst zinaa, Tena anapiga siwezi kuacha, hap hapo anataka umfanyie maombi saa 9 za usiku ya mumee!.
Mimi ndio maana I WORK FOR A LIVING AND I WILL WORK AS LONG AS MGONGO UPO INTACT, SIWEZI KUMTANIA MUNGU WANGU KWA KUENDEKEZA NJAA, NATAMANI KUFANYA HUDUMA FULL-TIME LAKINI THE PRICE SOMETIMES IS PEOPLES SOULS AND NOTHING CAN JUSTIFY THE PRICE OF PEOPLES SOUL.
KUNA MTU ALIKUWA HAPATI KAZI, NIMEMPA PROGRAM TATU (3) HAMNA MABADILIKO, NIKAMWAMBIA KUNA JAMBO HUSEMI KUMBE ANAJIBANZA KWA MUME WA MTU NA WANA MTOTO TAYARI, NIKAMWAMBIA SHIDA IKO HAPA, ANABISHA HAVI HUVIHUSIANI KWANI MAHUSIANO NI MAHUSIANO NA KAZI KAZI MAYBE KAMA ANGEKUWA ANATAKA KUOLEWA, ILA YEYE ANATAKA KAZI TU.
Nikamwambia mimi sitaki kupoteza muda wako na mostly wangu, Tutakuwa tunajitekenya na kucheka wenyewe, Akaniambia kuna mtumishi anamuombea, Nikasema ndio vizuri zaidi, I won’t have to worry kama utaangamia kwenye dhambi, Ananiambia kama ni SADAKA nitatoa.
Kama hujafanya HII kazi unaweza kuona watumishi ndio Ma-tapeli lakini actualy it is vice-versa, Watu ndio mnapenda kutapeliwa, Mnapenda kujidanganya Mtumishi aki-justify upuuzi na Mungu ata justify.
Ikaenda hivyo na Mtumishi anamuombea mpaka live appointments, Na Mume wa mtu hela ipo, Hizi laki 2 kwa 3 za kuteketeza tu sio haba, Mtumishi akisign in laki 3, ATAACHA KUJA AU KUKUPA APPOINTMENT? THUBUTU, NAFSI ILIYO SHIMONI YA NANI? KAKUDANGANYA NINI? WEWE MWENYEWE UMESOMA USIZINI UMEJIZIMA DATA, BASI YEYE KANG’OA SEVER KABISA.
Uliisha mwaka hana kazii na sio kuwa anampenda mme wa mtu! Kuendekeza njaa na dhikii, Akawa Depressed. Sasa akarudi tena, Anataka huduma, Nikamwambia Wembe ni ule-ule Mume wa mtu Must GO ndo no ONE (1) Haiwezekani hamna huduma.
AKANIPIGA PASSWORD WHAT IF HE GOES AND ALL THIS SHIT DOESNT BLINK ?, NIKAWAMBIA MIMI NITAKUWA SIO MTUMISHI, ANY PASTOR SHOULD KNOW HIS/HER WORD! I KNOW MINE, AKANIAMBIA YOU BETTER KNOW IT SABABU NAACHANA NAYE LAKINI MAMBO YASI POENDA, ALL HELL WILL BE LET LOSE.
Akawa kamuandikia yule Baba, SMS waachane ameamua KUOKOKA Baba anakomaa which Pastor? I can talk to them, Nilipishana na mahela mwenzenu asubuhi yaani sina bahati na Alikoomaa yule Baba alisumbua sana, Tena in a good way, Anabembeleza, He begged matter of fact, Wanaume wa zamani kwa utapeli jamani.
Mpendwa akarudia program na moyo safi SIO wa hila na hivi sasa Amepata kazi nzuri TANTROADS kwani alikuwa Engineer na vyeti vyake Straight As Hell na amepata nafasi nzuri, Anapata hela sasa hivi balaa, Kama mimi ananipa l M every now and then za ghafla ghafla tu how much is she making ?