Exodus 3:5
“Do not come any closer,” God said. “Take off your sandals, for the place where you are standing is holy ground.”
Kutoka 3:5
Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Usije karibu! Vua viatu vyako kwa sababu mahali unaposimama ni mahali patakatifu.”
HIKO KIATUUU KIVUEEEE!
-
KIATU CHA MASPONYO KIVUEEEE!
-
KIATU CHA KULALA NA MA BOSS KIVUE!
-
KIATU CHA MICHEPUKO KIVUEEE!
-
KIATU CHA UDOKOZIII KIVUEEE!
-
KIATU CHA UMBEA KIVUEEE!
-
KIATU CHA HASIRA KIVUE!
-
KIATU CHA KISIRANI KIVUE!
-
KIATU CHA UWONGO KIVUEEE!
-
KIATU CHA UPWIRUUU KIVUE!
NOT NECESSARILY KIATU KIBAYA NDO UKIVUE!!!
HATA KIZURI, as long as ni kiatu! Ni kitu unachokijua sana! Unlearn it!
For God to teach you, first unlearn what you know! Mungu hamfundishagi mtu ambaye ni mjuaajiii hata siku moja! Ata kufungia vioo mpaka ujue ulipo pwaya.
PATAKATIFU & VIATU
Ukimfata Yesu manake unataka kusimama patakatifu!
Sasa patakatifu na viatu tofauti kabisaaa.
As long as una viatu — “Don’t come near!”
Itakuhusuuuu!
Mbinguni hawataki wajuaajiii! Hawataki watu nundaaa wanaojichetua kusimama patakatifu na viatuuu! Hamta kiwiii! Kiukweliii!
KUSIMAMA MBELE YA MUNGU
Unataka kukaa uweponi kwa Mungu na kusikia toka kwa Mungu???
👉 Vua viatuhuuu vyako! Usimame patakatifuuu.
Kiatuu ni kiatuu — lazima kivuliwe, iwe kibaya au kizuri!
Kuna watu wameshindwa kukua kiimani kwa kung’ang’ania viatu vizuriii! The shoes they put on are not bad shoes at all! Only they don’t suit them — and they are their demise and downfal